Baba Olivia Season 2 Update AND Season 01 Behind The Scene.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024
- #babaolivia
Karibu nyuma ya pazia ya Baba Olivia Msimu wa 01 na ugundue juhudi, ubunifu, na kujitolea ambako kuliwezesha hadithi hii ya ajabu kufanikishwa. Kutoka changamoto zilizokumba utayarishaji hadi mafanikio yaliyofanikisha mradi huu, video hii inakupeleka kwenye safari ya juu na chini ya kuunda kazi bora. Kutana na wahusika na timu ya uzalishaji, sikia hadithi ambazo hazijawahi kusimuliwa, na shuhudia shauku nyuma ya kila tukio. Usikose mtazamo huu wa kuvutia kuhusu kile kilichohitajika kuifanya Baba Olivia kuwa tamthilia pendwa!
..........................................
Step behind the scenes of Baba Olivia Season 01 and discover the hard work, creativity, and dedication that brought this incredible story to life. From the challenges faced during production to the triumphs that made it a success, this video takes you on a journey through the highs and lows of creating a masterpiece. Meet the cast and crew, hear untold stories, and witness the passion behind every scene. Don’t miss this inspiring look at what it took to make Baba Olivia a fan-favorite series!
Hii story ya baba Olivia ilinivutia Sana. Naomba Henry Mwakajumba utafute wafadhili huku Nairobi Kenya. Kuna watu kama Obinna TV wakikuhoji kuhusu malengo ulio nayo,wakenya wengi watatamani kukusaidia kupata rasilmali. Nakuenzi Sana miye. Hongera
Asante sana ndugu! Nita fanyia kazi! ❤️🙏🏾
Kumbe wew ndio Henry mwakajumba@@henrymwakajumba
@@henrymwakajumbapia jaribu kuwasiliana na Netflix wewe ni noma sana
Uko vizuri sana Henry mwakinyumba your the best 👌
🙏🏾❤️
Mwakajumba on the way nasubiria kwa hamu zote hongera sana brother
Hii ni tamthilia nzuri sana,imekamilika kila idara,story, dialogue, location,cast, production 👏👏👏👏
Asante sana.❤
Sema mwamba unafanana na roma mkatoliki🎉🎉
Au Nikki wa Pili???
Weweeee 🎉yajayo n moto n yanafurahisha😂❤nasubiri kwa hamu
Saaana 💪🏾💪🏾🔥🔥❤️❤️
Kazi iendelee, you are doing really good
Congratulations 👏 kwa kazi yenu nzuri sana 🎉
KIDOGO HAPA MTATUFANYA TUANGALIE , MAANA CHARACTER'S IS IMPORTANT WHEN YOU CREATE A MOVIE
Kwaiyo soon tunaanza kuufurahia muonekano wa mwalimu janet
Jamani tunasubilia kwa hamu kabisa❤
Ongera sana Director kazi ni nzuri Na Usichoki zidi kupambana
Keep Moving bro
kazi nzuri
Unalala sana mzee
😂😂😂😂😂
Una uwezo mkubwa sana kwa mm sijawahi kuona akiri nhingi kama iii❤❤❤❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Haikufikaa mwisho gisi tulikuwa Na penda, baba Olivia Na mualimu mulitukoseya sana
Jaman naomben mnipe jina la wimbo unaopigaga kweny baba Olivia ❤
Asante sana brother kwa hiho movie mzuri kabisa🎉🎉 nilikuwa nimechanganikiwa, hivio basi, ninaona kama mambo zote ziko sawa😂😂 kaka tunasubiria season 2 na nampenda sana mwalimu janet kwa mafanikio yake kabisa❤❤, nakupa hongera kabisa kaka🙏🏾🙏🏾 hapo congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Asantee😅🙏🏾
Kazi nzuri sana kaka! Hukurupuki!
umetisha sana mzee
Hongera Sana pole na kaI
Unastahili pongezi hakika, you're so creative and🔥🔥🔥🔥
Thank you ❤️
Ila mama Tinna 😂😂😂😂😂
Hiii series ungeweza ungeendelea mbele iwe level za isidingo ukauza Keene TV show ,ifike mbele zaidi hadi ifike kwene action
Baba olivia 🔥🔥 can’t wait for season 2
See you soon ❤️
SO HAPPY LINDA ENJOY GOOD LIFE❤
MOVIE KALI SANA SEMA UNAEKA MAANDISHI MENGI HADI TUNASHINDWA KUELEWA EPISODE YA KWANZA IPI AU YA PILI IPI. KAMA UNA ANDIKA BABA OLIVIA EP 01 TUTAELEWA MSIEKE MAANDISHI MENGI ATUELEWI
hujapeleleza sana ila mbona unajua hii ya mwanzo hii ya pili
@@AAa-ni6brsamahani.
Mbona Baba Olivia hipo katikati mtiririko unaoeleweka.
Hiiii story ninzur sanaaa
Kwa kweli shooting Kali videographer yupo vizuri.kazi ilikua safi sana.location ndio hatari kabisa hongera
Pamoja na crew nzima
Asante sana Shukran!
Kwani season 2 inatoka lini jamani mimi ninaamu saaaana 🥰🥰
Kak season 2 tunaisubir sana kaka🎉🎉
😢jaman nimeitafuta nikizani ipo ila inshaallah 😊itafika Mungu bariki wale wanao fanya kitu kinafunza watu wengi tofauti🎉🎉❤❤
Natamani binti yangu akikua awe like Olivia.
Jasiri pia heshima na ucheshi kipaumbele.
Alikuwa free sana kwa baba yake
Olivia ni mjanja sana
Ni jambo la Muhimu sana! 🙏🏾
@@henrymwakajumba 🙏
Jmn rudin kazn family hii tupo weng tuliwamis San from mbeya mbaliz
Pole bro kwa kipindi kigumu ulicho pitia kipindi umemaliza scene ukawa unaumwa but imeniuma sana kuskia hivyo mpaka chozi limenitoka mzee daah pole bro lakini umefanya kitu kweli
Meus parabéns Bro Henry. Acompanhando seu trabalho apartir de Moçambique 🇲🇿 estás de parabéns e sucesso. Estamos aguardando pela segunda temporada de forma ansiosa🫶
Muito obrigado 🙌
Jaman tunaomba muendelezo
Mmetupoteza saanaa ghafla hata hatujui tuliishiaje na hata hamueleweki tena ,,sasa hivi tupo na DUNIA
Naomba ep 18 please 🙏
Napenda KAZI yako 👏👏👏
Season 2 tunaisubiri sana bro
Nmeisubiri sana
Wow fanyeni mwendelezo bass maana bado inadai
Tunakuomba season 2
It's a great one
Hapa zasa patamu ❤❤❤❤
Kali sna bro walikunyima tuzo bure tu ila fresh wakati wako upo
Niko hapa nasubiri sana 🎉🎉🎉
Hongera nzuri sana❤
Aiseee niliimisi ianze tu♥️♥️
Tunasubiri jamn
🤣🤣🤣🤣🇰🇪❤️❤️❤️Nimefurahi sana kuona sizon 2 itaanza
❤️❤️❤️
Mlala sana henry tume miss s2
Km unaamin Olivia atakuja kuwa na mimba season 2 like
tunaisubiri kwa hamu sana jamen
Tunaisubili sana
Kz ipo vizuri sana
Kazi nzuri sana bro
Pongezi kwko Henry Lakin pia Hongera waliocheza filam hii kwakweli tupeinda sana
Asante sana! 🙏🏾
Tuletee season 2, acha stori nyng
Nice
Samahan hv hujamla kwel madam janethi 😂😂😂
Kaka pls usitoke nje ya reli kazi yako hii ni noma sana ,niamini mimi umepindua meza ile mbaya kwene filamu za Bongo
Bro @hendry mwakajumba
Bado tupo na wewe hadi utuletee Baba Olivia
🎉🎉🎉 twaisibil Kwa ham
Jamani tunaisubiri sana
Akili Kubwa Sana Mzeeiyaa 🔥🔥
Asantee 👏🏽💯
Good good 👍🏾
Thanks 💯
Henry Halaka Mzee 👍👍👍👍👍
Unachelewa sana bro
Samahani musichelewe kutoa msimu wa pili baba Olivia ni thamthilia inayovutia sana
Mwakajumba acha kucheza na akili zetu broo lete sezon 2 hyooo😢😢
Uko hatari mzeee wakazi ❤❤
❤️❤️
Tumesubiri sana kimya kimetawala
Msitucheleweshee season 2 jaman 😢😢
Jaman kwen move ya baba olivia imeishia wapi
Huu ni upuuziii 😮😮😮😮
Kaka tunaisubiria season 2 Kwa hamu sana
Tunaisubili kwa hamu sana
Tunasubiri Kwa hamu saana
Jamani mwendelwzo pls
Naisubilia season 2 hadi naumwa🎉
Ww nahisi umepona
We na timu yako, wote mnaakili sana
Asante sana! ❤️
Tuna subiri kwa hamu Season ya pili kutoka ndani ya mudji diarasi Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Bila shaka tupo pamoja 🙏🏾🙏🏾❤️
Okey tupo nanyi hadi mwisho
Mungu akubariki sana hendry umefanya kitu kikubwa sana "nakumbuka mwanzo wa hii tamthilia roborts za u tube ziliwahi ku recommend kwangu 😂😂 naingia tu u nakutana nayo ya kwanza kabsa kwa juu nikaruka nayo..
mimi ni watu wa mwanzoni kabsa kuanza nayo epsod ya kwanza nikiwa kama viwer wa 200 kwenye epsod 1 nimejifunza ,nime elimika na nimeburudika pia.🙏
Asante sana Mungu akubariki pia, shukran sana kwa kua na sisi tangu Mwanzo!🙏🏽❤️
Nishammis mwl janeth wangu😢
nimec sana hii series bana...ila katka hii movie nime yale mahusiano bushara ya mwamba gabo na mwalimu janet...
Mwisho unaumiza sana kwann wakatae lkn
Jamani muendelezo
Jaman ianze harak hyo season two tume mmisi Olivia na madam janeth 😅
Season 2 vp jamn
Jaman me napenda kuigiza japo sijawahi kuigiza ila natumaina naweza kuigiza kwamana napenda sana kuigizaa
Kwani iliishia hapo?naitafuta next episode kila kuchao ,sijapenda jinsi mnavyo ichelewesha
🌷🌷🌷
Imenivutiasana sababu iliyokufanya kuandika story ya Baba olivia❤
Asante sana! ❤️
Basi tupatie kipand ca pili au ndo basi
Kwaiyo movi ndo imeixhaaa au
Hii story inanipa shida, yani kila ninaponunuwa MB siiyoni 😥😥😥🇲🇿🇲🇿🇲🇿 kwani mpaka lini?
Imechukua mda bro lakini
❤
Mbn hii mda mrefu