MIAKA 19 ALIYOPOTEA YESU ALIENDA INDIA ALIKUWA MWANAFUNZI WA FALSAFA ZA BUDHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 147

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 6 วันที่ผ่านมา +5

    Barikiwa bhna una kitu ndani Yako.🎉

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา +1

      Saf kabisa

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 4 วันที่ผ่านมา

      @Myahudiogw4d ok

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 6 วันที่ผ่านมา +7

    Elimu ya Yesu aikuwa ya kibinadamu, sababu mwanadamu hawezi kumfunza Mungu.

    • @innocentmathias8668
      @innocentmathias8668 6 วันที่ผ่านมา +1

      Kama mwanadam aliweza kumsulubu Yesu kwanini asiweze kumfundisha?

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 6 วันที่ผ่านมา

      Wapi imeandikwa? Au umefikiri tu hivyo?

    • @HeliudKasonso
      @HeliudKasonso 6 วันที่ผ่านมา

      Toa ushahidi wa kitabu uricho soma usilete hisia kwenye vitu makini.

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      Yesu alikuwa n Mungu 100% na mwanadamu 100%, ukishasema tu alikuwa mwanadamu 100% inamaana lazima ajifunze au afunzwe na mwanadamu. Tuelewe hapo🎉

    • @Bahati47
      @Bahati47 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@Myahudiogw4d hii ni kufuru ya dhahiri kabisa

  • @officialoscaroscarjrfan
    @officialoscaroscarjrfan 6 วันที่ผ่านมา +3

    Ila mwalimu unajua sana yaani hamna video yako ambayo sijaangalia una fuatilia sana💪hongera sana

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 6 วันที่ผ่านมา +4

    Huyo mdada Ana sauty nzur nmemkubal sanaa

  • @augostinodaves5423
    @augostinodaves5423 6 วันที่ผ่านมา +3

    Akitaka kujua Yesu alikuwa mkali, mwambie apitie historia patele alipowatandika fimbo wale waliokuwa wanafanya biashara katika nyumba ya ibada

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 4 วันที่ผ่านมา

      😂yes yes namm nawaambiaga watu hvohvo

  • @saddiqsaddiq6880
    @saddiqsaddiq6880 4 วันที่ผ่านมา +1

    Isaya apo umeharisha yesu hakuwa na baba na hakuwa fundi wala mkulima

  • @samsonjeremiah8038
    @samsonjeremiah8038 6 วันที่ผ่านมา +4

    Hata Thomaso baada ya Yesu kupaa alienda India kuhubiri na alifia huko,pia. Mwanafunzi mwingine alifia huko

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Endeleeni kupotosha wajinga

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@JustusNteghaywewe ndio mjinga ndio maana huelew!

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Amdiko gani?

  • @JosephMasanja-wm5hb
    @JosephMasanja-wm5hb 5 วันที่ผ่านมา +1

    asante sana mwalim

  • @salomedarema304
    @salomedarema304 6 วันที่ผ่านมา +4

    Kum 29:29
    Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii.

  • @IrankundaEtienne-e9x
    @IrankundaEtienne-e9x 2 วันที่ผ่านมา

    Ongela sana mwalim

  • @sammyaron3818
    @sammyaron3818 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hizi quote zote za yesu ambazo mchungaji anasema alizichukua Kwa Buddha ukiziangalia vizur yesu alikuw akizielezea zile amri 10 za Mungu kiundani ndio maana alisema hakuja kutengua torati Bali kuikamilisha Mungu hawez kuruhusu mwanae akapate elimu Kwa wapagani ili aokoe watu wake kama manabii wengine hawakujifunza Kwa wapagani elimu zao VIP Kwa yesu ikawe tofauti

  • @ISSACKNTACHO-u3y
    @ISSACKNTACHO-u3y 5 วันที่ผ่านมา

    Isaya wew siyo mwalm wa neno la Mungu ,wewe ni mwalm mpotoshaj wa neno la Mungu.

    • @calvincletus5233
      @calvincletus5233 5 วันที่ผ่านมา +1

      Njoo na fact usiongee bila ushahidi

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      Njoo na fact usiongee ilimrad tu!😅

    • @NuruJacob-f8x
      @NuruJacob-f8x 2 วันที่ผ่านมา

      Ajawa na ushaidi wowote uyo jamaa.

  • @IrankundaEtienne-e9x
    @IrankundaEtienne-e9x 2 วันที่ผ่านมา

    Jambo mwalimu nashukuru sana mafundisho yako wewe ni mupekuzi
    Nawezaje kupata hip-hop kitabu cha 88

  • @alfredirect
    @alfredirect 5 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amina

  • @MsuyaJeremia
    @MsuyaJeremia 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu mwenyewe na akukemee.

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      Njoo na fact

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      Mungu amkemee kwa sababu ipi

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 4 วันที่ผ่านมา

      Akukemee ww kwa kuyakataa maarifa na kukopykopy maandko kwa tafsirizako

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 4 วันที่ผ่านมา

      Kwahyo kumbe waislam na wayahudi baba m1 mama m1😅
      Mungu ninusuru na dhahama ya kukupnga

  • @violetkisamo9975
    @violetkisamo9975 5 วันที่ผ่านมา +1

    Walikuwa wanasema hakusoma, wanashangaa aneoata wapi hii Elimu. Utasemaje aluenda India. Knowledge ya BWANA YESU inatoka kwa MUNGU MKUU mwenyewe. Pua alisema niwapavyo mimi sio kama ulimwengu utoavyo. Akasema, nasema vile ninavyoelekezwa na Baba yangu.

    • @sungesonji4412
      @sungesonji4412 5 วันที่ผ่านมา

      @@violetkisamo9975 alisomea Misri muda wa miaka 30 baadaye akaanza kazi yake. Maneno yote aliyoyasema Yesu yapo kwenye kitabu cha Tahuti (Thoth) wa Misri na sio jinsi unavyofikiria. Na kitabu hicho cha Thoth kiliandikwa miaka elfu 6 kabla ya wagiriki na warumi kuwepo duniani. Waafrika wengi wanaamini tu pasipo kujuwa nini wanachokiamini, poleni sana

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 4 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu dada anaonekana ameshiba maarifa meng kwa kukaa karibu na huyu jamaa,,,, i wish mm ningekua huyo dada jmn
    We baba ww issaya Mungu akubariki mnoooooooooo

  • @alfredirect
    @alfredirect 5 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen

  • @alfredirect
    @alfredirect 5 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 6 วันที่ผ่านมา +1

    HII NI KWELI KABISA MWALIMU BENSON,

  • @samjosh12
    @samjosh12 6 วันที่ผ่านมา +9

    Huyu jamaa mpotoshaji sana. Hivi kweli Yesu Kristu wa kujifunza kwa miungu? Yesu alikuwepo hata kabla ya uumbaji wa Dunia, alikuwepo hata kabla ya dini zote, alikuwepo hata kabla ya miungu yote. Acha kutumia hisia zako zisizo na ushahidi wowote ili kulaghai watu.

    • @MansaMusa255
      @MansaMusa255 6 วันที่ผ่านมา

      Huwezi kuelewa,

    • @maulidrehani
      @maulidrehani 6 วันที่ผ่านมา

      Elimika usiwe msomi

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 5 วันที่ผ่านมา

      Alikuwa wapi na alikufa Anafanya Nini na alikuja duniani kufanya Nini....
      Na aliyemuua ni nani

    • @christiankaguo4311
      @christiankaguo4311 5 วันที่ผ่านมา

      Jamani kwakweli sasa mmezidi kupotosha wahindi wangekua walimfundisha mbona hawajitambui wabaguzi haiwezekani mungu kufundiwa maana yeye ni neno.

    • @khalidmyaule6187
      @khalidmyaule6187 5 วันที่ผ่านมา

      Salamu, usisome bible tuu soma n vitabu vingine alafu linganisha, Kuna uthibitisho mkubwa wa Buda/Hinduism kuwa walikuwa naye

  • @ramadhanishamtandulo1510
    @ramadhanishamtandulo1510 วันที่ผ่านมา

    Hy jamaa ana ufahamu mkubwa

  • @SundayMbatia-hr8qp
    @SundayMbatia-hr8qp 6 วันที่ผ่านมา +3

    Jamaa IQ yake kubwa sana.

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      Sawa kabisa we umenena😮

  • @JustusNteghay
    @JustusNteghay 6 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu ni mungu.Akajifunze kwa nani?

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 6 วันที่ผ่านมา

      kwa hiyo mungu alizaliwa?

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Mungu hafungwi na chochote.Hapangiwi.Kama aliweza kusema,na ikawa,atashindwa nini?Yesu ni Binadam kamili na Mungu kamili.Hili si jambo la kiakili,bali kiimani.Mbona ninyi mbaamini injili,torat na zaburi ambavyo hamjawshi kuona.Kama mitume wote wayahudi,kwa nini moh si myahudi na mnamwamini?

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Ndg yangu kama yesu hakusulubiwa,nani alisulibiwa badala yake? Na kwa kosa gani? Kma ndivyo,basi mungu mhuni,alihadaa watu.Usichanganye kati ya kuelewa na kuamini

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 5 วันที่ผ่านมา

      @@JustusNteghay @ hakuna andiko la moja kwa moja Yesu kasulubiwa ,tukio lilitokea lakini hakua yy,baada ya tukio aliwatokea watu na hakua na athari yyte

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Hakuna andiko kt quran.Biblia na vitabu vya historia vya kirumi vinasema wazi.Kt tukio hili huwezi kutegemea quran,kitabu kilichokuja miaka 600 baada ya Yesu.Moh hakumwona Yesu.Kwa hiyo hawezi kuandika habari zake.

  • @HassanYusuph-j1e
    @HassanYusuph-j1e 5 วันที่ผ่านมา

    Nyie wakristo mnachekesha sana mungu mkuu anakwenda kusoma lndia Kwa wanaadamu hii ni mpya /ninyi wakrito mtakua wajinga mpaka kiama misimame

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Isaya ni pepo halisi,sio mwl wa neno la mungu.Mchumia tumbo

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Hakuna andiko linalosema Yesu alisoma.Ila alikuwa anajua kusoma na kuandika. Elimu yake ya kimungu.

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@JustusNteghay😂😂😂 hayo mambo huwezi elewa kwa sababu kitabu chako kitakatifu unachosoma kimepunguzwa mambo mengi! 😂. Tumia akil alqfu njoo na fact

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@JustusNteghay Ivi unafikiri ni kwanini hao vingozi wa dini wa kubwa hawatolew kwenye nafas zao? Na matamko yanayotolewa dunia nzima inatii?? Leo hii Biblia vingeli kuwepo vitabu vyote wewe tu! Ungekuwa mtu sio wa kawaida tena ungekua hata na uwezo wa kuipindua dunia

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Kwenye social media,mjinga yeyote anaweza kusema ujinga wowote na mjinga yeyote akachukua ujinga wote,akaufanyia ujinga wowote.Tuchambue.

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 4 วันที่ผ่านมา

    Jamani Akuna Mtoto Anayeweza Kutoa Ushuuda Wa Kuzaliwa Baba Yake Isipokua Baba Ndie Anatoa Ushuuda Kwa Mtoto Wake Nyinyi Mmekula Makande Ebu Acheni Mambo Ayo Mkumbuke Kifo Walioandika Injili Wote Ni Watoto Nasio Vinginevo

  • @samuelngwegwe6356
    @samuelngwegwe6356 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa Isaya, ushahidi wa hayo uyasemayo uko wapi!? Au tufanye rejea kutoka wapi!? Maana haiwezekani watu tukasikiliza maneno kutoka kichwani mwako tu. Leta ushahidi au eleza hayo uyasemayo yanatoka kwenye kitabu gani!? Yesu alienda India imeandikwa kitabu gani!?

  • @JohnYaledi
    @JohnYaledi 5 วันที่ผ่านมา

    Pale alipo Baki hekalu ameka na wale wazee ana wauliza maswali mpaka Wana shanga mama yake akawa ana mtafuta YESU akamjibu mama yake haikumpasa kuka nyumbani mwa Baba yake alikua amesha toka India acha kupotosha watu

  • @byesigwafabian9255
    @byesigwafabian9255 6 วันที่ผ่านมา

    wewe ulikuwepo kipindi hicho!
    Nilikuwa nakupenda sana Benson lakini moyoni mwangu ulitoka baada ya kuchunguza nikakuta vitu vingine hauko sawa nikaamua kuachana na mafundisho yako!
    Ukweli kuna maaeneo nilikupenda baadaye dah!

  • @donatusalfred582
    @donatusalfred582 3 วันที่ผ่านมา

    Hapa umetupiga kitu kizito,tupe rejea sio kutulia mb na kuganga njaa hapa

  • @IsmailKhamis-c3t
    @IsmailKhamis-c3t 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mto hakuna mpole mbabe Fulani hivi alafu mnasema yesu ni mungu

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 6 วันที่ผ่านมา

      Sio mungu, Yesu ni Mungu.

    • @innocentmathias8668
      @innocentmathias8668 6 วันที่ผ่านมา +1

      Mpole ukimkosea anageuka mbabe, hata Mungu wetu pia ni mpole lakini ukimchokoza na kumkosea........

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wa India wamfunze Yesu wao wanaabudu miungu iweje wamfunze Mungu??

    • @khalidmyaule6187
      @khalidmyaule6187 5 วันที่ผ่านมา

      Kwani wakristo hawaabudu sanamu ya Maria na Yesu!!

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli India kuna miungu mingi lakin hamjiulizi je hakuna watu wanao abudu Mungu wa kweli??? Hamjiuliz mnaropoka tu! Ebu unapo comment fikilia mara mbil unachokoment, hakuna nchi ambapo hakuna miungu kila nchi miungu ipo. Ila hiyo miungu je kila mtu ANAIYABUDU ??? Jibu ni hapana siyo kila mtu ataiabudu baadh ya jamii itaabudu miungu. Na baadh ya jamii nyingine inamuabudu Mungu wa mbingun aliyevifqnya vyote vikapata kuwepo Full stop.

  • @JohnYaledi
    @JohnYaledi 5 วันที่ผ่านมา

    Huyo jama ni mpotoshazi wakala wa shetani

  • @violetkisamo9975
    @violetkisamo9975 5 วันที่ผ่านมา

    Methew 13: 55-57 inauluza ameoata wapi hii Elimu. Kama angeenda India, si wangejua?

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 5 วันที่ผ่านมา

    ULISHAONA WAPI KITABU KINAANDIKWA MAISHA YA MTU KINAREKODI KILA ALICHOKIFANYA KILA SAA KILA DAKIKA KILA WIKI KILA MWEZI NA KILA MWAKA?
    ISAYA UNAMASHETANI UNAROPOKA MATAKATAKA MEENGI. CANONIZATION YA BIBLIA IKO COMPLETE

  • @sungesonji4412
    @sungesonji4412 6 วันที่ผ่านมา

    Yesu mwana wa Mikaeli malaika hakwenda India bali alienda Misri, akakaa huko na akasomea huko na maneno yote Yesu aliyokuwa akiyafundisha yapo kwenye kitabu kinaitwa Emeral Tablets ambacho ni kitabu cha wamisri kiliandikwa miaka elfu 6 kabla ya Yesu hata India hakuwepo wakati huo. Yesu hakwenda India, bali aliyekwenda India ni mtoto wake wa kiume anayeitwa kwa jina la Bar Yesu.
    Hao mnaowaita wayahudi leo sio bali ni wakaftori kutoka nchi ya kaftori (crete, leo Ugiriki) soma Torati 2:23

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Habari za yesu zinapatikana kwenye biblia na kwa sehemu,kwenye vitabu vya historia vya kirumi

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Wayahudi wako wapi?

    • @sungesonji4412
      @sungesonji4412 5 วันที่ผ่านมา

      Haitoshi tu kusema maneno ya yesu yanapatikana kwenye biblia nilazima ujue Biblia ilitoka wapi. Biblia ilitokana na vitabu vitatu. 1) kitabu cha kifalme cha Summerian kinachoitwa Epic of gilgamesh
      2) kitabu cha kifalme cha Misri ya zamani kinachoitwa Emeral Tablets
      3) na kitabu cha kifalme cha Palestina ya zamani siyo hii ya sasa kinachoitwa Deadsea Scrolls
      Vitabu hivi vyote vilihandikwa miaka maelfu kable ya wagiriki, waroma na hao unaowahita Waisraeli leo. Nchi Israeli hakuwepo kabla ya 1948. Nilitoa vesi ya kumbukumbu la Torati 2:23 kwa maelezo zaidi kuhusu hao wanaojihita wayahudi leo walivyofanya kuwauwa wenyeji wa Gaza (waavi n.k)

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Tuache kumbe hujui.Anzia karne ya 1,utaelewa

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Najua kuliko wewe maana ya biblia,mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na binadamu walioongozwa na Roho Mtakatifu,ambaye wewe humwamini.Kwa hiyo ni kitabu cha mungu wetu,chenye maneno ya Mungu.Historia ya wayahudi ni muhimu kujua sab historia ya ufalme wa Mungu walifunuliwa wao kwanza.Habari sahihi za Mungu wa kweli wanazo wao,hata kama wanakiuka.Ni ujeuri wao tu.Habari za Gaza wanazijua wao kuliko mtu mwingine yeyote.Palestina imeanza lini?Hata Quran inajua kidogo sana.Hatuwezi kuelewana sababu,imani tofauti,tena vyanzo vyetu vya taarifa vinatofautiana.Huwezi kuelewa unachoamini,wala kuamini unachoelewa.Ukweli utabaki kwa wayahudi,hata km Mohamad hakuwakubali.

  • @mlamytz
    @mlamytz 6 วันที่ผ่านมา

    Kutana na wachokonozi utaelewa vzr ivy vitu

    • @Myahudiogw4d
      @Myahudiogw4d 5 วันที่ผ่านมา

      Wale hawajui cho chote elimu dunia tu inawasumbua

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 6 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huu nimchezo mpaka mwenyewe anacheka maana anajua anawatia kamba wakristo wenzake kwasababu niwajinga wanaaminitu kila wanachoambiwa halafu hawana tabu wao wanaaminitu maskini😂😂😂

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 4 วันที่ผ่านมา

      Yesu ni Mungu....fullstop

  • @macaveliMula
    @macaveliMula 4 วันที่ผ่านมา

    we jamaa mjinga sana, jaribu kuenenda kwa roho ama laaah wewe unatumika na shetani, akili yako mbovu mno

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa kama unasema Wayahudi walisema Mungu hana mwana ukisoma Kitabu Cha kutoka pale Mungu alipomwambia Musa kwamba Israel ni mwanangu.Hapo Wayahudi hawakuona Kwa Torah ya Musa?
    Eti Yeshua alienda India kusoma kwani unafikiri elimu yake ni ya hii Dunia?

  • @FikiriKibingira
    @FikiriKibingira 6 วันที่ผ่านมา

    Nikikusikiliza saana ila ufikiapo sasa ni pabaya saaana naona na ww tumbo limanza kukupelekesha na pole kwa mama uyo maana naye kilazana fulani

  • @calvinnelsonmoshi2616
    @calvinnelsonmoshi2616 6 วันที่ผ่านมา

    Ila wazungu yan wametusokota kweny hiv vitabu

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 6 วันที่ผ่านมา +1

    Yani ukristo unachekesha sana 😂😂😂kilakitu nikudanganyana danganyanatu wanatumia nadhalia 😂😂😂hakuna maandiko wala ushahudi wowote wala ukweli wowote 😂😂

    • @innocentmathias8668
      @innocentmathias8668 6 วันที่ผ่านมา

      Ukitaka kujua kama ukristo upo juu kuliko dini yeyote angalia wewe unafuatilia ukristo na kila kwenye video upo na unasema ni uongo.😂
      Neno la Mungu litasemwa na kusikilizwa na kila mtu na endapo tutanyamaza hakika mawe yatapaza sauti

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@innocentmathias8668@ yupo kwa sababu anawapa elimu na mfunguke ,walimu wanu wanawadanganya sana

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo ukweli tuupate kwa moh pale pangoni?Pango ni makazi ya majini

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 6 วันที่ผ่านมา

    Controversial

  • @ernestcharles4288
    @ernestcharles4288 6 วันที่ผ่านมา +1

    HOJA DHAIFU ZA UONGO YESU HAWEZI KWENDA KUJIFUNZA INDIA INAMANA MAANDIKO YAMEDANGANYA YESU KUWA MANENO ANAYOSEMA NA KUFUNDISHA KASKIA KWA MUNGU❓NA TORATI 18;18;20 NABII MFANO WA MUSA ATATIWA MANENO NA MUNGU MWENYEW HATONENA KWA SHAURI YAKE JE INDIA NDIO MUNGU❓😂😂

  • @rovisonmashaija3198
    @rovisonmashaija3198 6 วันที่ผ่านมา

    Nauliza swali hao wabuza nao wanatambuliwa na mungu tunao muabudu wasilamu na wakiristo?? Au uyo buza alikua ni nan na mbona yesu hakuwai kusema au kuzungumzia kuusu uyo buza?

    • @innocentmathias8668
      @innocentmathias8668 6 วันที่ผ่านมา

      Yesu hakuja sababu ya mabudha so hawezi kuwazungumzia pia sina hakika kama Mungu wa wakristo na waislamu ni huyohuyo maana wao Mungu wao hajazaa wala hana mtoto, wakristo Mungu wao anamwana wa pekee aliyemtoa kwa ajili ya Dhambi za wanadam

  • @johnstamina8242
    @johnstamina8242 6 วันที่ผ่านมา

    Tunawajuwa ninyi watoto wa ibilisi kazi yenu kuleta mafundisho ya uongo
    Hiyo unayo isema hapo ni religion za watu wanaopambana kupinga neno la Mungu , (BABA YENU billy carson huku marekani ameumbuliwa vibaya kwakutumia hiyo injili ya uongo unayojidai nayo wewe isaya. Mwisho wako utakuwa mbayasaana usipotubu
    Paulo amesema mtu yeyote au malaika akija na injili nyingine iliyo tofauti na alaaniwe
    Tamaso hawezi kupingana na injili zote
    Ufunuo inamshuudia yesu kuwa ni Mungu
    Mwanafunzi wa mwisho kufa alikuwa ni yohana na kabla yakufa alizibitisha mgogoro wawatu wanaojiingiza kuharibu injili ya kweli

    • @innocentmathias8668
      @innocentmathias8668 6 วันที่ผ่านมา

      Umeandika vingi nikajua unapinga na unalojibu kuwa Yesu alikuwa wapi kwenye hiyo miaka?

  • @dibeazicha-dj5hb
    @dibeazicha-dj5hb 4 วันที่ผ่านมา

    Ujinga mtupu, kwamba Yesu alihitaji kwenda India ili kijua kuwa Mungu ni baba yake!

  • @christiankaguo4311
    @christiankaguo4311 6 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu hakwenda kusoma india wala hakuhitaji kusoma kwasababu alitoka mbinguni

    • @officialoscaroscarjrfan
      @officialoscaroscarjrfan 6 วันที่ผ่านมา +1

      Duuh nikweli alitoka mbinguni lakini aliishi kama mwanadamu khoo lazima baadhi ya mambo lazima angejifunza kama sisi wanadamu

    • @ernestcharles4288
      @ernestcharles4288 6 วันที่ผ่านมา

      Upo sawa yeye katoka mbinguni anayajua ya mbinguni uyu jamaa nimiongoni mwawale wapinga kristo anapinga hadi biblia hao wayahudi kabla ya yesu mbona waliua manabii wao hawakuwaskia vile vile

    • @innocentmathias8668
      @innocentmathias8668 6 วันที่ผ่านมา

      Mbona walimsulubisha na katoka mbinguni? Neno lazima litimie kuwa atafanyika mwili na kuwa mwanadamu kwahyo kila kitu unachofanya wewe km mwanadamu nayeye kapitia kasoro tu yeye hakuwa na dhambi

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 6 วันที่ผ่านมา

      Aliesema Yesu ni mkrito,amejua kuchangana Dunia,siku mkijua kama sio mkrito dunia nimeisha

  • @SILIVERYSixbeth-s3x
    @SILIVERYSixbeth-s3x 6 วันที่ผ่านมา

    Imani zote ni za michongo /vichochoro vya kupigia Helsinki 🤣🤣🤣

    • @hemedimsigwa6397
      @hemedimsigwa6397 5 วันที่ผ่านมา

      Hapana shida ni wanaojidai kuwa walimu wakati hawajui chochote

  • @ramaazubery5454
    @ramaazubery5454 6 วันที่ผ่านมา

    Unajua ad unaboa

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 6 วันที่ผ่านมา

      Unajuaje kama anajua?Sema anasema unachokipenda

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 6 วันที่ผ่านมา +1

    Quran inajua baada ya 12 mpaka miaka 30 ya yesu😅

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 6 วันที่ผ่านมา +1

      Acha uongo itajuwa je na imekuja baadae sana?

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 6 วันที่ผ่านมา +1

      Quran haijui habari za Yesu.Issa sio Yesu.

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 6 วันที่ผ่านมา

      Hata jusus pia sio yesu Wala mosese sio musa

    • @ebenezerlawuo6667
      @ebenezerlawuo6667 5 วันที่ผ่านมา

      Nadharia ya 4 kwa wayahudi

    • @JustusNteghay
      @JustusNteghay 5 วันที่ผ่านมา

      Usiache kauli hewani.Yesu na Moses ni nani?