Kwann waliacha mzki Hawa jamaa wangefka mbali sana jamaa walipga ngoma simchezo mana walikuwa wakiwakilisha zenji fleva asa kama upo bado unaskliza hii ngoma gonga like apo twende pamoja
Yah kwel kabisa Zanzibar only ALLAH Ametuweza yaan kama music ingekua halaal dah vichogo wengesubir sana yaan ilaa tunashkur ALLAH Kutueka mbali na ushaitwaan Alhadullah.😊😊😊
Wazanzibari tunataka mamlaka ya nchi yetu kama wakomoro ,washelisheli,wamaurice,escape verde na sao tome and principles. Watanganyika nyie mna nchi yenu mbona mmtukalia Rohoni. Wazanzibari hatuna raha wala furaha tumekonda kwa dhiki na dhulma na masimango na kejeli. Wao wanafuraha kwao tanganyika.
Dah jamaa wamesepa , wangerush mbali sana mzik wa zanzibar coz walikuwa wanafany kweli tunainjoy enzi zile kinyumban nyumbani hatutaki mchezo, Enai yuko wp?
Kwann waliacha mzki Hawa jamaa wangefka mbali sana jamaa walipga ngoma simchezo mana walikuwa wakiwakilisha zenji fleva asa kama upo bado unaskliza hii ngoma gonga like apo twende pamoja
🦅
Tatizo mziki zenj haulip.
❤ 2023 znz home sweet home
Watoto wa Block 7, Fahad Boy alikuwa ana floor ile mbaya nilikuwa namfananisha sana na Fabulous uimbaji wake, Malik na N. I pia walikuwa vizuri sana
Who still here in 2024 👊
From Russia Moscow city🇷🇺
Home sweet home Zanzibar dahh!!kitambo Nipo Darasa la 4
R.i.p Enai
Ebhana kumbe N. I alifariki??, alifariki lini na kwa tatizo gani
Wazanzibar tunajuwa sana ila tunanamuhofia sanaaaa Allah
Kumhofia Allah sio weakness lkn,
Hilo ni jambo la msingi sana na huo ndo ubinaadam
@@seifbattawy9455 job LL lkk l llk Jr LL GM
True true
I’m here 2020 a real Zanzibarian❤️
Ebana eee hapa nipo darasa la 1
09/07/2018
Like kama na wewe bado unaikubali hii track. 🔥🔥🔥🤜🤛👊👊👊👊👊
Yah kwel kabisa Zanzibar only ALLAH Ametuweza yaan kama music ingekua halaal dah vichogo wengesubir sana yaan ilaa tunashkur ALLAH Kutueka mbali na ushaitwaan Alhadullah.😊😊😊
Ngoma hii haijawa.kutokea esti africa nzima tusidanganyane zanzibari walikuwepo juu 2024 naisikiliza
Hip hop na beat kali kwa africa zilianzia zanzibar ndio wengine wakafata, wakati huo kwa wenzetu wanaskiliza msondo ngoma🤣🤣🤣
Umeona ehhh 🤣🤣 wowoooh big up to our Zanzibar ❤️
Wazanzibar bhana Kila kitu wameanza wao mpaka kufilwa jamani
@@ShafiiBakari-vl7lb halafu na nyie ndio mkajifunza mlipokuja znz, ila saivi nyie ndio mnaongoza mnajipiga mpka sindano
Zanzibar home sweet home Unyamma long time. Still watching in 2019 august. Come on Come on
Dah Baraka ameshafariki jirani yetu alikua
hii ngoma kila baada ya mda flani naipitia inanikumbusha mwanzo wa safari ili nikaze nlipofikia✌🏻✌🏻 home sweet home
Unyama asaaa znz f4ever it’s history ❤
Hii ngoma ata WCB bado hawajawah kuimba....mana ngoma duh....mziki unao ishi ndio huu
Brooklyn 2023❤❤
Now 2024🎉🎉
Kwel jaman kipind cha nyuma
Kulikuw na kazi wazee leo 2020
Dah long time darasa la nne apo it was hitsong kila kona ya mtaa ndani ya Zenji kijiwe
Wazanzibari tunataka mamlaka ya nchi yetu kama wakomoro ,washelisheli,wamaurice,escape verde na sao tome and principles. Watanganyika nyie mna nchi yenu mbona mmtukalia Rohoni. Wazanzibari hatuna raha wala furaha tumekonda kwa dhiki na dhulma na masimango na kejeli. Wao wanafuraha kwao tanganyika.
Hii ngoma haifiii milelee
Unyamwezi Zanzibar zamani Sana Kwa East Africa. Hata tv ndio wa Kwanza kumiliki.🤣🤣😂
Long time dah sio mchezo
Safi sana inakumbusha mbali
Allan mapigo kumbe katengeneza hii aisee, chini ya Heart Beat Records
This is a international song man by Chidy manyama from uprising #Real life ✌
VAN CHINTO umenikumbusha mbali sana
Ebwana weee cha kale ni zahabu hizi ngoma zote kwnye chati yaaan zipo poa kabisa.❤❤❤❤
Ili dule noma favourite song 🎵 all the time
2024 M'bish Kulala IN DA HOUSE😊
Nakumbuka Introo enzi izo kitambo
Dah kweli intro baba
duuuhhh home sweet home but all and all r.I.p Ni..
Home is home ❤️ love our Zanzibar
Dah jamaa wamesepa , wangerush mbali sana mzik wa zanzibar coz walikuwa wanafany kweli tunainjoy enzi zile kinyumban nyumbani hatutaki mchezo, Enai yuko wp?
Tupo watoto wajumba na 7 tunawakilisha mpakasasa one love
Qaboos ndani ya Brooklyn 2022
2018 dah ishatimiza miaka kumi na nne now
Home sweet home R.I.P NI
2022 still hit
Daah aiseeeee
Kipindi niko kidato cha kwanza,life goes on
Niliwahi kupasuw Sipika yngu y Mtungi.kw hii Ngoma😂
inanikumbusha ezi za mashati makubwa na disko vumbi
weka like yako 2023
Dah homies namiss sana 2019 /3
Ahhaah adnani
juvute kwenye misosiiiiiiii
Noma sana
08/06/2023 🔥
Such a legendary era
dah kitmbo sana
Watoto wazuri wanaruka ruka kama niga vile 😂😂😂😂
Talenty of zanzibar
Once upon a time 😭😭😭
2020 tupo pmoja
MUNGU amlazepema enai
YEYEYEYE SICKKK SONG
Like 2020
Jumba number 7. Home apo zanzibar. Rest in peace my mom Dallila. Moumin Shafi
BROOKLYN CRECKNERZ 4LIFE REMIX 2
Nani yupo apa 2021 feb 1 km kawaida
Nipo 2021
R.I.P MCHIZI ENAI
Jamaa alifariki lini kwa tatizo gani
hola kama unataka zile songs za zamani wapi unapata
+Hussein Suleiman diki anazo
Martian Devil hana lolote
Long time Zanzibar
2024
2004 dah kitambo sana
Brokllyn in 2022 home sweet home I'm omah ly
❤❤❤2023
2024 who stil here
16.08.2023
Dah 2022
R i p, N I
2022
Aziz(N.I)
2024❤
2017!!! 👊👊👊👊👊
2021/7
😂
2024 🌤️
2019
Nakumbuka mbali sana hi ngoma
2022
2024
😂
2020
2024