AKAMATWA MOROGORO AKITOROSHA MADINI TANI 20

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 193

  • @fredymkanza
    @fredymkanza 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe hiyo ni scania ... Jamani Afande umetisha

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm sjaelewa kaiba au yake

  • @hamisijumanne5368
    @hamisijumanne5368 3 ปีที่แล้ว +4

    naishangaa serekali inadili na tozo wezi wanaiba madini hii ndio tanzania waaminifu wapo kamanda uliekamata hivyo gari umefanya kazi kubwa sana kutoa maisha yako kuijali Tanzania mungu akulinde wewe ni mzalendo

    • @demycratia2567
      @demycratia2567 3 ปีที่แล้ว

      Kibaka AKIIBA KUKU ANACHOMWA MOTO

    • @godwinnkya7128
      @godwinnkya7128 3 ปีที่แล้ว

      Mbona hayo ni mawe mweupe tu na yanauzwa barabara ni kama kokoto.kosa labda ni kibali kama vya mchanga.Wapigwe faini kama wengine waendelee na safari yao.

    • @hamisijumanne5368
      @hamisijumanne5368 3 ปีที่แล้ว

      @@godwinnkya7128 kama nimawe ya au kokoto hapa dar yanapatikana wapi hapa so Nazi iendele sema wizi uendele hatupati takwimu ya wizi mungu anawaona kiboko yako kifo tu duniani tunapita tu he 2050 wafika? Umri wenyewe umeenda badotu wanaiba inabidi watubu zambi zao

    • @demycratia2567
      @demycratia2567 3 ปีที่แล้ว

      Halafu yatatokomeya wapiiiiii

  • @titomhagama5545
    @titomhagama5545 3 ปีที่แล้ว +4

    Asanteni polisi kwa kufanyakazi nzuri, wameigeuza tanzania Nia kama shamba la bibi

  • @omariyahaya2061
    @omariyahaya2061 3 ปีที่แล้ว +2

    Hayo sio madini ni mawe Mzee baba

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo lako hujui sheria za madimi nandiomaana unasema sio madini ssa nikupashe hata huo mchanga kiseria ni madini

    • @deusntobi1450
      @deusntobi1450 3 ปีที่แล้ว

      Ni madini kwa mjibu wa sheria ya madini japo ni madini ujenzi kama ilivo kwa kokoto na mchanga. Hayo ni mawe tu yanayotumiwa kama urembo kwenye mambo ya ujenzi. #decolationstone

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndio nini sasa mnatuonyesha Kisha baadaye kimyaaaa ovyooooo MAGUFULI OYEEEEEEEEEE

    • @sarahsimon8060
      @sarahsimon8060 3 ปีที่แล้ว

      Kiboko yao ni hamza mbwa hawa wezi wakubwa mbona hawatuonyeshi wanayapelekaga wapi

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255 3 ปีที่แล้ว

      @@sarahsimon8060 ajabu

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 3 ปีที่แล้ว

    Duuu tungepigwa hongera asikari

  • @fredrickmassawe2437
    @fredrickmassawe2437 3 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P Magufuli. Uliongea sana kuhusu madini. Habari itaishia hapahapa na hakutakuwa na hatua yeyote.

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 3 ปีที่แล้ว

    Heyeheheheeeeeeee Jamani watu Wana njaaaaa watz hawana chakulaaa TOZO kila corner sasa hi Zi Mali ZINAZOKAMATWA BAADA YA HAPO ZINAENDA WAPI

  • @sunrishmussan6958
    @sunrishmussan6958 3 ปีที่แล้ว

    Magufuri weeeeeee

  • @godfreytarimo54
    @godfreytarimo54 3 ปีที่แล้ว +3

    Haikunyi haikojoi bablai😄😄😄bongo sihami🏃🏃🏃😅😅😅😅

  • @eyumededu2948
    @eyumededu2948 3 ปีที่แล้ว +6

    Duh Africa 🙌🏼

  • @ramadhanjuma1077
    @ramadhanjuma1077 3 ปีที่แล้ว

    Huyu afande anatuvuruga anasema gari aina ya Scania hiyo sio scania ni faw arafu unasema umelikamata maeneo ya melela mlandizi sasa unalizwa yalikuwa yanaenda wapi unasema uelekeo kutoka dar kwenda dodoma sasa huko melela yamefikaje.unatuchanganya afande.

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 3 ปีที่แล้ว +1

    Ivii kwel TRA ukoo njian and mezan n kwambaa awakuwepo???

    • @joycembawala8781
      @joycembawala8781 3 ปีที่แล้ว

      Ndo nashangaa wakati Chalinze kama sikosei kuna mzani kapitaje??

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi imeanza

  • @NtanunuraWillsonBaru
    @NtanunuraWillsonBaru 3 ปีที่แล้ว

    Haya madini ulaya ni dili kuwa lakini Africa hatujui viwanda mnasubili mpaka mchina aje afungue kiwanda duuh tubadilike wazito Sanaa ktk kufanya vya kwetu hayo mawe yana fanya nyumba iwe ya aina yake kunga'aa

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 3 ปีที่แล้ว +1

    Haikunyi, Haikojoi, Bablai... Sio maneno yangu ni maneno niloyasoma kwenye hiyo gari. Duh watu wapo serious kwakweli 😂😂😂

    • @shadyakimaro3245
      @shadyakimaro3245 3 ปีที่แล้ว

      Nkajua peke angu, ndo nmekodolea apo!!😂

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 3 ปีที่แล้ว

    Mama yangu magufulianachunga maliyatanzania

  • @amadeukondekonde217
    @amadeukondekonde217 3 ปีที่แล้ว +6

    Ayo ni mawe yanaitwa marmonte ni ya kuzarisha marumaru za nyumba aina aja ya mtaaram

    • @chazy7ya216
      @chazy7ya216 3 ปีที่แล้ว

      Sheria inasema ata mchanga ni madini

  • @swaibuiddy390
    @swaibuiddy390 3 ปีที่แล้ว

    Haikunyi haikojoi na haikamatwi!!!!!!!!

  • @fareesfarees7634
    @fareesfarees7634 3 ปีที่แล้ว +9

    mzigo hauvuki ata border mnasema yanatoroshwa....apo ALIPE KIBALI AENDELEE NA SAFARI

  • @khalidabdulla6545
    @khalidabdulla6545 3 ปีที่แล้ว

    Afande tusomee ayo manenooo apo chini

  • @ramsojimmykelly3379
    @ramsojimmykelly3379 3 ปีที่แล้ว

    Afande kwa hiyo hiyo ndio Scania yenyewe

  • @omarymkungwa7657
    @omarymkungwa7657 3 ปีที่แล้ว

    Iyo mijiwe tu aina mpango wowote tanga ipo mingi au kwa sababu amepakia kwanye gari ndiyo unayaaona madini acha sifa

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว

    Nihatari kweli duniya iyi

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 3 ปีที่แล้ว

    *Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈 kuutazama naamini utaupendaaa SAB👍SKLAB*

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 3 ปีที่แล้ว

    Tunapigwa sanaase

  • @kazizaidi1695
    @kazizaidi1695 3 ปีที่แล้ว +1

    Madini yenyewe hayana
    Thamani kiivyo

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 3 ปีที่แล้ว

    👏👏👏 kz iendelee

  • @vaatiosnat2168
    @vaatiosnat2168 3 ปีที่แล้ว +2

    Gud job

  • @samsonkabaka3252
    @samsonkabaka3252 3 ปีที่แล้ว

    Angalikuwepo Magu daa Magu kaondoka mambo hivyo

  • @sangiwamsangi9365
    @sangiwamsangi9365 3 ปีที่แล้ว

    Kwani dar es Salam kunachimbwa madiniii?

  • @benedictorkambanga5209
    @benedictorkambanga5209 3 ปีที่แล้ว +1

    Hayo mawe mbona hapo tu Kwanza yanaunzwa ndoo elfu 10000 yapo meupe hivi mbona sio madini

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania ni tajiri. Serikali ikipigana na wizi na utoroshaji wa madini Tanzania itaendelea. Lakini ufisadi umerudi kwa kasi. Mpaka leo hatujuwi ni nani mwenye bomba la mafuta kigamboni. Tangu tulipoambiwa atapelekwa kortini tinayemuona akipelekwa kortini ni Sabaya kijana wa Magufuli kwa kuzaniwa ameiba simu ya elfu 30.

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 3 ปีที่แล้ว

    Yanapelekwa wapi?

  • @aishaomari944
    @aishaomari944 3 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔🤔madini gan haya kule kwetu kondoa yapo tele tena hayauzwi afande uyaijie pzl

  • @teddylaida3523
    @teddylaida3523 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa sababu askari hawa wamefanya kazi nzuri na yaku shangaza watanzania tuone Rais ata sema nini na madini hayo ya kwenda wapi na watanzania wata nufaika vipi

    • @mwinyikadhi2870
      @mwinyikadhi2870 3 ปีที่แล้ว

      Sio madini hayo ni mawe ya ujenzi yakiuzwa hayafikihata million 5 ww wataka unufaike na mm kwenye mawe hayo!!?

    • @dickaugustino2214
      @dickaugustino2214 3 ปีที่แล้ว

      JPM ndo angesema kitu...Ila sio huyu tulienae

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 3 ปีที่แล้ว

    Lakini sasa 😲😲😲

  • @fredimendradi249
    @fredimendradi249 3 ปีที่แล้ว +1

    Kamanda anachanya madawa mala gari aina ya scania kumbe faw na linatoke dar kwenda Dodoma melela linafata nini

  • @swaibuiddy390
    @swaibuiddy390 3 ปีที่แล้ว +1

    Haikunyi haikojoi hahahahaaaa ayo maneno nimeyapenda

    • @RonnieBertin-f7f
      @RonnieBertin-f7f 4 หลายเดือนก่อน

      hayo maneno ndio alifanywa adakwe kazi nzuri afande

  • @gabrielkabato9909
    @gabrielkabato9909 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo polisi watueleze tani kumi ziko wapi, hayo mawe kwenye semi huwa ni tani 30,😂😆😂

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 3 ปีที่แล้ว

    Vitu vyengine msipende kuripoti ktk vyombo vya habar moja kwa moja .fanyeni uchunguzi kwanza..matokeo yake ndio haya..kamanda una mihemko Sana.

  • @bonifansimatias6951
    @bonifansimatias6951 3 ปีที่แล้ว

    Tumerudi kwa kikwete angalia usije ukafukuzwa kazi maana naye mama anaonekana rizi one

  • @kelvenmwamulima4458
    @kelvenmwamulima4458 3 ปีที่แล้ว

    Ongeeni vizuri yalikuwa yanatoloshwa kwenda wapi?

  • @hubertmroso1664
    @hubertmroso1664 3 ปีที่แล้ว

    Yanathamani gani

  • @gililwise
    @gililwise 3 ปีที่แล้ว

    Hayo mawe ya marumaru yanauzwa hapo Tanga ni kwa ajili yakupendezesha nyumba tu na siyo madini jamani

  • @ibrahimmohamed8845
    @ibrahimmohamed8845 3 ปีที่แล้ว +3

    Madini yatoke Dar halafu yakamatwe Morogoro yakiwa yamefunikwa na turubali vizuri tena kwa mpango mzuri, inakuaje hapo? Yaani wakati wa upakiaji hakuna chombo cha usalama kilichokuwepo kuthibitisha upakiaji huo?

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kweli hayo ni madini mbona mengi sana au RPC kakosea kama kweli basi tumekwisha wa tz

    • @deusntobi1450
      @deusntobi1450 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu hayo ni mawe tu ya ujenzi wanayatumia kama urembo yanauzwa kama tu kokoto mi ninayo na ninafaham yalipo ni mengi mno. (Decoration stone) ni kweli ni madini maana hata mchanga na kokoto ni madini ila ni madini ya ujenzi. Hapo kosa ni kutokuwa tu na kibali cha usafrishaji. Kama mtu anayahitaji nitafte

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 3 ปีที่แล้ว

      @@deusntobi1450 Asante ndugu maana nilishanga sana nilidhani madini kabisa kama ile ya Merereni shukran

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 3 ปีที่แล้ว

    Kamanda una kitete Sana mpaka umambambikizia gar wakat hiyo ni Faw..hayo mawe tu kamamda sema labda Hana kibali tu usiwatie watu presha eti madini hayo mawe ya mapambo tu hayana ishu yeyote..na Wala alikua hatoroshi maana ya kutorosha no kuyapeleka nchi tofauti..usituaminishe Kama madin no madini ya ujenzi kama mchanga na kokoto msitumie nguvu nyingi Sana kwa vitu simple

  • @cleverboy3812
    @cleverboy3812 3 ปีที่แล้ว

    Hata sielewi hii movie ipoje kwa sababu Ukitoka DAR kwenda TANGA au MOSHI ayo mawe utakutana nayo mengi sana tena yanauzwa barabarani yamepangwa ktk virobo na vifusi.. Yanauzwa kama wanavyouza mchanga na kokoto na watu wananunua kawaida.

  • @sudiyahya9276
    @sudiyahya9276 3 ปีที่แล้ว

    Jamani hivyo vimawe mbona uwa vinazagaa zagaa mtaani au?

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 3 ปีที่แล้ว

    Hio sio scania ni faw,halafu hili sio hata jambo la kutuhabarisha.

  • @abdulikinda2318
    @abdulikinda2318 3 ปีที่แล้ว

    wapigwe fine mwisy hao

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 ปีที่แล้ว +1

    Haikunyi haikojoi Bablai😂😂😂

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo faw siyo scania afande

  • @godfreysamson3069
    @godfreysamson3069 3 ปีที่แล้ว

    Sas hayo sini mawe tu hayana madhara

  • @asnamgamba7396
    @asnamgamba7396 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzigo umepakiliwa dar mpaka yanafika morogoro tena tani 20 gari nzimaaaa!!;mmmmh haya bana!!!!

    • @zanzibasingida4869
      @zanzibasingida4869 3 ปีที่แล้ว

      yalikuwa ni mawe ya kujengea

    • @asnamgamba7396
      @asnamgamba7396 3 ปีที่แล้ว

      Nahisi yalikua ya ujenzi kweli😂😂😂😂

  • @zanpalmboutiquehotel2681
    @zanpalmboutiquehotel2681 3 ปีที่แล้ว

    Alo kuwa ana guswa hayupo tena ndg yangu kuwa makini mara watakuuwa

  • @thabitbawaziri9632
    @thabitbawaziri9632 3 ปีที่แล้ว

    Wewe mzee Muslim unazeeka vibaya.hayo mawe ya urembo unasema madini nenda pale kwedikwavu utayakuta yamejaaaaa ndoo kubwa ef2 tu.hivi km ni madini kweli ndio yasafirishwe kinamna hiyo heee jameni.

  • @sghdrdhidf7603
    @sghdrdhidf7603 3 ปีที่แล้ว

    Wote wezi polisi na hao wasafilishaji wote

  • @leilaadamu4817
    @leilaadamu4817 3 ปีที่แล้ว

    Tumerudi kuchezewa kbs 🥺🥺🥺🥺

  • @andrewandrewyohana2833
    @andrewandrewyohana2833 3 ปีที่แล้ว

    Hayo Ni Mawe au Madini!!!!????¿

  • @saidyoriyori9697
    @saidyoriyori9697 3 ปีที่แล้ว

    kwaiyo tangu ilo gali litoke daa mpaka molo limevuka vizuizi vingap mpaka lifike uko apo sijaerawa kwakweri

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 3 ปีที่แล้ว +9

    Afande samahani mimi sjui sheria lakini hapo mlipaswa mtafte watu wa madini waje wawathibitishe kuwa kweli hayo ni madini ama lah! Kimsingi ni madini lakini ni madini ujenzi kama tu ilivo kwa kokoto na mchanga . Hayo mawe yapo sehem ni mengi na yanauzwa kama tu kokoto mi nayafahamu na ninayo

    • @josephatmakaranga7043
      @josephatmakaranga7043 3 ปีที่แล้ว

      Kweli hujui sheria bas ungeuliza swali kuliko kuchangia usichokijua

    • @cleverboy3812
      @cleverboy3812 3 ปีที่แล้ว +1

      ​@@josephatmakaranga7043 Ukitoka dar kwenda tanga ayo mawe ni kweli yanauzwa barabarani yamepangwa ktk virobo na vifusi.. Yanauzwa kama wanavyouza mchanga na kokoto

    • @josephatmakaranga7043
      @josephatmakaranga7043 3 ปีที่แล้ว

      @@cleverboy3812 sikatai kwamba yanauzwa, swali ni je,
      1.Ana vibali vya manunuzi kwa shehena yote hiyo?
      2. Ana vibali vya kusafirishia hayo mawe/ madini?
      3. Na kama ni mchimbaji wa hayo mawe/ madini je, ana vibali kutoka mamlaka ya madini na mazingira?
      Labda nikusaidie kitu ndg, hiyo michanga unayoona ikisafirishwa huwa ina vibali vyote kutoka mamlaka zinazohusika na mambo ya madini na mazingira (NEMC) na ndo maana huwa unaona yanafunikwa. Lakn pia lazima wawe na vibali vya kusafirishia kutoka sehem A kwenda B. Lakn pia kwa mchimbaji lazima awe na vibali vinavyomruhusu kuchimba na eneo husika.
      Nadhani kidogo umenielewa ndugu.

    • @cleverboy3812
      @cleverboy3812 3 ปีที่แล้ว

      @@josephatmakaranga7043 Shukrani ndugu.. Nimekuelewa

    • @josephatmakaranga7043
      @josephatmakaranga7043 3 ปีที่แล้ว

      @@cleverboy3812 asante sana

  • @justinejulius8643
    @justinejulius8643 3 ปีที่แล้ว

    Duuuuuh

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 3 ปีที่แล้ว

    Me napataa tabu kuelewaa🤔🤔🤔

  • @hendryprosper9950
    @hendryprosper9950 3 ปีที่แล้ว +4

    Utaelewa tu haikunyi haikojoi bablai

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 3 ปีที่แล้ว

    Wakati mtetezi kafariki tutayaona mengi tusiyoyatarajia

  • @jafarimngenge4825
    @jafarimngenge4825 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kitu hapo

  • @reganshao
    @reganshao 3 ปีที่แล้ว

    We Afande akili huna ,, hata kwa kufikiria tu , Yan madini yataifishwe kwa style hiyo kweli duuuu unakwama

  • @fredleonardo739
    @fredleonardo739 3 ปีที่แล้ว

    Daaah

    • @amalykibondei1644
      @amalykibondei1644 3 ปีที่แล้ว

      Hao viongozi hawajaewa tu wanatakiwa kuelimishwa tu hapo hakuna kitu cha kutoroshwa hayo ni maskwats tu hayana issue tani moja yauzwa elfu 30 mpaka 50 kutegea na ubora wake

    • @amalykibondei1644
      @amalykibondei1644 3 ปีที่แล้ว

      Labda kuwe na jingine nyuma yake
      Waulize vizur watapata majibu huwa yanatengeneza sabuni .tiles. na vitu mbali mbali hapa nchini

    • @barakammari7459
      @barakammari7459 3 ปีที่แล้ว

      Hayo mawe yanauzwa kizembe mpaka kwenye ndoo huko njiani saiv mnakurupuka viongoz kwanza hiyo gari sio scania ni faw.HP

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 ปีที่แล้ว

    Hayo ni mawe ya mapambo.

  • @muungujaunguja8609
    @muungujaunguja8609 3 ปีที่แล้ว

    Haikunyi haikojoi na wala haikamatwii🤣🤣

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli akili ni nywele kila mtu anazake sio uwongo maganda yanapotea hivi hivi

  • @musason1680
    @musason1680 3 ปีที่แล้ว

    Wazinguaji j

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 3 ปีที่แล้ว

    Hapo ishu ilikua kibali Kama Hana ilikua apigwe fain na kulipankibali Mambo yendelee..sio sijui madini yatoroshwa Tani ishirini dah 🤔 hayo ni mawe ya kawaida tu.

  • @ototek8037
    @ototek8037 3 ปีที่แล้ว +3

    Kamanda utafukuzwa kazi hii sio serikali ya magufuli..sasahivi tunaenda sawa na mashirika ya haki za binadamu na ubora wa democrasia umeongezeka tanzania kuwa makini,,, wazungu na viongozi wetu wamekuwa kitu kimoja kuiba rasirimali zetu.

  • @peterreward4313
    @peterreward4313 3 ปีที่แล้ว +1

    Haikunyi haikojoi bablai kazi iendelee,,😄🤣

  • @mohammedomar2865
    @mohammedomar2865 3 ปีที่แล้ว +2

    Madini yanasafirishwa na guta, bongo sihami dar kuna mgodi wa madini hizi nikiki tu

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 3 ปีที่แล้ว

    Ina maana gari zima apo ni madini limebeba na kote walikopita awajakaguliwa au

  • @deusntobi1450
    @deusntobi1450 3 ปีที่แล้ว

    Hayo ni mawe tu ya ujenzi siyo dili kabsa mi mwenyewe nafamu sehemu yanapatikana na ninayo pia mimi . Yanatumika kama urembo au (decoration stone ) yanauzwa kama tu kokoto unakuta ndoo wanauza elfu 2 halafu jina alilotamka afande siyo. Hilo gar wataliachia maana hakuna madini hapo

    • @chazy7ya216
      @chazy7ya216 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo siyo ilo tatizo nikusafirisha bila kibali napia hata mchanga ni madini sheria inatambua ilo

  • @gibishinchambi1971
    @gibishinchambi1971 3 ปีที่แล้ว +1

    T 357 CGY HAIKUNYI HAIKOJOI BABLAI

  • @saidwayawaya5356
    @saidwayawaya5356 3 ปีที่แล้ว

    Lakini gari sio scania hiyo ni Faw.

  • @idrisasabuni959
    @idrisasabuni959 3 ปีที่แล้ว

    Faw ye anasema scania

  • @joevang4685
    @joevang4685 3 ปีที่แล้ว

    Haya si mawe yale maupe

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 3 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀miaka yao majizi na mafisadi yarudi kwa kasi sana daaah RIP JPM

  • @beckasalum2620
    @beckasalum2620 3 ปีที่แล้ว

    Saf mueshimiwa rpc

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 3 ปีที่แล้ว

    Kutoka dar kwenda dodoma ndo una sema madini yana toroshwa? Hayo mawe hata pale Kidai yana uzwa na watu wana nunua kila siku kupeleka dar wana jengea, sasa kwa hali hii unaweza kubeba hata kokoto uka kamatwa kwamba unatorosha madini wakati yana toka ndani ya nchi yetu na kutumika ndani hapa hapa, mi maoni yangu ina takiwa elimu tu kwa police wetu.

  • @SheMndagala
    @SheMndagala 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani polisi msikulupuke mnatia aibu,tafuteni ukweri ndio mtoe kwenye vyombo vya habarihayoni mawe ya kawaidatu yanauzwa mabarabarani

  • @chalresnkende3299
    @chalresnkende3299 3 ปีที่แล้ว +1

    mnasema nchii haina hela ss hy mali yote mmeiona

  • @muhammedsuleyman6501
    @muhammedsuleyman6501 3 ปีที่แล้ว

    Ya hamza hayo

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 3 ปีที่แล้ว

    Ndio imekunya imekojoa bablai

  • @sarahsimon8060
    @sarahsimon8060 3 ปีที่แล้ว

    Dawa yenu ni hamza

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 ปีที่แล้ว

    duh utoroshaji wa madini kutoka dar kwenda dodoma.nilijua yako mpakani.hii habari haijakamilika afande

  • @ghhyhh7591
    @ghhyhh7591 2 หลายเดือนก่อน

    Tukisema wa tz so maskin ss mnakataa wachen mabeberu wachukuwe mali zetu

  • @rajaburajabu6885
    @rajaburajabu6885 3 ปีที่แล้ว

    Kwakweli kamanda kata wore namimi niponyuma naksapoti

  • @fredmabundagilo6954
    @fredmabundagilo6954 3 ปีที่แล้ว

    Inchi hii umerudi kuwa Shamba la bibi Tena kama alivyo sema JPM,,, tutachezewa sana

  • @anithajoseph2110
    @anithajoseph2110 3 ปีที่แล้ว +5

    rip jpm

  • @fernandokixuju2180
    @fernandokixuju2180 3 ปีที่แล้ว +1

    Michoro hiyoo si bure

  • @khalfanikimanta6663
    @khalfanikimanta6663 3 ปีที่แล้ว

    ILA HIYO SIO SCANIA NI FAW MKUU