Bz Broo - Honey

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @suleimanmakame3028
    @suleimanmakame3028 ปีที่แล้ว +1

    Yanii nikisikiliza hii nyimbo nakumbuka mbali xana

  • @razoindeed8228
    @razoindeed8228 2 ปีที่แล้ว +6

    Hadi Bongo flavor itakufa haitaimbwa ngoma km hii...Nyie Bzbroo, 2berey na Offside trick waliimba mjue

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 ปีที่แล้ว

      Naisikiliza mpka saiv all da way from uae 🇦🇪 dubai ❤

  • @mbokomboko5974
    @mbokomboko5974 ปีที่แล้ว +3

    Miaka imekatika yaani kipndi hicho ilikuwa unskiliza nyimbo zilienda shule yaani nyimbo inaimbwa kwa maneno ya hisia jamaa wangefka mbali sana zenji fleva Kama bd unskilizanyimbo hii gonga like apo twende pamoja

  • @cholloriyamiy2249
    @cholloriyamiy2249 ปีที่แล้ว +2

    Ni Bz Broo.. Na Mie ni Maliqwaliy

  • @RioIpo
    @RioIpo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo Malikwali dah kauwa sana

  • @salehaliy7198
    @salehaliy7198 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuwekeeni na nyimbo ya Shaka Zulu Sanaa alomshirikisha Suma lee na mad max

  • @ibrahimmsanif4457
    @ibrahimmsanif4457 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna msanii mmoja wa zamani kabsa anaitwa Honey Jay kuna nyimbo yake moja inaitwa Mpenzi laghai, heb tutafutie ilee

  • @allysnear4993
    @allysnear4993 ปีที่แล้ว +1

    daah hii ngoma imetafuta sna..bro naomba utuekee naile ya east conection wanayomponga shaka zulu kuna kipande anaimba maliqwali kinasema namuona fala mental anajita shaka nakwenye stage akipanda kwnza anapaka maliqwali super star

    • @RioIpo
      @RioIpo 9 หลายเดือนก่อน

      Malikwali mkali sana

  • @rmssydina1157
    @rmssydina1157 ปีที่แล้ว

    Tuweekee nyengine za zamani

  • @dullahmahfoudh9320
    @dullahmahfoudh9320 3 ปีที่แล้ว +3

    Thnx nimeitafuta muda mrefu

  • @abubakarothmani4294
    @abubakarothmani4294 2 ปีที่แล้ว

    Kiuweli songs kana hzi in vgumu kuzipata kwa sasa, na unaweza kuzitafuta pia isizipateee hasa zenji flavour Kama hzii.

  • @nassormazea8742
    @nassormazea8742 2 ปีที่แล้ว +1

    Amani iwe nawe milele daima mtoa post

  • @allyrobison3456
    @allyrobison3456 8 หลายเดือนก่อน

    hizizetu zaenzi hizo

  • @michaelmdunga8790
    @michaelmdunga8790 2 ปีที่แล้ว

    Old is good zamani mliimba Sana

  • @makacharatv4257
    @makacharatv4257 3 ปีที่แล้ว +2

    I like this song r i p maniga nasso

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 ปีที่แล้ว

      Wee maniga nasso hajafa babuu yupo hai bado alokufa NIGA ALLAH arhamu ndugu yetu na wote walotangulia mbele y haki na sis tuliobakia ALLAH atupe mwisho mwema AMIN