Lody Music - KOSA(Official Lyrics Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 357

  • @Lodymuzic
    @Lodymuzic  9 หลายเดือนก่อน +173

    Ahsanteni Sana Kwa Support yenu ya Kila siku. Nimewaletea wimbo wenu Sasa. Let's Keep Going Fans❤

    • @Clamvevofans
      @Clamvevofans 9 หลายเดือนก่อน +6

      Video lini lody

    • @gotitv_1
      @gotitv_1 9 หลายเดือนก่อน +3

      HIII NGOMA LAZIMA IIINGIE TRENDING

    • @Edgereliud
      @Edgereliud 9 หลายเดือนก่อน +1

      angalia ngoma inavyoisha kaka mwisho imekata tu paaaa

    • @wizzyjabary7777
      @wizzyjabary7777 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nakukubalii sana unajua mnoo🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Ogastijohn88
      @Ogastijohn88 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nice song like you 🎉

  • @jaekygraphy
    @jaekygraphy 9 หลายเดือนก่อน +45

    Kama Unamkubali, Lody Music He Is More A Talented Nipewe Likes Zake 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gudoxkato6874
    @gudoxkato6874 9 หลายเดือนก่อน +20

    Oya jana nimebreak up napisi yangu nlikua naipenda kinyama ikaleta mdrama kitendo chamimi kuiuliza kwann unafanya ivi jibu nlilojibiwa kwamba nna uhuru wakufanya lolote hata nikitaka kumuacha yeye sawa tu afu naskiza hii track kosa langu lilikua kumpenda manina zake lody acha basi

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 9 หลายเดือนก่อน

      Pole mkuu, utapata pisi nyingine ni swala la muda tu

    • @danielmollel2655
      @danielmollel2655 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 Amekuacha weé umeachwaaaa😁😁😁, pole mwanetuu

  • @noswingofficial9624
    @noswingofficial9624 9 หลายเดือนก่อน +14

    KUHUSU NYIMBO ZENYEMANA TUMUACHIE LODY MUSIC
    MAMBO YA AMAPIANO NA UJINGA USIMULIZA

  • @damiansanya
    @damiansanya 7 หลายเดือนก่อน +1

    wimbo mkali sana bro ningependa tufanye kitu kikali na wewe

  • @ZakiaShelary44
    @ZakiaShelary44 9 หลายเดือนก่อน +4

    Jamn nyimbo imenigusa ataliii kaz nzur🌹

  • @joelmundia2394
    @joelmundia2394 หลายเดือนก่อน +1

    Making kiswahili such a powerful language

  • @SidatiSaidi
    @SidatiSaidi 9 หลายเดือนก่อน +4

    Unajua sana broh wAkilisha kilwa yetu kila lakheri

    • @dankerseaga1823
      @dankerseaga1823 9 หลายเดือนก่อน

      Pamoja

    • @jafarikapera5253
      @jafarikapera5253 8 หลายเดือนก่อน

      Kumbe hii chuma ni ya kilwa?
      Ametisha sana

  • @Lion_killer4
    @Lion_killer4 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini wasani wa tz munanifanya niwapende zaidi mm natoka 🇧🇮🇧🇮 ila nawapenda saan nipeni bs linke km unamukupali lody musuc

  • @officialgypsum12
    @officialgypsum12 9 หลายเดือนก่อน +6

    Wa kwanza mimi kutoka Tz kama umesikiliza hii ngoma mara mbili Tia like hapa🎉🎉

    • @lebelgross2656
      @lebelgross2656 9 หลายเดือนก่อน

      Mwamba yuko moto kimaandishi

  • @MatondoMakela
    @MatondoMakela 9 หลายเดือนก่อน +4

    Lody umeniimbia mimi hii nyimbo, maana hayo ndio nayapitia saivi kosa langu nini daaaaaah,,,kupenda sana ni kujichimbia kaburiii

  • @FananiGrosper
    @FananiGrosper 9 หลายเดือนก่อน +12

    Leo wa kwanza Mimi Jaman sitaki like nisaidieni bando tu hayo ma like wapeni haooo😮😮😮

  • @AyubBaya
    @AyubBaya 9 หลายเดือนก่อน +2

    Moto xanaa nasikiliza2 nkiwa kenya cod 254

  • @rayanchidona2612
    @rayanchidona2612 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kali sana lody music ,much love from Kenya🇰🇪

  • @GoodluckDavis-gj7md
    @GoodluckDavis-gj7md 9 หลายเดือนก่อน +3

    jibu ni nzuri sana ,Kaka umeuuwa sana

  • @JESHI107
    @JESHI107 9 หลายเดือนก่อน +29

    Like za Kenya 🇰🇪 from USA 🇺🇸

  • @Omugalydia
    @Omugalydia 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ningekua sijui maana ya mapenzi ningekusoa wewe... lody nakupenda sana wewe... hilo ndo kosa langu❤❤❤

  • @mbwanaramadhani7911
    @mbwanaramadhani7911 9 หลายเดือนก่อน +3

    Unyama sana kaka wengine wanaiga tu tallented boy

  • @JohnMwamakula-iw5uf
    @JohnMwamakula-iw5uf 9 หลายเดือนก่อน +7

    Ivo lody music huu wimbo ilivokua unauachia ulijua ndo siku yangu ya maumivu daah hakika kilicho niponza wema wangu pia kosa langu kukupenda wewe ahsante kwa maumivu

    • @Rasamtv-ou4vh
      @Rasamtv-ou4vh 9 หลายเดือนก่อน

      Pole brother 😢 usiruhusu uzame tena

  • @CONSTANTINOROMAN-ys7th
    @CONSTANTINOROMAN-ys7th 9 หลายเดือนก่อน +8

    Kaka ikiwezekana uwe unatuimbia sisi tulioachika tu unatupatia sana

    • @Elybwayz
      @Elybwayz 9 หลายเดือนก่อน

      😂😅😅

  • @WeckEmmah
    @WeckEmmah 5 หลายเดือนก่อน +1

    From germany love the song

  • @beatrixmalakasuka1214
    @beatrixmalakasuka1214 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nakukubali sana rudi kwa kasi Mwanamuziki bora

  • @shemmtrue254
    @shemmtrue254 8 หลายเดือนก่อน +7

    Kitu Kali Kaka Love❤❤ From Kenya Wapi Like Za Upendo Wa Kenya Tanzania

  • @alexpeter6144
    @alexpeter6144 8 หลายเดือนก่อน +3

    Tuna kubali kaka nyimbo mzuri fanya basi kolaboreshe na lbra😊

  • @salvinamakindi473
    @salvinamakindi473 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzur sana 🔥🔥

  • @MWANDOLA1
    @MWANDOLA1 9 หลายเดือนก่อน +7

    Wakwanza naomba like zangu 100 💯

  • @Dr_Cayden_Official
    @Dr_Cayden_Official 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mfalme wangu nakukubali ❤❤

  • @YusterGasper
    @YusterGasper 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna watu wanaimba bwana huu wimbo unaweza ukalia mpka mafua 😢

  • @aminakuboja2962
    @aminakuboja2962 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa kabisa hujui kukosea 💘

  • @Trestartz
    @Trestartz 9 หลายเดือนก่อน +3

    TRESTAR 🇹🇿NA Hii imenifikiaaaaah Big Up LODY MUSIC BINGWA WA melody Yakee mwenyewe NO COPYRIGHT IN TOWN🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅💰💯

    • @wizzyjabary7777
      @wizzyjabary7777 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kaka atariii uyu jamaaaa

  • @AthumanJuma-b2k
    @AthumanJuma-b2k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubari lody king me ebake boy from dodoma

  • @benahgrafix
    @benahgrafix 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka hii ngoma ni 🔥🔥

  • @geofreydiego6829
    @geofreydiego6829 7 หลายเดือนก่อน

    Mshedede kabisaa uyu. Umeuwa babaaaaa

  • @osmankhoke254
    @osmankhoke254 8 หลายเดือนก่อน

    Uandishi mzri,maudhu mazri na melody zilizokwenda shule hongera kijna ata sikuwa najua hii ni ya Lody music 🎶 nikiwa nakutananayo Tiktok watz hizi ndio pure talent tatizo lenu mpenda utimu ndugu..

  • @kevinasunda1209
    @kevinasunda1209 7 หลายเดือนก่อน +1

    Remix Mbosso ataua sana na itakuwa kubwa sana💯💯

  • @AbadallahYasini
    @AbadallahYasini 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka ngoma nzuri walosikiliza Mara mbili like tujuane

  • @ChuxDaniel
    @ChuxDaniel 9 หลายเดือนก่อน

    lody ujawai zingua kaka Mimi nakukubali kinoma sana Sema umefuta nyimbo yangu niliyokuwa nikiipenda "linapotea" ulizingua sana kaka but more love in Zambia 🇿🇲

  • @RAAJMELODY
    @RAAJMELODY 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tuseme wakwanza
    Nice work

  • @HamisMaulid-uf8wf
    @HamisMaulid-uf8wf 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeikubal bro

  • @deeclassicafrica07
    @deeclassicafrica07 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kali saaaaana

  • @RamadhaniRamadhani-h9v
    @RamadhaniRamadhani-h9v 9 หลายเดือนก่อน +2

    Noma mzee

  • @BAPTISTAFREDMILLANZI-b9r
    @BAPTISTAFREDMILLANZI-b9r 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sema unajua kakaa big up

  • @shaabaneid6903
    @shaabaneid6903 8 หลายเดือนก่อน

    Mziki mzuri unajiuza automatical wallah

  • @Ramyfalz09
    @Ramyfalz09 9 หลายเดือนก่อน

    Lord music umetisha bro real talent

  • @EsaieKasongo-yt7rk
    @EsaieKasongo-yt7rk 8 หลายเดือนก่อน

    lody unaweza sana

  • @Sir.Patrick
    @Sir.Patrick 8 หลายเดือนก่อน

    This Guy knows how to deliver a good Music😊😊😊😊

  • @king_ebben9210
    @king_ebben9210 9 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥hujawa kosea blood unalengaga palepale

  • @Ramozee_tz3676
    @Ramozee_tz3676 8 หลายเดือนก่อน

    Nimekumbuka mbali Ila lody ninoma Yani iki kichwa Acha kabisa

  • @felicianmagembe4928
    @felicianmagembe4928 9 หลายเดือนก่อน

    Lody ulikuwa wapii msanii wetu tumekumiss sana kaka❤

  • @OmaryMadereka
    @OmaryMadereka 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ amazing song inasisimua sana hii

  • @SaidiKaunga-oy2ll
    @SaidiKaunga-oy2ll 9 หลายเดือนก่อน

    Unajua sanaa mkuuu piga kazii

  • @NanahBrown
    @NanahBrown 8 หลายเดือนก่อน

    Hujawahi kosea❤💔👏

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 9 หลายเดือนก่อน +2

    ngoma Kali sana kaka

  • @salumabdallah1212
    @salumabdallah1212 9 หลายเดือนก่อน +1

    kaliii sanaaaa

  • @wizzyjabary7777
    @wizzyjabary7777 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lody music fundii wa romantic songs 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @CharlesFideli-ny6zr
    @CharlesFideli-ny6zr 9 หลายเดือนก่อน +1

    Oya lody
    we noma

  • @zaruboy_tz
    @zaruboy_tz 8 หลายเดือนก่อน

    Daaaaaaaah Tisha sana

  • @songeadecoration712
    @songeadecoration712 9 หลายเดือนก่อน +1

    we msenge unajuwa sana yani adi kelo bhn dah

  • @Yusufoso-h2m
    @Yusufoso-h2m 9 หลายเดือนก่อน

    Brother unajua sanaa wallai💯💯

  • @mbwanaramadhani7911
    @mbwanaramadhani7911 9 หลายเดือนก่อน +2

    Lody music on this one❤❤❤

  • @Fareed4real-ln5uu
    @Fareed4real-ln5uu 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka una ujua sana mziki mbosso ajipange

  • @Gave8888
    @Gave8888 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bongo fleva to the world

  • @StevenMgassa
    @StevenMgassa 8 หลายเดือนก่อน +3

    Namuona mbosso namuona kasimu mganga hapo

  • @husseinmohamed8846
    @husseinmohamed8846 7 หลายเดือนก่อน

    We hujui ila unakera 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AhmadKhatibu57-lw7wf
    @AhmadKhatibu57-lw7wf 9 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali kinyama jamaa anajua

  • @Dannytitoff254
    @Dannytitoff254 9 หลายเดือนก่อน

    Hujawai kosea Mzee baba

  • @husseinrita1497
    @husseinrita1497 9 หลายเดือนก่อน

    Naisi unakitu kikibwa
    Lkn pia nakudai ngoma moja ufanye na kassim mganga naiyona mbali

  • @Oppah_
    @Oppah_ 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka ushajinyonga au bado 😂😂, Ngoma kali 🎉

  • @mokwenajnr
    @mokwenajnr 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lody Music on this one 🎶👑💫

  • @nangvanny-ir8es
    @nangvanny-ir8es 8 หลายเดือนก่อน +1

    True💯 ndogoo❤️

  • @Chizoofficial
    @Chizoofficial 9 หลายเดือนก่อน

    Hit song,🔥🔥Kosa by lody music

  • @amanjose1374
    @amanjose1374 8 หลายเดือนก่อน

    Umetisha tisha sana kaka nimerudia zaid ya mara 💯 😊

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 9 หลายเดือนก่อน +1

    This is love from Mozambique 🇲🇿 p❤

  • @MohdHussen-lq9qs
    @MohdHussen-lq9qs 9 หลายเดือนก่อน

    Uskate tamaa baba we tajir wa badae

  • @YekoniaTostao-dg5qj
    @YekoniaTostao-dg5qj 8 หลายเดือนก่อน

    Umetisha San lod🎉

  • @Nyota_Shujaa
    @Nyota_Shujaa 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mwandishi hatari sana

  • @SherzyrOscar
    @SherzyrOscar 7 หลายเดือนก่อน

    Umetisha

  • @cedrobyninjamboka
    @cedrobyninjamboka 9 หลายเดือนก่อน

    I'like she IS song for life ❤🎉 Bravo 💪🔥🇨🇩✅

  • @lebelgross2656
    @lebelgross2656 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hebu pika kitu @zuchu @dvoice mkiachie hewani maana hapa lafudhi zime jaaa🎉😂😂😂

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 9 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri mzee baba 🎉🎉

  • @SenseboyOG
    @SenseboyOG 9 หลายเดือนก่อน

    Good song kaka angu unatisha san 🔥🔥🔥🔥

  • @producerdyson2796
    @producerdyson2796 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ngoma imeenda sana ongera

  • @khalidjafary1120
    @khalidjafary1120 9 หลายเดือนก่อน

    Uyu
    Mwamba anajua 0:50

  • @IDV630
    @IDV630 8 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri

  • @MedicineLove-wi5ql
    @MedicineLove-wi5ql 9 หลายเดือนก่อน

    Kaz mzur mzee

  • @MohamedyAdamu
    @MohamedyAdamu 9 หลายเดือนก่อน

    Yani apo ungempa lava lava ungekimbia. Uandishi wake huu

  • @Fortuneflavour
    @Fortuneflavour 9 หลายเดือนก่อน

    thanks my mentor for this hit song. confirmed by Fortune Music pon this one💖💖

  • @hassanngayaga3202
    @hassanngayaga3202 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wanyumbani unajua sana hatari

  • @azeezbm2374
    @azeezbm2374 9 หลายเดือนก่อน

    Hatimaye imetokaaa😊❤

  • @sephbuche9459
    @sephbuche9459 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ first Kenyan to comment ❤🎉😂 representing upcoming artist

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 9 หลายเดือนก่อน

    Hii wimbo hatarii ila ungemshirikisha na hanstone ingekuwa gumzo

  • @KadustaBoy
    @KadustaBoy 8 หลายเดือนก่อน

    nakubali sana Rody

  • @pasikalimwaniungu
    @pasikalimwaniungu 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka una jua 💯💯💯

  • @hashimmaftah5508
    @hashimmaftah5508 9 หลายเดือนก่อน

    Lody music on this one 🔥☄️🙌

  • @Bster2018
    @Bster2018 9 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana mwamba from Malawi 🇲🇼

  • @emanuelmalya9668
    @emanuelmalya9668 9 หลายเดือนก่อน +1

    Oya Wee #LODY_MUSIC Anaimba Saaaana🔥🔥🙌

  • @manilizer_hydrozonium613
    @manilizer_hydrozonium613 9 หลายเดือนก่อน

    wewe lody music hatari

  • @HASSANKAMGUNDA
    @HASSANKAMGUNDA 8 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya lavalava hayo
    Lody music ft lavalava remix

  • @thonnybrowntiffah9643
    @thonnybrowntiffah9643 9 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉nakubali familia keep going❤❤

  • @SilasOmondi-qs5uy
    @SilasOmondi-qs5uy 9 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥from Kenya