Huyu mwanaume ako na maringo sana, ata babangu alikua mtu wa kulaani achana nae ata ukose kwenda mazishi kwani iko nini..kama hataki kusameheana atakufa kama hajasamehewa na Mungu
Parent's curse or anger is not a joke. AlthoughGod blessed Noah and his sons, Noah cursed Ham and his generations are cursed to today. Fifth commandment God commands children to honour parents to live long. Felix umesema ngombe za mzee mumefisha kwa jirani. Umeambia mzee mutamununulia ngombe. Ukweli no upi? Mulikula ngombe za mzee mukasema mtoto si wake ni wa mama yenu? Akifa leo, uende mazishi utakufa hapo hapo. Usicheze na mzazi. Give him his cows ASAP. Do what he says. go home and talk as a family. Do what he says. Visit him in his house. Talk to him as a father. He loves you but a father is not a mother. Father's have no breasts. 90% of fathers are like that, even tougher. Wise children make peace with parents and inlaws too, before they go to God. That's how blessings come. A man never takes a sisters dowry when father is a live. You are in real trouble. Harakisha Felix na uende na wazee.
nijambo la kuhuzunisha, ushauri wangu nakupa jinisi ulivyo muomba musamaha mungu amekusikia kama huja mupekea yesu mupokee yesu azidi kufuta makosa yako na maisha yako yatakuwa sawa
Felix msikumbali laana iwaue! seek for a servant of God...and go for delivarence. each one of you.must seek delivarence . you will be delivered and annointed and the curse will never follow you neither your children's children.i believe God he bless the cursed!
Pologamy family is hell , huyu baba anashughulikia watoto wa mama mdogo lakini lakini hajali yatima . Flex God is with just pray and it will turn back to him
Jameni huyu baba apunguze hasira. Kijana aneomba msamaha na bado baba hashukishi hasira!sisi binadamu na kukosea pia ni lazma chs muhimu ni mtu akitambua makosa yake akiomba msamaha samehe 70×7biblia imeeka wazi. pole sana Felix.
nimekubali kwai dunia atutawai kuona shetani...shetani ni sisi kwa sisi unaye kula, kunywa,kucheka naye yani uyo ni babake anamlaani ivo...na felix ashakubali makosa jameni
walai huyu baba ni mbaya felix keep praying en everthing wil be ok kama huna makosa na yeye hata hizo laana zake hakuna kitu zita fanya,waa yani unalaani watoto wako waaa
Felix mzazi ni mzazi hata awe na makosa vipi huwezi kujiweka katika level moja na yy.Ww kama mtt unafaa uwe chini,ungetumia hekima ukajishusha ukakubali makosa ili upate msamaha kutoka kwake.Laana ya mzazi ni mbaya juu hufwata kizazi na kizazi kinachofwata
eeish huyu mzee Ako na ujinga sana, tena huyo mama wakambo ndo anagawanyisha hii family, lakini wazee wa sikuhizi ni wajinga sana wamelalia wamama wakambo kuliko familia yao.
please baba,samehea watoto ni damu yako kumbuka we ndio mzazi mama ameaga please baba bless your kids while you are still alive, they need you and you need them as well laana yako unaeza wafuata maisha yao yote from one generation to the other please baba nakusihi,ulimi ni kiungo kidogo lakini matatizo yake ni makubwa
Eeeh!baba Felix!!!!!! Mbona Una hasira hivo ,forgive and forget Felix ni mtoto wako hata ufanye aje ,,na ni mzuri amenyenyekea na akaomba msamaha..ghai forgive him hata Yesu alitusamehe dhambi zetu ...Felix na wewe pia usirudie kuuza ngombe ya baba without his permission unajua laana ya mzazi ni mbaya na tunataka baraka kwa wazazi ....
hawa wazazi huongea anyhow wananjua ire shida wanaletea watoto in future na hiyo urimi?wewe kama mzazi you know you have power to bless your children's all to ruin forgiveness is the key
Lakini mtu akiomba msamaha c umusamehe baba?how much do u think u wrong to God but bado unaishi ?pple do collide but reconciliation ix considered much.otherwise baba 4gve ur children plzzz
Huyo mzee ni mmbaya sana, utakataaje msamaha wa mwanao, filex wwe usijali bora wwe umeomba musamaha na akaikataa dhambi ni kwake, yye kama sio muchristo musamaha yesu alituwachia
Waaah kamuti inafanya kazi bbi mdogo anakoroga kukoroga
When some old men remarries that is the way they behave. From there is no baba again you are doing with the devil himself
Good Hakuna laana happy, Felix amenyenyekea kuomba babake msamaha lakini yeye hataji kusikiza, Mingu needs yote awapiganie Hawa watoto wakina felix
huyu mzee hata yy n too much....wachana naye si yy Mungu aaaaaaaaaaaalaah
Huyu mwanaume ako na maringo sana, ata babangu alikua mtu wa kulaani achana nae ata ukose kwenda mazishi kwani iko nini..kama hataki kusameheana atakufa kama hajasamehewa na Mungu
Parent's curse or anger is not a joke. AlthoughGod blessed Noah and his sons, Noah cursed Ham and his generations are cursed to today. Fifth commandment God commands children to honour parents to live long. Felix umesema ngombe za mzee mumefisha kwa jirani. Umeambia mzee mutamununulia ngombe. Ukweli no upi? Mulikula ngombe za mzee mukasema mtoto si wake ni wa mama yenu? Akifa leo, uende mazishi utakufa hapo hapo. Usicheze na mzazi. Give him his cows ASAP. Do what he says. go home and talk as a family. Do what he says. Visit him in his house. Talk to him as a father. He loves you but a father is not a mother. Father's have no breasts. 90% of fathers are like that, even tougher. Wise children make peace with parents and inlaws too, before they go to God. That's how blessings come. A man never takes a sisters dowry when father is a live. You are in real trouble. Harakisha Felix na uende na wazee.
nijambo la kuhuzunisha, ushauri wangu nakupa jinisi ulivyo muomba musamaha mungu amekusikia kama huja mupekea yesu mupokee yesu azidi kufuta makosa yako na maisha yako yatakuwa sawa
Felix msikumbali laana iwaue! seek for a servant of God...and go for delivarence. each one of you.must seek delivarence . you will be delivered and annointed and the curse will never follow you neither your children's children.i believe God he bless the cursed!
Aish... Lazima wampatie Kaisari yaliyo yake Kaisari. Mungu huwa hapakwi mauji kwa macho. Honor the parent first
Ngai kwani huyu ni baba wa aina gani jameni hana huruma na mtoto wake ngosh.Felix be strong God atawapigania woishe.
wooooi..... aki mzee punguza hasira... hawa watoto Ni wako baba
haki baba plz forgive your son
mi ushangaaaa sana na hawa watu wanapenda kusema ata nikifaa ucje matanga yangu kwani utaamka hunichape
Iren Tirop Hahaha watu wanapenda hiyo ufala
Becky Beto wanatisha watu tuuu
Becky Beto 😅😅😅😅😅😅
Violet Kerubo hii ya leo wacha tu weeeee
Iren Tirop
Hahaha
AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAiiiiiiiiiiiiiii huyu mzee ako na ujinga sana,,,,,,felix God will help you
Pologamy family is hell , huyu baba anashughulikia watoto wa mama mdogo lakini lakini hajali yatima . Flex God is with just pray and it will turn back to him
i stand with this mzee I have seen such families
Unataka kusamehewa ndio uwe unasaidio na baba🤣
Toxic father....hio laana haiwezi pata huyu kijana. Ako na maringo sana
huyo mzee ni mrude na ana makosa, si mfano wa baba
chebet sylvia ni m rude sana ana bore tu
Jameni huyu baba apunguze hasira. Kijana aneomba msamaha na bado baba hashukishi hasira!sisi binadamu na kukosea pia ni lazma chs muhimu ni mtu akitambua makosa yake akiomba msamaha samehe 70×7biblia imeeka wazi. pole sana Felix.
dad plz forgive and forget forgiveness is divine
Mama akikosa kwa boma, watoto wako mashakani. Huyu mzee ako na ujeuri sana na wa kumrudisha China ni mama. Mama naye hayuko. Pole kijana
Felix Cha muhimu umembomba babako msamaha ,hayo mengine mwachie Mungu ,nawe baba kwa hakika humjui Mungu kumbuka pia wewe ulisamehewa Dhabi ,
Cate Cate Cate cate true lazima tujifunze kusamehe
waaaaah ii noma nashkuru nko na baba mzuri uyo mzee ni mjinga tu aache asira za ovyo
Ndunga yeye kisu mrembo😃😃
😆 🤣 hii hunimaliza kabisa
nimekubali kwai dunia atutawai kuona shetani...shetani ni sisi kwa sisi unaye kula, kunywa,kucheka naye yani uyo ni babake anamlaani ivo...na felix ashakubali makosa jameni
walai huyu baba ni mbaya felix keep praying en everthing wil be ok kama huna makosa na yeye hata hizo laana zake hakuna kitu zita fanya,waa yani unalaani watoto wako waaa
mzee kua mpole una hasira mbaya. Watoto wako pia wanahaki ya kujieleza.kwani mazishi ni kalamu
waaaaa wazee wameharibika kibor wa eldoret na Jacob wa pungoma !!huyu mzee amelaani mtoto ati asije masizi yako!!
Felix mzazi ni mzazi hata awe na makosa vipi huwezi kujiweka katika level moja na yy.Ww kama mtt unafaa uwe chini,ungetumia hekima ukajishusha ukakubali makosa ili upate msamaha kutoka kwake.Laana ya mzazi ni mbaya juu hufwata kizazi na kizazi kinachofwata
lakini uyu baba ana ujinga /utoto
Lazais Lazais ww hujaelewa sio??
freasiah Wairimu nieleweshe my dear
Huyu Mzee hapana ...they are ua kids please forgive them....aki Felix amejihumble sana....mungu atawapigania
Huyu baba hapana mungu amsaidia
Ahsanteni sana Radio jambo
Baba hakuna mtu hakosei hapa duniani plsss samehea mtoi na utabarikiwa acha hasira mzee
Don't worry if u aske forgiveness from your heart God have already 4give u .
God has not God have
Acha hasira samehe mtoto wako ata kwa mungu sio poa kukosa kumusamehe. mungu anakuona mzee long as yy amekuomba mungu amemusamehe
Waaa......mamayooo..mzee,watu hukosana bt pia kuna msamaha.
baba nakuomba uwasameh watoto wako wape rathi yako nakuomba baba.. 😭🇹🇿
exactly life yetu na baba yetu .Baba hapendi nyumba yetu na ndio n nyumba kubwa.Mungu tu
eeish huyu mzee Ako na ujinga sana, tena huyo mama wakambo ndo anagawanyisha hii family, lakini wazee wa sikuhizi ni wajinga sana wamelalia wamama wakambo kuliko familia yao.
mzee ako sawa sana
please baba,samehea watoto ni damu yako kumbuka we ndio mzazi mama ameaga please baba bless your kids while you are still alive, they need you and you need them as well laana yako unaeza wafuata maisha yao yote from one generation to the other please baba nakusihi,ulimi ni kiungo kidogo lakini matatizo yake ni makubwa
mungu sadia wazee kama Uyu na Mzee Kibor ya Eldoret.
Simkims Matayo hahaha walai their curse their own generation
anaskiza radio
no comment haki huyu baba hana huruma waaa
sijui kama mme notice kitu felix akienda kumuomba msamaha analeta issue ingine kwa nn unasema uongo jameni forgive no one is perfect God forbid
mmmh malipo Hapa hapa Duniani huyo mzee atapokea tu.pole kaka mwachie MUNGU
Eeeh!baba Felix!!!!!! Mbona Una hasira hivo ,forgive and forget Felix ni mtoto wako hata ufanye aje ,,na ni mzuri amenyenyekea na akaomba msamaha..ghai forgive him hata Yesu alitusamehe dhambi zetu ...Felix na wewe pia usirudie kuuza ngombe ya baba without his permission unajua laana ya mzazi ni mbaya na tunataka baraka kwa wazazi ....
Mzee pepo nyekundu
so painful
Felix ako na makosa!!
aaaii babaa came down bana mwanaume nikujikaza binadamu lazma hukoseana na hupatana
Felix just pray ata akikataa kukusamehe God will forgive you. Kwani yeye ni nani? Just a father? I wonder with this parents of nowadays.
hapo hakuna laana felix mtegemee mungu pekee babaako , ametiwa box na mama wakando.
Achia mungu mzazi n mzazi tu
but huyu mzee nikama alitenga mamayao....nkt
Huyu baba ni rude pia
leo nimeshindwa kuongea God b on our side
Baba pliz forgive and forget
damu ya yesu pekee ndiyo husafisha, hilo alilo nalo huyo mzee nipepo hilo! na unapo mupokea yesu atayayusha hulo lipepo la hasira na atakuwa sawa
pore but huyu baba yenu mungu amusaindie nathani mama wakabo ariharibu boma yenu na baba hajui musamaha tu muze utajua utakufa rii ukari buri
hawa wazazi huongea anyhow wananjua ire shida wanaletea watoto in future na hiyo urimi?wewe kama mzazi you know you have power to bless your children's all to ruin forgiveness is the key
aki pliz forgive him.lahana ya baba si mchezo
The power of mama wakambo all these happens be course of her I hate some step mothers
Very true
mama wa kambo hatari
uyo mzee haongeei kama mtu anajua uchungu wa mwana,mtu hukosea na kama mtoto ameona makosa anafaa asamehewe
waaaaah baba kweli asira kwa mtoto wako...... felex omba mungu sana
maisha jo
hasira ya baba inaongezwa pia na kuuzwa kwa ng'ombe, mrudishieni ng'ombe uhusiano iendelee
mzee pokea msamaha ya watoto wako. Felix anaskika myenyekevu sana.
huyo jamaa atafute mzee face to face
Mr Jacob. Ni ng'ombe tu ndo issue ama??
hao ngombe warudishe ndo baba akue mpole
Lakini mtu akiomba msamaha c umusamehe baba?how much do u think u wrong to God but bado unaishi ?pple do collide but reconciliation ix considered much.otherwise baba 4gve ur children plzzz
I like the comments
mzee mjinga sana uyu afikiri kwani huwezi samehea mwanao pia ww ni ngombe .sheeet mzee
mzee atatulia with time mpedeni tu, even try to b near him ata akikufukuza
ukaenda kando na kisu kwa tumbo?ukacall babako!!!!!
Huyo mzee ni mmbaya sana, utakataaje msamaha wa mwanao, filex wwe usijali bora wwe umeomba musamaha na akaikataa dhambi ni kwake, yye kama sio muchristo musamaha yesu alituwachia
baba ana machungu hii sio ya redio
Huyu mzee ako na hasira kabisa waa
wewe ni mzazi wape baraka watoto
wewe ni mzazi acha laana kwa watoto wako maisha yenyewe magumu bado unatoa laana wewe ni mwanadamu usitoe hukumu
Sasa ngombe ni muhimu kuliko mtoto wako? wazee mkae kama wazee wa zamani jamani
Hapo hakuna aana hata......
hahahah kuleni tu
Baba usitupe wanao kwasababu ya mke mdogo hao niwanao
waa,,huyu mzee ako na unjinga sana.mtoto akikosea hua anawaomba wazazi msamaha.nahuyu kinjana ameona makosa yake naakamuomba musamaha.sasa wee mzee ukiongea hivyo,,kwani wee hujawai mkosea mungu?sasa kulaani watoto wako ivo,,hio sio poa.ati hadi masishi asikuje,kwani anakuja kukukula?
hasira hasara
Haki huyu uncle, alituabisha sana