Broo katika siku ulio nifurahisha katika maisha yangu ni siku ya leo.hususa ni kimzungumzia huyu mwamba k.dot, maana nina mkubali sana na ninawafatilia sana jah bless broo.💪💪💪💪💪
Bro nathamani siku moja redio yenu iwe redio ya kwanza TANZANIA au east Afrika mana mnajua kutangaza vizuri ,bro naomba utafsiri album yote ya Kendrick Lamar ya mwaka huu🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲
Uchambuzi mzuri sana. Fanya hivi na kwa albums za hip hop za wasanii wetu wa nyumbani. Kuna vijana kama Dizasta Vina wanaandika vitu deep sana. God bless you!
Broo katika siku ulio nifurahisha katika maisha yangu ni siku ya leo.hususa ni kimzungumzia huyu mwamba k.dot, maana nina mkubali sana na ninawafatilia sana jah bless broo.💪💪💪💪💪
mungu awape pumzi zaidi muendelee kutupa vitu Bora kabisa na vya uhakika,happy university 5yrs
Bro nathamani siku moja redio yenu iwe redio ya kwanza TANZANIA au east Afrika mana mnajua kutangaza vizuri ,bro naomba utafsiri album yote ya Kendrick Lamar ya mwaka huu🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲
Thank you Sky...tunaomba na uchambuzi wa ngoma za kwenye album ya MMATBS pia..interesting topics
More power to you brethren 🧠🧠
Uchambuzi mzuri sana. Fanya hivi na kwa albums za hip hop za wasanii wetu wa nyumbani. Kuna vijana kama Dizasta Vina wanaandika vitu deep sana.
God bless you!
Uchambuzi mzur, Fanya uchambuzi wa Nyimbo ya Dizasta Vina inaitwa Shahidi
Mshkaj nomaa sana
I Can Listen to this podcast over and ove again. We ni nouma brother
Thanks Sky your always on🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌✊🏾
Sky the goat
Nakubali sana sky
Sky sauti yako isikosekane kwe hii channel
💥💥💥💥
Oa anajua kusimulia sana huyu broh..kama mm😁
Kama Millard Ayo
Sure haiboi yan
Wa Kwanza Leo naomba like zenu
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍.
G0AT
G0AT