MCHEZAJI HAKIMI ASHANGAA ARUSHA, ATOA MSAADA MKUBWA, RAIS WA YANGA AFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 59

  • @MichaelJohnsonJimmyJimmy-ur8ze
    @MichaelJohnsonJimmyJimmy-ur8ze 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mm ni simba dam. Ila kwa iki aiseeeeh Mungu akulinde engner akika unastahili kabisa akika❤❤❤❤❤

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 2 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillahi ! Alhamdulillahi ! Alhamdulillahi,baada ya kumshkr Mungu kwa kutujaalia "WANANCHI" kukupata kjn Eng Hersi pia niwashkr wazazi wako wawili kwa malezi mema kwako.Ww ni HAZINA/KIOO cha jamii.Wasamehe wale wote walikuita muhuni,Allah akulinde na jicho la husda.Yanga tukuenzi ili uzidi kutuenzi pia jamii ya Tz.,MashaAllah !.

  • @ashrafadam4629
    @ashrafadam4629 4 วันที่ผ่านมา +1

    m/mungu awabariki sana wote Ashraf Hakimi wa jina langu, Eng Hersi, na watu wote mlioshiriki na boss wa Wananchiiiiii ❤

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Rais wetu eng. Heris Mungu azidi kukupaisha tu

  • @JohnsonVicent-dl2dl
    @JohnsonVicent-dl2dl 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu akujaze pale ulikotoa

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hongereni watani muungu awabariki pamoja na mfazili wenu

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 4 วันที่ผ่านมา +4

    Mmh engineer unajua!! Mungu akuongoze! Waache wapate tabu. Mpaka waseme walisema muhuni sasa wanajua tu!!

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 4 วันที่ผ่านมา

      Hakuna tabu hapo. Simba walileta Timu kutoka France Yanga wamemleta mchezaji mmoja tena Mwarabu kutoka Morocco😂😂😂

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@GibsonNtamamilonaona unateseka na uarabu, pole

    • @calvintheone299
      @calvintheone299 3 วันที่ผ่านมา

      Tulia kolo dawa ikuingie mleleta timu nyie au mzamini wenu wa mda ule ambae ni sports pesa akili huna 😂😂😂​@@GibsonNtamamilo

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@GibsonNtamamilomimi sioni uwarabu wake huyu mwana ni muuni tu kaja kutowa msaada wake

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@GibsonNtamamilompumbavu mkubwa wewe, mchango wa Hakeem Kwa Taifa ni mkubwa kuliko hiyo timu iliyokuja

  • @Mrdigital.
    @Mrdigital. 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hakimi legacy in patandi will last forever

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 วันที่ผ่านมา

    Hizo ni jitihada binafsi za Rais wa yanga Eng Hersy wala sio jitihada za bodi ya utalii,,naona mnaanza kujimwambafy,,,

  • @FaustinaMkama
    @FaustinaMkama 3 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 4 วันที่ผ่านมา

    Saafii sn.hongera heris

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 4 วันที่ผ่านมา

    Gud leadership hauna longolongo na ubabaishaji be yanga foreva na jenga uwanjani na namini tutabeba kombe la africa big brain no majungu

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 3 วันที่ผ่านมา

    Haya Jem - ed - ari huyo ndiye mhuni, msela ameingizia Taifa Dollar, watu wamefanya biashara, amesaidia wenye mahitaji maalum, na still Achraf will also be our one among Tz tourism representative, we Jem - ed - ari labda ulete mikia ya panya buku kutoka mtwara, kudadadek waache wenye akili wafanye kazi and the Govt has just appreciated what Hersi did nyie wachambuzi "Tutumbi" akina S.Jembe, Oruma, kaeni na majungu yenu, na ujinga wenu kwa gharama ya kupenyezewa "miteni" au "khamsumia" zinawavunjia hadhi na heshma ya kazi zenu.Big up my Predida Eng. Hersi bin Said.

  • @hamidabakari-cs5sk
    @hamidabakari-cs5sk 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu amjalie

  • @festokitule9727
    @festokitule9727 4 วันที่ผ่านมา

    Thank hakhim

  • @claratemba44
    @claratemba44 วันที่ผ่านมา

    Dankeschön

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu mwema sana

  • @richardmwaibula1582
    @richardmwaibula1582 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu akufungulie milango ya baraka Eng. Mgeni wako na club yetu ya Yanga. Siri ya mafanikio ipo Katia KUTOA. Waache wabeze, malipo hapahapa, watapigwa 10-0 msimu huu.😅😅😅😅

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana raisi hersi kwa moyo wako wa kujitolea kwa wale wenye kuhitaji!!

  • @Juli-ep9dn
    @Juli-ep9dn 4 วันที่ผ่านมา +1

    Safi

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 4 วันที่ผ่านมา

    Timu ya Yanga raisi Mungu akupe nini uwe na moyo huohuo na watuwako

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 3 วันที่ผ่านมา

    Eng Hersi ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @suleimanchonya7736
    @suleimanchonya7736 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ndio maana ya timu kubwa. Hongera sana Eng. Hersi

    • @twalbikatanga8645
      @twalbikatanga8645 4 วันที่ผ่านมา

      Yanga inahusika na Nini hapo? Acha ushamba ww msaada katoa ashraf sio yanga😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 4 วันที่ผ่านมา

    Kwani kapelo huvaliwa wakati gani tz officials

  • @user-qm4lt1ot8u
    @user-qm4lt1ot8u 4 วันที่ผ่านมา

    Unaonekana unalakuongea umejuwaje hela yake inakaa mamaye kama siyo unafiki tu

  • @user-nn8yj7fe4n
    @user-nn8yj7fe4n 3 วันที่ผ่านมา

    Mpaka wasemeeee!!

  • @EliasAbel-qr8pz
    @EliasAbel-qr8pz 3 วันที่ผ่านมา

    Nime mwelewa kama eg

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we 4 วันที่ผ่านมา

    Mamake kamruhusu kutoa huo msaada maana mwamba hanaga hela pesa yake yote inatunzwa na mamake duh.

  • @athumanimbwambo6334
    @athumanimbwambo6334 4 วันที่ผ่านมา

    Yuchi kama yuchi😂😂😂😂😂

  • @user-hr7nc5tw4i
    @user-hr7nc5tw4i 4 วันที่ผ่านมา

    Asi sahau kutufundisha kusain 😂mali kw jina l mama

  • @OthanMedia_
    @OthanMedia_ 4 วันที่ผ่านมา

    Nimesikia na wao wanasema watamleta Ronaldo 😂

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 4 วันที่ผ่านมา +1

      Simba tulishafanya hayo mkiwa udingizini. Tulileta Timu kutoka France Yanga wamemleta mchezaji mmoja tena Mwarabu kutoka Morocco😂😂😂

    • @OthanMedia_
      @OthanMedia_ 4 วันที่ผ่านมา

      @@GibsonNtamamilo 😂😂😂

  • @franccoz94
    @franccoz94 4 วันที่ผ่านมา

    MANGUNGU VS ENGINEER HERS 😂😂

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 วันที่ผ่านมา

    Baadhi ya watz waliwasema vibaya hawa jamaa wakati wa kombe la dunia kwasababu Tu za propaganda za kijinga! Dah, asante mwamba Kwa msaada mkubwa

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 4 วันที่ผ่านมา

    🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎎🎎🎎🎎🎎🇹🇿🇹🇿 yanga bingwa🕺🕺🕺

  • @LatiphaMwanga
    @LatiphaMwanga 4 วันที่ผ่านมา +2

    Tanzania is my place
    Chuga is my home
    Patandi is my home land
    ✓ thamani ya hela ni bilion moja yaani milion elfu moja .Ndio maana hawa huwa wanabarikiwa sana na Mungu kwa kusaidia watoto na jamii za africa na masikini

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk 3 วันที่ผ่านมา

    Wananjaa kweli uto

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 3 วันที่ผ่านมา

      Fungu lakukosa tulieni dawa iwaingie, maana mmetulia kama mmepewa uhamisho kwenye hii nchi😂 Eng. Atawanyoosha sana na kuwatesa sanaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂 .

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 3 วันที่ผ่านมา

    UTOPOLO FC WANAJUA KUJIPENDEKEZA...!!!

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 3 วันที่ผ่านมา

      Ndio maana ukaitwa nguruwe fc, a.k.a fudenge akili zako kama kinyesi cha asubuhi.

    • @malietamalieta9658
      @malietamalieta9658 3 วันที่ผ่านมา

      uko na hii tuu akili ama ipo nyingine umeona mtoto Gani wa mfanyakazi wa yanga ukute wenu makolo ndo wengi apo palipotolewa msahada

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 3 วันที่ผ่านมา

      @@malietamalieta9658 Akili nyingine aitoe wapi huyo hapo ndio mwisho wake, akili za waliofeli hizp asikuumize kichwa, looser fc.

  • @AshirafuMjungu
    @AshirafuMjungu 4 วันที่ผ่านมา

    Hakimi kaja mwenyw hajaletwa na uyo boya

    • @MohammedAwadh-gq9si
      @MohammedAwadh-gq9si 4 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo! Kwanza kwa nini uteseke.?

    • @KhadijaKiwambu-qx8qh
      @KhadijaKiwambu-qx8qh 4 วันที่ผ่านมา +1

      Boya baba ako nyau we acha kutukana wakubwa zako

    • @calvintheone299
      @calvintheone299 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@KhadijaKiwambu-qx8qhsafiii jibu zuriiii

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 4 วันที่ผ่านมา

    Lafudhi yako inaonesha unabusara na uwezo mkubwa wa kufikri ,ila upande wa pili wanadanganywa kila siku na hawabain ,leadership is accountability like you