RIPOTI YA LEO SOFIA VOLUME 14

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 4 วันที่ผ่านมา +5

    Ndoa + maombi = raha tupu. Sasa jichanganye kwingine uone

  • @HotK_drama
    @HotK_drama 5 วันที่ผ่านมา +11

    Watu Tulivoisubiri hii sehem Kwa ham ..😂

  • @SatwantHoogan
    @SatwantHoogan 5 วันที่ผ่านมา +4

    Tuko Pamoja My Dear Vero!❤ Nimekusubiri Kwa Hamu!👍🏻

  • @AzizaFirozi
    @AzizaFirozi 5 วันที่ผ่านมา +3

    Asante dada Vero tuko pamoja habibt

  • @JovithaPius
    @JovithaPius 4 วันที่ผ่านมา +7

    Walio kwenye ndoa wanataka kutoka akina sisi ambao hatujaingia tunatamani kuolewa😢😢 maisha haya

    • @SuzanaMazzuki
      @SuzanaMazzuki 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kuna akina mm naogopa ndoa atar na umri umeenda atar

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@SuzanaMazzukiwe ndio Binti yangu, anaogopa ndoa hadi namuonea huruma😂! Niliyopitia Mimi mama Ake ya Sophia cha mtoto 😂😂

    • @yusterwilliam6048
      @yusterwilliam6048 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@MsAggie5hata Mimi mama yangu amepita kwenye ndoa ya mateso makubwa sana Mimi ukiniuliza kuhusu kuolewa nakuona hamnazo kabisa aisee mama yangu ameteseka jamani na bado anateseka eeeeh Mungu nipe maisha

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@yusterwilliam6048 usiwe hivyo mwanangu, huwa hata namshauri mwanangu sio kweli kama wanaume wote wako Sawa, kuna wastaarabu na wenye mapenzi ya kweli wala hawaendi nje kutafuta kurogwa na wanawake wachawi! Endelea kumuomba Mungu akuletee mwanamme sahihi, wapo na ipo siku utakutana nae, nakuombea Kwa Mungu akutafutie Kwa jina la YESU 🙏

  • @neyney1907
    @neyney1907 4 วันที่ผ่านมา

    Great of all time da vero good work 🔥🔥🔥

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mama ake sofia ni moja tuh walah

  • @vee4296
    @vee4296 4 วันที่ผ่านมา +2

    Dah ...kweli hakuna km mama....😢❤

  • @CelinasimaoRafael
    @CelinasimaoRafael 4 วันที่ผ่านมา +1

    Apa nipo kwenye mahusiono na yanani sumbua me siwezi kuolewa 🙌

    • @milleniumkibasa8773
      @milleniumkibasa8773 4 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @Ms.JaneCoco
      @Ms.JaneCoco 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kaa na MUNGU saaanaaa mpenzi ww si MKRISTO OMBA funga jmn mm namuomba saana MUNGU mbona usiangalie nenda kwenye makanisa ya kiroho hswa (sijasema ya manabii)😅😅

  • @milleniumkibasa8773
    @milleniumkibasa8773 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna Kama mama daaa ❤

  • @SharifaMgwambe
    @SharifaMgwambe 4 วันที่ผ่านมา +1

    Tuliisubiri kwa hamu sana jmn da vero❤ mkasa wa kipekee sana😢

  • @ZenaUsangi
    @ZenaUsangi 4 วันที่ผ่านมา +2

    MARAFIKI NI ADUI WA NDOA YAKO ATAKUSHAURI KISHA ATAKUHARIBIA ACHANA NA MARAFIKI

  • @salamas.mchonjo142
    @salamas.mchonjo142 4 วันที่ผ่านมา

    Akina Sophia kwny hii Dunia amebaki yeye tyu😂 walobaki moto fireeee

  • @reginakimvuma2773
    @reginakimvuma2773 4 วันที่ผ่านมา +4

    Hakuna kama mama jamani

  • @MagrethKimwaga-hf8jy
    @MagrethKimwaga-hf8jy 4 วันที่ผ่านมา

    Dah yan hamna kama mama❤

  • @reginaedward4645
    @reginaedward4645 5 วันที่ผ่านมา +6

    Nan kama mama

    • @wardagogodigo1111
      @wardagogodigo1111 4 วันที่ผ่านมา

      Yani asingekuwepo mamake angepotea😢

  • @ZenaUsangi
    @ZenaUsangi 4 วันที่ผ่านมา

    HUYU MWANAUME ANGETAKA USIJUE ASINGEMRUHUSU KUPIGWA CM WAKATI WOWOTE HAWA WANAUME NI HATARI SANAAA WANATUUA HUKU TUKITEMBEA.UCHAWI NAO UPO ISINGEKUWA USHIRIKINA HUYU MWANAUME ALIKUWA AMESHAKUNAHI DAWA ZIMEMRUDISHA ILA SOPHIA UNGEKAA NA MUNGU KARIBU NI BORA KULIKO WAGANGA

  • @نجاةالعبري
    @نجاةالعبري 4 วันที่ผ่านมา

    Sofia ange kuw team majinun saiz ange kuw kashabeba pasport yake safar kwa agent afny mpng wa kwnd kuosha hamam kwa mwarb

  • @JudithGeofrey-m3h
    @JudithGeofrey-m3h 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ila ndoaaa 🖐️😔

  • @tumpeernest9690
    @tumpeernest9690 4 วันที่ผ่านมา

    Aiseee tumetoka kwenye biashara saivi ni mapenzi adi raha

  • @AminaHamisi-u7n
    @AminaHamisi-u7n 4 วันที่ผ่านมา

    Napenda san sauti yako dada

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 5 วันที่ผ่านมา +1

    Asante ❤

  • @SalomeYeremia
    @SalomeYeremia 4 วันที่ผ่านมา

    Jamani hakuna kama mama😢😢