Shekh mm kipindi nipo form two nilikuwa nafaulu vizuri tu, ila ss form three kila nnapofanya mtihani naanguka sana mpaka nachoka ss km kuna hata dua naomba uniombee au unipe dua kwa uwezo wa Alla inshallah
Kuna uwezekano ya kwamba umepatwa na hasad. Tumia njia hii kwa uwezo wa Allah (SWT) utakuwa sawa. Nayo ni chukua maji kiasi ya kunywa na kuogea kwa muda wa siku tatu kisha soma Surah zifuatazo kisha upulize kwenye maji mara 3: As-Swafat, Ad-Dhariyaat, At-Twur, An-Najm, Al-Mursalat, An-naziat, Al-Buruj, At-Twariq, Al-Fajr, As-Shamsi, Al-Layl, Ad-Dhuha, At-Teen, Al-'Adiyaat na Al-'Asr. Unaweza soma na kuoga wakati wowote. Lakini kunywa asubuhi kabla hujakula chochote. Afwan.
Assalam Alaykum Sheikh nilipokuwa secondary somo la pili nilikuwa naweza ila kwasasa nasoma masomo yangu hayabaki kichwani na sahau sana nasielewi kama mwanzo
Allah bless you ❤❤❤
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! You too, my Dear ❤ 🤲🤲🤲🤲🤲
Mashallah
Tabarakallah! Allah (SWT) Atupe Kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Mashaallah shukran sheikh allahu barik
Tabarakallah! Ameen! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
MashaaAllah thakibir
Tabarakallah. Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi
Waanta Kadhalik! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Maashaallah shekh nakupenda kwa ajili ya Allah napenda sana kufuatilia video 📷 zako na mafunzo yako ya dua mungu akulinde sana na shali na hasadi
Tabarakallah! Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
AMIIN AMIIN YARABB
YA RABBAL 'ALAMEEN! 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Mashallh shekhe wangu mungu akuzidishie ilmu na amal
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Shukran! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran sana
Karibu sana! Allah (SWT) Atupe kheri zote! Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Shekh mm kipindi nipo form two nilikuwa nafaulu vizuri tu, ila ss form three kila nnapofanya mtihani naanguka sana mpaka nachoka ss km kuna hata dua naomba uniombee au unipe dua kwa uwezo wa Alla inshallah
Kuna uwezekano ya kwamba umepatwa na hasad. Tumia njia hii kwa uwezo wa Allah (SWT) utakuwa sawa. Nayo ni chukua maji kiasi ya kunywa na kuogea kwa muda wa siku tatu kisha soma Surah zifuatazo kisha upulize kwenye maji mara 3: As-Swafat, Ad-Dhariyaat, At-Twur, An-Najm, Al-Mursalat, An-naziat, Al-Buruj, At-Twariq, Al-Fajr, As-Shamsi, Al-Layl, Ad-Dhuha, At-Teen, Al-'Adiyaat na Al-'Asr. Unaweza soma na kuoga wakati wowote. Lakini kunywa asubuhi kabla hujakula chochote. Afwan.
@@mohamedalidini ahsante sn nitakupa majibu nadua njema nakuombea kwa Allah upate kheri kuanzia duniani mpk akhera inshallah 🦋
@@Fatma-g3o Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah. 🤲🤲🤲🤲🤲
Pia naomba nipate dua ya kumpiga adui yako aliye kudhurumu
Kuna video ya mada hiyo kwenye channel yangu ya TH-cam. Naomba uangalie na Insha Allah, itakusaidia.
Assalam Alaykum Sheikh nilipokuwa secondary somo la pili nilikuwa naweza ila kwasasa nasoma masomo yangu hayabaki kichwani na sahau sana nasielewi kama mwanzo
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Tumia mafunzo kwenye video hii. Kwa uwezo wa Allah (SWT) tatizo lako litatatuka. Pole sana kwa hali hiyo.