CHATO MISSION SDA CHOIR - HOMA YA DUNIA (official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @pendogoodluck833
    @pendogoodluck833 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen! kwa kweli ni Yesu pekee ndiye atakaye komesha homa ya dunia.

  • @SebastianSimon-hz1nu
    @SebastianSimon-hz1nu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awafikishe mbari tunabarikiwa na nyimbo zenu

  • @marcobadehe7350
    @marcobadehe7350 2 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiweni sana wana na binti za Mungu

  • @musamkilya8084
    @musamkilya8084 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dunia inaangamia, vifo, njaa vita kwa kweli hatuko salama

  • @gabonmaseru2686
    @gabonmaseru2686 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ,
    Bwana azidi kuwainua muitende kazi yake

  • @musamkilya8084
    @musamkilya8084 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana awatie nguvu dunia ipate ukweli

  • @JoshuaSesanyi
    @JoshuaSesanyi 2 หลายเดือนก่อน +1

    usalama wa kweli nikwayesu pekeyake

  • @iriaktv
    @iriaktv 2 หลายเดือนก่อน +1

    AMEIN MBALIKIWE WATU WA MUNGU

  • @PeruzIsaya-jl9qn
    @PeruzIsaya-jl9qn 2 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @IbrahimMsese0
    @IbrahimMsese0 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina barikiwa sana kwaya ya Chato mission by mr msese

    • @CharlesLuzari
      @CharlesLuzari 2 หลายเดือนก่อน

      Amina kweli BWANA AZID KUWABARIKI KWAYA YA MISSION HATA SISI WADAU TUNABARIKIWA NA JUMBE ZAO

  • @RESTUTASAMWEL-od4le
    @RESTUTASAMWEL-od4le 2 หลายเดือนก่อน

    Namuona Mzee mkilya na mkewe but simuoni mama Sofia bulilo nawakumbika sana😊

  • @CharlesLuzari
    @CharlesLuzari 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Bwana azid kufarij watoto wake Dunia imefika mbali mno

    • @JoshuaSesanyi
      @JoshuaSesanyi 2 หลายเดือนก่อน

      BWANA asimame upandewetu wimbo ukomahalipake angalia Israeli na hossboraa

  • @NeziaMasatu
    @NeziaMasatu 2 หลายเดือนก่อน

    Amina wimbo una ujumbe mzurii

  • @uinjilistisikongesdachoir
    @uinjilistisikongesdachoir 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mubarikiwe watumishi wa Baba

  • @CharlesLuzari
    @CharlesLuzari 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aah Dunia imezeeka!😂😂😂😂

  • @RESTUTASAMWEL-od4le
    @RESTUTASAMWEL-od4le 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani huu wimbo niliutafita miaka naenda Rudi hatimaye Leo 😂 toka nikiwa mtoto daah mbarikiwe sanaa

  • @JoshuaSesanyi
    @JoshuaSesanyi 2 หลายเดือนก่อน

    Kimyakingi kina mshindo mkuuu

  • @locibelig4831
    @locibelig4831 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉