HUO NDIO MSAFARA WA RAIS MWINYI ZANZIBAR ALIVYOFIKA KUMZIKA JECHA SALIM JECHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @fatmarashid0005
    @fatmarashid0005 ปีที่แล้ว +1

    Allah amsamehe makosa yake amtilie nuru kwenye kabri lake innshaallah na ss atujaalie mwisho mwema wa maisha yetu

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm ปีที่แล้ว

    "Mabustani mangapi, na chemchem ngapi waliziacha! Na mimea na vyeo vitukufu! Na neema walizokuwa wakijistareheshea! Ndio hivyo! Na tukawarithisha haya watu wengine. Si mbingu wala ardhi zilizowalilia, wala hawakupewa muda wa ziada." Quran Surat Ad-Dukhan Aya 25-29.

  • @zayyedsuleiman6432
    @zayyedsuleiman6432 ปีที่แล้ว +2

    Nafasi aliyokuwa nayo hakuitendea haki alifanya dhulma ila tumuomber dua mwenyezi mungu amsamehe dhulma alioifanya

  • @danielmazagwa6188
    @danielmazagwa6188 ปีที่แล้ว +1

    Alichomfanyia maalim seif mungu hatomsamehe huyu jecha

    • @alimuhamed1830
      @alimuhamed1830 ปีที่แล้ว

      Huyu hakumfanyia malim pekeyake huyo aliikosea jamiimzima ya kizanzimaber

    • @zahororashid-tw3hz
      @zahororashid-tw3hz ปีที่แล้ว

      Atakuja zitapika haki zetu, wazanzibar hajua hatokufa..dhalim mkubwa msema uongo

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sana tukumbuke kuna kufa na kuna hesabu fanya unavofanya ogopa Allah .Wazanzibari hawatasahau aliotenda cheo dhamana.

  • @hamidahamad1905
    @hamidahamad1905 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amueke panapostahili lkn hatutomsahau wa Zanzibar kwa alichotufanyia 2015

  • @JumaNassor-cj3zy
    @JumaNassor-cj3zy ปีที่แล้ว

    Huyu mzee alituulisha sanaA WAZANZIBAR AKIFIKIRI HATOKUFA

  • @HassanatOmar-c4c
    @HassanatOmar-c4c ปีที่แล้ว

    Mungu amsamehe makosa yake

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 ปีที่แล้ว

    Wa qad adalloo kasee ranw wa laa tazidiz zaalimeena illaa dalaalaa. Walaa tazidiz zaaalimeena illaa haassara...😢

  • @omaraliali1268
    @omaraliali1268 ปีที่แล้ว

    Kumamamae jecha

  • @avalonking1655
    @avalonking1655 ปีที่แล้ว

    Allah amsameh tu lakin binaadamu tunajisahau tunako kwenda alikua na nafasi nzuri ila hakuifanyia haki😂

  • @totobest6913
    @totobest6913 ปีที่แล้ว

    jecha hajafa kijana kafaidi maisha musau musihau sabakura za maalisefu kupa sheni

  • @mohdmwarab7707
    @mohdmwarab7707 ปีที่แล้ว

    Msiba umekugusa peke yko mjinga mwenzio

  • @kaslali2039
    @kaslali2039 ปีที่แล้ว

    Msafara wa raisi gari zaidi ya 25

  • @suwedisuwedi3305
    @suwedisuwedi3305 ปีที่แล้ว

    Kumbe nayy anakufa

  • @totobest6913
    @totobest6913 ปีที่แล้ว +1

    kila binadamu ana mazuri namabaya

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว

    Aende anapo stahili

  • @JumaNassor-cj3zy
    @JumaNassor-cj3zy ปีที่แล้ว

    Kumbe nae kafa jecha uyu mzee

  • @abdul-halimhafidh642
    @abdul-halimhafidh642 ปีที่แล้ว

    Leo ni tarehe 15 au 18?

  • @amirikoshuma6022
    @amirikoshuma6022 ปีที่แล้ว

    R I P

  • @kijokasumu
    @kijokasumu ปีที่แล้ว