HIKI HAPA CHANZO CHA ASKOFU MOSES KULOLA KUTOKA KANISA LA T.A.G/ APITIA MATESO HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md วันที่ผ่านมา +1

    Jamani yesu angekubaliwa na masadukayo na mafalisayo hapo watumishi wa mungu wangekula bata lakini aliteswa mpaka mwisho wenye dini yao walikuwa mwiba mkali kwa askofu moses kulola aliwahi kuswekwa lupango kwa kosa la kuihubili kweli na kupata kibali kwa watu sasa ya magembe ni maludio tu hao wamekubuhu kwa kukomesha watumishi wa kweli tena wanaitwa wapendwa wa haleluya

  • @emmanuelrweikiza6117
    @emmanuelrweikiza6117 2 วันที่ผ่านมา +2

    Duuu kumbe ndio maana ni vizuri kila mtu apate nafasi ya kueleza umsikilize. Leo nimemuelewa mzee kulola ila naamini waliyatengeneza na yakawa sawa. Mungu atupe kumjua Yeye zaidi

  • @SebastianBwiri-q5g
    @SebastianBwiri-q5g 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kama mpaka leo EAGT wanamegeka vipande kwa sababu wana roho ya kuasi,je TAG wao wanapo megeka wana roho gani?

  • @ev.peterdastan1337
    @ev.peterdastan1337 2 วันที่ผ่านมา +1

    Tupe na maelezo ya Askofu Emanuel Lazaro

    • @emmanueldionismbena3461
      @emmanueldionismbena3461 2 วันที่ผ่านมา

      Kwangu mimi waliofanya kanisa la EAGT walikosea maana yule alikuwa mamlaka kamili ukisoma habari za Samweli na Sauli, Daudi na Sauli na pia Paulo kwa habari ya mamlaka hivi mama Samia akiamua kumtoa mtu kutoka Kigoma kuja Dar utaweza kumpinga??

  • @Asha-s9u8p
    @Asha-s9u8p 2 วันที่ผ่านมา +1

    Moses kulola au Moses Magembe???

  • @emmanueldionismbena3461
    @emmanueldionismbena3461 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kutii ni bora kuliko dhabihu, Tii kila mamlaka maana mamlaka yatoka kwa Bwana kwangu mimi nasema EAGT walifanya makosa wangenyamaza maana vilitokea visa vingi sana wangemtii hata yasingetokea yote hayo

    • @JonasMathias-s6m
      @JonasMathias-s6m 2 วันที่ผ่านมา

      Acha kudanganya watu,wewe imeandikwa msiziamini Kila roho,zichunguzeni kwa wewe hata mamlaka,au madhabahu ya shetani utasema imetoka kwa Mungu

    • @emmanueldionismbena3461
      @emmanueldionismbena3461 วันที่ผ่านมา

      @JonasMathias-s6m amna lakini ilitakiwa utii sasa kwan kumuhamisha na kumpeleka kwenye huduma sehemu nyingine ni dhambi? Tatizo sisi tumekuwa wajuaji ilitakiwa kutii tu

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa maana yesu angetii mamlaka ya wakuu wa makuhani yasingempata ya msalabani hivyo imetupasa kutii kwa unyenyekevu mamlaka ya za kidini ili tukule bata wakituambia leo wooote tukampokee mkuu basi tuahilishe mikutano na ibada woote foleni uwanja wa ndege kumpokea maana ndio mamlaka yenyewe hiyo

  • @willdomy1078
    @willdomy1078 2 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi pia nimehama TAG kwa sababu ya kupoa kwa kanisa.

    • @michaelrweyemamu1068
      @michaelrweyemamu1068 2 วันที่ผ่านมา +3

      Kanisa ni nani? Kanisa ni mtu so kama Kanisa limepoa inamaanisha ww umepoa pia.

    • @OdiloMwemezi
      @OdiloMwemezi 2 วันที่ผ่านมา +1

      Wapi pa moto nami nije huko?

    • @gilbertmushi1716
      @gilbertmushi1716 วันที่ผ่านมา

      Ulihamia wapi?

    • @willdomy1078
      @willdomy1078 วันที่ผ่านมา

      @@michaelrweyemamu1068 @michaelrweyemamu1068 ni kweli kanisa likiwa limepoa ni wote mmepoa maana kuni moja kavu kati ya kuni nyingi mbichi haiwezi kuwasha moto.
      Ndio maana ni lazima utoke huko utafute sehemu sahihi.

    • @willdomy1078
      @willdomy1078 วันที่ผ่านมา

      @@OdiloMwemezi kanisa takatifu la Mungu, karibu rafiki

  • @PaschalJohn-e4l
    @PaschalJohn-e4l วันที่ผ่านมา +1

    Ila nyie walokole mnaona ni halali kuanika mambo yenu mitaoni kwanini hata ikitokea vurugu mpaka kujianika mitandaoni mnapa faidagani mm nashauli ni bora yakitokea yaishie huko jamani

  • @OdiloMwemezi
    @OdiloMwemezi 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mpaka leo EAGT mnazidi kumeguka vipande vipanda,hiyo roho ya kuasi