Nice sana kaka Hongera sana kwa Hatua uliyofikia Mungu azidii kukupandisha juu,zaidi naelewa kazi yako Tangu ukiwa Mass kwaya hatujawahi kumwaibisha Mungu wetu Be blessed...
May God uplift you to the next levels dear mdogo wa mie......ur sister is proud of you......ukue ktk viwango vikuu ktk utumishi wa ufalme wa nyumbani kwetu mbinguni
MUNGU azidi kukuinua
aminaa mh wa Yesu Kristo, be blessed
Sana chairman be blessed
Amina kaka
Nice kaka Mkubwa..!! May God raise u more than hw u can be...!!!
Indaga nyambala kyala akutufye eeeee kweli Ingongove jikolile jikutukumbusya jikukolela katatu ((pakilo;nuluwhunju na pamusi)))be blessed
Wimbo mzuri sana,,,, amina na amina utukufu unayeye milele na milele amina, uinuliwe zaidi ndugu Ipyana Bwana na akutumie zaidi, Amina
amina kaka, utukufu wote kwa Mungu
Nice sana kaka Hongera sana kwa Hatua uliyofikia Mungu azidii kukupandisha juu,zaidi naelewa kazi yako Tangu ukiwa Mass kwaya hatujawahi kumwaibisha Mungu wetu
Be blessed...
aminaa kaka, Mungu ainuliwe milele
wimbo mzur sana umegusa my life be blessed my broo ipyana am waiting 4 video
Uzidi kubarikiwa my brother
Amina cis
Nice voic kaka mungu azidi kuku inua viwango adi utukufu
Safi sana Mzee wa mavocal
neema ya BWANA
May God uplift you to the next levels dear mdogo wa mie......ur sister is proud of you......ukue ktk viwango vikuu ktk utumishi wa ufalme wa nyumbani kwetu mbinguni
amina ma cister, be much blessed and thank U
Nzuri kaka,video lini
MUNGU wa Mbinguni aliye Hai akubariki sana kwa utumishi wako, zaidi sana azidi kukufundisha juu ya utumishi huu
amina sister, be much blessed for your prayer
Kazi nzuri askof...Songa mbelee
hahaa, asante kaka
ubarikiwe sana kaka angu
It is a very power full song ....through this song people are going to testify the greatness of God
ameen, na iwe hivyo
Hongera kaka,hakika yeye ni BWANA alinganishwi
amina mama mtmsh, Mungu hafananishwi
Ubarikiwe mtumishi...wimbo mzuri ...sauti nzuriiiiiii
Amina mkuu, ubarikiwe
Glory to God...hongera my brother
asantee cis, Mungu mwemaa
Umebarikiwa sana mtumishi kazi nzuri sana...
amina mkuuu
Blessed Very Nice song KEEP it up
Hongera sana
asante mkuu
It sounds so good and very blessfull song,keep it up brethren.
aimeen my brooh, be blessed too
Blessed broo ipyan
aminaa kaka, kazi ya Mungu mwenyewe mkuu
Hongera sana bro Ipyana.. Mr. IP :)
asante kaka, grace of GOD
Waooooow hongeraa sana bamkubwaaaaa Mungu aendelee kukutumia
hahaa, thank U cis
Amina brother ipyana.
kazi nzuri Mungu akuinue zaid
aamina, thank U
Ubarikiwe mno Ipyana
aminaaa, cis, be blessed too
Wooooooow...
Ameeeen.. 🙏🙏🙏🙏
UTUKUFU kwa Bwana Yesu.....
Wimbo mzuri sana... Yesu akutie nguvu zaidi....
Ubarikiwee sana kwa utumishi mwema...
amina mama mtumishi, be blessed too
Ipyana Mwakyoma Ameeeen Servant
Congrats👏
thank U, God is great
Asante ipyana. Barikiwa sana
Amina kaka, asante sana
Good job bro....God bless you
amina kaka, neema ya MUNGU
Ameen kaka
sawa broh
Ubarkiwe sana Ipyana the song is so powerful😭
glory to GOD, evacie thanks
Blessed
amna kaka
hallelujah, you blessed me sana
Asante barikiwa
asante mkuu, neema ya Mungu tu kaka