Ndg zangu ktk Kristo Yesu. Watumishi wenzangu shambani mwa Bwana wetu Yesu Kristo. Nawakumbuka sana, nawapenda sana, nawamisi sana. Nafurahi kuwaona bado mnaendelea kumtumikia Mungu kwa karama hii. Kaka yangu Musa Mkilya, Mbegete, Mark shikundi. Mama yangu, mama Bulilo. Mungu azidi kuwabariki. Iko siku tutaonana wapendwa.
Bwana awabariki watu wa Mungu ninabarikiwa sana na wimbo huu
Ndg zangu ktk Kristo Yesu.
Watumishi wenzangu shambani mwa Bwana wetu Yesu Kristo. Nawakumbuka sana, nawapenda sana, nawamisi sana.
Nafurahi kuwaona bado mnaendelea kumtumikia Mungu kwa karama hii. Kaka yangu Musa Mkilya, Mbegete, Mark shikundi. Mama yangu, mama Bulilo. Mungu azidi kuwabariki.
Iko siku tutaonana wapendwa.
Aminaa,, mbarikiwe
Nabarikiwa sana BWANA awabariki pia
Be blessed brethren
I blessed much with this song
Kwaya ya Mimi... MUNGU awatendee Tena na tena
Aminaaa
Mbarikiwe watu wa BABA
Endelea kubarikiwa ila kumbuka ku subscribe na kukomenti
Aminaaa
MUNGU abariki sana waimbaji chato mission
Amina sana
Aminaaaaa watuuu ww munguuu mnazidiii kutubariki kupitia nyimbooo
Barikiweni sana, usisahau coment
Amina tufike mbinguni
amina