Train ya umeme ilikua ni ndoto ya Jakaya, Magufuli akaitekeleza robo. akaja Samia akateleza naye robo imekua nusu tunasubiri raisi wa awamu ya 7 tuone naye atatekelaza kiasi gani katika nusu iliobaki.
@@butungo1 kila jambo hujengwa kwenye ndoto ile ndoto ukaitafsiri kwa watu na kuindalia mapango elewa hilo. Jakaya katika utawala wake alikua na ndoto mbili katika miundo mbinu ya usafirishaji kwanza flayover bridge kuondoa jams barabarani pili standard gauge rail nazote ilizitengenezea map. Huyo Magufuli wako kaingia madarakani neno Standard gauge rail likuta linatamkwa katika mipango ya serikali jamani muwe mnaftilia ili muelewe vizuri sio kukurupuka na mihemko
Magu ndie Rais wetu mpaka sasa hivi kafanya mambo mazuri ni Rais wetu Magu kama sio yeye tusingekuwa na maendeleo haya. Ulale salama ila inawauma sana Watanzania kwa ulilotendewa, MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.
This mammoth project is one amongst many iniatives president Magufuli devoutedly established. We dearly miss you, Magufuli, Rest In Peace. Some of those who came after you, CAN NOT EVEN OVERSEE SUGAR AVAILABILITY AND AFFORDABILITY, LET ALONE THE EVER HIKING PRICES OF FUEL

Ushauri wangu tu kama Mtanzania hayo majengo ya pembeni yangekarabatiwa au yapakwe hata rangi na mapati yake yangepakwa rangi ya blue yangevutia na kupendezesha jengo kubwa la Tanzanite lakini pia kumechisha na bahari tusichukulie kawaida watakaotumia tren hizo ndio watakaoona mabati na hayapenzi kwakweli hufifisha uzuri wa jengo kuu.

Hizo ni ndoto za magufuli, zitakufa kama alivo kufa yeye, na, nina amini huu nradi utazoofu, ili tuendelee kupanda ma basi yao. Mchezo wa mafisadi papa, majizi, hautakoma, na hata yakifa; nguvu kuu watateka watoto wao, KATIBA MPYA INATAKIWA KWA LAZIMA, SIO KWA KU PAPASA PAPASA.

Hongera Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Ubarikiwe kwa kusimamia Miradi ki ukamilifu, Mungu akulinde na akujaze subra mana kuongoza Nchi sio lele Mama , hasa umeachia kijiti wakati Raia asilimia kubwa hawana hata utaratibu wa kujisomea hata Vitabu, ukisoma comments ndio utajua Raia zako uwezo wao ukoje 😂😂😂😂😂

Hongera magu kwakuanzisha huu mradi lakini umeondoka mradi Bado haujakamilika kwakuwa mradi umeanza tunaomba nauli iwe rafiki ili kila mtanzania wa Hali ya chini aweze kuimudu maana magu alitwambia kuwa nauli itakuwa chini na pia bwawa la jk likikamilika umeme utashuka bei tunasubili watanzania tuone aliosema magu yanatekelezwa tunasubili tuone
Has to be truth isiwe story we believe is ready cgr on lmotion start Janey from dar to dodoma as the gavment official of tanzanian really development get Tanzania travel with cgr new tran start transport passenger
Tunadanganywa ili tuone hivi wanataka kuwa wanaanza safari . Sidhani kwani vichwa vinaletwa vibovu. Leo mnadanganya watu ati mnaanza safari kwenda Morogoro.
yan tren hizi sio kabisa yani heri kuendelea kupanda BM natumaini angakuepo yule aliekuja na mpango huu asingefanya hiki wanachofanya hawa viongozi wa sasa aisee yule kaacha mzigo sana kwa waTanzania
HONGERA ZIENDE KWA JAKAYA KIKWETA KUANZISHA WAZO LA WATANZANIA KUA NA TRENI YA UMEME NA KUONGEA NA WAFADHILI KWA MIPANGO YA AWALI. PONGEZI ZIENDE KWA JOHN POMBE MAGUFULI NA SAMIA HASSAN SLHUU KWA KULIFANYIA KAZI YA UTEKELEZAJI WAZO LA RAISI MWENZENU ALIE KUTANGULIENI NI JAMBO LA KUJIVUNIA.
Nchi jau sana hii yan 2mecherew kupata maendereo aisee yn tokea nchi imepata uhuru 62 had leo 2024 bado ha2japata v2 kama hv kwel daah ya ccm wanajaza ma2mbo yao 2 na familia zao uku waki2pga polojo kila leo noma sna tz
Hapa kama tumechakachuliwa. JPM alituambia amelipia mabehewa ya kisasa ya abiria 60 na ingini zake 12, pia mabehewa ya mizigo 1000. Naona mabadiliko ambayo siyaelewi
Tz tunaitaji marais madicteta kama jpm si vinginevyo nchi ilikuwa inakwenda vizuri toka kaja huyu msujudia mabeberu na waarabu kila kitu kimekufa kibudu hujuma kila sehemu
Hongera Sana John Pombe magufuli kwa kazi nzuri
Hongera pia kwa Mhe Rais , mana alikuwa na uwezo wa kusitisha kuuendeleza huu mradi akapeleka fedha kwenye vipaumbele vingine
Makufuli alifikia asilimia ngapi ujenzi huu?
Unaakili sana🎉,Chukua maua Yako
@@ndukulusudikucho_MUNGU anakutazama vibaya¡
Hahaha
Mimi pamoja na walio like apa tunaomba hii trein iitwe magufuri
Hi kazi kubwa,ni HESHIMA kubwa kwa nchi yetu,Keep up doing good jobs🙏
Hongerini Sana tzania Kwa juhudi zenu .muhimu hii muangalie vizuri wasiwepo wahujumu kuharibu .inshaAllah mwenyezi mungu atawajalia
Kama mkenya nawapongeza sana tanzania, this is a good milestone and better than our sgr.hongera sana watanzania
Asante sana ndugu
@@mimiraia2531 karibu
@@mimiraia2531 karibu sana
Kazi nzuri nchi yangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Daaaaaaah aliyetufanyia kashaondoka😭😭😭 mung ailaze roho yake mahal pema pepon amin, na azid kumpa nguvu rais aliyp saiv..
Kazi nzuri sana RIP baba yetu Magufuli
Kazi nzuri madam president Mungu akubariki kuendeleza hii miradi mikubwa Nchini
Good job Bro... I nearly stood up na kuuimba wimbo wa Taifa.
RIP JPM. Ndoto zako zinaishi daima
Train ya umeme ilikua ni ndoto ya Jakaya, Magufuli akaitekeleza robo. akaja Samia akateleza naye robo imekua nusu tunasubiri raisi wa awamu ya 7 tuone naye atatekelaza kiasi gani katika nusu iliobaki.
@@maftahmusa9513 Ni kweli. Jakaya aliijenga kabla hajaondoka madarakani
@@butungo1 kila jambo hujengwa kwenye ndoto ile ndoto ukaitafsiri kwa watu na kuindalia mapango elewa hilo. Jakaya katika utawala wake alikua na ndoto mbili katika miundo mbinu ya usafirishaji kwanza flayover bridge kuondoa jams barabarani pili standard gauge rail nazote ilizitengenezea map. Huyo Magufuli wako kaingia madarakani neno Standard gauge rail likuta linatamkwa katika mipango ya serikali jamani muwe mnaftilia ili muelewe vizuri sio kukurupuka na mihemko
MA shaallah mambo mazuri nyumbani tz Alhamdulilahi Allah atujalie zaidi in shaallah
Pole
Hongereni TRC hongera MAMA SAMIA SULUHU
Hongera sana kazi nzuri sana. Mama hongera sana kwa kazi nzuri
Magu ndie Rais wetu mpaka sasa hivi kafanya mambo mazuri ni Rais wetu Magu kama sio yeye tusingekuwa na maendeleo haya. Ulale salama ila inawauma sana Watanzania kwa ulilotendewa, MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.
Kazi nzuri
Asante Sana walau kwa kuelekea kutimiza ndoto za Mzee wetu JPM, Ningeomba pia Kama si tren bas rel iitwe MAGUFUL
Mungu ni mwema. Nilizoea train hizi Ulaya lakini leo naona hapa kwetu nyumban. Well done !
Hakika kazi kubwa inefanyika. Mama yupo kazini hasa.
Mola akujalie afya njema Rais wetu kipenzi uendeleze haya maajabu.
This mammoth project is one amongst many iniatives president Magufuli devoutedly established. We dearly miss you, Magufuli, Rest In Peace. Some of those who came after you, CAN NOT EVEN OVERSEE SUGAR AVAILABILITY AND AFFORDABILITY, LET ALONE THE EVER HIKING PRICES OF FUEL
Mama yako hata sukari inamshinda, Endelea kumpongeza huku ukinunua sukari kwa kilo shillings 8000/=
Kazi iendelee na iendelee na iendeleeee tena na tena SSH❤
Regina thomas president uganda omoro kpitlcity yellow moment's ❤😂🎉😢😮😅😊
Congratulations Tanzania Congratulations mama samia
R. I. P JPM. Hakika ulikuwa shujaa kweli kweli. Mtu wa maono na upendo wa dhati kwa nchi yake.
This mammoth project is one amongst many iniatives president Magufuli devoutedly established. We dearly miss you, Magufuli, Rest In Peace. Some of those who came after you, CAN NOT EVEN OVERSEE SUGAR AVAILABILITY AND AFFORDABILITY, LET ALONE THE EVER HIKING PRICES OF FUEL
Lkn treni ingekuwa blue color ni nzur zaidi
Ndoto za magu,hongera sana presdant Samia,
Hongera sana Baba mdogo,Mungu akuwezeshe
Alhamdulillah. Tunakushkuru Ya ALLAH, tunakuomba ibariki Tz yetu na utufanyie wepesi ktk maendeleo yetu. Aamin.
Ushauri wangu tu kama Mtanzania hayo majengo ya pembeni yangekarabatiwa au yapakwe hata rangi na mapati yake yangepakwa rangi ya blue yangevutia na kupendezesha jengo kubwa la Tanzanite lakini pia kumechisha na bahari tusichukulie kawaida watakaotumia tren hizo ndio watakaoona mabati na hayapenzi kwakweli hufifisha uzuri wa jengo kuu.
Ahsante SSH
Mungu mrehemu John pombe huko aliko tunapoona haya tunakukumbuka sana
Safi sana😊
Mzingatie Usafi
Kwa kweli
Tren class B, hiii jamaan heeeeh ..Mungu wetu tupe kujitambua zaidiii
Urakoze SSH
MITANO TENA KWA MAMA WA TAIFA LA TANZANIA MHE RAIS DKT SAMIA SULUH HASSAN 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ❤❤❤.
well done💪💯🇰🇪
wrong flag
Tuleteeni tren ambazo alizitaka mzee wetu bhn tren gan hiyo hainatofaut na ya kigoma kila sku inaingia inaingia
We Msenge tu😂
Kazi iendelee SSH 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Shukrani SSH 🎉🎉🎉
Kaz nzuri my country giant of east Africa
Tulichohaidiwa na kilichokuja tofauti
Thank you SSH
This mammoth project is one amongst many iniatives president Magufuli devoutedly established. We dearly miss you, Magufuli, Rest In Peace. Some of those who came after you, CAN NOT EVEN OVERSEE SUGAR AVAILABILITY AND AFFORDABILITY, LET ALONE THE EVER HIKING PRICES OF FUEL
Asante mama kazi nzuri
Waoo!Mungu wetu mwema hongera wasimamizi wa mradi huu kwa ustawi wetu na watoto wetu mradi tuutunze
WALETE INGINI ZA UKWELI SIO KUTUCHANGANYA NA RANGIRANGIVHELA ZETU HIZO💪💪💪💪💪💪💪💪
Magufuli great
Hizo ni ndoto za magufuli, zitakufa kama alivo kufa yeye, na, nina amini huu nradi utazoofu, ili tuendelee kupanda ma basi yao. Mchezo wa mafisadi papa, majizi, hautakoma, na hata yakifa; nguvu kuu watateka watoto wao, KATIBA MPYA INATAKIWA KWA LAZIMA, SIO KWA KU PAPASA PAPASA.
Acha wivu mdogo treni nzuri sana hii spidi ya kutosha
Sio wivu wametupiga Sana
Mashalah treni yetu
KODI ZETUUUUUUUUU💪💪💪💪💪💪
Kongore kwa hayati Dr Magufuri kwakulianzisha hili kwa maana kusengekuwa na msukumo wako sizani kama leo tungekuwa tunazungumzia treni ya umeme.
Cheleweshen baadh ya vipande mkamilishe hiv vipande viwili vifanye kaz muingiz mapato mpunguz makal ya kugharamia vipande vingin kwa urahis...Ata watanzania watawaelew
This mammoth project is one amongst many iniatives president Magufuli devoutedly established. We dearly miss you, Magufuli, Rest In Peace. Some of those who came after you, CAN NOT EVEN OVERSEE SUGAR AVAILABILITY AND AFFORDABILITY, LET ALONE THE EVER HIKING PRICES OF FUEL
Well said
Hongereni sana na nauli mtwambie mapema
Hongera Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Ubarikiwe kwa kusimamia Miradi ki ukamilifu, Mungu akulinde na akujaze subra mana kuongoza Nchi sio lele Mama , hasa umeachia kijiti wakati Raia asilimia kubwa hawana hata utaratibu wa kujisomea hata Vitabu, ukisoma comments ndio utajua Raia zako uwezo wao ukoje 😂😂😂😂😂
This mammoth project is one amongst many iniatives president Magufuli devoutedly established. We dearly miss you, Magufuli, Rest In Peace. Some of those who came after you, CAN NOT EVEN OVERSEE SUGAR AVAILABILITY AND AFFORDABILITY, LET ALONE THE EVER HIKING PRICES OF FUEL
Kazi nzuri mama
Funikeni hiyo station yenu😮
R.i.p Magufuli hakika wewe ulikuwa na malengo mazuri juu ya taifa letu😢
Dar kama Ulaya. Daah inapendeza sana
MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI HAYATI MAGUFULI, RAIS WA MFANO AFRICA.
Well done
Si ndo huu muonekano wa treni tuliokataa?
Na wafanyakazi/wahudumu idadi iwe 50/50 hakuna kuzidisha wanawake
Ni Wanawake 100👀👏👏
Hizi siyo ingini za Treni tulizoonyeshwa wakati wa JPM
Hongera magu kwakuanzisha huu mradi lakini umeondoka mradi Bado haujakamilika kwakuwa mradi umeanza tunaomba nauli iwe rafiki ili kila mtanzania wa Hali ya chini aweze kuimudu maana magu alitwambia kuwa nauli itakuwa chini na pia bwawa la jk likikamilika umeme utashuka bei tunasubili watanzania tuone aliosema magu yanatekelezwa tunasubili tuone
Wahudumu wangevaa uniform kama za Askari ingependeza sana
Kazi nzuri but punguzeni porojo..tuonyesheni hizo safari ..Mnaongea sana 🤯
Kuna ujanja mwingi sana hapa.
Shida ya nchi za africa ni siasa
Good naisubiri hyo mchongoko
SSH TANZANIA 🇹🇿
Magufuli
Ushauri ziwe na power bank maana c kwa mgao huu tutaishia njian
Na uhakika anko Magufuri angekuepo msingenunua treni ya hivi ingekua ni bora zaidi ya hii
Has to be truth isiwe story we believe is ready cgr on lmotion start Janey from dar to dodoma as the gavment official of tanzanian really development get Tanzania travel with cgr new tran start transport passenger
Aaaah mshaona 2025 inakaribia mmeona muanze ili kuwatongoza wananchi 😂😂
Serikali,serikali serikali hongera nani maagizo ya serikali na jitihada za serikali
Nchi ina warembo kibao, lakini mnajaza wahudumu magume gume kwa kujuana juana tu 😂
Naomba muajiri na wahudumu wa kiume acheni ubaguzi sio wate tunapenda kuhudumiwa na wanawake ambao sio wake zetu.
Kweli kabisa
Waweke 50/50 sio kupendelea wanawake kwenye kazi laini laini
Kwa hii. Speed. Sit belt vipi? Hatufungi mikanda Kwa seft
Magufuli moyoni daima.
Tanzania oyeeee mama samia oyeeee mama tunakushukuru
Aika Mae mndumii nakuringe na mawicho wooose Samia suluhu hassan
SAMIA SAMIA SAMIA NA NISKIA MAMA SASA MIDOMO SASA FYUUUU OYOOOOOO SASA PESA ZITA ONEKANA SAAA TANI
Mbana utafikii tumechakachuliwa hii Treni😢
ADUI WA HILI JAMBO NI,
UMEME, USAFI, UMEME, KUJAZA KUPITAKIASI, UMEME, UMEME, UMEME, UMEME, UMEME HATUNA WAKUFANYIA VITUKOHIVYO😮😮
Mitambo itachakaa tukifanya majaribio. Mjipange kununua mitambo mingine kama ni majaribio tu muda wote. Acheni kutoa maelrzo anzeni biadhara.
Tunadanganywa ili tuone hivi wanataka kuwa wanaanza safari . Sidhani kwani vichwa vinaletwa vibovu. Leo mnadanganya watu ati mnaanza safari kwenda Morogoro.
TrC waseng’ sn Asa mbona hap madem sisi tuliosomea Reli hatuwajui kabisa chajua mmepigaje hapo😂 au hamtak degre
yan tren hizi sio kabisa yani heri kuendelea kupanda BM natumaini angakuepo yule aliekuja na mpango huu asingefanya hiki wanachofanya hawa viongozi wa sasa aisee yule kaacha mzigo sana kwa waTanzania
HONGERA ZIENDE KWA JAKAYA KIKWETA KUANZISHA WAZO LA WATANZANIA KUA NA TRENI YA UMEME NA KUONGEA NA WAFADHILI KWA MIPANGO YA AWALI.
PONGEZI ZIENDE KWA JOHN POMBE MAGUFULI NA SAMIA HASSAN SLHUU KWA KULIFANYIA KAZI YA UTEKELEZAJI WAZO LA RAISI MWENZENU ALIE KUTANGULIENI NI JAMBO LA KUJIVUNIA.
Ndio mibichwa iyo yakizamani😂😂😂
On love chi yangu atuwa kubwa
Pongezi sana
Nchi jau sana hii yan 2mecherew kupata maendereo aisee yn tokea nchi imepata uhuru 62 had leo 2024 bado ha2japata v2 kama hv kwel daah ya ccm wanajaza ma2mbo yao 2 na familia zao uku waki2pga polojo kila leo noma sna tz
Hapa kama tumechakachuliwa. JPM alituambia amelipia mabehewa ya kisasa ya abiria 60 na ingini zake 12, pia mabehewa ya mizigo 1000. Naona mabadiliko ambayo siyaelewi
Tatizo letu sio kuanzisha mradi ni kufanya uzalishe na kupata faida kwa gharama kubwa iliyowekezwa hapo
Beni mwanamntala yupo alianza yeye kuripoti huu mradi hebu comment ndugu kama tupo pamoja
UKU MTAANI TUNATUMIA MAJENELETA NA SOLA IYO TLENI ITATUMI UMEME UPI
Hi🎉🎉🎉❤❤
Nawaongeza na miez saba mingine tufanyeni mpaka mwakan mwez 2