JKK YAUNGURUMA KWA KISHINDO NA KIWANGO KINGINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2019

ความคิดเห็น • 213

  • @heavenlema8664
    @heavenlema8664 5 ปีที่แล้ว +10

    Watumishi wa Mungu nashukuru mmefunuliwa ukengeufu wa kanisa.msikate tamaa songeni mbele. naomba Yesu awafiche kwenye damu yake

  • @jameskitenge3017
    @jameskitenge3017 5 ปีที่แล้ว +10

    Mungu awe pamoja nanyi wazee wangu wa imani katika kipindi chote chakulisafisha kanisa

  • @isaiahrevon2511
    @isaiahrevon2511 5 ปีที่แล้ว +10

    Nawafatilia vizuri sana mababa zetu, hakika kuna kitu cha ziada sana kwa anaefatilia na mwenye roho ya kufundishwa na kufundishika.

  • @pastorconradconwell7799
    @pastorconradconwell7799 5 ปีที่แล้ว +13

    Poleni sana Wazee wangu.. Siwezi kuamini kama bado kuna vijana wanawatukana... Peter Rashid... Nathubutu kusema Atubu

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 4 ปีที่แล้ว

      Uyo lazima Atubu kuwasema vibaya watumishi wa Mungu eti wazeee Baba zangu songeni mbere ijnli haina uzeee

    • @naomiandrewandrew7685
      @naomiandrewandrew7685 4 ปีที่แล้ว

      Hana adabu hata ongea yake inajieleza

    • @ibrahimchediel4867
      @ibrahimchediel4867 4 ปีที่แล้ว

      mungu awabariki sana simameni hawa watu baadae wanatubu wanaacha watu wakiwa wamepotea , wengine wanajiita majina makubwa kuteka watu .,mungu awabariki sana wekeni wazi , makanisa sasa mengi yamekuwa ni biashara

  • @jellymasoli6514
    @jellymasoli6514 5 ปีที่แล้ว +9

    JKK, tunawaombea Mungu awe nanyi daima ktk maono mliyopewa ili kulifungua kanisa takatifu la Bwana. Shetani ni baba wa uongo...na anajua maandiko.. issue za mafuta, bangili, vitambaa, maji, sabuni, sticker n.k zimekuwa ni kero ktk kanisa teule. Tunawapenda mnooooo baba zetu.

  • @jobselli4305
    @jobselli4305 5 ปีที่แล้ว +15

    Bwana Yesu asifiwe, Hongereni sana kwa kutii wito wa Roho Mtakatifu, hakika tumefunguka sana,- kutoka Njombe.

  • @jacksonjoachim8012
    @jacksonjoachim8012 5 ปีที่แล้ว +11

    Mungu azidi kuwabariki watumishi wa Kristo Yesu...

  • @salomemgaya1244
    @salomemgaya1244 5 ปีที่แล้ว +11

    Oooooh utukufu na heshima na adhama na uweza wote una wewe MUNGU wetu unae ishi milele yote ,hakuna alie kama wewe,naona shetani amechanganyikiwa ,na apigwe haswaa kwa jina la YESU KRISTO alie hai.JKK juuuu haleluuuuuuuuuuya ,mbarikiwe sana wana wa MUNGU alie juu.

    • @denisrwegosola9235
      @denisrwegosola9235 4 ปีที่แล้ว +2

      Salome Mgaya na mimi ni mmoja wapo wa mwanafunzi wa ASK Kakobe

    • @ibrahimchediel4867
      @ibrahimchediel4867 4 ปีที่แล้ว

      ni ajabu sana kama tumefika hapo kwa biashara ya mafuta kwamba lazima yauzwe ni hatari sana wanapotosha mno watubu hakuna kumumunya maneno

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 5 ปีที่แล้ว +15

    Mungu awabariki wazee nyie ni hazina

  • @amaguta1
    @amaguta1 5 ปีที่แล้ว +5

    Mwenye haki ataishi kwa imani na imani inahusu mambo yasiyoonekana kwa macho yetu. Mababa Mungu awabariki sana. Mtapigwa vita lakini vita hivi ni vya Bwana. Naye ashindanaye na kweli hii, hakika atasagwa kabisa

  • @arfaxadmangowi9691
    @arfaxadmangowi9691 5 ปีที่แล้ว +7

    Unaweza kuwa na pesa nyingi, nguvu ya kuongea na watu wengi, lakini ukawa huna Mungu.

  • @omreuzex7109
    @omreuzex7109 4 ปีที่แล้ว +4

    I love these men of God.

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 5 ปีที่แล้ว +13

    Amen najifunza sana

  • @amaguta1
    @amaguta1 5 ปีที่แล้ว +4

    Bwana Yesu awafunike mashujaa wa Bwana Yesu, kazi yenu ni njema mno, kila mahali pamechafuka, mmegusa penyewe..

  • @aprgg
    @aprgg 5 ปีที่แล้ว +8

    KAZI NZURI SANA
    Mimi Nawapenda na Ninajifunza Kwenu!
    "Kinywa CHA MZEE Kinaweza KUNUKA Lakini MANENO yake HAYANUKI"

  • @mbithejustus246
    @mbithejustus246 5 ปีที่แล้ว +8

    Ma baba wa imani yesu hahubiri ,hamkuitwa na mtu,au kanisa,yesu aliwaita ubirini yesu aliye waita

  • @Nobleglams
    @Nobleglams 4 ปีที่แล้ว +2

    This union is going to bring a great change to the world, GOD bless you

  • @isaiahrevon2511
    @isaiahrevon2511 5 ปีที่แล้ว +4

    Mtumishi wa Mungu fernandez anaongea kwa uchungu sana, Tumsikie Roho Mtakatifu jamani kupitia watumishi wa Mungu hawa, wamepitishwa katika Mengi sana na hakuna ufunuo mpya nje ya neno la Mungu.

  • @mwinjilistiezekielikimaro1468
    @mwinjilistiezekielikimaro1468 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awabariki sana sana wazee wangu

  • @kakajoespicturescompany7528
    @kakajoespicturescompany7528 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaaaani mimi Niko Burundi nawafata sana watumishi wa Mungu JKK, nimebarikiwa sana nawapendeni nawaombea Mungu awape maisha marefu ili muendelee kuwaumbua waongo hata uku Burundi ni wengi tuu.

  • @sospeter.pmosile9638
    @sospeter.pmosile9638 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante Yesu kwa jambo hili, lovely

  • @ErickMkinga
    @ErickMkinga 5 ปีที่แล้ว +9

    Nilitategemea Haya Maneno ya watumia mafuta na chumvi, ningeona ni ajabu kama mashetani yatabaki kimya, haiwezekani!
    Nimewapenda sana watumishi wa Mungu, Naamini Yesu analiandaa kanisa kwaajili ya Unyakuo!
    Kuwe na vipande viwili, walio upande wa Bwana na walio upande wa miungu wanaotumia mafuta na chumvi.

  • @barikitv2838
    @barikitv2838 5 ปีที่แล้ว +10

    Kuna shemeji yangu kapewa mafuta anayo ktk biashara yake lkn hataki kuokoka pia nililimuona dudu baya nae ana mafuta na ataenda nayo kupanda jukwaani sasa huo ni ukengeufu tu sasa nyie semeni atakayetubu na atubu na atakayepinga na apinge lkn Yesu aliyesurubiwa lazima ahaubiriwe

    • @jacksonsilvery5963
      @jacksonsilvery5963 4 ปีที่แล้ว

      nimecheka aisee!!watu wasome neno.Hawa wazee wako sahihi.

    • @alfredlimu308
      @alfredlimu308 4 ปีที่แล้ว

      Mafuta ni hirizi kama hirizi zingine

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 4 ปีที่แล้ว

      Ka biashara ka mafuta kana fedha wakaacheje?

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 4 ปีที่แล้ว

      Naunga mkono hoja zenu.

    • @jacksonmalota2995
      @jacksonmalota2995 4 ปีที่แล้ว

      mtu ajaokoka anatumia mafuta maana apo amemuacha Yesu nakufuata mafuta apo mafuta ayafai na sikitu

  • @renatusrwazo7421
    @renatusrwazo7421 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe Sana Watumishi Wa Mungu kwa kulianzisha jukwaa hili la kumuhubiri Kristo Yesu.
    Kinachoangaliwa Ni utakatifu tu Wala siyo utajiri,wingi wa washirika wa weredi wa kuongea.

  • @ashelyabel3008
    @ashelyabel3008 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweri Mungu awabariki sana kazeni buti hakuna kurudi nyuma mtaripwa msipozimia mioyo maana yalikua maombi yangu Mungu kuinua watu wenye mzigo wakukemea hao matapeli wanaowaibia watanzania bila kumwogopa Mungu

  • @akanishabani5789
    @akanishabani5789 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atusaidie, kanisa lilishafika mbali! Mungu awasaidie mababa wa imani.

  • @yakoboyohana16
    @yakoboyohana16 4 ปีที่แล้ว +2

    mungu awabariki
    wazee

  • @alfredbyangwamu9821
    @alfredbyangwamu9821 5 ปีที่แล้ว +5

    Wazee wetu mko vizuru, tunawapenda; Endelea kupiga gospel tunategemea kutoka kwenu.

  • @isaiahrevon2511
    @isaiahrevon2511 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu yuko kazini, ambao wanatukana siku zao zinahesabika! Mitume na manabii na wote mlioanza huduma karibuni Jifunzeni kwa hawa wazee wamewatangulia.

  • @georgeerick3140
    @georgeerick3140 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye ekima abishani!!!!!!!mwamposa jikalie kimya na paul bendera jikalie kimya na mama rwakatale jikalie kimya na dustani maboya jikalie kimya msibishane epuken haya na mungu atawabariki!!

    • @charlesmbunda6215
      @charlesmbunda6215 4 ปีที่แล้ว +1

      KUISHINDANIA IMANI, SIYO KUKAA KIMYA! KUNA MAHALI PA NAMNA HIYO, LAKINI SIYO HAPA! BADO HUJAWA MFUNDAJI MWELEWA!

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 4 ปีที่แล้ว +1

      HAYA SIO MABISHAMO GEORGE,, 😀😀
      Yawezekana ni Shabiki wa Watumishi, yafaa uwe Shabiki Mzalendo WA KRISTO

  • @dorsandollah3384
    @dorsandollah3384 5 ปีที่แล้ว +4

    Shalom shalom, mimi ninawaombea akina kakobe waendelee na kupambana hakika MUNGU yupo

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 5 ปีที่แล้ว +6

    Mitume wauwongo wanabwetabweta yesu inuliwa weweyesu ndie nabii mkuu

    • @chalesnguyaine9991
      @chalesnguyaine9991 4 ปีที่แล้ว

      Unamwitaje Yesu nabii mkuu unamshushaje yesu ivo ungesema ata Yesu ni Mungu ningekuelewa

  • @lilliangodwin1970
    @lilliangodwin1970 5 ปีที่แล้ว +8

    Great work man of Lord

  • @sadikimwalongo7871
    @sadikimwalongo7871 5 ปีที่แล้ว +6

    Watu wanapigwa sana wanauziwa mafuta ya mizeituni na maji we acha tu mungu huyu.

  • @luvandainnocent3758
    @luvandainnocent3758 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi binafsi nipo pamoja nanyi,tuihubuli injili ya Yesu Kristo,na kuilinda isipotoshwe Kama ilivyo Sasa.Ninawapenda hongereni Sana.

  • @skyciel376
    @skyciel376 5 ปีที่แล้ว +6

    Awa Waze wako sahii..Christo awatiye nguvu..

  • @antonykashube2065
    @antonykashube2065 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu. Naona shetani anapata tabu sana.

  • @frankmgudilwa3252
    @frankmgudilwa3252 5 ปีที่แล้ว +4

    Haleluya

  • @naomirwezaula5303
    @naomirwezaula5303 5 ปีที่แล้ว +12

    Mashetani watapata taabu sana kwa sababu awapendi kweli JKK juu!

  • @dorotheamartin719
    @dorotheamartin719 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki sana watumishi wake, na azidi kuwapa mafunuo ya dhahiri.

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 5 ปีที่แล้ว +6

    Semeni kwa ujasiri tunawaombea msijali ,wengi,wako upande wenu

    • @clarissemashimba3453
      @clarissemashimba3453 4 ปีที่แล้ว +1

      Neno litasimama tuuuu... Mungu awabariki hawa wazee

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 5 ปีที่แล้ว +4

    Watumishi msiruhusu sauti zao zauwovu kwa wapo redio,wala msijibu mashutumu yao

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 5 ปีที่แล้ว +2

    Akuna amani kwa waovu,walidanganya sasa mwenye Mali yesu amekuja mwenyewe kukusanya kondoo walio ibiwa na chuwi wezi,mnatumia jina layesu kudanganya,mnaenda kuzim,kupewa nguvu ya upotovu,yesu,waaibishe hao waovu

  • @marthaleonard2444
    @marthaleonard2444 4 ปีที่แล้ว

    Nakushukuru mno Roho Mtakatifu miaka kadhaa iliyopita nilipata mzigo wa kuombea kanisa la Kristo kuwa wamoja.Kristo yuko upande wenu !!Pigeni kazi na ujana wenu utarejeshwe !!

  • @ilovecomputers1630
    @ilovecomputers1630 5 ปีที่แล้ว +4

    Naona Shetani anaenda kuanguka

  • @jacksonmalota2995
    @jacksonmalota2995 4 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana huu ndio mwili wa Kristo kujengwa matabaka ni mipango ya shetani kutugawanyisha maana ktk mwili mmoja kuna viungo vingi, kitendo chakuja pamoja ni jambo zuri ni kufanya Kristo atukuzwe na mwili wa Kristo ujengwe

  • @bahatiemmanuel3963
    @bahatiemmanuel3963 5 ปีที่แล้ว +6

    Manabii wa mafuta na maji wanataka kufa na bipii

    • @isayashayo900
      @isayashayo900 4 ปีที่แล้ว

      Nahisi wanaharisha mauti kwa kasi

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 5 ปีที่แล้ว +2

    Watumishi wa kweli wa yesu msiogope,izokelele za viwete,wameguswa na upanga wa yesu,wanafurukuta,onawanavyo,jivuna,ona, walivyo waovu,wametaaruki,kazi zao zakuzim,tumewajua,yesu ameaidi kuwaaibisha,

  • @lizykiwango7857
    @lizykiwango7857 5 ปีที่แล้ว +4

    Hii kitu imefanya ufalme wa shetani utikisike baba zangu, na mwenye sikio na alisikie neno hili kutoka kwa MUNGU kupitia nyie watumishi wake wake......

    • @frankmosha5854
      @frankmosha5854 4 ปีที่แล้ว

      Mtumishi kakobe nakuelewa Sana na majibu ya kishujaa

  • @stephanoedward5763
    @stephanoedward5763 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki wazee wetu kwa kuthubutu kuanzisha jukwaa hili la INJILI. Changamoto ni lazima katika hili lakini matokeo chanya yapo sana.

  • @gedionelius55
    @gedionelius55 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba Askofu kakobe,, Endelea Kumuhubiri KRISTO, Wala Usiwasikilize Hao Wanaotetea Mafuta Badala Ya Kumtetea YESU

  • @pastorconradconwell7799
    @pastorconradconwell7799 5 ปีที่แล้ว +7

    Makambi Ya Watembea hirizi Yanaumia kwa Jukwaa hili👏🏻👏🏻👏🏻

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 5 ปีที่แล้ว +1

    Kani simameni kuomba kwa ajili ya jukwaa LA kumuhubiri krisho,yesu ameanza atamaliza,Nani mwamba ni yesu mungu mkuu yuko kazini,yesu anaongea kupitia hivi vinywa wabariki sana,wa isay,54'_17 msiogope,isaya,41_8

  • @mtumishimatrida5470
    @mtumishimatrida5470 5 ปีที่แล้ว +3

    🙏🙏🙏🙏baba!

  • @jamesgasper8391
    @jamesgasper8391 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen.,jkk MUNGU AWABARIKI

  • @mtumishimatrida5470
    @mtumishimatrida5470 5 ปีที่แล้ว +3

    Tunataka Injili ya namna hii tumechoka kudangaywa😢😢😢😢😢

  • @fridaykwama7715
    @fridaykwama7715 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe wazee waasisi wa JKK.

  • @geraldrenatus2996
    @geraldrenatus2996 4 ปีที่แล้ว +1

    Watumishi Mungu awatie nguvu ni wakat wa kuongea kweli ya Mungu makristo ya uongo yamezagaa kona zote za nchi manabii wa uongo matapeli wamepagawa watakao inuka kupingana na hili ni wale wa kuzimu waongo waliopigwa mihuri ya shetan tafadhar wazee hubirini msikate tamaa tufunguen masikio

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 4 ปีที่แล้ว +1

    JINSI YA KUTAMBUA HUYU NI NABII WA UONGO
    Utangulizi
    Kimsingi Mungu aliweka wazi kupitia kitabu halali kwa wakristo (Biblia) katika Yoweri (Joel) 2:28 kuwa siku za mwisho atatupa roho na tutafanya miujiza na kutabiri. Kwa chanzo hicho kutoka kwenye maandiko manabii imekuwa ni habari ya mjini na kijijini kwa sasa, watu wengi kwa maelfu tunajazana kwenda kwa manabii tofauti tukiamini kupatiwa suluhu ya matatizo yetu kama; 1. Ajira, 2. Mambo ya kiuchumi, 3. Masomo, 4. Magonjwa na, 5. Maisha bora
    Tunajua Biblia imetokana na neno la manabii mbalimbali, kwa hiyo manabii ni msingi mzuri kwa ukristo na imani. Mathayo 24:3, 4, 11, 24 Biblia imeeleza kuna miaka duniani itakuwa na manabii wengi wa uongo na watafanya maajabu makubwa na watateka wakristo wengi (tafsiri rahisi zaidi ya wakristo 50% watakuwa huko). Manabii hao watapata nguvu ya kufanya hayo maajabu kama ilivyoelezwa kwenye kitabu cha Ufunuo 16:14 watapata roho mchafu wa shetani (lugha rahisi ushirikina).
    Nabii wa kweli utamjuaje?
    • Nabii wa kweli hutabiri kwa usahihi, Yeremia 28:9 nabii haitakiwi kuwa chini au juu ya 100%. Akitabiri kitu cha ki Mungu huwa asilimia 100 kutimia. Vinginevyo nabii huyo ni wa uongo.
    • Haendi nje na agizo la Mungu, nabii husema kwa niaba ya Mungu. Isaya 8:20 tunaoneshwa kuwa ikitokea mafundisho yakalenga habari nyingine za mtaani huyo si nabii wa kweli ni muongo.
    • Hatabiri mambo ya mtaani au ya kishabiki au ya kipuuzi, katika kitabu cha 1Yohana 4:1-3 tunaambiwa lazima awe amejikita kusema neno la Mungu tu (Jesus centered and focused) vinginevyo mambo mengine ya mtaani kama soka, siasa na mengine (peripherals) huwa ni nabii wa uongo.
    • Huigiza mtu wa Mungu kumbe mbwa mwitu, hii tunaihakiki kwenye Biblia kitabu cha Mathayo 7:15 kuwa huvaa ngozi ya kondoo huku wakiwa mbwa mwitu ili wakunase.
    Masharti ya kufanya unabii ni yapi?
    Nabii hutabiri na kuona maono, katika kitabu cha Daniel 10:18 amefafanua kuwa ukiachana na ndoto kwa sasa husema ameona na ana neno la kinabii. Jinsi ya kujua maono toka kwa Mungu lazima yafuatayo yatekelezwe Daniel 10:18; 1. Maono lazima yahakikiwe na wengine, 2. Wakati wa maono awe amefumbua macho, 3. wakati wa kupata maono awe hapumui (hii ni lazima iwe zaidi ya dakika 10 bila kupumua, kama ni unabii wa uongo atakufa kwa kukoswa pumzi lakini kama ni Mungu atazimia akiwa hivyo na hatakufa hata akae kakika 30), 4. Muda wa kupokea maono hawezi kuongea huwa hana nguvu na anaona, 5. Vinginevyo ni uongo
    Utamtambuaje sasa nabii wa uongo?
    Katika 2 Petro 2:1 na kuendela ameeleza nabii wa uongo hutambulika kwa yale afanyayo katika mwili, yaani akiwa katika maisha yake ya kawaida anaishije? Hizi ndo dalili za nabii wa uongo;
    • Huhubiri ukristo ni kuwa tajiri (kinyume kabsa na Yesu). Katika 1 Timotheo 6:5,6 mtawagundua mafundisho yao hulenga ukristo na vipato/utajiri/mali.
    • Injili inafanywa mtaji au injili na pesa, katika kitabu cha Mika 3:5 hujali sana kulipwa pesa wakati wa kufanya huduma zao za kinabii. Mtu yeyote akienda kinyume nao kushambuliwa kwa nguvu zote kitabu hicho kimeeleza.
    • Hupenda kuongelea matanuzi, anasa, kujisifia binafsi na huruka mistari ya bibilia na kuchukua sehemu ya maandiko ili kuhadaa watu. Katika kitabu cha 2 Petro 2:14, kitabu chote kinaeleza lakini mstari wa 11 umetaja jinsi kila nabii wa uongo lazima kwenye himaya yake awe mzinzi na mwasherati. Pia Biblia imemtaja kuwa ana macho ya kutamani uasherati.
    Ushauri wangu
    Kitabu cha Yeremia 23:9 kwa sababu wanadiliki kusema wanamaono toka kwa Mungu kumbe uongo na wanaweza kuigiza muujiza, basi tuelewe nyakati hizi kila mkristo asome biblia yake na kuelewa ujio huo.
    Mungu awabariki sana
    SEMANKA 2019

  • @shadrackhaonga6016
    @shadrackhaonga6016 5 ปีที่แล้ว +2

    Amina asate kwa ufafanuzi

  • @uwezoseleman5530
    @uwezoseleman5530 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukirusha jiwe gizani mtu akapiga kelele ujue limempata. Hayo mafunuo mliyopata hakika yanatoka kwa Mungu alie hai yasimamieni kwa gharama yoyote tuko pamoja ktk safari hii yakwenda Mbinguni. Hili mliloanzisha ningewakaribia ningeshuka chini kubusu miguu yenu kwa namna mlivyonigusa Mungu awaongoze watumishi wa Mungu JKK iungwe mkono na waenda Mbinguni wote maana imetoka kwa Mungu.

  • @ngassajuliusmussachallya9034
    @ngassajuliusmussachallya9034 5 ปีที่แล้ว +11

    WAKATI WAKO SHETANI WA KULIDANGANYA KANISA NA WATU ALIOWAKUSUDIA UMEKWISHA SASA

    • @salomemgaya1244
      @salomemgaya1244 5 ปีที่แล้ว

      Ni hakika sasa shetani mda wake umekwisha ,

    • @carlosmgimwatv3486
      @carlosmgimwatv3486 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awabariki hakika MUNGU hatazami Mwanzo wako Bali mwisho wenu

  • @atupelemwasambili4476
    @atupelemwasambili4476 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awasimamie watumishi wa Mungu.Kurudi kwenye mstari is inevitable

  • @manassehleonard2879
    @manassehleonard2879 5 ปีที่แล้ว +5

    Hii ndiyo JKK. Mababa endeleeni kukaza nati zaidi.

  • @barakankubile2329
    @barakankubile2329 5 ปีที่แล้ว +3

    Maoni yangu ;- Baba askofu Z Kakobe , Chungueni maandiko ya agano la kale na agano jipya yanayo husu mafuta ya uponyaji, halafu mutoe hukum ya haki kwao wanaotumia mafuta ya uponyaji, muone kama walielewa vibaya - ilikuondoa mgongano usiyo wa lazma KATIKA nyumba ya mungu

    • @eleteriusnkwera56
      @eleteriusnkwera56 5 ปีที่แล้ว

      Yesu alisema" wengi watakuja kulitumia jina langu kwa manufaa yao wenyewe,wakijidai kutoa maarifa ambayo ni ya kupotosha watu,tena sio wale ambao wasiomjua Yesu tuu,jamani hata wale wamjuao wasipokuwa makini na elimu zao watabebwabebwa na kupotoshwa wote wasiuone uzima wa milele" mathayo 24:1........ Sasa kama watumishi wa asisi wa JKk. Wanamtaja" Yesu" na sio materials ya dunia hii wako vizuri sana,kwa mtazamo wangu. Maana nyakati hz nikisikiliza baadhi ya wahubiri wanahubiri materials kwa nembo ya Yesu kumbe ni mapato tuu na matumizi yao, waumini watajijua....! Jkk team member pigeni kazi .

    • @lightnessdaniel9060
      @lightnessdaniel9060 5 ปีที่แล้ว

      Alishachambua na akaelezea vizuri sana. Jaribu kufuatilia kwa makini mahubiri yao yaliopita kwenye shalom TV. Jtajifunza kitu na utaelewa.

    • @ibrahimbatemi9232
      @ibrahimbatemi9232 5 ปีที่แล้ว

      ni Yesu tuu ndugu yangu utachoka bure kwa hii comment yako badilika utoke upotevuni

  • @mtumishimatrida5470
    @mtumishimatrida5470 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awapiganie KUTOKA 14:14

  • @winnerschapelintlsingidata3197
    @winnerschapelintlsingidata3197 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba kuongezea hapo wazee wetu biblia imesema nasiku za mwisho wengi watajiita manabii, sio wataitwa isipokua wamejiita wenyewe,,,kwa maana hiyo kama mtu amejiita mwenyewe lazima awe na mafunuo yake mwenyewe,lakini kama ameitwa na kristo atatembea na ufunuo wakristo mwenyewe,,

  • @goodlucksandytv3951
    @goodlucksandytv3951 4 ปีที่แล้ว

    Hii ni ya Mungu kabisa kanisa litapona niwashukuru watumishi wa Mungu kwa kukubali kufanya hili japo ina vita vyake Yesu mwenyewe atawatetea.tuseme kweli ili injili ihubiriwe tuachane na mafuta maji udongo na vingine na machumvi Mungu atawatetea.mimi ni mkristo mkkkt niko Arusha nawaunga mkono.

  • @geraldrenatus2996
    @geraldrenatus2996 5 ปีที่แล้ว +1

    Peter rashid shaban nitafute. Nikushaur umepotea sana shetan kakupiga mihuri ya kutosha

  • @sundaymwanjalila5755
    @sundaymwanjalila5755 4 ปีที่แล้ว +1

    mbarikiwe wazee kwa kuilinda imani ya kweli!

  • @babumrisha
    @babumrisha 4 ปีที่แล้ว +1

    Hawa watumishi wanasema kweli, hao wengine wanaouza "upako" ni wizi mtupu!

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii huduma inayoendelea sasa ndiyo huduma iliyokosekana kwa Muda mrefu wasiyotaka kubadilika Kazi kwenu endeleeni kubakia hukohuko

  • @davidisack1643
    @davidisack1643 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapa lazima wabadilishe fomla nyingine muda si mrefu wataachana na mafuta, maji, na chumvi wataweka fomla ya mavazi ya kichawi uki msogelea tu inakula kwako nawe unaamini ni kweli

  • @eustacevenant4567
    @eustacevenant4567 4 ปีที่แล้ว

    BABA zetu wa kiroho tusaidie tufike kwenye uzima!
    Pigana nao wapinga YESU Kristo!
    Tuko nyuma yenu kwa Maombi.

  • @massawejacob
    @massawejacob 4 ปีที่แล้ว +1

    Yakobo:5.13
    Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi.
    Yakobo:5.14
    Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
    Yakobo:5.15
    Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa.
    Yakobo:5.16
    Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii.

  • @alexmpanda2987
    @alexmpanda2987 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuwainua watumishi kweli

  • @frankmosha5854
    @frankmosha5854 4 ปีที่แล้ว

    Hili nijukwa LA kimungu Kabisa nadhibitisha mungu awawabariki kwa mafunuo haya

  • @aidanobeger176
    @aidanobeger176 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wetu wa Mbinguni awabariki sanaa

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 ปีที่แล้ว

    Ilindeni imani..so jukumu LA malaika kulinda imani ni jukumu LA watumishi Wa Mungu kulinada na kuipigania imani....malizeni mwendo kwakishindo...so kwa unyonge

  • @joycewambui2270
    @joycewambui2270 5 ปีที่แล้ว +1

    Yesu amewaona hawa gomanywa kakobe frendanis ,ndio ameweza kushuka kwa mioyo yao kuponya kanisa,Roho wa mungu wapenguvu wapeneema,wape moto,wape wape zaid kinywa cha upanga,kanisa lisafishwe waovu hukimbia ,wasipo fuatiwa,hahahaaaaa

  • @langolawokovutv5128
    @langolawokovutv5128 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbalikiwe sana watu wa Mungu

  • @meshacklukindika3940
    @meshacklukindika3940 4 ปีที่แล้ว

    Watumishi mbarikiwe sana, wale wasiowaelewa bilashaka watakuwa ni wana wa upotevu.

  • @samuelmwambashi4168
    @samuelmwambashi4168 4 ปีที่แล้ว

    Wazee wangu Mungu amewatuma kuleta mageuzi ili tupate KANISA la kweli linalokwenda mbinguni.Nimeimarika kiroho kupitia mafundisho ya mwalimu Mwakasege,lakini kwa sehemu kubwa namshukuru sana mtume Vernon Fernandes kupitia A.T.N.Nimeimarika sana kiroho kupitia kwa mtumishi wa Mungu Moriss Cerullo kupitia ATN.
    Huyo Rashid si mtume ila ni wale wale wapigaji wa mjini.

  • @gedionelius55
    @gedionelius55 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna Ufunuo Nje Ya Neno La MUNGU,, Alafu Acha Kutetea Mafuta,, Kakobe Anamuhubiri KRISTO alafu Wewe Unapinga,, Embu Nyamaza, Na Uache Injili Ya KRISTO Ihubiriwe Kwa Usahihi,,,,,,,

  • @elientinizekimaro4258
    @elientinizekimaro4258 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana Mafuta chumvi maji NK. vimekua kero mpaka kanisa linachanganyikiwa MUNGU AWAINUE SANA AENDELEE KUWAPA MAFUNUO ZAIDI ILI KULIIMARISHA KANISA NYAKATI HIZI ZA MWISHO. from Ars

  • @massawejacob
    @massawejacob 4 ปีที่แล้ว

    Safi saanaaa kwamba isiwe biashara

  • @lucaslaurent2920
    @lucaslaurent2920 4 ปีที่แล้ว +1

    Endeleeni wazee wetu tunawakubali kwa mafundisho Mungu awabariki sana .

  • @rweyemamueustace1706
    @rweyemamueustace1706 4 ปีที่แล้ว

    Wachungaji hapo nibarikini. Endelea kumhubiri Kristo watu watubu wamgeukie Kristo.wachungaji wa mafuta Hebron amewaita wauza maji na mafuta "mbwa mwitu"

  • @paulagola919
    @paulagola919 4 ปีที่แล้ว +1

    Waliopata hiyo ya kujulikana duniani kama cocacola wanipe like

  • @methewpeter4790
    @methewpeter4790 ปีที่แล้ว

    Jamani baba zetu mnakaa kimya mno ninyi ndio thamani yà injili Tanzania bishop Mathew kakola seic Kamaha shinyanga

  • @samwelluvanda5751
    @samwelluvanda5751 5 ปีที่แล้ว +5

    Manabii fake matumbo moto

  • @dreenyohane7008
    @dreenyohane7008 4 ปีที่แล้ว +1

    .Mkiona kazi zenu zinaungua mlijenga kazi za majani kuni na manyasi hiyo ni shauri yenu haituhusu sisi

    • @charlesmbunda6215
      @charlesmbunda6215 4 ปีที่แล้ว

      Umepotoka. Muda wa kupimwa kazi ya kila mtu, bado haujafika. Acha ushabiki, itetee injili. Ifike mahali tuwabaini watumishi wa kweli na wa uongo! Ni kazi ya wazee kutuonya. Kama wee siyo mzee nyamaza!!!

  • @englemwita3537
    @englemwita3537 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie nguvu challenge kwa issack issue sio walipe kodi bali wafungiwe huduma mpaka watakapomjua kristo aliye hai

  • @thomasmgimba92
    @thomasmgimba92 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi JKK, kupambana au kuonyeshea vidole wengine, tuijifunze uvumilivu, kauli ya Bishop Kakobe si nzuri hata kidogo;

    • @britonkinyunyu8207
      @britonkinyunyu8207 4 ปีที่แล้ว +2

      Pole sana hapa tunamhubiri kristo😅 unapendwa kudanganywa

    • @jacksonsilvery5963
      @jacksonsilvery5963 4 ปีที่แล้ว

      biashara ya mafuta imechina,sisi tuna muhubiri Yesu kristo

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 4 ปีที่แล้ว

      Thomas Mgimba
      MUGIMBAAAAAA.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
      Watakuuzia Wese, ohoooooooooo

  • @nicholausmushi44
    @nicholausmushi44 5 ปีที่แล้ว +1

    Kristo ainuliwe juu milele

  • @berthasamwel9955
    @berthasamwel9955 4 ปีที่แล้ว

    Peter Rashid, MUNGU Akurehemu sana. Hakuna hofu ya MUNGU ndani yako. Mbinguni hatuendi kwa cheo cha kuitwa Mtume na Nabii, kwanza unasema wana sifa tatu, kwa hiyo pesa ndio inawapa kiburi!? Tunahitaji kuwa watu wa Rohoni sana. Nimesikia huzuni sana kwa ajili yako Rashid Peter kuongea pumba kabisa, so sad!!...

  • @lizzyshoo8084
    @lizzyshoo8084 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa angepata cheo cha Mungu watu wangepata tabu sana😆😆😆

  • @msalabamediavideopro
    @msalabamediavideopro 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimesikiliza sana kusikia Habari hizi pande zote mbili haya mambo yafaa sana kuyamaliza Kwa vikao vya ndani. Tunaharibu uhalisia wa Neema ya Bwana Wetu Yesu, mfano hizo sauti Ile ya pili ule Ni utoto kabisa Na huyu Wa tatu hizo sifa Ni kitu Gani hapa watasikia wasioamini Na waamio Sasa wakristo tuache mvutano Na maneno ya kejeli jamani. Nyie wazee wetu huko mwanzo ilibidi kuweka msingi wa umoja mapema. Watumishi wa Tanzania hatuna umoja. JKK hili jambo Ni mhimu Ila mmeshirikisha wengine wakakataa?

    • @charlesmbunda6215
      @charlesmbunda6215 4 ปีที่แล้ว

      Washirikishwe mara ngapi!? Usitazame umoja wa mwili wa Kristo, kwa jicho la kisiasa!

    • @charlesmbunda6215
      @charlesmbunda6215 4 ปีที่แล้ว

      Washirikishwe mara ngapi!? Usitazame umoja wa mwili wa Kristo, kwa jicho la kisiasa!

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna kulegeza kamba hadi ukweli na uongo udhihirike

  • @geraldrenatus2996
    @geraldrenatus2996 5 ปีที่แล้ว

    Wazee mnaongea vzr sana hao manabii wanaopinga n manabii wa uongo ndio wanaopoteza watu wa Mungu wez waganga mbwa mwtu hao waogopen

  • @samalfred8735
    @samalfred8735 4 ปีที่แล้ว

    kwakweli mnatakiwa kutusaidia sana maana sasa hivi imekuwa shida kinacho hubiriwa ni mafuta ya upako na maji ya upako