Aslam Tz - Hanipendi Tena (Performance Video Lyrics)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 เม.ย. 2024
- Hanipendi Tena by Aslam Tz
Hanipendi Tena is OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Link ffm.to/aslam-hanipenditena
For Bookings: managementaslam@gmail.com
Follow Aslam Tz on:
Instagram / aslam__tz
Twitter / aslamtz
TikTok / aslam__tz
(C) 2024 All rights reserved Aslam Tz - เพลง
Wale tumetoka tiktok hadi hapa❤❤
😂😂😂
😂😂😂😂na mm pia nimemfata
Ndo Mimi huyu😅
Kama unamkubali Aslam mwaga likes nyingi hapa
Anajuwa ❤❤❤❤
❤❤
❤️❤️❤️
Nyieee kuna watu wanaimba yaan namutukio tulionayo yaan unasikiliza nyimbo hadi mwili unasisimka🎉
Dah yan hinyimbo inaenda na wakat wangu mm asaiv
Kwel ila xio pek ak
Kama unampenzi Na anakusumbua, weka saini hapa🎉🥳🎉🙌
Kukupinga sijawah
kazi imesimama hii mzee mpaka umepata coment yangu kesho we ni star mzee baba
Nakupenda sana kaka❤❤❤
Sanaa ni ujuzi bro, unajua sana tu naaona kesho yako nzuri nakubali
Kama Una mkubari uyu mwamba mwaga makopa yake❤
Msanii si ndio huyu hapa sas 🔥🔥🔥🔥
Nija hii imeenda i promise nipo tayar kukuandikia story kwenye video na kujufanyia video king free kaz nzur 🫡🫡🫡
🎉🎉🎉 fire mkali kaza ww ni mkali
Nyimbo nzuri 😢😢😢😢😢
Kijana mdogo sauti masahaAllah🎉🎉
Uyuu jamaa apatee kolabo na mbosoo mapemaa snaaa uandishii wakee na kirungii itakuwa bonge moja na jointii
Kwani ni mangapi nilo fanya ama sikutenda jemaa ur talented aslam may god protect ur voice
kama kuna zaid ya asilimia mia basi ningekupa zote wee my broo bad writter salute ✋💎💎💎💎
Umewezaa oyaaaaa weeeeeeeeeeeeeee ni wa moto ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu jamaa anajua sana
Unajuw kijana hongera sana big up
aslam unajua sana....uko serious sana na uyo producer wako mshikilie coz anakupatia,kuna cku kina marioo watakuhofia
Unaimba ka sifa nmerudia hii nyimbo mara kumi
Nakubali Sana hii KAZI Kali Sana napenda Sana song kama hizi morali kaka
When you happy you feel beats but when you re sad you feel melody
Mtunzi wa huu wimbo nimjue jamani eeee kanimqliza mim ❤❤❤❤❤❤❤❤
Nampenda huyu kaka na nyimbo zake❤❤❤
Nakuona mbalii sana mwanangu aslam ulipotoka naulipo fika mungu atafungua milango tu
Tz wasanii weng sana sijui kwann wengne hawasikk jamaa mkali sana uyu🤝💯♥️👏
❤❤❤❤🇨🇩🔥🔥🇨🇩💧 ngoma Yngu kbs kwenda Rudi
We Jamaa Noma Sana❤
Mbona ngoma haipand kwanin wa tz hatupend mziki mzur 😢😢😢
Daah huyu kk apewe mauwa yake Mungu amzidishie InshaAllah
Upo vizuri dogo nimeona wanakupromote Kwa tv❤
Wewe unafaa collabo na jay melody,,,juu hiyo sauti yako ni noma Sana kaka,,,,from kenya much love
Hit song baba❤
Weee moto🔥🔥🔥..Kenya tuna kutbua🎉🎉🎉
This is now pure bongo. Who can resist? Reminds me of early days of @diamondplatnumz
Tanzania❤
Nilidhani n yammy haki sauti zinafanana ila nyimbo nzuri sana
Uko very talented brah
Nice song good voice gd firing yes mwamba kabisa
sawa mkali
Yani wewe bro unaimba sana wewe ni level yengine🎉🎉🎉🎉❤❤
Daah watu wamaana sana san unajua kaka ipo siku utaonekana kwa ukubwa
Tunawajuwa unaowaandikia mziki 😂😂😂💯🔥🔥
Sina neno mdogo wangu unawezaga sanaaa Tena sanaaaaaaaaaaa
Hot sana kazi nzur 🎉
Cngleee for lifeee😢😢😢😢😢
Kweli wewe ni legend good song big up
Mapenzi mapenzi nyoooooooo 🥹😭😭😭💔💔💔💔😭😭😭
Ngoma kalii snaa . Uandishi melody na staili yake ya kipekee⚡️🙌🏽big up sanaa
Hit🔥
This song is so amazing ❤❤
Dogo ungekuwa diamond au ali Kiba au konde boy au van boy au marioo kwa huu wimbo ungefika mbali sana yaani unajua na unajua tena shida ya wa tz wanasapot majina sio wimbo
Kazi nzuri sana ❤❤
Aslam noma sana
Melody 🎶 and Lyrics Good. More Talented
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Am in love with the song❤❤
Wow,umeweza hadi umepitiliza 🎉
Umeuaa
Umeweza mpk umeweza tena...
Mwanangu noma👌👌
Oi Aslam unajua banah 🔥 baraka zangu pokea 🙏
❣️❣️❣️❣️💔waoooooo
❤❤❤anakuja n mbio za Marioo ❤❤ keep going bro we love you ❤❤❤and am sure u will make it ❤❤❤
Mapenzi ni hatari😢❤❤
Uko vizuri kaka
Nimeisikia clouds fm ii ngoma ikanibidi niingie Shazam 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
fire🎉
song is deep💯
🔥🔥
Kaz nzur
Nice bro
Umewezaa kakaaa❤
Good music ❤
Acha tubaki single kweli dhaaa 🥹😭😭💔
Siku Kenya wakijatoa msanii kama huyu mbona nchi tutaikimbia😂😂😂😂😂
❤❤pambee
Kazi nzuri
Naikubali sauti...mtafute yummy mtoe kitu kizur zaidi
BRO NICE JOB KEEP UP UME TISHA SANA WE NI STAR 🔥🔥
Oya aslam ww ni zaid ya marioo
Ongera ❤️ saf sana 😊😅
Nmeupenda sana huu wimbo
🔥🔥🔥
I don't like sad songs but this is a banger sauti iko poa!! ❤💯💯
My favorite song 🎵 ❤️ bigup brother
we are here before a million ❤🎉 button
danger☠
Nomaa hii 🙌
🎉🎉🎉🎉nakubari bro from burundi
Nice song
Big up bro don't give up........
Super i love hit
❤❤❤❤
❤❤❤
au bhasi acha tu ,,,,
❤❤nyimbo zako zinanikosha roho❤❤❤❤