Mungu ni Mmoja ndiyo , ilipotaka kutoa kafara yake alikuja akafanyika mwili ( Yesu) mwili huo ukafa ili kuwa kafara ya watu wote, ila Uungu wake haukufa maana Uungu haufi , kisha akafufua huo mwili siku ya tatu, Huyo Yesu ndo tunaita mwana, pia Roho Mtakatifu ni nguvu tendaji ya Mungu, Maandiko yanaposema wapo watatu waushuhudie ulimwengu maana yake ni katika utendaji , pia SDA kuamini utatu mtakatifu ni sahihi kabisa maana inafunua Mungu katika utendaji.
@benjamin Before He left them, Christ gave His followers a positive promise that after His ascension He would send them the Holy Spirit. "Go ye therefore," He said, "and teach all nations, baptizing them in the name of the Father a personal God and of the Son a personal Saviour, and of the Holy Ghost sent from heaven to represent Christ: teaching them to observe all things whatsoever I have commanded you: and, lo, I am with you alway, even unto the end of the world" Matthew 28:19, 20. 12MR 260.2
Maajabu kweli kweli wana utatu ike jasiba wako nazo hapa nje ni za ajabu
Balikiwa walimu
Mungu ni Mmoja ndiyo , ilipotaka kutoa kafara yake alikuja akafanyika mwili ( Yesu) mwili huo ukafa ili kuwa kafara ya watu wote, ila Uungu wake haukufa maana Uungu haufi , kisha akafufua huo mwili siku ya tatu, Huyo Yesu ndo tunaita mwana, pia Roho Mtakatifu ni nguvu tendaji ya Mungu, Maandiko yanaposema wapo watatu waushuhudie ulimwengu maana yake ni katika utendaji , pia SDA kuamini utatu mtakatifu ni sahihi kabisa maana inafunua Mungu katika utendaji.
kweli kabisa ni jazba wako nazo
Yesu anasema na mukawabatize kwa jina la baba mwana na roho Mtakatifu ebu mtu anielezea vizuri nielewe
@benjamin
Before He left them, Christ gave His followers a positive promise that after His ascension He would send them the Holy Spirit. "Go ye therefore," He said, "and teach all nations, baptizing them in the name of the Father a personal God and of the Son a personal Saviour, and of the Holy Ghost sent from heaven to represent Christ: teaching them to observe all things whatsoever I have commanded you: and, lo, I am with you alway, even unto the end of the world" Matthew 28:19, 20. 12MR 260.2
Kwa Bible kuna Mungu 1 tu! Lakini hakuna Andiko from Genesis to Revelation ambayo inahunga wana Utatu...
Kweli bro barikiwa
Balikiwa walimu