- 65
- 215 826
Veronica Simulizi
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 17 เม.ย. 2024
Simulizi Za Veronica ni Chanel inayokupa nafasi ya kujifunzaa mambo mbalimbali ya kimaisha kupitia maisha halisi ya watu wanayoyapitia na kuieleza jamii kwa kusudi jamii ijifunze kupitia wao;
Karibu ujifunze,Karibu uinue kiwango chako cha imani, karibu ufarijike na kupata matumaini mapya katika safari yako ya maisha ya hapa Duniani,
Karibu ujifunze,Karibu uinue kiwango chako cha imani, karibu ufarijike na kupata matumaini mapya katika safari yako ya maisha ya hapa Duniani,
Baba wa kitambi 😂😂
❤
Mc safari online
Duh
Maisha hya mungu atusaidie sana
Pole sana Phiona
Ila Vero unajua bwana, yani km ulikuwepo. Napenda sana kazi yako
Watu wanaroga kwel
Sophia popote ulipo naomba namba ya mama yako
Huyo dada Mungu ambariki sana kwa huo moyo wakipekee
Ila mama yako n mama yako mama wa mwenzio hawez
Vero nakupentaaa
Utukufu na sifa nikwake Mungu
Hakika hakuna mtu Aliye kimbilia kwa MUNGU wa mbingu na NCHI,akajuta, MUNGU muumbaji ni mtamu ukimuonja uwezi mtema ❤❤
Hakika
Waoh ,lakini huyo dada hatamiacha hivi hivi atarudi tu yaani maombi yaendelee tu ukuu wa Mungu ni mkubwa mnooo
Mungu hatendi nusu nusu anafanya mazima
@@AllenKaiza-v1k❤
Mungu ni Mungu na atabaki kuwa Mungu jamani
❤
Sofia your mum is amazing Lady
Yaani huyo Mama ni Mama yangu kabisa ni maombi tu ndio yanaweza badilisha kila kitu Mungu aendelee kumtunza Mama yangu maana amenifundisha kumwamini Mungu tu
Yaan tupo wengi mungu awatunze hawa mama zetu,wamepanda mbegu kubwa ndani yetu
Nataman mama yangu angekuwepo naomba mama yako awe mama yangu pia
Yesu kamnyosha kibwego mmoja
Amina kubwa
🙏
😅😅😅 wanawake bhna akuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja dunian hakuna labia achoke aache lakin hakuna
Mungu ni mwema siku zote ubalikiwe dada vero tunajifunza memgi
Mama ake sofia ni moja tuh walah
Akina Sophia kwny hii Dunia amebaki yeye tyu😂 walobaki moto fireeee
Dah yan hamna kama mama❤
Sofia ange kuw team majinun saiz ange kuw kashabeba pasport yake safar kwa agent afny mpng wa kwnd kuosha hamam kwa mwarb
Hakuna Kama mama daaa ❤
Ndoa + maombi = raha tupu. Sasa jichanganye kwingine uone
MARAFIKI NI ADUI WA NDOA YAKO ATAKUSHAURI KISHA ATAKUHARIBIA ACHANA NA MARAFIKI
HUYU MWANAUME ANGETAKA USIJUE ASINGEMRUHUSU KUPIGWA CM WAKATI WOWOTE HAWA WANAUME NI HATARI SANAAA WANATUUA HUKU TUKITEMBEA.UCHAWI NAO UPO ISINGEKUWA USHIRIKINA HUYU MWANAUME ALIKUWA AMESHAKUNAHI DAWA ZIMEMRUDISHA ILA SOPHIA UNGEKAA NA MUNGU KARIBU NI BORA KULIKO WAGANGA
Apa nipo kwenye mahusiono na yanani sumbua me siwezi kuolewa 🙌
😂😂😂😂😂
Kaa na MUNGU saaanaaa mpenzi ww si MKRISTO OMBA funga jmn mm namuomba saana MUNGU mbona usiangalie nenda kwenye makanisa ya kiroho hswa (sijasema ya manabii)😅😅
Aiseee tumetoka kwenye biashara saivi ni mapenzi adi raha
😂,😂😂apokwenye miaka sasa 😂😂😂
Jamani hakuna kama mama😢😢
Great of all time da vero good work 🔥🔥🔥
Dah ...kweli hakuna km mama....😢❤
Napenda san sauti yako dada
Walio kwenye ndoa wanataka kutoka akina sisi ambao hatujaingia tunatamani kuolewa😢😢 maisha haya
Kuna akina mm naogopa ndoa atar na umri umeenda atar
@@SuzanaMazzukiwe ndio Binti yangu, anaogopa ndoa hadi namuonea huruma😂! Niliyopitia Mimi mama Ake ya Sophia cha mtoto 😂😂
@@MsAggie5hata Mimi mama yangu amepita kwenye ndoa ya mateso makubwa sana Mimi ukiniuliza kuhusu kuolewa nakuona hamnazo kabisa aisee mama yangu ameteseka jamani na bado anateseka eeeeh Mungu nipe maisha
@@yusterwilliam6048 usiwe hivyo mwanangu, huwa hata namshauri mwanangu sio kweli kama wanaume wote wako Sawa, kuna wastaarabu na wenye mapenzi ya kweli wala hawaendi nje kutafuta kurogwa na wanawake wachawi! Endelea kumuomba Mungu akuletee mwanamme sahihi, wapo na ipo siku utakutana nae, nakuombea Kwa Mungu akutafutie Kwa jina la YESU 🙏
Tuliisubiri kwa hamu sana jmn da vero❤ mkasa wa kipekee sana😢
Yan hapo kwenye kuroga asingeenda maana ninahis hapo ndipo. Alipo mpoteza huyu mwanaume. Mambo ya uganga sasa yule aliloga na yeye anaenda kuroga wememshika na daw. Badae daw zikizid. Anafariki. Wee eh haya. Tuendelee kusikiliza. 😢😢
Hakuna kama mama jamani
Ila ndoaaa 🖐️😔
Asante ❤
Nan kama mama
Yani asingekuwepo mamake angepotea😢
Asante dada Vero tuko pamoja habibt
Watu Tulivoisubiri hii sehem Kwa ham ..😂
We acha tu
Tuko Pamoja My Dear Vero!❤ Nimekusubiri Kwa Hamu!👍🏻
Wale tunaosubiria kipande cha 14 tujuane
Wameshaweka episode ya 14 angalia,hapa hapa kwenye Veronica simulizi!👍🏻
Asante my ❤
@@AzizaFirozi tuko pamoja mwaya..🥰
Ya leo dada