DJ MAPODA KIBOKO YA MISO MISONDO HUYU HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2024
  • LIVE KIBATI
  • เพลง

ความคิดเห็น • 151

  • @roi2554
    @roi2554 6 หลายเดือนก่อน +9

    Ndio Jamaa anajua ila miso misondo mumuacheee

  • @williamchenjelu3838
    @williamchenjelu3838 6 หลายเดือนก่อน +4

    OYA HAYO MAIGIZO .... ME NAMJUA MISSO MISSONDO WAMWACHIE RIZIKI YAKE

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wew akuna atakae mfikiya mapoda❤❤❤❤❤

  • @user-ro8vo9fi9o
    @user-ro8vo9fi9o 6 หลายเดือนก่อน +6

    Aaaaah asubiri kdg tumetoka mbali sana kumfata dj

  • @samwelmwaseba8469
    @samwelmwaseba8469 6 หลายเดือนก่อน +32

    Aseeee amn dj atakae mfia misomisond kwa sas kwasababu ye katoka kivyakeee kwaio awa woot hawana kipya wanaiga code tu za miso amn jipya mtasumbk sana wajitafute nao na stail zao ndo watatoboa wakipita na code ya miso watachelew sana

    • @NALIMODesigner
      @NALIMODesigner 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sas miso misondo uyo mapoda ndy mwalimu wa miso kama aujui ww

    • @samwelmwaseba8469
      @samwelmwaseba8469 6 หลายเดือนก่อน +3

      @@NALIMODesigner sawaaa n mwalim wakee atafte njia yak ss na yy unadhn atatoboa kwa stail ya misooo atachelew ajiongz san

    • @djdisboy255tz
      @djdisboy255tz 6 หลายเดือนก่อน +4

      Yule wazee wa makot ndo wamemleta mjini ila stail zake ziko muda sana😅

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 6 หลายเดือนก่อน +5

      Rizik ya mwenzio usiilalie mlango wazi😏😏

    • @user-samweli
      @user-samweli 6 หลายเดือนก่อน +2

      Misondo mna msifia tu lakn hakuna kitu

  • @FloridaRaymond-cz2fy
    @FloridaRaymond-cz2fy 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kusini madj wa ivo wako wengi sana ukisema kila dj aje dar itakuwa hatar kwasasa miso km miso wamuache kidogo madj wengne wacsafirie nyota ya miso

  • @samejaataratibu5164
    @samejaataratibu5164 6 หลายเดือนก่อน +10

    Miso misondo Ndo Habari ya Mjini

  • @KingMnzavas
    @KingMnzavas 6 หลายเดือนก่อน +3

    Yupo vzr kila mtu anamapigo yake aliyotangulia ndio wa kwanzaa

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Misondo anaki2 akwende uko chuma mapoda❤❤❤❤❤❤❤ mapoda ❤❤❤ kiboko yao😮😮😮

    • @user-sz4uu7su4i
      @user-sz4uu7su4i หลายเดือนก่อน

      Tlia wewe unazngua et 🤣🤣🤣

  • @suzanafromomani2973
    @suzanafromomani2973 6 หลายเดือนก่อน +1

    Misso misondo i. Love. You. Som much wote tuna wapenda miso misondo ❤❤❤

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 6 หลายเดือนก่อน +6

    Bado sana kwa misomisondo😂😂😂

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 4 หลายเดือนก่อน

    Mapoda nimmoja2 siyo uyo mbwa wenu mbwa yakemifupa amuachemapoda😾🙉🦴🦷💀😮

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mnataka kutembelea nyota alipotoka Miso Misondo hadi kufika mjini ni ushindi tosha

  • @user-gy2hp2cj7o
    @user-gy2hp2cj7o 5 หลายเดือนก่อน

    Hufai kaka welcome dar es salaam

  • @user-oe7ic7ud8f
    @user-oe7ic7ud8f 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mapoda wew ninoma

  • @user-fy3rs2he1i
    @user-fy3rs2he1i 5 หลายเดือนก่อน

    Mnajaribu sana kutafuta watu wa kumfunika misomisondo, hamuwezi, yule dogo gari limeshawaka yuko mbali sana sasa hivi.

  • @pilotwiizzy
    @pilotwiizzy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dj ndio uyooo choko wenu miso kwendaaaaaa kwa mamaaaaakeeee

  • @DStvTz.
    @DStvTz. 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ma dj saiv mmestuliwa

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Misondo ajuwiki2 😂 kwamapoda misondo bado mtoto

  • @user-bz4wr4dx7x
    @user-bz4wr4dx7x 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa mbona anaiga kucheza km misomisondo

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 6 หลายเดือนก่อน +3

    Miso ni kabari yaoooooo ❤❤❤❤❤❤❤

  • @victorferix1543
    @victorferix1543 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ww shida unatumia nonstop ya Miso misondo Amna kipy

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 4 หลายเดือนก่อน

    Miso kaogem anaujuwiki2 kwenda 😂😂😂😂😂❤

  • @frankmarmo8113
    @frankmarmo8113 6 หลายเดือนก่อน

    sawa anaweza hata aliye tengeneza la kwanza alifanikiwa na wengine wakaja kumuiga,kwa hiyo sawa tuu tupate burudani maisha yaendee umepigaje hapo weee misooondo

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 4 หลายเดือนก่อน

    Mapodanimmoja2❤

  • @zakiajuma2022
    @zakiajuma2022 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa amondo na miso nani zaidi miso kimemuakiatu amondo anatisha nyie amondo anakichafua vibaya wote ao sisi tunawajua vizuri

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 4 หลายเดือนก่อน

    Miso mwenyewe kakoma sura a2 achiye mapodawe2

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 4 หลายเดือนก่อน

    Mapoda mwanaume ❤❤❤❤

  • @allymagambo1798
    @allymagambo1798 21 วันที่ผ่านมา

    Tuko pamoja sana mwamba

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 4 หลายเดือนก่อน

    Usimfana nishe mapoda na majini

  • @kilifinewsonlinetvkntv7701
    @kilifinewsonlinetvkntv7701 6 หลายเดือนก่อน +3

    🎉Team GULF TUWAONYESHE NGUVU KUBWA KWAMBA SISI NDIO TUNAOSAPOT SANA GONGA LIKE HAPA❤❤🇰🇪🇺🇬🇹🇿🇳🇬🇨🇩🇷🇼🇧🇮🔥

  • @jumaally5385
    @jumaally5385 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mbn anaiga mule mule kwa misso

    • @aminihashimu9979
      @aminihashimu9979 3 หลายเดือนก่อน

      Hao wote walikuwa wanapiga shoo mtwara Kwenye sherehe za unyago watu walikuwa wanajaa Kwa mapoda kuliko miso sema miso wazee wa Makoti wamemtoa

  • @user-eh6uy2ns6u
    @user-eh6uy2ns6u 5 หลายเดือนก่อน

    Bado kumfikaia missond ujitahidi ili uwe ktk levyo ile atali Sana

  • @user-vw6er5rz2y
    @user-vw6er5rz2y 5 หลายเดือนก่อน

    Miso misondo ni balaaa

  • @user-tz3rc8dx2j
    @user-tz3rc8dx2j 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo ndio mwalimu wa uyo misa misondo bado kuna DJ mavoko kuna DJ kade pamoja na dj chenga ao ote ndio ma DJ wakubwa masasi

    • @AminiMitomingi
      @AminiMitomingi 6 หลายเดือนก่อน

      hayo ya miso misondo kuw hao ndio waalimu wake haituhusu,ww unafikir mwalimu hazidiw na mwanafunz wake??hata rais ana mwalimu wake lkn yy katoboa,mwalimu anakula mihogo tu,acheni ushamba mfyuuuu

  • @user-ks3ee4ik7g
    @user-ks3ee4ik7g 5 หลายเดือนก่อน

    Amujui sili za misso miso ajui kuchonga sapo misso anaomba sana sapoti wamtumie sapo saiv anaomba sapo kwa dj kola alikua anachukulia sapo kwa mapoda

  • @josebethjackson8849
    @josebethjackson8849 5 หลายเดือนก่อน

    Uyuu jamaa anajua sema kila mtu anabahati yake

  • @salumdigaga542
    @salumdigaga542 5 หลายเดือนก่อน

    Mapoda anapga sana mzki

  • @mikidadihmaruhani8942
    @mikidadihmaruhani8942 4 หลายเดือนก่อน

    we tafuta njia yakutokea hiyo ni ya misso misondo....

  • @MoulinhoUnjuu-oy4vc
    @MoulinhoUnjuu-oy4vc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wote hamjuh mziki wa singeli kuleni nyama nyamazen

  • @daviddouglas8943
    @daviddouglas8943 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo NYOTAAA😂, MISOMISONDO mbele kwa mbele. Msianze tu kumroga mtoto wa watu. Mashindano yanaruhusiwa kujilinganisha ni ushamba.

  • @obedalson7995
    @obedalson7995 4 หลายเดือนก่อน

    Misomisondo mkali wanaguuu

  • @iddjumaaa731
    @iddjumaaa731 6 หลายเดือนก่อน +1

    Misondo amepata zali ila mapoda yupo kitambo kabla yake sema tu nyota imemwakia yeye kabla ya hao kina mapoda, amondo, kijukuu na wengineo wengi tu wapo mikoa ya kusini hasa wilaya za Ruangwa na Masasi

  • @KisautiFurniture
    @KisautiFurniture 3 หลายเดือนก่อน

    unajua mapoda

  • @user-oo9km6vi7h
    @user-oo9km6vi7h 4 หลายเดือนก่อน

    Nakubali Sana ngoma imeniibgia Sana moyonj

  • @Mialon_
    @Mialon_ 6 หลายเดือนก่อน

    Bongo kwa kuiga ni kamzozo alo pambana na ubunifu wako utatonoa ila sio kwa nyuma ya mtu ...... Ishapita iyo

  • @jamesngindo4583
    @jamesngindo4583 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee wa mikoti ndo wananogesha shoo ya Dj miso misondo wako juu upepo ni wao

  • @dabmagroup
    @dabmagroup 6 หลายเดือนก่อน

    HUYU HAMNA KITU KABISA KWA MISOMISSONDO

  • @HamisAbdul-mk9xh
    @HamisAbdul-mk9xh 3 หลายเดือนก่อน

    Oya sheria makongo lakini tume watesa sana kwa kuruka ukuta tume wasumbua sana ila chamoto tulikiona ila tume imiss makongo

  • @user-zk7fg8jz8n
    @user-zk7fg8jz8n 6 หลายเดือนก่อน

    Mwanafunzi hamzidi mwalimu wote watakua sawa miso misondo upepo umepita tu kwake bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NdekejaKamuli-sh5pe
    @NdekejaKamuli-sh5pe 6 หลายเดือนก่อน

    Mtajarbu kulinganiaha na yeyote lkn Miso alijipata ktk wakati sahihi na akapita naooo.
    Hvo yaweza kuwepo na mzuri mwingne lkn itategemea na njia ipi apite nayo nayeye

  • @DizainamtDizainamt-ls4ww
    @DizainamtDizainamt-ls4ww 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mapoda kiboko ila tatizo nyota ***mi nawajua fika ao wote

  • @ackrammarioTz
    @ackrammarioTz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bado sana kwa misso missondo. Mnataka kutembelea nyota tu ila misso yupo level zake hyo hawez kuwa kiboko kwa misso

    • @aminihashimu9979
      @aminihashimu9979 3 หลายเดือนก่อน

      Hao wote walikuwa wanapiga shoo mtwara Kwenye sherehe za unyago watu walikuwa wanajaa Kwa mapoda kuliko miso sema miso wazee wa Makoti wamemtoa

  • @user-is6xd6mt1o
    @user-is6xd6mt1o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ajpange tena misonda kiboko

  • @user-lr4hh9de5z
    @user-lr4hh9de5z 5 หลายเดือนก่อน

    Misomumewe mapoda

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 6 หลายเดือนก่อน +1

    Miso misondo ndio #king wataokuja nyuma yake ni wadogo tu coz mwanzilishi ni mwanzilishi tuu

  • @user-ru7eq1md4u
    @user-ru7eq1md4u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Usifananishe miso misondo na vtu vya ajabu

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 6 หลายเดือนก่อน +1

    Manakopy mpaka bits zake,misso wa misondo baba lao

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 6 หลายเดือนก่อน

      Album aseee afuu wanamsifu mshamba tu

  • @Dullahmbabejrtz97Mohamedi
    @Dullahmbabejrtz97Mohamedi 6 หลายเดือนก่อน

    We miso misondo umepigaje hapo

  • @singanoabbas669
    @singanoabbas669 6 หลายเดือนก่อน

    MISO NI MISO TU... na huyo Mapoda mbona kawaida sn... Acheni ku force kutembelea kiki ... 😂😂😂

  • @IklaatzIklaatz
    @IklaatzIklaatz 6 หลายเดือนก่อน

    Ww unawajua fika Kopita mm ao miso kiboko unazani mapoda amondo shado kijukuu wanamuweza miso pumbavu

  • @tusajigwemwaipopo1331
    @tusajigwemwaipopo1331 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tofauti kabisaaa miso misondo humpati

  • @AminiMitomingi
    @AminiMitomingi 6 หลายเดือนก่อน

    watutokee huku wanahangaika tu hata sielewi wanafanya nn hapo,miso habari nyngne😂

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 5 หลายเดือนก่อน

    #misondo kwa hii Aflcan ashikiki

  • @Ashahabibu-yr1rn
    @Ashahabibu-yr1rn 6 หลายเดือนก่อน +1

    Miso yuko juu sana ,

  • @deodaud3478
    @deodaud3478 6 หลายเดือนก่อน

    Afu uyo mapoda si ndo alikuwa Dj wa msaga sumu kipindi cha laza ilikuwa inatumika beat za taraabu

  • @Nicorausgerevasgerevas
    @Nicorausgerevasgerevas 6 หลายเดือนก่อน

    Amna kitu miso misondo atabakii kuwa pekee yake

  • @Rafaeltuli-gw8ii
    @Rafaeltuli-gw8ii 6 หลายเดือนก่อน +2

    mapoda kibo yao

  • @godymobiletech3328
    @godymobiletech3328 6 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anajua shida jamaa wa makoti ndo wanampa miso kuwa juu

  • @halimamlala
    @halimamlala 5 หลายเดือนก่อน

    Misso misondo hatari

  • @williammatola2726
    @williammatola2726 6 หลายเดือนก่อน

    Kizuri chajiuza,Kibaya chajitembeza!!

  • @GodyFinias-dn5qn
    @GodyFinias-dn5qn 6 หลายเดือนก่อน

    Amuna kitu uyoo awezi kumufikia misso ata kidogo

  • @user-qv4wh2pb1d
    @user-qv4wh2pb1d 6 หลายเดือนก่อน

    Ukimsikiliza vzr anatumia bt za miso kwahy aje na bt yake tuone😂

  • @MasudiNangololo
    @MasudiNangololo หลายเดือนก่อน

    miso misondo ni noma

  • @tizojr7988
    @tizojr7988 6 หลายเดือนก่อน

    Mapoda abali ya mjini kaka unajua ckuping

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona kaiga Miso kwa mbaliii lkn Miso ndio habari ya mjini huyu hana ubunifu kaiga tu

  • @user-uh8ee1ph9f
    @user-uh8ee1ph9f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Akuna kama dj mapoda

  • @BarakaJoseph-ij2hc
    @BarakaJoseph-ij2hc 6 หลายเดือนก่อน

    Apambane kivyake tu kwan mpka muandike miso

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 6 หลายเดือนก่อน

    Hmm kitu miso misindo ndo kiboko kwa sasa

  • @user-dd7ls4qg8s
    @user-dd7ls4qg8s 6 หลายเดือนก่อน +1

    miso misondo habari nyingine

  • @user-ly3ob4vp3c
    @user-ly3ob4vp3c 6 หลายเดือนก่อน

    Miso hana mpinzani acheni mizengwe🎉

  • @EmmanuelySway-tz8zu
    @EmmanuelySway-tz8zu 6 หลายเดือนก่อน

    Bad san

  • @Isackdajaled
    @Isackdajaled 6 หลายเดือนก่อน

    Yan hapo hamna kitu kwasababu mbinu anazo tumia ni za miso we pamban buni stayl mpya ya kwako ndo utatoboa bila hivyo tutazidi kumfuatilia miso wewe tutakutupilia mbali kwasababu hatuoni mabadiliko so kubaliana na mimi

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians 6 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations🎉🎉

  • @AliaRashid-ox3fy
    @AliaRashid-ox3fy หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @samweliedgarmpokasi1559
    @samweliedgarmpokasi1559 6 หลายเดือนก่อน

    Eti kiboko ya misond pumbavu .. we misondo umepgaje apo?

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 6 หลายเดือนก่อน

    misso ana mpinzani

  • @JacksonCharles-nq1zt
    @JacksonCharles-nq1zt 6 หลายเดือนก่อน

    Mapoda ndo Nan Kwan ndo namsikia leo

  • @bahatinelson5813
    @bahatinelson5813 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo hakuna kitu misomiso ndo habari ya mjini wengine wapangaji tu

  • @OstaziFadhili
    @OstaziFadhili 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @user-tl2en8vy9k
    @user-tl2en8vy9k 6 หลายเดือนก่อน

    Mapoda noma xan

  • @danielshekiyao706
    @danielshekiyao706 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo hata upige kareti vipi huwezi mfikia jet lii hata uimbe rege vipi huwezi mfikia bob male alieanzisha ndio kiboko

  • @mohamedibakari5065
    @mohamedibakari5065 6 หลายเดือนก่อน

    Kusini kuna dj bonto atal

  • @KarimuHamisi-nv4lq
    @KarimuHamisi-nv4lq 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 iyo Sasa chuki ya maisha safiria nyota yko

  • @isaarfares211
    @isaarfares211 6 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu hapo hata mm na mkaliaha huyo 😂😂😂

  • @fintanifelix1680
    @fintanifelix1680 6 หลายเดือนก่อน +1

    Anajilazimisha kukubarika

  • @user-td3st2rv7u
    @user-td3st2rv7u 6 หลายเดือนก่อน

    Umeigaaaaaaaaaaa iloooooooooo

  • @sostheneskaluwa4153
    @sostheneskaluwa4153 6 หลายเดือนก่อน

    Bado sana hiyo mipigo ni Misomisodo ameiga tu

  • @user-db7kp7bl8l
    @user-db7kp7bl8l 6 หลายเดือนก่อน

    Hamuwezi kufika kwa misomisondo

  • @AfroMedic
    @AfroMedic 6 หลายเดือนก่อน

    Umepigaje apo misso