🔴LIVE - RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA SOFIA SEHEMU YA 13 - OCT 02

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @hasnakingu4593
    @hasnakingu4593 2 หลายเดือนก่อน +3

    Rafiki yake amesema vizuri sana. Wanawake inabidi tujitunze kujithamini. Thamani yako isitegemee mwanaume

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน +9

    Nakumbuka yule Dada aliyemuuwa mume wake simulizi flani hiyo tuh mganga mganga nazani angekuwa kwa mama aombe lkn pia kujipenda yaani ishi maisha Hawa viumbe kukimbiza nao huwezi

    • @hurumaanyisile1918
      @hurumaanyisile1918 2 หลายเดือนก่อน

      Zubeda😮😢

    • @lovenessmjaka9754
      @lovenessmjaka9754 2 หลายเดือนก่อน

      @@hurumaanyisile1918ni Zulfa siyo zubeda

    • @kemiivani2353
      @kemiivani2353 2 หลายเดือนก่อน

      Nadhan Litamkuta jambo kwa mme wake Sophia

    • @kemiivani2353
      @kemiivani2353 2 หลายเดือนก่อน

      ​Ndio du Mapenzi yanauma

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@hurumaanyisile1918 kabisa UNakumbuka kamuuwa mume wake funzo kubwa jamani mume akienda injeh mpe muda jipendeni ishi kama shoga ake vuta nikuvute unamuuwa

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 2 หลายเดือนก่อน +2

    Haya maisha haya, Mungu ndio anaejua.

  • @maikolacksoni6066
    @maikolacksoni6066 2 หลายเดือนก่อน

    Simulizi ya October 3 mbona haipo

  • @eveliynejoseph7944
    @eveliynejoseph7944 2 หลายเดือนก่อน

    Pole Sofia 😢😢😢nayahisi maumivu yako coz nishawai PitiA tofauti hiyo ni ndoa mm ilikuwa ni relationship,nilivo na roho ndogo na siwez kuchunguza sana nikaacha naye

  • @zilipamoses
    @zilipamoses 2 หลายเดือนก่อน +4

    Moyo unaniuma kama mimi ndo sofia naogopa kuingia kwenye ndoa jamani😢

    • @HaniffaOmary-v5r
      @HaniffaOmary-v5r 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kiukweli nibola usikie mtu anasimulia 😢😢likikukuta unaweza kujiuwa maumivu huwa makali sana

    • @yusuphcastory2870
      @yusuphcastory2870 2 หลายเดือนก่อน

      @@zilipamoses usiogope ingia

    • @SEKUNDARAJABU
      @SEKUNDARAJABU 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani mimi ndo nimeingia kwenye ndoa sina ht mwezi na ninapoyasikia haya naogopa sana 😢jmn

    • @fatumakyengya45
      @fatumakyengya45 2 หลายเดือนก่อน

      @@SEKUNDARAJABUusiogope ni kupambana usisahau kumtanguliza Mungu

  • @gracesuguta
    @gracesuguta 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wakati mwingine huwa naona ni heri kuwa single mother,kuliko kuwa na stress mpaka unajiingiza kwa waganga na kumuacha Mungu.

  • @SEKUNDARAJABU
    @SEKUNDARAJABU 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi hawa wanaume ambao unakuta wanajielewa kabisa huwa wanazaliwa na akina nani maana kuna wanaume wanajielewa sana ila ni wachache sana

  • @ZuwenaMbinga
    @ZuwenaMbinga 2 หลายเดือนก่อน

    Nice moment❤❤❤❤❤

  • @zBhouseofdelicios
    @zBhouseofdelicios 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mapenzi na Pesa ndio vitu vinapeleka watu kwa Waganga...
    Alfu tangu Aolewe imani imeshuka

  • @hasnakingu4593
    @hasnakingu4593 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi siku hizi Vero hamruki Live TH-cam??

  • @hasnakingu4593
    @hasnakingu4593 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii theology ya kumgombania mwanaume sijui ilitokaga wapii 😢. Tujipende jamani

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 2 หลายเดือนก่อน

    Vero yajana alhamis iko wapi jamani yatarehe 3 wengine tunakua makazini tunategemea humu TH-cam.

  • @Zainabu1Samson
    @Zainabu1Samson 2 หลายเดือนก่อน

    Mbeya amsikiki

  • @neymseluka2077
    @neymseluka2077 2 หลายเดือนก่อน

    Sehemu ya 14 haijarushwa,pia Mbeya hatuwapati toka juzi

  • @fora2009
    @fora2009 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii dunia

  • @hurumaanyisile1918
    @hurumaanyisile1918 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanaume anakufa mwshon nshaona😮

  • @ndrikahassan1083
    @ndrikahassan1083 2 หลายเดือนก่อน

    Yani matangazo yananichosha aah mbona mwanzo haikuwa hivi veronica punguza basi yanakela

  • @esthermassawe8776
    @esthermassawe8776 2 หลายเดือนก่อน

    Wanaume jamn shikamoo ukipata nafasi ya kumuumiza muumize tu😢

    • @EvelynLubuva
      @EvelynLubuva 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @hurumaanyisile1918
    @hurumaanyisile1918 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndoa iz znafanya watu wawe wachawi jmn y lkn

  • @charleskizigha124
    @charleskizigha124 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna faida kubwa sana ya kutokujua jambo fulani,

  • @wolperjackson
    @wolperjackson 2 หลายเดือนก่อน

    Yani hii simulizii ndio ninayo pitia mm saivii

    • @mariasofiapeter3220
      @mariasofiapeter3220 2 หลายเดือนก่อน

      😢aisee pole dear pita njia iliyo sahihi mkimbilie Mungu pekee

  • @StanleyKyando
    @StanleyKyando 2 หลายเดือนก่อน

    Kwenye maisha changamoto zipo ila sio kila mtu umpe changamoto zako

  • @milleniumkibasa8773
    @milleniumkibasa8773 2 หลายเดือนก่อน

    Kimeumana uwiii

  • @veronicamaganga8737
    @veronicamaganga8737 2 หลายเดือนก่อน

    Ila wanaume mmmhhh!!!

  • @rebeccaraphael5722
    @rebeccaraphael5722 2 หลายเดือนก่อน

    Duuh ni hatari

  • @annesymuna9856
    @annesymuna9856 2 หลายเดือนก่อน +5

    😢Jamanii...kama ingekuwa si story tungesema Sofia usiendee😢. But ni past story...ngoja tungoje, je,ulienda or la.!
    MAOMBI NDIO NGUVU YA YOTE.!!

  • @SemeniJuma-x8i
    @SemeniJuma-x8i 2 หลายเดือนก่อน

    huko kwa waganga sofia ndo unaenda kuharibu kabisaa

  • @ZawadiKasekwa-mm4vu
    @ZawadiKasekwa-mm4vu 2 หลายเดือนก่อน

    Maisha haya mchepuko anapata vyote mwenye nyumba anazalishwa tu

  • @Elkenny-ex1gd
    @Elkenny-ex1gd 2 หลายเดือนก่อน

    Kumekucha

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh hatariiii na nusu pole sofia

  • @HareemaMct
    @HareemaMct 2 หลายเดือนก่อน

    Watakuja kumuua huyu kijana wawatu akienda

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo memeo sophia sio akili yake huyo kanaswa na madawa,fuata mawaidha ya mamako mawaidha ya rafiki zako zitakupotosha

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani huko ndo anapotea maskini Sophia. Yalinikuta haya .....lakini hawa wanaume ni Mungu tu awatengeneze.

    • @SilviaKakumba
      @SilviaKakumba 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwer kabisa raiti angejua jmn😢

    • @AlfaCharles-e8h
      @AlfaCharles-e8h 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanaume/mwanamke ukishagundua mwenza wako anakusaliti mpe mda, atalud yy