SURUALI YA LASTIKI// Urahisi wa Jinsi ya Kukata

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Karibuni tena kwenye channel hii #‪@NaimaCreation‬ mjifunze Jinsi ya kukata suruali ya lastiki Mishono ya vitambaa suruali za Kisasa Zinazotrend,
    #Jinsiyakukatasurualizakisasa,
    #Jinsiyakukatasurualizinazotrend,
    #mishonomipyayasuruali,
    #mishonoyavitambaa,
    #@NaimaCreation ,
    #surualizakisasa,
    #zinazotrend,
    #surualizakisasazinazotrend,
    Kwa video nyengine tafadhali angalia • Jinsi ya kukata hafu y... LIKE na SUBSCRIBE

ความคิดเห็น • 36

  • @JapharyMsengi
    @JapharyMsengi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naima fundi uko vizuri sana Allah akujalie vizuri

  • @FatumaAthumani-j9s
    @FatumaAthumani-j9s หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @angellamwamlima6569
    @angellamwamlima6569 4 หลายเดือนก่อน

    Unaeleweka saana❤❤

  • @MariaKitiku
    @MariaKitiku หลายเดือนก่อน

    Dada Asante Sana mungu akubarki maana nilikuwa sijui kukata suruali daa saiv nimeelewa🎉🙏🙏🙏

  • @FatmaZubery-wf7sc
    @FatmaZubery-wf7sc 2 หลายเดือนก่อน

    Uk vzr kw kwel maxhallah

  • @AmenNkya
    @AmenNkya 2 หลายเดือนก่อน

    Asante my dear nimeelewa na tumekata pamoja ❤❤❤❤❤ ndo naanza kuishona

  • @UmmuNuaym-q6h
    @UmmuNuaym-q6h 6 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Dada uko vizur nakuelewa

  • @FurahaMowo
    @FurahaMowo 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kipnz

  • @khadijamnyaya8544
    @khadijamnyaya8544 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallaah dada Allah akujaalie

  • @Rehema-yr6md
    @Rehema-yr6md หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana kipenzi naomba uniunge kwenye group lako

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  หลายเดือนก่อน

      Wasap namba 0672310102

  • @TegemeaSanga-d6r
    @TegemeaSanga-d6r หลายเดือนก่อน

    Hogera kwa Kazi nzuri.unapatikana wapi.

  • @user-sz9uh5rg7c
    @user-sz9uh5rg7c 5 หลายเดือนก่อน +3

    naomba kama una group la kujifunza uniunge

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  5 หลายเดือนก่อน

      Sina mumy kwa sasa

    • @user-sz9uh5rg7c
      @user-sz9uh5rg7c 5 หลายเดือนก่อน

      thank you nakufatilia sanaaaa ila hua najifunza zaid pale unapotumia lugha ya maandish kama happy cjackia hata neno moja

  • @JoyfulSeaLion-jz6qk
    @JoyfulSeaLion-jz6qk 5 หลายเดือนก่อน

  • @HabibaMalikita
    @HabibaMalikita หลายเดือนก่อน

    Naomba kujifunza ushonaji kujiunga na darasa lenu

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  หลายเดือนก่อน

      Wasap namba 0672310102

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 28 วันที่ผ่านมา

    Naomba Kama una group lankufundishia uniunge natamani kujifunza sijapata wakunifunza nisaidie please

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  28 วันที่ผ่านมา

      Wasap namba 0672310102

  • @user-mb1dj8tn2q
    @user-mb1dj8tn2q 3 หลายเดือนก่อน

    Unaerejeza vizuri mnooo❤❤❤❤❤❤ nimependa naomba namba ya wasap

  • @zakiaayoub4827
    @zakiaayoub4827 5 หลายเดือนก่อน

    naomb na unifundishe sijui

  • @GhatiMakuri-kp5vw
    @GhatiMakuri-kp5vw 3 หลายเดือนก่อน

    Dada naomba whatsp ninashida private

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  3 หลายเดือนก่อน

      Sema tu huku wasap situmii

    • @GhatiMakuri-kp5vw
      @GhatiMakuri-kp5vw 3 หลายเดือนก่อน

      Ndo nimeanza kujifunza ila naomba unisaidie kunielekeza jinsi ya kusoma tape na zile inchi unazo ongeza kabla na baada ya kupima

    • @NaimaCreation
      @NaimaCreation  3 หลายเดือนก่อน +1

      @GhatiMakuri-kp5vw kabla siongezi inchi yeyote ukiskiliza video utaelewa

  • @YusterMtafya
    @YusterMtafya 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba kama una group uniunge