SIRI YAFICHUKA!! KUMBE SIO WANAWAKE 400 TU, ALIKUWA NA WANAWAKE 1000, SABABU YA WANAWAKE KUCHEPUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 205

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 2 หลายเดือนก่อน +15

    Dada umejibu sahihi,jinsi yako umetumia vizuri kufanya utambue wanawake walivyo👏👏👏big up 🙌🙌wewe 🔥🔥

    • @fatmamrihani6828
      @fatmamrihani6828 หลายเดือนก่อน +2

      Hapana kaka Mimi ni mwanamke pia yaan just attention tuu ndio ufanye MAPENZI na mwanaume mwingine?? Hapana kwakweli uo ni UMALAYA au wamchunguze jamaa labda alikua anaushirikina wa kuwapumbaza pia

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 หลายเดือนก่อน

      @fatmamrihani6828 nimekuelewa, Nikweli sio kwa w/wake wote hao!tena wake za watu'na wenye nafasi zao,kuna kitu tofauti

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mwanamke anazungumza nje kabisa ya point. Inakuaje wanawake wote hao wakubali mwanamme mmoja .Huyo mwanamme ndio anakua na attention kwa wanawake wote hao? Huyo si hit and run tu. Hapo wanawake wamejidhalilisha tu akubali kwamba ni udhaifu fulani labda wa kutaka kuona kuna nini kwa huyo jamaa. Si suala la kujibu kirahisi rahisi namna hiyo.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 หลายเดือนก่อน

      @hashimchaoga9566 Exactly,huo ndo ukweli

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 2 หลายเดือนก่อน +4

    Dada anajibu kwa fact. Upo vizuri

  • @mungunimwemakilawakati1299
    @mungunimwemakilawakati1299 หลายเดือนก่อน +2

    YAANI DADA UMEPATIA HASA! DHARAU NDII KABISAAA HATUPENDI! NA WANAUME WENGINR WANAMSIGIA MWANAMKE MWINGINE MBELE YA MKE WAKE BILA KUJALI! HIYO NI TABIA MBAYA SANA!

  • @RachelPetro-v4h
    @RachelPetro-v4h 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dada upo sahii kabisa kama upo karibu na magi kunywa soda ya baridi nakuja kulipa

  • @RajabNgome-b3z
    @RajabNgome-b3z 2 หลายเดือนก่อน +21

    Mim nafikir vitab vya dini havijakosea kusema kuwa wanawake ni viumbe dhaifu, katika wanaume 400 sidhan kama ni kwel wote hawawajal wake zao, ila tatizo ni wanawake wanaish kwa hisia sana yaan kutaka kujaribu kutokana na malengo au dhana wanazokuwa nazo kichwani.

    • @princessplatnum4416
      @princessplatnum4416 2 หลายเดือนก่อน +2

      Niko nawewe uyu mwanamke nayeye amgekua kule meamba angepita nae yani inaonesha zail wanawake sowaku waamin yani wanamme 400 akuna atawaafadhal minapinga

    • @haongandositwe8947
      @haongandositwe8947 2 หลายเดือนก่อน

      @@princessplatnum4416

    • @haongandositwe8947
      @haongandositwe8947 2 หลายเดือนก่อน

      @@princessplatnum4416

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi , Kuna usemi unasema 'MWANAMKE HARIDHIKI', Mfanyie Kila kitu , Mgonge mpk hamu ziishe, Msikilize , lkn mwisho wa siku hawawezi kuzuia hisia zao pindi linapotokea la kutokea , Aidha akitongozwa au akitamani cha mtu' ujue atatoa mzigo, ndio Vitabu vya MUNGU vilituambia 'TUISHI NAO KWA AKILI'....lkn pia WANAWAKE WATAKUA WENGI MOTONI ..!

    • @RajabNgome-b3z
      @RajabNgome-b3z หลายเดือนก่อน

      @princessplatnum4416 umeona hiyo budaa huyu mwanamke angeliwa awe wa 401

  • @Elihurumamathew
    @Elihurumamathew 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani msitukane wanawake bure hata mwanaume mwenzetu nae nimtu wa hovyo kwanini uchukue wake za watu mpaka mke wa mdogo wako maana yake hata huyu jamaa hana adabu yaani huyu kama akikuta binti ambaye amepishana na mama yake miaka 18 mpaka 22 atatembea nao wote hivyo nimchafu japo wanawake wametia aibu sana 😢😢

  • @cleverjohn1969
    @cleverjohn1969 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama knachomtoa si tendo mbona wanaenda kufanya tendo lenyewe😂😂😂. Uyu mdada kazungumza shudu moja hivi

  • @g4stanzaniacashcentrecontr957
    @g4stanzaniacashcentrecontr957 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa dada vizuri sana

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 2 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu dada kwa mwamba hachomoki angekua GINE angekua wa 401

    • @Thatgurl-l8n
      @Thatgurl-l8n 2 หลายเดือนก่อน

      😂😢

    • @MasterRegan
      @MasterRegan 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂kabisa yani umejuwaje

  • @AminaYasser-y6j
    @AminaYasser-y6j 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu dadaanimempendaaa buree❤ my sister more love

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      @@AminaYasser-y6j Amina hata wewe usingechomoka Kwa huyo mwamba nasikia jamaa ana mguu wa mtoto

    • @AminaYasser-y6j
      @AminaYasser-y6j 2 หลายเดือนก่อน

      @robertphilip385 jaman ntawekwa sitnambaaangap

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      @@AminaYasser-y6j nakwambia akikuingizia humwachi nimtamu balaa

    • @SwaumChawage
      @SwaumChawage หลายเดือนก่อน

      @@robertphilip385 w alshawah kukuingzaaa😄🙈🙈

  • @raymrash
    @raymrash 2 หลายเดือนก่อน +9

    Ambacho hamjui ni kwamba ukishakuwa na cheo, unakuwa na mvuto kwa wanawake!

    • @treasureforashes3497
      @treasureforashes3497 2 หลายเดือนก่อน +2

      Wanawake wajinga

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanza jamaa ni HB,anamamlaka,pia anapesa.

    • @MussaEsrom
      @MussaEsrom 2 หลายเดือนก่อน +2

      Umalaya tu huo hakuna lolote..sasa aliowagonga si baadhi yao waume zao wanavyeo vikubwa kumliko huyo jamaa

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 หลายเดือนก่อน

      Ni umalaya mbwa tu

    • @LutfiaRashid
      @LutfiaRashid 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@kwisa4899kwenye uhandsome hapana hayuko kabisaaa

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mwanamke ni mwanamke tuu hata awe bilionea Bado akili zake ndogo tu hata machakani wanapigika tuu Tena kilaini pamoja na umaalufu wao .so mwamba amewatendea haki apewe maua yake 😂noway out.

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 2 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa hata uchochoroni huwa wanachezeshwa cheza bila kukunja goti kiulaini tu!!

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 2 หลายเดือนก่อน

      Hakika mama zenu wamewahadithia yao ya ujanani😂

    • @JeffHustle-d2v
      @JeffHustle-d2v หลายเดือนก่อน

      Hahahaha dog dog style ni kuvuta shanga tuuu

    • @SwaumChawage
      @SwaumChawage หลายเดือนก่อน +2

      @@JeffHustle-d2v inaonekan nd michezo yenu hata uyo anae mtomba mwanamk uchochoron kichakan nae mwehu vle vle mwnaum anaejielew pia hawez fany ujnga kam huo

    • @JuddyAndrew
      @JuddyAndrew หลายเดือนก่อน

      Hizo ni akili za mwanamke wako alie kubal umpigie kichakan kwasababu wote hamna akili

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 หลายเดือนก่อน +3

    Usimuamini Kiumbe Mwanamke ndugu yangu, na hiki ndo kielelezo...

    • @Assay-gn1wv
      @Assay-gn1wv 2 หลายเดือนก่อน +1

      We tafuta hela kwanza, ukiwa huna hela utamuogopa adi house girl

    • @RehemaJustine-co2kp
      @RehemaJustine-co2kp หลายเดือนก่อน

      Hata mwanume haaminiki! Kifupi,wanawake tuishi nao kwa akili,lkn na wanaume tuishi nao kwa akili pia!

  • @johngitau-e1m
    @johngitau-e1m หลายเดือนก่อน

    Mimi nasema,,, do not cheat.. do not commit adultery?? Sasa attention cannot be an excuse,, before you cheat.. leave the relationship

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 2 หลายเดือนก่อน +3

    Most men hawana tofauti , hawajajulikana tu

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa kama nyie , yaani Mwanamke unaweza KUMGONGA Kisa umevaa KIATU kizuri wakati mumewe anavyo GUNIA Zima nyumbani..!..hamna maana nyie 🤣🤣🤣

  • @emmanuelelisha173
    @emmanuelelisha173 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo dada sijui kama anajua anachokiongea.Kama ni attension anayoizungumzia inawezakanaje kuwa attension mtu ambaye ana wanawake wengi kiasi hicho?.Ninachokijua mimi ninkwamba hakuna mwanamke mgumu mbele ya mtu mwenye status yake

    • @MrA24G
      @MrA24G หลายเดือนก่อน

      Emmanuel hao wanawake status wanazo tayari mke wa mkuu wa majeshi,makamo,mwanasheria mkuu,Dada wa raisi,mchungaji ni watu wenye status tayari.Mimi bdo natafuta shida ni nini.Ngoja nikuulize kama marehemu rais wa kenya kwa lafudhi yake Daniel arap Moi.Shida iko wapi na hao.Mara Ameruka pande hii Mara pande ile.

    • @MrA24G
      @MrA24G หลายเดือนก่อน

      Emmanuel shida ipo wapi pesa wanazo,maisha yapo.Ndio maana biblia Ikasema ishini nao kwa hekima.Mbona hatukuambiwa tuishi na ndgu zetu kwa hekima wao tuu.Wanawake nimewasoma ni watu hawapo stable wanataka nini.Akishapata hiki atataka kile akishapata kile atataka huku.Hawaeleweki.Wake za watu hasa walio ndani ya ndoa kuna shida.Zimo humo.

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 2 หลายเดือนก่อน

    Kama pepo,ni Hilo ,si normal ni zaidi ya unachojadili ,na huko kwao yupo alie anzisha,msimlaumu anahitaji usaidizi,kote anamudu attention,hili ni kapani,talented man

  • @MohammedSaid-zk7yg
    @MohammedSaid-zk7yg 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kama ni attention unataka kutuambia msela aliweza kuwapa attention,care,loving all those 100s of women honestly I think women are unpredictable creatures 😂😂😂 they don't know what they want

    • @DoreenIsrael-n1e
      @DoreenIsrael-n1e หลายเดือนก่อน

      I agree with you bro

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 หลายเดือนก่อน +1

      @@MohammedSaid-zk7yg ...kiufupi wanawake TEACHER wao kipofu, wote wanafanana

  • @tanjiro-rh2bn
    @tanjiro-rh2bn หลายเดือนก่อน

    unajaribu kusema hawa wanawake wote walikosa attention. Uongo, kuna kitu hautuambii ama ujui. Hata wewe ungekuwa karibu angepita na wewe. This is a spirit of the dackness

  • @Tommbayeye1
    @Tommbayeye1 หลายเดือนก่อน

    Kwahio dada unamaansha mwamba alkua na attention na wanawake 400+ mkewe😂😂 hapo umeupiga mwingi dada

  • @maulidi8479
    @maulidi8479 หลายเดือนก่อน

    Yaaani mnashindwa kujadili vitu vya maaana kweliii media zimekosa kazi

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mnafuatila issue za hovyo sana. Yaani badala ya kutuletea mijadala ya kututoa hapa tulipo.

    • @WolfW-ip6jl
      @WolfW-ip6jl 2 หลายเดือนก่อน

      shida ni zako,,, jikomboe

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 2 หลายเดือนก่อน

      Uko ndani ya kundi halafu unalaumu wenzio🤔, ingia mitandao ya kidini, au uchumi, toka humu.

    • @bakariMajimbi-mw9kl
      @bakariMajimbi-mw9kl หลายเดือนก่อน

      Chukua bajaji uondoke hapo ulipo

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 หลายเดือนก่อน

    Mamman unaongea ukweli

  • @MbwiloFrolence
    @MbwiloFrolence หลายเดือนก่อน

    Sometime kuna wanaume wanatumia nguvu za giza kuteka akili ya mwanamke maombi ni muhimu sana

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 หลายเดือนก่อน

    Koo la mfalme suleiman 😂😂😂yaani huyu ni king suleiman wa pili

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w หลายเดือนก่อน

    Kwani wanawake wanaojiuza walishalala na wanaume wangapi Zaid ya buku

  • @ezebiakayingi6576
    @ezebiakayingi6576 2 หลายเดือนก่อน +3

    analala na wanawake, sio wanaume wenzake kama ilivyo kwa wanaume wa siku hizi, kwahio tumpe maua yake

  • @AgnesJohn-vn7gk
    @AgnesJohn-vn7gk 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kiukweli nakili kabisa kuwa sisi wanawake ni viumbe dhaifu na vyenye tamaa,,Kuna wanawake wa wakubwa kabisa bila shaka hawana shida yoyote kwa nn wafanye vile 😢

    • @AgnesJohn-vn7gk
      @AgnesJohn-vn7gk หลายเดือนก่อน

      @robertphilip385 😀😀😀 usinitie ktk majaribu lkn uniokoe maovuni amen 🙏

    • @MAMAPETER-bu4kt
      @MAMAPETER-bu4kt หลายเดือนก่อน

      Et hoo njoon kanisani mtakuta wake wema jidanganye kumbe demu wamchungaji😂😂😂😂

  • @bashirksabu3540
    @bashirksabu3540 หลายเดือนก่อน

    Dada sikuelewi hata kidogo. Hakuna kitu kama hiko attention nini wewe wanawake wamejawa tamaa na uchu Wa pesa huyo bingwa alikuwa anamwaga Sana pesa. Ndio maana ana kashfa ya matumizi mabaya ya pesa. Wanawake acheni tamaa mtamegwa mpaka mkome. Hakuna tension wala nini. Nzuri pesa tu.

  • @mandajamaly4843
    @mandajamaly4843 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada angekuwa wa 401 epsod yake ingeendelea hamna attention yoyote hapo 😂

  • @mohamedmmubullah1147
    @mohamedmmubullah1147 หลายเดือนก่อน

    Ujaeleweka kabisa dada inamaana hao ndio walimuelewa na kuwatekelezea kile wanacho kikosa kwao ..hesabu nikubwa sana aliweza kuwatosheleza kwa kila mda gani kwa kila mmoja na kusababishabwaone kuwa anatosha na sikuona sababu ya tamamaa tu

  • @nurumwashinga3662
    @nurumwashinga3662 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ni mwamba

  • @TheMsangi
    @TheMsangi 2 หลายเดือนก่อน

    mmmm sio kweli

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 หลายเดือนก่อน

    Kilichopo hapo ni uzuri wake ndio ulisababisha,
    Hakuna attention hapo,
    Just imagine vice-president sura yake ilivyokomaa,

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 หลายเดือนก่อน

    Me nahis huyo atakua p did wa wanawake atakua anafanya ushetani

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada umeongea sahihi kabisa ni kweli

    • @MussaEsrom
      @MussaEsrom 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna cha ukweli hapo wanawake wanaasili ya umalaya tu ..hawana lolote la maana

  • @ismail-vf4zw
    @ismail-vf4zw หลายเดือนก่อน

    Kwa haraka haraka siyo jambo la kawaida kuwa idadi kubwa kama hiyo, Ila Kwa ya nyuma ya kapeti ni rahisi tu, maana Kuna kitu kinapandikizwa ndani yake ili kurahisisha kazi husika, ndiyo dunia ya sasa iliko fika...

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa หลายเดือนก่อน

    Inawezekana pia hao wanawake walikuwa hawajui kuwa mwamba ana wanawake wengi.yeye alikuwa anawambia ni wewe tu

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo aina ya Mwanaume kama huyo ndiye mnayemtaka kweny ndoa kwahiyo tuwe hivyo, tujifunze kwake?

  • @adonisalfred8996
    @adonisalfred8996 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake hawana kanuni

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 2 หลายเดือนก่อน +1

    mwamba tomba tuu hao mademu

  • @findinglela
    @findinglela หลายเดือนก่อน

    Jina lake huyu mshauri hapa, nani huyu?

  • @HamzaSwakala
    @HamzaSwakala 2 หลายเดือนก่อน +7

    Usimwamini mwanamke yeyote ulomkuta sio bikra

    • @Assay-gn1wv
      @Assay-gn1wv 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mmh Hamza mama yako mzazi alikuwa bikra? Au alikuwa hana zote mbili? Ebu muulize vizuri, usipo tafuta hela utajikuta unaolewa kaka, usiogope wanawake ndugu, mbona muoga wa maisha na wanawake? Ujue wewe ni mvivu sana na unapenda kupewa

    • @HamzaSwakala
      @HamzaSwakala 2 หลายเดือนก่อน +1

      @Assay-gn1wv we jibu kwa hasira ukweli ndo huo..si umeona hapo hao wanawake tatizo sio pesa

    • @barakamashimbe9457
      @barakamashimbe9457 2 หลายเดือนก่อน

      Mzaz na mada wap na wap hata mzaz wake kazaliwa kabla yako sa unahoji ujinga huo​@@Assay-gn1wv

    • @greenandbeach8134
      @greenandbeach8134 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@HamzaSwakala😂 naona sister imemchoma
      Bila ya bikra ni fitna

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Assay-gn1wvhaaa haaa😂😂😂😂

  • @EdnaWilliam-f4c
    @EdnaWilliam-f4c หลายเดือนก่อน

    Kweli ishanikuta kabisa najutia khadi leo

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x หลายเดือนก่อน

      @@EdnaWilliam-f4c ilikuwaje bibie?

  • @ACLESSJABRINE
    @ACLESSJABRINE หลายเดือนก่อน

    Kwani mfalme Suleiman Mwamba sio mwamba?

  • @VaderChetan-ju7xu
    @VaderChetan-ju7xu 2 หลายเดือนก่อน

    Yetu yametushinda tunajadhili ya mtu mwigne maana hatuendelei tupo pale pale majungu

  • @planethakunamatata5254
    @planethakunamatata5254 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wanawake acheni unafiki....mkubali tu binadamu wote wanaume na wanawake tuna pepo la ngono. Sijui kwanini wanawake wanapenda kutafuta vijiexcuse vya kuchepuka mara sijui mumewe hampi attention mara sijui hamsikilizi...uwongo tuu kwani mtu akikupa hela zake, mapenzi, muda wake n.k ni attention gani umekosa? unafiki tuu. Mjikubali tu mna tamaa ya ngono kama sisi tu. Just face the demon inside you....msipende kulazimisha kuwa eti mnachepuka kwa sababu ya mapungufu yetu. Mbona sisi tunajikubali ni wachepuzi na hatuwalaumu nyinyi kwa kuchepuka kwetu.....acheni hizo

    • @aidankakulu398
      @aidankakulu398 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanaume mmoja hawezi toa attention kwa wanawake more than 400 wanawake acheni upumbavu mbwa nyieeeee tena mbwa koko

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 หลายเดือนก่อน +2

    Wanawake hamna kitu kichwani, mfanyie chochote lkn atagongwa tu', mpe Attention,muhudumie,msikilize,mtombe sana, kiufupi mpe Kila kitu lkn KULAGHAIWA ni dkk 0

    • @SwaumChawage
      @SwaumChawage หลายเดือนก่อน +1

      Sio wote ndugu nna miak 11 kwny ndoa japo sio ming na sjawah kukutan n mwnaum mwngn tofaut n mume wang nasio kwmb ana maish y kunip kila k2 yn maisha ye2 ya kawaid sana tena nafany biashar zangu stend kuna vshawish kam vyote 2nakutan n wa2 tofaut tena wana shawish hatar ila km ukiwek msmamo mbn unaweza ukiamua kujirahisish ni ww 2 maisha ni kuchagua HISIA ZIKUENDESHE AU WW UZIENDESHE HISIA🙅

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 หลายเดือนก่อน +1

      @SwaumChawage ....Yaani katika wale KUMI kati ya wanawake ELFU MOJA ambao waaminifu basi na ww umo...👏👏👏👏...!
      Wanawake wengi ni mtihani, na hatusemi Kwa ubaya Bali ndio walivyo, ww huenda una FIKRA za kiume, maana Mwanamke hata kwenye Vitabu vya Kiimani tumeambiwa tuishi nao KIMACHALE MACHALE

    • @SwaumChawage
      @SwaumChawage หลายเดือนก่อน

      @@ismailmasoud6001 unajua kuna k2 lazma kwnz utafakar mwanaum w nje hakupi pesa yake kiulain anatak nipe nikupe tena hakupi kilasku wakat mume wang anatoa kila sku japo ni ndogo nikiumw ajue napataj huduma aisee MUNGU awabarik wanaume wanao pamban kw7b y family zao japo kuna mda wanaboa ila najua ni tamaa 2 wana wapenda san wake zao ila tamaa ndman wakiwa nyumban hawapokei cm z michepuko ila wakiwa n michepuko wanapoeka cm z wake zao, kuna sku nilitoa pesa y kula kam sku 3 dah nilion kam nimetoa miak mi3 nikasem dah wanaume mungu awabarik maana wanacheza kikoba ch milele 😁😁😁🙏🙏🙏

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 หลายเดือนก่อน

    Kafie mbele ya safari malaya ww

  • @RachelPetro-v4h
    @RachelPetro-v4h 2 หลายเดือนก่อน

    Mwamba huyo jamani 😅😅😅

  • @MonicaMwoka
    @MonicaMwoka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani umeweza kuwaeleza vizuri mapenzi sio pesa wala magari upendo tu

    • @princessplatnum4416
      @princessplatnum4416 2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣 nyie wazaifu kipenz hv kwa akili zako dadaaangu hyo jamaa wanawake wote 400 wamme zao walikua awajali et kumbuka ata vitabu vyadin vinasema wanawake ishini nao kwa akiri kipenz mwanamke nikiumbe dhaifu sana unaweza mnunulia gari akatembea na mtu washeli alie muongezea mafuta🤣🤣🤣

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 2 หลายเดือนก่อน

      Dawa ya mapenzi ni Upendo tu kutoka ndani moyoni. Hata wanyama, ndege Wana wapenzi wao ingawa hawajui noti Wala shilingi..!!

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 หลายเดือนก่อน

      Malaya hana upendo wewe, mtu anauza kuma, upendo unakuwaje

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z หลายเดือนก่อน

      ​@@Sheba4651mmmmmh makubwa aya

  • @masanjashadrack3713
    @masanjashadrack3713 2 หลายเดือนก่อน +2

    katika hao wake za mawaziri, mke wa mkuu wa majeshi, na wengine walikosa vyote hivyo???????

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @YussuphHamad-g5o
    @YussuphHamad-g5o 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ww ukipata hiyo atesheni ww utamsalit mumeo

  • @EndobileHerman
    @EndobileHerman หลายเดือนก่อน

    Mwanamke ni kiumbe kisicho na malengo. Na hata kama kinacho ni rahisi kukitoa kwenye lengo

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z หลายเดือนก่อน

      Walaata Amna tunaakilizetu timami

  • @emoalembe4790
    @emoalembe4790 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa hana virusi âme vipewa kabisaa. Wanawake 400 ao 😊1000 kuna mmoja tu aliye na virusi . Hivi sakata ahija ishiya hapo ina kwenda mbali .

  • @patrickmunisi7234
    @patrickmunisi7234 หลายเดือนก่อน

    Huyo ni Nabii mpya toka africa amechukua nafasi ya nabii suleimani prof wa kuoa wake wengi😀Hivyo nae aandikwe kwenye vitabu vya kibantu

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 Hili tukio limetuuma sana sisi wanaume aisee, kiukwli hatuna amani na nyumba zetu na mahusiano yetu na ndoa zetu, daah Baltazzar aisee

    • @SwaumChawage
      @SwaumChawage หลายเดือนก่อน

      Askukatshe tamaa fanya km haujaon wala hujaskia mpende mkeo mjal mthamin muheshim kuhusu pesa sio kigezo et ulete dharau alaf ujifany unamp mihela yn haisaidii wanawak mbn wavumiliv San ukion mwanamke anapend san hela ukimpa pesa ana furah anakup penz ambalo hajawah kukupa jua hakuna upendo apo wala kumpelekea moto sana sio kigezo yn umemkela alaf unapelek motoo et nimridhshe yn utakua unamchubua 2 akil haipo apo ktandan kbs mwnamk anapend kw moyo 🙏🙏🙏

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 2 หลายเดือนก่อน

    Ni mwamba kweli kweli

  • @cyliacusselestine8847
    @cyliacusselestine8847 หลายเดือนก่อน

    kwahiyo mwamba kawapa ujiko adi mmepata specific session ya air time?
    Mwamba kama mwamba!!!!

  • @Donovan.2906
    @Donovan.2906 2 หลายเดือนก่อน

    Hiv ni mimi tu naeona kuwa topic inapindishwa. chamsingi wanawake wakiolewa watulie, ndoa ikiwa ngumu ondoka, tusitetee umalaya ...heshima ya mke ni kujisitiri basi.

  • @AminaYasser-y6j
    @AminaYasser-y6j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unahekima.akili na busara wanaume waichukue hiyo

  • @MussaEsrom
    @MussaEsrom 2 หลายเดือนก่อน

    Ufanywe utafiti hata hapa kwetu Tz tuone wake wa wakuu kama kweli niwaaminifu

  • @AksaRaphael
    @AksaRaphael หลายเดือนก่อน

    Wanaume wanajitoa nao ndo chanzo,mwanamke mpka achepuke kuna tatizo ndani

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z หลายเดือนก่อน

      Hakuna tatzo niumalaya TU tenamimi namwanaume nichongo na Moshi hazijawahi kuiva

  • @KhalfaniChuma-kv5mk
    @KhalfaniChuma-kv5mk 2 หลายเดือนก่อน

    Nmeona video ya ya gonga ago ga hatari sifa zimuendee so hiii ni Kwa wenye mashine kubwa ok jamaa kwanza ana mboo fut 5 nk chapil jamaa yupo good Yani anapiga two in one du madem hawaruki Kwa shooo anayo wapelekea amemfunika p Diddy 😅😅😅😅

  • @FrankMusiba
    @FrankMusiba หลายเดือนก่อน

    Nyie hamjui mnataka nn attention au pesa

  • @mukrimkhamis678
    @mukrimkhamis678 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke yani kile kitu ambacho huna yeye ndo anachokitaka### mwanamke hajulikani nn anataka

  • @njuka3515
    @njuka3515 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyo kaka ni nani amefanya Nini na afanya kazi wapi yaani Nini kimetokea mbona mnanichosha mimi sijui chochote

  • @SoundsofSilence-69
    @SoundsofSilence-69 หลายเดือนก่อน

    wanawake akili hana, wote hao 400? ni uzinzi tu

  • @AudreyLema-j9z
    @AudreyLema-j9z หลายเดือนก่อน

    Attention ni nini?

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu หลายเดือนก่อน

    Hivi hamuezi kuongea bila kutumia kiingereza

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Suleiman Aliacha MJUKUU wake AFRICA ,JINA BALTAZAR

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu naye akikutana na jamaa anakua nne sufuri moja, hapo alipo anawaza hela anayotoa

  • @allymahiyo2464
    @allymahiyo2464 2 หลายเดือนก่อน

    Wanawake mama zetu lakini ni mitihan mno.

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 2 หลายเดือนก่อน

    Ukichepuka utaona yule wa nje ni mzuri sasa achana na huyo ishi nae

  • @AmbroseMamole
    @AmbroseMamole หลายเดือนก่อน

    Mwamba!

  • @MussaEsrom
    @MussaEsrom 2 หลายเดือนก่อน

    Mm ninaomba wafanye utafiti kwenye taifa letu pia ,ninaamini kabisa tutampata tu mtu kama huyu ...Wanawake siku zote niwapuuzi richa ya kujitetea kwa sababu mbalimbali lakini bado hakili za wanawake nizakipuuzi

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 2 หลายเดือนก่อน +7

    Atensheni gn niumalaya tu 😢 shenziii

    • @adammnyenyelwa5996
      @adammnyenyelwa5996 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ndio mkalwe mpate atension

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 หลายเดือนก่อน

      Attention gani ya kuliwa na kuachwa? Hiyo ni aibu kubwa mama zetu wala hakuna cha kujitetea ni kujidhalilisha tu na kuchezewa. Mia nne kuna attention gani? Na lbda jamaa alikua na miujiza fulani kiasi mtu unashindwa kuamini.

  • @AudreyLema-j9z
    @AudreyLema-j9z หลายเดือนก่อน

    Ongea kiswahili

  • @LucasMapundu
    @LucasMapundu 2 หลายเดือนก่อน

    Kqakifupi Dada eelewa wanawake nyie na kuku hamna utofauti na udhaifu ulozungumziwa nyie mmepitiliza

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aliwarubuni kwa pesa nasikingine.

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 2 หลายเดือนก่อน +1

      hao wanawake wengi wanapesa na kazi mzuri serekalini

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z หลายเดือนก่อน

      ​@@saidimpako5186 nikijakua napesa sitombwi nakamanimeolewa naachika nikakaemimi nahera zangu Nile Raha huo itakua mdawakustarehe na pesa nasi mapenzi tena

  • @musibaessaba8693
    @musibaessaba8693 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna ugumu sana kumuelewa mtu ambaye hata yeye haelewi anataka nini.Mwisho wa siku lawama zinamrudia shetani (Ni shetani tu alinipitia)na shetani akifanikiwa huzima simu kabisa na hausiki.ASHAKUABISHA.

  • @TzkwanzaKilimanjaro
    @TzkwanzaKilimanjaro 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke yeyote hujamkuta bikra,ni ibilis live,
    MTU umemkuta ni used eti unajifanya kumpenda unahongaa
    Baba yangu aliwahi niambia usioe mwanamke aliyeachwa na mwanaume mwenzio,
    Dah SASA unampata wapi?

    • @MAMAPETER-bu4kt
      @MAMAPETER-bu4kt หลายเดือนก่อน

      Sio kwa kizaza hich we subiria wenye bikra labda ya mkundu sio mbele😂😂😂

  • @benjaminmunkondya
    @benjaminmunkondya 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hata Huyu Madam Hajui Anachoongea!!.The Fact Of The Matter Is "Women Are Loyal To Their Feelings Only Not Logic".

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 2 หลายเดือนก่อน

    MANDINGO..😂😂😂 Ha Kuna Atenshen Umalaya Tu Hata Uwajal Vipi..Acha Awagonge..

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn หลายเดือนก่อน

    ILA UKITIZAMA ZILE VIDEO YULE JAMAA HADISUKI VO MPAKA GAME INAISHA AU ANATUMIA DAWA

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa mnamulaumu nini Selumani alikua na wake wangapiii....

  • @tccsfa5490
    @tccsfa5490 2 หลายเดือนก่อน

    kwa liumba walitaka nini? attention?

  • @nadulabudodi
    @nadulabudodi 2 หลายเดือนก่อน

    Mapicha picha vipi issue ya uvumilivu?

  • @oscarjeremiah7377
    @oscarjeremiah7377 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada amejaribu kuelezea vizuri Saikolojia ya wanawake kuwa wanataka Attention,lakini sidhani kama mwanamke hata ukimpa attention 100% siyo sahihi sana.Mwanadamu ni mwanadamu tu,Ile asili ya dhambi bado ipo ndani yetu,kama ambavyo Lucifer alivyomuadaa Eva katika bustani ya Edeni.Mpaka Leo mambo ni yaleyale.Ni jambo Moja tu ndo linaweza kukufanya usitoke nje ya ndoa mwanamke au mwanaume.Ni HOFU ya Mungu pekee ndiyo inayoweza kukusaidia usitoke nje ya ndoa,Kama una HOFU ya Mungu ni vigumu kutoka nje ya ndoa,lakini sijui Attention sijui pesa vyote hivyo ni Minor sana.Sitaki kuamini kama hao wanawake wote 400 wamekosa Attention ya waume zao.Umajua kumbuka hata historia kwenye biblia Mke wa Potifa alipomshawishi Yusuph alale naye Yusuph alitafakari na alimwambia mke wa Potifa nimtendeeje Mungu dhambi kubwa namna hii!

    • @oscarjeremiah7377
      @oscarjeremiah7377 หลายเดือนก่อน

      Historia ya Yusuph na Mke wa Potifa inapatikana katika biblia mwanzo 39:1-23 , Attention ni kidogo lakini ndugu zangu HOFU ya Mungu ndio itakuokoa na dhambi ya Zinaa.Wapo watu wamewapa wake zao Attention 100% wengine wanawafanyia kila kitu wake zao wanaowapenda kwa dhati,wengine mpaka wamejieleza kwa wake zao mpaka wanalia,wamewapa mpaka magari ya kifahatai,dhahabu ,pesa starehe zote,ngono Kila siku ,masaa yote lakini wameishia kusalitiwa na wake Mathalani mwanaume unaweza ukawa na mke mzuri sana amekamilika kila section hadi heshima zote lakini unajikuta umemsaliti na mtu wa hovyohovyo hata hafanani na uzuri na hadhi ya Mkeo kwanini?Kama ukiweza kupata majibu katika hilo basi na wanawake na wao wanaoudhaifu kama wa sisi baba zao,sisi wanaume.So self control,neema ya Mungu na HOFU ya Mungu ndio msingi wa kuishinda hii dhambi ya Zinaa.

  • @YusufuNdengu
    @YusufuNdengu 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa ishini nao kwa akili vitabu vishasema

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 2 หลายเดือนก่อน +1

    KIUFUPI MNAPENDA USHETANI USIPOKUWA NA MAMBO YA KISHETANI UWAVUTII....

  • @rehemadearing3380
    @rehemadearing3380 2 หลายเดือนก่อน

    Fact.100%

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      @@rehemadearing3380 Wacha mwamba awatombe kabisa

  • @Assay-gn1wv
    @Assay-gn1wv 2 หลายเดือนก่อน +3

    Msipo msikiliza uyo dada mtawakuta wake zenu kwenye video km hizo

    • @princessplatnum4416
      @princessplatnum4416 2 หลายเดือนก่อน

      Boss samaan lkn hv unataka kuniambia ao wanamme wote 400 akuna mwenye uafadhal itoshe kusema mwanamke ishi nae kwaakili icho kiumbe somchezo mzee

  • @AudreyLema-j9z
    @AudreyLema-j9z หลายเดือนก่อน

    Kwanza ongea kiswahili

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂kwamba kihindi usikiii au unasikia TU ilahuelewi😂😂😂😂😂

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z หลายเดือนก่อน +1

      Anaongea kingreza au kihindi maana Bado cjaelewa

  • @mandajamaly4843
    @mandajamaly4843 2 หลายเดือนก่อน

    Nimwambaaa

  • @abrahammichael642
    @abrahammichael642 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hamna cha attention hapo huo ni udhaifu wa mwanamke.

    • @uwezokinahi7870
      @uwezokinahi7870 2 หลายเดือนก่อน

      Haka kadada ni kajinga sana

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 หลายเดือนก่อน

    Acha ijunga wa kuita mwamba huo ni ugojwa wa akiri

  • @HabibuMuhunzi
    @HabibuMuhunzi 2 หลายเดือนก่อน

    Akuna attention hapo ndio nyie wote umalaya tuh tamaa nyingi

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwahiyo hao wanawake mianne wote hawajapewa attention? You can't be serious?
    Elimu nyingine niza kuwapoteza watu, mtu anaacha kujutia kuwa amekosa uaminifu, anasingizia kuwa anakosa attention...

  • @jelad1597
    @jelad1597 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mke wa mtu Huo muda unautoa wapi wa kusikilizwa na mwanaume mwingine ambaye siyo mume wako mpaka unahisi anakupa attention kubwa kuliko mumeo kama siyo wewe ndo umetoa huo mwanya.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      Lkn huyu mwamba atakua na mguu wa mtoto