NDOA YAVUNJIKA; MKE AFUMANIWA, MUME ASIMULIA MAZITO YA MAMA WA MIAKA 49

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 887

  • @aminamsimbe4034
    @aminamsimbe4034 2 ปีที่แล้ว +19

    Mwanangu Mimi nimeumia Sana pamoja na kumtetea Sana ukakosana na wazazi wako lakini malipo yako ndiyo kuzalilishwa umeona? hebu Rudi kwa wazazi wako uwaombe msamaha utapata mafanikio

  • @magiriterandei2764
    @magiriterandei2764 2 ปีที่แล้ว +22

    Kakangu iziii kapambane,,,pili nenda ukapimwe afya asije akakuletea maradhi ya maisha,,,tafuta vibarua bambana kimaisha na ipo siku moja atakuheshimu

    • @hadija846
      @hadija846 2 ปีที่แล้ว

      Aamiin🙏🏼😭

  • @rosekawala5182
    @rosekawala5182 2 ปีที่แล้ว +16

    Mungu atakupa wa kufanana na wewe. You are still very young and handsome boy.

    • @ashurakodd1589
      @ashurakodd1589 2 ปีที่แล้ว +2

      Pole kijana hata yeye watoto wake watafanyiwa hiana hii ni dunian tu

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 2 ปีที่แล้ว +23

    Huyo mama alikuwa akitaka kukutumia tu. Mungu alikuepusha sana 😢 pole mkaka,

  • @user-uh8bk5mj6e
    @user-uh8bk5mj6e 2 ปีที่แล้ว +33

    Nimeshukuru umeachana nae ni mwenyezi mngu ndio alikutia huko sasa angalia sana wazazi oa wa rika lako achana kuburuxa mijimama

    • @yolandachuwa5554
      @yolandachuwa5554 2 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃eti nyumba yangu ,,,Ni nyumba yako au ni yake ?

    • @salma-gf8ek
      @salma-gf8ek 2 ปีที่แล้ว +1

      Uyo Bibi Achana nae kacheki afya yako Malaya Tu uyo asikopotezee mdae

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว +1

      @@yolandachuwa5554 huyu dogo ni mario, anapenda kitonga..anaishi kwa mwanamke..huyo mwanamke ndo alikuwa anamlisha, kumhifadhi,kuvalisha.

    • @evalineemmanuel8178
      @evalineemmanuel8178 2 ปีที่แล้ว

      acha ujinga fanya kazi mmezoea kulelewa

    • @gabriellyadam9415
      @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @aminamusa9174
    @aminamusa9174 2 ปีที่แล้ว +13

    Duh mama mshenzi sana yule mwenyezi mungu atakulipia mwanangu

    • @mariathomas3111
      @mariathomas3111 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole Sana kaka mung yup nenda kwa wazazi ukaombe msamah utafanikiwaa tu achan na huy mpmbavuu

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +22

    Ila umekonda sana duh!kapime kama mzima tafuta mwengine huyo ni gumegume

  • @doreensamwely8740
    @doreensamwely8740 2 ปีที่แล้ว +12

    😭😭😭😭😭 duuuuh pole kijan mdg ,umetukanwa ,umetengwa na family kwa ajili yake bado anafany upuziiii wakee

  • @marysiasawaki3698
    @marysiasawaki3698 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah pole sana kijana ila kiukweli tafuta maisha mengine kupenda mserereko sio kitu kizuri hata kdg jamani............angalia unavyoumbuka kijana wa watu na ungewasikiliza wazazi wako haya yasingekukuta kabisa sio siri jamani,Mungu akupe nguvu siku zote ila jifunze kutokana na maisha haya ...Vijana wengi mnapenda sana kulelewa na kutokupenda kufanya kazi,ungekuwa hata bodaboda ni mara mia kuliko kuparamia mijimama..........

  • @hadija846
    @hadija846 2 ปีที่แล้ว +13

    pole sana ndugu yangu M/mungu atakulinda kwa nguvu zake zote. Aamiin🙏🏼😭
    Na huyo mwanamke M/mungu hamlaani kwa upumbavu wake

    • @josykitua505
      @josykitua505 2 ปีที่แล้ว +1

      Hawa wa mama lo wanaribu vijana wadogo.

    • @hadija846
      @hadija846 2 ปีที่แล้ว

      @@josykitua505 kweli kabisa

    • @emmadominic9601
      @emmadominic9601 2 ปีที่แล้ว

      We dogo ni mpumbavu sana,hujui kwamba hiyo ndoa haikubalikiwa na wazazi wako?Pumbavu sana wewe.Mzazi ni Mungu wako wa pili,duniani.Pumbavu waheshimu baba na mama yako upate maisha marefu na heri duniani.

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 2 ปีที่แล้ว

      @@josykitua505 ilibidi ashtakiwe huyo mama kabakaa

  • @yassintaibrahim24
    @yassintaibrahim24 2 ปีที่แล้ว

    Pole Saana Izii Yote Kwa Yote Cmama Kung'uta Vumbi Omba Msamaha Kwa Wazazi Wako Muombe Saana M/Mungu Akusamehe Na Akufungulie Milango Ya Heri Baraka Na Mafanikio

  • @liliansindiyo1214
    @liliansindiyo1214 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana mdogo wangu siku nyingine sikiliza sauti ya wazazi Ila usiogope utafanikiwa tu na utampata mke mzuri kwny heshima

  • @salimabass2288
    @salimabass2288 2 ปีที่แล้ว

    Wewe umeingia Cho Cha like, yule mwanamke alikuwa sio saizi yako kwa pesa Wala umri. Wazazi walikuwa hawako radhi na hiyo ndoa,he matokea yake umeyaona. Mzazi ni mzazi tu,tunapaswa kuwasikiliza.polebusirudie tana

  • @CHITUS
    @CHITUS 2 ปีที่แล้ว +3

    pole sana ndugu yangu M/mungu atakulinda kwa nguvu zake zote. Aamiin🙏😭
    Na huyo mwanamke M/mungu hamlaani kwa upumbavu wake

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 ปีที่แล้ว +4

    Duuh pole saan kijan muombe mungu atakufungulia Milango ya rizki huyo mama alikuwa anakudharau na alitak umaarufu kupitia ww ajulikane mitandao kajivua nguo mpk watoto wake wamemzarau pole saan

  • @annahsimiyu1401
    @annahsimiyu1401 2 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢😢😢😥😥😥heeeei heeei waaaah Pole saana kaka izee uko mdogo utapata mke wa Rika Yako usinganganie yule mwanamke kabisa ,Mungu akupee mke mwema inshaAllah kutoka mbinguni waah makubwa mwanamke hajiheshimu yule 😢😢😥😥😥🥺🥺🥺🤔🤔

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 2 ปีที่แล้ว +6

    Wanasema mtoto wa kike ukiolewa ukubali kulala bila nguo sasa mtoto wa kiume ukikubali kulelewa ukubaliane na hizo changamoto...na mi nilijua tuu hakuna ndoa hapo kirikuu kuivuta SKANIA ni lazma iunguze klachi mzee pambana mdogo wangu maisha so rahisi hivo.

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 ปีที่แล้ว +2

    pole sana Izo hataa hivyo amezaa ako na watoto niliona hadi niko sema mbona hauna furaha anyway mungu ni mwaminifu utapata vingi na utafanikiwa nakuomba usirudi tena kwa huyo mama kabisaa atakuua mungu amekukomboa hataa akikupigia magoti don't try I wish you all the best in your new life utafanikiwa tena zaidi hiyo ni mutiani tu mwanamke asiye kuwa na adabu wala heshima kwa watoto wa watu muombe mungu atakupigania kwa kila Jambo 💞🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺

  • @joycekiheka6071
    @joycekiheka6071 2 ปีที่แล้ว +6

    Dahaa Dunia Ina mambo Kigoma hiyooo. Wazazi walishasema Hiyo Ndoa itavunjika tu. Pole Izee"

  • @irenembura5684
    @irenembura5684 2 ปีที่แล้ว +41

    kweli mwanamke mwenzetu amejua kutudhalilisha!!

    • @oman7901
      @oman7901 2 ปีที่แล้ว +4

      Tena sana mwanamke hajielewi mama mzima

    • @rosemofuga8101
      @rosemofuga8101 2 ปีที่แล้ว +11

      Ni kweli kabisa mm amenikera balaa,huyu kijana ni mpole isee

    • @omanmwajabumbeguoman8642
      @omanmwajabumbeguoman8642 2 ปีที่แล้ว +6

      🙄🙄🙄🤗🤗🤗uyo kahaba warrah

    • @marymabula3878
      @marymabula3878 2 ปีที่แล้ว +5

      Ahaahaahaa makubwa haya,tulijua hamtafika mbali. Ndo ujifunze.

    • @betitympeleta9697
      @betitympeleta9697 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 2 ปีที่แล้ว +7

    Niseme pole sana kaka na wahenga walisema siku zote mtegemea M.mungu ktk kila hali ya maisha yake, pekee M.mungu ndie muokozi kwa kila aliemuamini. M.mungu atakupa faraja Inshallah kaka ,usihuzunike mno mpaka ukakufuru.

  • @judyjudy3513
    @judyjudy3513 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana mwenyezi mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigum inauma Sana 😭😭😭😭

    • @nuruelsamiu
      @nuruelsamiu 2 ปีที่แล้ว

      Huyo anapepo la ngono kijana ulichanganya

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว

    Izy pole.hilo lilikua darasa.alafu wewe ni mtumishi mzuri sana wa Mungu.anza kumtumikia Mungu atakufanya mpya na maisha yako yatakua mapya ya baraka tele.una kitu cha Mungu kijana.

  • @bintimwakumanya6127
    @bintimwakumanya6127 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kakangu Mungu akupe subra

  • @marysona9999
    @marysona9999 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole mtoto, Naomba usisahau kwenda kwa wazazi, Nenda kabla ya yote ukaombe msamaha ili upate baraka zao ndipo ukaanze maisha mapya.

  • @mimie254official8
    @mimie254official8 2 ปีที่แล้ว +1

    Good, and thanks to God. Hata kama siwajui Asante Mungu,,,, kwa huyu kijana

  • @wardamunguakuzidishew9399
    @wardamunguakuzidishew9399 2 ปีที่แล้ว +9

    Pole sana mshukuru mungu kakuonyesha mazaifu yake mapema ila piga moyo konde utampata mke mwema kacheki afya

    • @gloriousfrancis8201
      @gloriousfrancis8201 2 ปีที่แล้ว

      mbona mnawahi afya ?nyie mnajionaje afya zenu na mlionao

    • @victoriabayo7704
      @victoriabayo7704 2 ปีที่แล้ว

      Huyo jimama ni shetani kabisa hafai anaharibu watoto wa wenzie alaaniwe

    • @victoriabayo7704
      @victoriabayo7704 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni wewe kijana tafuta vijana wenzio achana na vijimama

  • @mozespaul7138
    @mozespaul7138 2 ปีที่แล้ว

    Pole dogo,,tunajifunza kutokana ,Na makosa,usirudie makosa

  • @deboraadolfu4011
    @deboraadolfu4011 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kaka ni mwongo sana haukuw ndoa ile ilikuwa ni njia ya kumsaidia yey atoke kimaisha ndio shida yakjitoa kusaidia vijana malipo ni kukuzalilisha ninachokusii kijana mwombe yule mama msamaha na uangalie njia nyingine ya kutoka maana lengo ni kukusaidia

    • @jumaramadhani5861
      @jumaramadhani5861 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe uliisikiliza ile clip ya yule mama,maneno ya yule mama na maneno yake kijana ni tofauti sana,kijana alikuwa anatafuta kiki na apate jina awe kama diamond....

  • @zawadilutufyo231
    @zawadilutufyo231 2 ปีที่แล้ว +2

    Kapungua Uwii! Asijekuwa kapewa gonjwa! Mungu aepushe

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mdogo wng, steling hauawi tafuta mmama mwingine mpaka kieleweke ipo sku utampata wa maisha yako. Mtangulize MUNGU

  • @milkajm4762
    @milkajm4762 2 ปีที่แล้ว +13

    Sad ending of this story. Pole sana kaka 😭

    • @ireneimbuhira7759
      @ireneimbuhira7759 2 ปีที่แล้ว +2

      Its sad indeed 😔 😢

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭😭😭

    • @muddymdigo5164
      @muddymdigo5164 2 ปีที่แล้ว +1

      Mwanakulitafuta mwanakulipata ,ulikatazea ulishauriwa na wazazi wako ukijifnya unapenda cnaa ,kwanza kapime ngoma kk Kisha kawaombe wazazi msamaha alaf sahau endelea na maisha yko au vip kamuombe msamaha murudianee kk

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

      @@muddymdigo5164 hakujuwa kama atamgeuka😥😥😥

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 2 ปีที่แล้ว +1

    kwanza kabisa ukiwa katika hali hiohio, nenda kaombe msamaha kwa wazazi wako na ndugu zako ndipo uanze maisha yakupambana upya baraka siku zote zinatoka kwa Mungu na kwa wazazi, ukisamehewa na wazazi hata mafanikio utayapata na msaada utapewa kikubwa kaombe samahani kwa wazazi ujipatanishe nao na kwa Mungu wako

  • @renatadanieli5155
    @renatadanieli5155 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana mdogo wangu mpaka nmekuonea huruma jamn, stori imeisha vbaya sijapenda😥

  • @ishyjuma2246
    @ishyjuma2246 2 ปีที่แล้ว +24

    Amekupotezea muda, umekosana na wazazi juu yake, lkn mungu yuko.. utapata mrembo saizi yako na utulie

    • @asiaali1124
      @asiaali1124 2 ปีที่แล้ว +1

      Hil ni fuzo Kwa wakaja km hawa kuowa majitu mazima ukawategemez unaacha wzee Kwa mwanamke Sasa hii ni shda akaimbe msamaha

    • @hannansdeliciousfood4261
      @hannansdeliciousfood4261 2 ปีที่แล้ว +1

      Anapenda mtelezo....hujachunguza mtu unajitia tuu sehem....mtt mdg ushakomaa....sura sasa....

    • @user-pr8pv2du2x
      @user-pr8pv2du2x 2 ปีที่แล้ว +2

      Wazazi walisema mtoto hawana kinyongo nae akiachana na huyu mwanamke hakuna matatizo watampokea na mtoto wao walimkana kwa sababu ya mwanamke na walisema akienda nyumbani akiwa peke yake watampokea wazazi wake hawana shida na mtoto wao watampokea

    • @omanphone3455
      @omanphone3455 2 ปีที่แล้ว +1

      Nipe nambazako izzi njoo kwangu walai jikusahulishe yote wamama achananano njoo kwavijana wenzako

    • @kdeghtnzanea7187
      @kdeghtnzanea7187 2 ปีที่แล้ว

      @@omanphone3455 😂😂umeona aje kwa vijana wenzake tumpe raha za dunia mpy

  • @bonifasmpogole6960
    @bonifasmpogole6960 2 ปีที่แล้ว

    Pole ndugu yangu wanawake wengi wao wanadanganywa na wajinga wenzie.mungu akuinue umejisusa kiume mungu atakupandisha na wanaume tujifunze na wamama zetu tujifunze kupitia hiki Kati yahao mwenyemakosa atalaaniwa kuanzia Sasa natoa baraka kwamwenye haki mwajina la yesu Kristo Arie hai amina

  • @lydiagamba3183
    @lydiagamba3183 2 ปีที่แล้ว +13

    Acha hizo usaidiwe kitu gani sasa tuache kuwachangia mayatima na wajane uchangiwe wewe nenda nyumbani kawaombe wazazi na ndugu zako msamaha then jipange upya kimeisha siyo uombe kuchangiwa kwani wewe ni mlemavu?

  • @virginiakariuki6479
    @virginiakariuki6479 2 ปีที่แล้ว

    What? Pole Sana Kijana. Hio ni Aibu sana huyo Mama hio tabia mbovi Sana. Hajiheshimu hata kidogo.

  • @joycemakungwa1307
    @joycemakungwa1307 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana Ila ukome kwani umekosa nn wewe kijana au unataka umaarufu unajidhalilisha ungekuwa mwanangu Cha Moto ungekipata

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana huyo alikua tapeli,ashindwe pepola mwanamke huyo,ww ungali mdogo utaoa warikalako🇰🇪🇰🇪.

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 2 ปีที่แล้ว

    Aisee pole Sana.......Allah Atakufanyia Wepesi In sha Allah.

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว +1

    haukua mpango wa Mungu huo.Mshukuru Mungu kuna jambo amekuepusha ila alitaka upite hapo kujifunza kwanza Izy.pole sana na hongera sana.

  • @jophreysound6537
    @jophreysound6537 2 ปีที่แล้ว

    Aisee Pole Sana ndugu yangu maisha ndivyo yalivyo, muachie Mungu yey e peke yake atakulipia

  • @scholasticamswata3548
    @scholasticamswata3548 2 ปีที่แล้ว

    Wewe kijana pole Sana lakini wamwela hawatuliagi na mume moja ww unafikiria huyo mwenzio aliotoka hakupenda kuishi na watoto wake alimshindwa kwasababu ya umalaya

  • @blackmarvel__731
    @blackmarvel__731 2 ปีที่แล้ว +4

    Ndoa bila ridhaa ya wazazi haidumu Ndungu
    Kaombe radhi kwa wazazi Maisha Yaendelee

  • @yohanabasili7837
    @yohanabasili7837 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kijana. Kina mama wengi watu wazima watumia nyota za vijana hasa anapokua ameshamaliza haja zake kwako. Nenda kanisani ukatubu ujisalimishe kwa Mungu ili huyo mama asiendelee kutumia nyota yako.

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 2 ปีที่แล้ว

    Mmmm vijana fanyeni kazi ona sasa mambo ya kulelewa hayo pole sana

  • @delishaluhyaqueen6950
    @delishaluhyaqueen6950 2 ปีที่แล้ว +1

    God have a meaning for that with God everything is possible God have plans for you bro

  • @mwanawetuamiri6747
    @mwanawetuamiri6747 2 ปีที่แล้ว

    Ndio mkamage siku nyingine kuchezea nyuchi za watu wazima lazima laana ikuvae,pole pambana kivingine maisha yaendelee

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 2 ปีที่แล้ว +9

    Usirudi tena ku penda wa mama wazima hiyo nimkosi mtupu tafuta mtoto mwenzio uoe hizo Razı Za wazazi wako. Mungu kataka kumbainisha kua ni mambo ya ushirikina

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว +4

    Subhanaallah ulikuwa unavumilia vipi wazazi wako WALIKUWA hawataki usipo sikia la mkuu huvunjika mguu wakina mama acheni kumdanganya watoto wa wenzenu kujitia aibu tu

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wangu magonjwa ni mengi ucje kufa huyo mama ni kahaba Sana

  • @adidacemwakatika1569
    @adidacemwakatika1569 2 ปีที่แล้ว

    Make sure una test blood Yako,afu kwanza shukuru god kukuonyesha mapema kwani mengi mabaya yalikua yanakuja,sahau Kila kitu hata iyo mimba xio Yako,get back 🏠 katafte kiki ya kuanza nayo Mr we Bado Young km mm.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว +1

    Kina kalumanzila wameshafanya yao huko siyo bure hapo wanajipongeza kuachana kwenu pole🙌🙌

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 2 ปีที่แล้ว

    Asanten kwa kutuzubaisha kwa kiki zenu mmejua kuchukua akili zetu

  • @siamakala1945
    @siamakala1945 2 ปีที่แล้ว

    Kaka Cha msingi kaombe msamaha kwa wazazi na ndugu zako kila k2 kitakiwa sawa tu.mengn pambana Mungu hata kuacha takubarik hakika na pia jiweke sawa na Mungu wako

  • @youngjaywinfrey9854
    @youngjaywinfrey9854 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa, naona kweli umepungua sana! Dah pole sana jama

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kaka angu mungu tupo.pamoja nawe

  • @elochoyakobo7809
    @elochoyakobo7809 2 ปีที่แล้ว +11

    Mtakuja kufa madogo kwa kupenda vya bure mamae..ulikuwa unasamehe sababu ulikuwa unalelewa mtakuja kufa pumbavu sana😃😃..vijana wa home hacheni kupenda vya bure yaan wew dogo ulikuwa unapenda mseleleko fanyeni kazi mtakuja lishwa mpaka mavi.

    • @nasramohamed3353
      @nasramohamed3353 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha ni kweli kwanza hakuna mwanaume anaefumania mkewe live alafu akasamehe wewe ulisamehe kwasababu ulikuwa unalelewa hukuwa na budi kulimezea .pole sana tafuta kazi ujitegemee mwenyewe usitegemee Cha mtu elocho yakobo kashakwambia mtalishwa mpaka mavi🤣🤣

    • @stellamushi5306
      @stellamushi5306 2 ปีที่แล้ว

      Wafanye kazi

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +18

    Wazazi wenu wakiwakataza msikie wao ndio wakwanza kuona Jua kabla yetu kiko wapi sasa😏😏😏

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

      Juzi tu kajisifu ana mimba yake sasa😂😂😂

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 2 ปีที่แล้ว +3

      Hili sio jambo lakucheka jamani atia huruma huyu kijana wa watu😥😥

    • @khdigahk4246
      @khdigahk4246 2 ปีที่แล้ว

      @@maisarah6819 Mi Ata simuonei huluma mwana kulitafuta mwana kulipata

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว

      @@aishachambo8663 🤣🤣🤣🤣make nicheke amekuwa mdogo kama pilitoni

  • @veronikafrancis5049
    @veronikafrancis5049 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mdogo wangu ila usiumie MUNGU ameamua kukutenga nahuyo Delila sema tu limekupotezea mda

  • @swalehesaad2692
    @swalehesaad2692 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mtangazaji yupo vizuri hataki point impite akiona enaenda mbele tu anamwambia subiri kwanza anamrudisha nyuma ili apate matukio yote yaani hata ikienda midia nyingine isipate tukio jipya good kijana umefanya vyema.

  • @maryambaby8509
    @maryambaby8509 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole kaka allah akujaalie moyo wa ujasiri inshaa allah

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 2 ปีที่แล้ว +10

    Pole Sana kaka duniani Kuna mambo mengi ya kuumiza jamani!

    • @mtetemwangulwa3126
      @mtetemwangulwa3126 2 ปีที่แล้ว

      Alikuwa amekuzidi akili,mtu umfumanie live gesti kisha ummuhache wewe mtoto kweli angekuhuwa

    • @mtetemwangulwa3126
      @mtetemwangulwa3126 2 ปีที่แล้ว +2

      Hata biblia inasema ndowa inavunjika kwa uzinifu alafu wewe unasema ubao wenu mlikuwa mmehandika neno msamaa huyo mzee ni mnafki

  • @ashatembo1567
    @ashatembo1567 2 ปีที่แล้ว

    Ayo maumivu uliyoyapitia ndy najiuliza ulikuwa unayavumiliaje duuu htr pole sana

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 2 ปีที่แล้ว

    Asie sikia LA mkuuu huvunjika guu uligombana na mama ako mzazi na baba ako Leo kikoapi pole Sana dogo jifunze kitu Sasa kaombe msamaha kwa baba na mama Kisha mambo yako yatanyooka tuu pole dogo

  • @marymasawe9854
    @marymasawe9854 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kaka mwanamke mwenzetu ametuzalilisha sana

  • @manirambonareverien664
    @manirambonareverien664 2 ปีที่แล้ว

    Hii kjana nimuongo anastairi kukamatwa aereze visuri ju anacafua Jina la Huo Mama kiisha afungwe

  • @babymussa918
    @babymussa918 2 ปีที่แล้ว

    Weee kaka mi nilidhani unatafuta msaada wa kazi upambane usimame mwenyewe.Tatizo kutegemea kulelewa.Pole amka sasa.

  • @halima7255
    @halima7255 2 ปีที่แล้ว

    Siku zote waenga wana sema asie sikia la mkuu mwisho u unjika mguu ulia mbiwa na wazazi wako Razi ya wazazi iyo rudi kigoma ukapate baraka za wazazi wako pole sana ndugu yangu

  • @opiyowilson3640
    @opiyowilson3640 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa akaolewe na HAO,na wewe babako alikukataza ila hukusikia.Lesson fully learnt.

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kijana ungeweza kupigana kwa ajili ya kuna halafu uuwawe kisa kuna

  • @nikascleophace7948
    @nikascleophace7948 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu mambo yatakuwa sawa mtoa riziki ni Mungu prkee

  • @zainabkiluwa8650
    @zainabkiluwa8650 2 ปีที่แล้ว

    Mwana kiranga haliliwi wala hakaliwi matanga.sasa Dunia imemekufunza.penda Rika llako.hata kama mapenzi hayana umri.nadhani amejifunza.pole sana.

  • @frolawihenge2078
    @frolawihenge2078 2 ปีที่แล้ว +6

    Mwanamke huyo ni mhuni kupitiliza na huenda ana maradhi.kazi yake kuusambaza.Tena ana laana Mungu atamhukumu tu.

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 2 ปีที่แล้ว +4

    Ambri ya kwanza Mweshimu Baba na Maman yako usilete kipingamizi kwa Wazazi wako Aminaaa

  • @daud405
    @daud405 2 ปีที่แล้ว

    pole san kaka.mm hayo ilinikuta dar es salaam.ila huyu binti alikuwa ana miaka 22 tu.ulichosema ni ya maana sana.mwanamke akishazoea tabia chafu hauwezi kumbadili hata ufanyaje.wa kwangu tuliachana hata baaday ya kumnunulia gari.mwanamke hata umpe nn kama ni mbovu ni mbovu tu hawezi kubadilika .nikisafiri magari ya wanaume wanapishana ilikuwa ni aibu.kutokana na story yako iwe fundisho kwa watu wengine mwanaume kama mwanaume usimtegemee mwanamke .tafuta mali yako sio kutegemea maisha kwa mwanamke

  • @sarafiamakilika9975
    @sarafiamakilika9975 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanasheria hasa Sheria za ndoa tuwasikie tafadhali.Wazazi chondechonde mtoto akinyea mkono hatuukati tafadhali huwa tunaosha na maisha yanaendelea, msamaha kwake tafadhali. Kijana omba msamaha kwa wazazi ndugu na marafiki fasta.

  • @thomasmicco9871
    @thomasmicco9871 2 ปีที่แล้ว +4

    Ucjali kijana utasimama, Mungu ni mwema.

  • @fatemahassan5125
    @fatemahassan5125 ปีที่แล้ว

    Pole kaka mungu atakusaidia muachie mungu atamlaani

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 ปีที่แล้ว +9

    Alikua sahihi Tu mke wako,unagombana na ukoo wako kisa mwanamke tena mama mwenyewe,tafta hela sai ndio umuoneshe unaeza bila yeye babu,na uache hii mambo ya kukaa kwenye media na kuongea kuhusu hio maneno

    • @rukiasaid2039
      @rukiasaid2039 2 ปีที่แล้ว

      Lazi za wazaazi izoo

    • @rukiasaid2039
      @rukiasaid2039 2 ปีที่แล้ว

      Laana izoo kaombe msaamaa kwa wazazi wako

    • @rukiasaid2039
      @rukiasaid2039 2 ปีที่แล้ว

      Ukawatambalie nakuomba msaamaa na ukume nafundisho kwa wengine

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 ปีที่แล้ว +5

    Dah! Yule mama ni katili Kweli Bora umeachana nae, Angekuua kabisa

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 ปีที่แล้ว

      Japo umemfukuza lakini amekukomoa amekuchezea wee Hadi momba haya bado ulale na lsa Sasa

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 ปีที่แล้ว

      Umechezewa na mtoto wako was 6 kwa umli huo jitu Zima ovyooooo

    • @liliankemuma9475
      @liliankemuma9475 2 ปีที่แล้ว

      Uiguzaji

  • @mwajabulyimo7928
    @mwajabulyimo7928 2 ปีที่แล้ว

    Shida ni short kati za maisha kama sii kiki basi kazi ipo, fanyeni kazi na tafuteni age moja mweeee

  • @farajaluvanda9822
    @farajaluvanda9822 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana kaka mungu akusaidie

  • @JustArkon
    @JustArkon 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mwenyezi mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigum inauma Sana

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole izeee kwa mtihan uliyopithia

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 2 ปีที่แล้ว

    Shetani hapendi ndoa mmedumu kwenye uznzi miaka 2. Lkn kwenye ndoa ya halali miezi 2 tuu shetani kavuruga. Pole Sana kijana utapata mwingine

  • @salma5187
    @salma5187 2 ปีที่แล้ว +2

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu. Aliona mwanamke bora kuliko wazazi wake. Laana imempata. Machozi ya wazazi.
    Aliwadhalilisha wazazi wake kwa ajili ya limama km mama yake

    • @everlyneiminza5722
      @everlyneiminza5722 2 ปีที่แล้ว +1

      Bora mama yake, ata kama sijamuona🤔🤔mimi nilijua tu huyu hafiki pale sisemi kwa kejeli ila huyu ni lika ya mwanangu jamani duuuh

  • @asumtamapunda4822
    @asumtamapunda4822 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana iziii ile hilo nalo Liwe funzo kwako pia wazazi ni Mungu wa pili duniani Tambua hilo

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana lakini hilinifundisho kwa wote mkiambiwamanenonawatu wakubwa muwemnaelewa ,, rudi kwa wazazi wako ukaombe Radhi(msamaha) utakuwa Sawa... Ilautajifuza

  • @jamesnyaulingo673
    @jamesnyaulingo673 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @bakarimohammed9851
    @bakarimohammed9851 2 ปีที่แล้ว

    Duh pole Sana uyo mama sio MTU mzur

  • @mjunicharles1198
    @mjunicharles1198 2 ปีที่แล้ว

    Mbn nmeumia hv huyu Kaka nilipenda sana caple yao...ila huyu mama mungu amlaaan kabsa 😢😢😢😢....pole na vuta subra utapata ataekulea na kukuamn Mana wenye upendo wa zat tupo wachache

  • @maryteresa1187
    @maryteresa1187 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mdogo wangu, ulimwengu una mengi.

  • @glorycheyo1081
    @glorycheyo1081 2 ปีที่แล้ว

    Pole mwanangu ujifunze usioe mwanamke mwenye umri sawa namama yako

  • @mwantumujumbe6483
    @mwantumujumbe6483 2 ปีที่แล้ว

    Pole sn kijana m/ mungu atakupa wa rika lako na mtaishi milele.

  • @congestamatemu697
    @congestamatemu697 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa uvumilivu na maamuzi magumu

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 ปีที่แล้ว +17

    Hahahahahahahahahahahahaha huyo jamaa kwani alikua anafkiri Yule mama anazitoa wapi?lazima achepuke,,,wanaume tutafte hela ndio uje uoe mke hata kama kakuzidi

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 ปีที่แล้ว +2

    Daa pole sana mdg wangu aziii yule mama kumbee nilishenzi sanaa achana naloo huko kawaombe wazazi msamaha nauanze maisha yako mengine mungu atakupa mke mwema na mzr tuu mwenye hofu ya mungu 😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 2 ปีที่แล้ว +3

    POLE SANA BWANA kitenge, ukiishi kwa kutegemea mwanamke hasa kwenye masuala ya uchumi lazima ufanyiwe dharau na matokeo yake ndio hayo