MAKALLA AMRITHI MAKONDA, ALLY HAPI APEWA UKATIBU MKUU CCM, JOKATE APELEKWA UVCCM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 179

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 9 หลายเดือนก่อน +5

    Dah! Asante mama Kwa kutuletea Jembe ALI HAPI. Lakini uenezi Bora angekuwa ALI HAPI. Maana anasikiliza kero za wananchi. 🙏🙏

  • @SofiaS-i5r
    @SofiaS-i5r 9 หลายเดือนก่อน +4

    Namshauri makonda Aanzishe chama chake agombee uraisi mimi ninakurayake atoke huko

    • @shabansumaiya4770
      @shabansumaiya4770 9 หลายเดือนก่อน +1

      Atakuja Pata cheo kikubwa mama anamaanayake kumpeleka makonda arusha ili apunguze mauaji yanayotokea kilasiku huko arusha baadae atakua waziri wa mambo yandani

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 9 หลายเดือนก่อน +17

    Nafasi ya uenezi ingebaki kwa Makonda,aliitendea haki sana na kuimudu vyema.Hata raia kila alikokuwa akipita nadhani walimuitika vizuri.
    Anyways,yetu macho tu na kuongea ongea kama hivi kunogesha story siku ziende.😄😄

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 9 หลายเดือนก่อน +12

    Mama Rais na Mwenyekiti wa chama changu....Umewafurahisha vyama shindani na umetuhuzunisha wanachama wenzio...kumtoa Messi uwanjani kabla hata hatujafunga goli hata moja....uchaguzi wa serikali za mitaa bado na uchaguzi mkuu bado.....nashauri mpe Makonda nafasi timu yetu bado hatuoni mfungaji hapo

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 9 หลายเดือนก่อน

      Nakualika ftar kwangu kesho umenena vema.

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kulalekiii Ikulu itaungua sasahivi

  • @athumanishabani4800
    @athumanishabani4800 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mama umeharibu, Makala hiyo nafasi haiwezi mrudishe Makonda

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 9 หลายเดือนก่อน +3

    Makala hata hanya kazi kama makonda, hata weza kabisa

  • @paulmutailuka2417
    @paulmutailuka2417 9 หลายเดือนก่อน +21

    Mama hapo kwakweli washauri wamekupoteza, Makonda nafasi ya uenezi aliipatia sana na inamfaa hakuna atakaeweza hiyo nafasi kwa wakati huu hasa tunapoelekea kwenye kipindi cha uchaguzi 2025. Ila ngoja tuone tujipe mda ndio utaongea zaidi. VivaMakonda All the best somo ktk kazi yako ya DC. CHUGASTANI.

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 9 หลายเดือนก่อน

      Hakika umemaliza 🤝🤝🤝

    • @Hasnspop
      @Hasnspop 9 หลายเดือนก่อน +2

      JAMANI MAMA SAMIA WALA HANA SHIDA HUYU MAMA NILICHOMGUNDUA ANAPENDA KUMPA MTU AJARIBU HANA MAANA MBAYA KUMPA MWINGINE WOOTE HAO VIJANA WAKE NINA IMANI NA MAMA SAMIA ILA NDODO YANGU MAMA MIMI NIKUKUONA TU AISEE

    • @engineerismael2186
      @engineerismael2186 9 หลายเดือนก่อน +2

      Wamemshaur kumtoa makonda mana angekua kikwazo kwa baadhi ya viongoz makonda msema kweli

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ujui lolote kimya, usifurahi kuona mwenzako anaumia ,mama anapenda utawala wa sheria sio kumdharilisha watu kwenye majukwaa

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 9 หลายเดือนก่อน +8

    Ukisikia kuchemka ndio huku.mtu anashindwa mkoa leo hii unamkabidhi chama na nchi.😂Alafu teua teua inaboa sasa.Bado kuna changamoto mahala.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 หลายเดือนก่อน +1

      Niko paleeeee 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @josephwilliam4727
    @josephwilliam4727 9 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda ndo alikuwa na mvuto amos makala mmh!

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 9 หลายเดือนก่อน +8

    HUGE BLUNDERS EVER😮😮
    DUUUUHHHHH😢😢😢
    KWAKWELI MAMA AMECHOKA SASA.....

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 9 หลายเดือนก่อน +2

    Watu watahamia upinzani kwa hasira kama alivyofanya mzee kingunge, nje upinzani ndani ccm

  • @josephjeremiah-x5v
    @josephjeremiah-x5v 9 หลายเดือนก่อน +13

    Makonda ndo mwenye mvuto kuliko hata huyo anaeteaua kwa sasa

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 9 หลายเดือนก่อน +30

    Tangia chama cha CCM kimeundwa akijawai kupata katibu mwenezi kama Paul Makonda.kwakweli Makonda mwaka ungeisha wengine viongozi wangenyooka. ila Makonda una kipaji cha uwongozi.

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 9 หลายเดือนก่อน +3

      @kabwelerywamwatumu kabisa yani Sema Kuna viongozi wengine baadhi anajitahidi kumchukia kumcjonganisha na Mama Samia wanamuwekea kauzibe kila kukicha ilimladi aonekane hafai kwenye uongozi. Lkn makonda anachapa sana kazi na pia ni mtu mwrnye bahati ni mtu mwenye nyota ya watu.

    • @SelijusiMalambo-q2u
      @SelijusiMalambo-q2u 9 หลายเดือนก่อน +1

      Arusha nako anapita TU nimkakati wa ccm wamemsafisha ,

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 9 หลายเดือนก่อน +2

      Tunasikitika sn mama kumtoa kwenye nafasi hiyo. Nakwamba,kumweka makala kwenye nafasi yamakondo ni utoto na uharibifu kupindukia.

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 9 หลายเดือนก่อน +18

    Kwa maoni yangu, Makallah hiyo nafasi haiwezi kuimudu

    • @kashuradiocles1068
      @kashuradiocles1068 9 หลายเดือนก่อน

      Mtu kashindwa mkoa tu sembuse uenezi wa taifa

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa hawezi jamani. Migogoro ya ardhi Dar. Alishindwa Sasa anampa kazi waziri kutatua. Jamani hawezi

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 9 หลายเดือนก่อน +8

    Ally happ uenezi ungemfaa sanaaaa, maana bado ni kijana, lkn makala ni mzee hawez mikiki na hana ushawishi

  • @Jane-h1f6s
    @Jane-h1f6s 9 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda na chilamila wanaweza sana hiyo position Mzee makala amepoa sana mungu amuongoze

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 9 หลายเดือนก่อน +5

    MAKALA😂😂😂AISEEH CCM MNAKOSA PUMZI😂😂
    MAMA WANAKUPOTEZA WASHAURI!!

  • @dianashija5674
    @dianashija5674 9 หลายเดือนก่อน +8

    Duuuuuu sasa hapo ndio nini makonda angebaki pale pale

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa hali ya kisiasa hasa hiki kipindi bora hata Ally Happy au angebaki Makonda huyu mzee Makalla hawezi na hana ushawishi ndani na nje ya ccm wamemdanganya mh.rais.

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 9 หลายเดือนก่อน +5

    Bora Ali happy angelaa uwenezi tungeona kidogo umeziba pengo japo si sana ila kwa uyoo mtuu mzima ulotuekea kumbuka atakuja wahamasisha vipi vijana kwenye kura, 😂 yaana mama apo walokushauri walokuwa hawampendi makonda wamekushauri ovyooo sanaaa

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 9 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sana kuunga mkono kazi na utendaji wa mheshimiwa Ally Happ na Makonda. nawafuatilia nikiwa nje ya Tanzania. Mwenyezi Mungu awajalie ktk kazi zao.AMEN🙏🙏

  • @chaucassim4123
    @chaucassim4123 9 หลายเดือนก่อน +11

    Mrudisheni makonda. Kwenye nafasi yake. Mbona mnatuangaisha

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 9 หลายเดือนก่อน +17

    Unamtoa Makonda unampa Makala mmefail

  • @emanuelmarco8102
    @emanuelmarco8102 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mamangu ameferi

  • @seifkulwa3346
    @seifkulwa3346 9 หลายเดือนก่อน +7

    Shida washauri wako ndo waleeee wanakula kwa urefu wa kamba ambao pia hawampendi Makonda!

  • @ashamakwaiya8749
    @ashamakwaiya8749 9 หลายเดือนก่อน +1

    Makala hana nyota ya kukubalika hana ushawishi mama tulia utafakai hiyo nafasi kukisemea chama watu wakaitika si mzaha,ninakushauli rais wangu makala umefeli labda bola mtaka

  • @SelijusiMalambo-q2u
    @SelijusiMalambo-q2u 9 หลายเดือนก่อน +6

    Umejichanganya karibu mtaani chadema wanashinda asubuh mapema

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mie ally happy ndio amenifurahisha lile ni jembe

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 9 หลายเดือนก่อน +5

    Ccm haipendi kabsa msema kwel ukisema tu ukwel umekwisha na SKU mkibadilisha katba na time huru ya uchaguz mmekwisha,lakin kwa sababu mnajua Waz mtaiba tu kura hata Kama wananchi hawawakubali,ndo maana mnawakata watu Kama makonda na makonda 2030 angewasumbua kwenye uraisi

  • @RobertPaul-cg3rl
    @RobertPaul-cg3rl 7 หลายเดือนก่อน

    Manjala Liberation of African Association legacy (LAAL)2024,,,, inalenga kutetea Haki na maslahi ya wananchi na Taifa Zima hasa,,, uonevu,, unyanyasaji wa kijinsia, maadili yasiyofaa kwenye nchi yetu,,,

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 9 หลายเดือนก่อน +1

    Washauri wa mama hawamwingizi chaka bali wanamwingiza kwenye msitu mnee wenye giza nene

  • @sofiaantonioantonio7265
    @sofiaantonioantonio7265 9 หลายเดือนก่อน +7

    Rais fikili tena kwa mala ya pili

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 9 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa huyo makala nashndwa hata kuongea ngoja tuwaache wenyewe na ccm yao

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nchi hii ukiongea unatolewa madarakani😂😂😂 ndugu paul makonda kataa hicho cheo ugombee uraisi Chadema

  • @eliadlema7421
    @eliadlema7421 9 หลายเดือนก่อน +2

    Andikeni ukweli. Unapoandika Ally Hepi apewa ukatibu mkuu, naona kama huo ni upotoshaji. Ally Hepi ni katibu mkuu wa umoja wa wazazi Tanzania. Jaribuni kunyoosha mnachoandika, nyie chombo cha habari, chombo cha habari ni kioo cha jamii.

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 9 หลายเดือนก่อน +2

    Makala sitolusahau ulichotufanyia sokoni karia koo , umetuzungushia uzio(mabati) wakati tunaendelea kufanya biashara ...tunyooshe baba🙏

  • @barneymunuo5659
    @barneymunuo5659 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwa @Ally hapi mama mitano tena mtu wa maana kabisa in mwijaku voice😂

  • @annkim2690
    @annkim2690 7 หลายเดือนก่อน

    Shida watu wanapenda kusahau kweli anaweza kazi kweli lakini tokea abandikie mtumishi wa Mungu madawa ya kulevya

  • @ernestkilawe1229
    @ernestkilawe1229 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nilijua tuu makonda hana mwendo .kwa madudu yale ambayo alikuwa anayanika .wasingemuacha yana ogopa .ila makonda chapa kazi kila kitu kinawezekana akitanguliza mungu.wewe ni nuru ya tanzania.

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 9 หลายเดือนก่อน

    Tanzania watu wamevurugwa, wanakero ambazo hazijatatuliwa Kwa miaka mingi. Wamekuchukia chama hatari! Halafu analetwa Makala,mkoa tu ilimshinda😢. Bora angewekwa Ali Hapi.

  • @SelijusiMalambo-q2u
    @SelijusiMalambo-q2u 9 หลายเดือนก่อน +8

    Hiyo nidalili yakuchoka chadema nafasi ipo wazima karibuni tutawaunga mkono

    • @torresally1913
      @torresally1913 9 หลายเดือนก่อน

      Sahau ilo hta wapiga kura wawe wa 2 ccm itaendelea kuongoza nchii hio

    • @NdageKitahama
      @NdageKitahama 9 หลายเดือนก่อน

      Nchi hii ukiwa umenyoka unachukiwa hawataki uwe mkweli

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 9 หลายเดือนก่อน +5

    Hii idara ya uenez inafaa zaid Suleiman Jaffo yule Jamaa ni jembe kama uwezekano upo wa kumtoa ktk uwazir amlete huk mama utakuw mpk 2025 habar yak ushamaliz kampen uamue tu ila kwa Amos uenez hap ni 50/50 au umrudishe polepole umetoe balozin kule

  • @lusticendokole9385
    @lusticendokole9385 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kikao kimekaliwa 2024, cyo 2023

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 9 หลายเดือนก่อน +7

    ivi ccm wameanza kubaha kama tajiri alie anza kufirisika ,anavyo hangaika

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 9 หลายเดือนก่อน +6

    Uchafu mtupu☹️☹️

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 9 หลายเดือนก่อน +16

    Makala ufanye kazi km Makonda, makonda ni jembe la mtu moja

    • @kabwelerywamwatumu5078
      @kabwelerywamwatumu5078 9 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli!ata mama mwenyewe ukisikia alivyoongea leo kasema anajua aliko mtuma Makonda watanyooka

  • @hamisimkoma7380
    @hamisimkoma7380 9 หลายเดือนก่อน +11

    ujinga mtupu unatoa kipenzi cha watanzania unatuletea zee la uwongo,, na hapa ndio naamini mwanamke hawezi kusimamia na kuongoza nchi yenye viongozi wanafiki na majambazi kama Tz

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 9 หลายเดือนก่อน +1

      Alidanganya nini huyo zee la uongo??😆😆🤣🤣

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@shyfettymtunda4619tobaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂🎉

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 9 หลายเดือนก่อน

    Hapa Nimefrah sana sana mama kumrudisha Ally happy

  • @Jane-h1f6s
    @Jane-h1f6s 9 หลายเดือนก่อน

    Ila makonda alifaa sana makala Hana sauti sana kama makonda

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 9 หลายเดือนก่อน

    Nimekua Miongoni mwa watu niliokua nikimuombea sana Ally happy kurudi ktk Systerm maana anautukufu ktk utendaji wake

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 9 หลายเดือนก่อน

    Timu nchi hii kwahiyo nchimbi anajitengenea kugombea urais 2030

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeshangaa mpaka basi makala tu huyo we naye angekataa apumzike mbona ametumikia sana awachie vijana hiyo nafasi awe mshauri makonda kiboko mmewaachia wananchi majeraha kumtoa

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 9 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda hiyo nafac ilkua imemfaa kabsaa jaman meng mauvu ya viongoz huku chn kayaonyesha

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 9 หลายเดือนก่อน

    Tunashindwa kuongea uhuru wa maoni ila tumewachoka makonda nakuona kama magufuli mdogo kaka nikikumbuka ilivyomsaidia yule dogo muhuza ndizi mungu akubaliki sana

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa makala hakuna kitu. Boro angewekwa Ali Hapi.

  • @micahmollel4463
    @micahmollel4463 9 หลายเดือนก่อน

    Makonda alikua mtu sahihi katika nafasi ya uenezi ata kama alikua na kasoro ndogo ndogo lakini ni za kibinaadamu ndivyo tumeumbwa washauri wa mama kwakweli mmekosea sana na mmetukosea na sisi pia

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mpk tukijaliwa kufika 2030 wana ccm watakuwa wamechoka sana 😁😁😁😁🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 9 หลายเดือนก่อน

      @@MiriamAbdallah 😄😄wallah 😄😄

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 9 หลายเดือนก่อน

    MWIZI KAIBA DAR, KAI BA MWANZA LEO MUWENEZI.

  • @MathayoVictor-xb8zx
    @MathayoVictor-xb8zx 9 หลายเดือนก่อน

    Ivi mnajua makonda mamake ninan

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 9 หลายเดือนก่อน +7

    Hamna kitu hapo

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 9 หลายเดือนก่อน

    Mama yuko sawa lazima tufuate utawala wa sheria
    Sijawahi kuona anamdharilisha kiongozi yeyote kwenye majukwaa
    Kama mtu anakosa fuata utaratibu wa sharia, makonda hakufuata huo utawala wa sheria

    • @NdageKitahama
      @NdageKitahama 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani makonda kuna Sheria alivunja? Makonda Hana unafiki kawambia ukweli viongozi wanamponda magu na kumsifia mama bila kujali kuwa hata ndege iliopokelewa siku ile ni matunda ya magu miradi yote mikubwa inayotekelezwa na mama mwanzilishi ni magufuli kwahiyo lazima tumkumbuke kwa mazuri aliotuachia kwahiyo makonda kawambia ukweli viongozi wengi ni wanafiki kosa lake liko wapi

  • @bigboymkomola8719
    @bigboymkomola8719 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenezi mngempa Sabaya tuu,,

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 9 หลายเดือนก่อน

    Kila jambo na wakati wake. Mama yetu kipenzi tunakupenda sana. Huu ni wakati wa Makonda. Upepo huu ni wa Makonda! Huku mtaani kila mtu amesikitika kwa uteuzi huo mama.

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 9 หลายเดือนก่อน

    MAKALA AWEZI ANA UWEZO WA KUWAFIKIA WATU PIA MAKALA NI MTU WA MANENO MENGI MENGI APO MMEPOTEA BORA YA MZEE SOMA HIYO MWANDILI

  • @viatoryadam1556
    @viatoryadam1556 9 หลายเดือนก่อน

    Yaan ccm mtu akisema ukweli wanataka wamkate mdomo Sasa mmemutoa makonda ili aongelee matatizo ya mkoa wake tu ya nchi nzima Amna ndo mmemkata mdomo ivo sio mungu anawaona 2025

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 9 หลายเดือนก่อน

    Uyu nae kila siku anateua kama uyo makala akuna chochte anachokifany

  • @farajaphilipo8844
    @farajaphilipo8844 9 หลายเดือนก่อน

    Mm makonda tu ccm itapoa jaman

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 9 หลายเดือนก่อน

    Ally Happy❤❤❤

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 9 หลายเดือนก่อน +3

    THIS TIME HATA MM NITAPIGA KULA CHAMA PINZANI😂😂😂 SIKUWAHI PIGA KULA HII N KWA SABABU CCM MMEKUA WEHU SANA HASA MMETUCHUKULIA WANANCHI KAMA VIPOFU!!MNAPEANA TU NAFASI WATU HUKU WANATESEKA !!WATU WANANENEPA HADI PUA😂😂!!KAZI MNAYO WANACHI WAPO KIMYA ILA CHANGAMOTO MTAIPATA

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 9 หลายเดือนก่อน

      Tusimlaumu Rais kwani kila jambo linawakati wake nakila mtu anawakati wake, wakati wa makonda umepita huu niwakati wa Amos makalla, nae utapita sio muda utakuja wa mwingine, nakubwa hawa wote niwa tanzania, niwaombe tusimbeze, Rais kwani ametenda vyema,

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 9 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah ally hapi karud

  • @pendaelmollel1847
    @pendaelmollel1847 9 หลายเดือนก่อน +1

    Makala mnampoteza tu huyo mzee, hiyo nafasi hafiti kabisa. Bora hata mngempa awe katibu wa wizara flani

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 9 หลายเดือนก่อน

    Makonda nimlopokaji ndoo maana kapigwa chini na ilitakiwa awe 2 mtendaji wa kijiji chao sijui niseme ila basi msije nichapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 9 หลายเดือนก่อน

    MAKALA ATAONGEA NINI WATANZANIA WAMSIKILIZE

  • @ERNESTAMAHENGE
    @ERNESTAMAHENGE 9 หลายเดือนก่อน

    ila mama, mama, mama,haya ngoja, tuone matokeo ndo tutajua lengo lako.

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 9 หลายเดือนก่อน

    Which iswhich inrulingparty grey,what orblack??nightmares.?

  • @SurprisedAtom-vp5qe
    @SurprisedAtom-vp5qe 9 หลายเดือนก่อน

    Mama angu samia tunakupenda sana mama mrudishe makonda kwenye nafasi yake tusikilize cc mama

  • @RashidIbrahim-610
    @RashidIbrahim-610 9 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa makala amechemka

  • @danielyemanuely2669
    @danielyemanuely2669 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani makonda mbonakiongi mzuri mama mludishi

  • @jackswat
    @jackswat 9 หลายเดือนก่อน

    Swali ni kuna sababu gani ya msingi kumtoa Makonda huko na kumpa ukuu wa mkoa!!?🤔

  • @ramadhanimsomanga5448
    @ramadhanimsomanga5448 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmmh, makala tena😂😂😂. Nononoo!!!!!

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂mbavu zangu nononooo!!!!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@user-ur7pw9ek6😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa sauti kubwa 😂😂😂😂

  • @albertchuma4313
    @albertchuma4313 9 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo wamekushauri Makonda anakuja juu yako hiko cheo kinampa umaarufu mkubwa, wamekwambia anapendwa na watu, ufanyaji wake wa kazi wamekwambia unaumbuwa matatizo ya serikali, wamekwambia anaweza kuleta mpasuko uko mbeleni akiachiliwa na cheo kikubwa, wakakwambia mpe kazi itakayomdhibiti nawewe ulivyo kuwa sombasomba ushauri bila kufikiria umeingia mkenge, unashindwa kufikiria CCM ilikuwa imechokwa makonda ndiyo kaleta tumaini kwa watu, watu tulikuwa tunasubiri tu 2025 makonda kidogo katupa kufikiria bado kuna matumaini ndani ya CCM nawewe ndiyo umemtoa kwakufata ushauri wa hao wa wamsoga, kwa mambo yanavyoenda mtaani mkiendelea na mahesabu yenu mtaona wenyewe

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu muumba wa mbingu na nchi pia na vyote viivyomo,atosha.! 2mlilie yeye atatfuta machoz!

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 9 หลายเดือนก่อน

    KWELI HUYU SAMIA ANATUFERISHA NA NDIO MAANA KAFERI

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi iendelee, CCM ina hazina ya Viongozi wengi mnoooo

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 9 หลายเดือนก่อน

    Hawezi umechemsha sana,,,,muweke polepole acheni ubabshifu

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 9 หลายเดือนก่อน

    Aly Hapi ,Majali Khasimu, Makonda,Kitambi,Mavunde, Jo kate mwegelo,Pole Pole hawa ndo vijana aliowatengeneza Magufuri na watanzania wanaimani nao ipo siku mmoja kati yao atachukua nchi na kumuenzi JPM wetu

  • @mshumbusideogratias9567
    @mshumbusideogratias9567 9 หลายเดือนก่อน

    Mama kwa uhai wa chama mrudishe makonda achana na washauli so watu wazr aiseeee

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 9 หลายเดือนก่อน

    Karibia Comments Zote Zinatoq Lawama Juu Ya Uteuz Huu Wa Amos Makala Kwa Nafas Yake Mie Nina Iman Kuna Watu Waliumizwa Na Paul Makonda Ndio Maana Wamemtoa Kwahyo Huyu Aliyeletwa Atafaa Kwa Wao Lkn Sio Sisi

  • @RashidIbrahim-610
    @RashidIbrahim-610 9 หลายเดือนก่อน

    Mtu kashindwa na mkoa wa dar akapelekwa mwanza huko nako kumemshinda ndio umpe uenezi hapo hamna kitu subiri anguko

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 9 หลายเดือนก่อน

    Amoc makala jij la dsm lilimshnda leo sjui kama ataweza hyo nafac namashaka

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t 9 หลายเดือนก่อน

    Chama kimekwenda na maji icho.

  • @FadhiliKavindi
    @FadhiliKavindi 9 หลายเดือนก่อน

    Mmmm hapo hapana nimaoni tu lakini

  • @VerdianaJohakim
    @VerdianaJohakim 9 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuuuh!! Kwa kweliiii

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 9 หลายเดือนก่อน

    Makonda ana maadui wengi sana

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 9 หลายเดือนก่อน

    Mama Pitiya comment uku utajuwa vizuri watoto wako uku.
    Mama Makonda ungemuacha pale mwaka 1 hata wewe mwenyewe ungefurahiya

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 9 หลายเดือนก่อน

    makondan nyieeee achen upumbavu sasa mama kashamueka na kamtoa uyo makonda nyinyi mnasemaje taften ela achen upumbavuuuu

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 9 หลายเดือนก่อน

    AKUNAKITU KICHWANI PUMBA

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mama kwa makonda si Dhani kama kiatu hamtoshi maana binafsi nilifurahi sana alivyo kuwa na content za kuwabinya watu wa upande wa pili kwa hoja😂 all in all mama najua umechunguza vigezo CCM mbele kwa mbele

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 9 หลายเดือนก่อน

    Wahoo alyhapi

  • @ibrahimwilliam6410
    @ibrahimwilliam6410 9 หลายเดือนก่อน

    Hapa mmevurunda