Wanaume wetu is ishini na wanawake zenu kwa Akili hata maandiko yasema hivyo hakika ni kweli mkufunzi anawafundisha yalivyo wenzetu maisha ni kulindana na kujaliana kuthaminiana na kuelewana mwanamke hujifunza kitu kutoka kwa mwanaume kiwe kizuri au kibaya yote hujifunza kutoka kwa mwanaume kwakuwa mwanaume ni mwalimu wa mwanamke
Mchungaji sijui umeandika vitabu hivi vyenye kutoa masoma ya maswali 39 ya vijana, aina 9 za uchumba, kuambatana kwa aina 5, vipindi vinne vya ndoa nk? Je navipataje?
Balikiwa mchungaji🎉🎉🎉
Aisee, nimejifuza kitu kikubwa sana leo..this is very helpful kwa kweli..
❤❤Amen nam nimejifunza
kubarikiwa TU sana
Salute 🙏sana
Safi sana 👌
Vijana wa sasa yanatuhusu hayo
Wow bado kitchen pari
Poor guy, unataka ufanyiwe kitchen party
Manisha ya mume na make mmoja akubaliane na matokeo mtadumu
🙏🙏
wenye mbao zao sasa tukomae nazo!!
Wanaume wetu is ishini na wanawake zenu kwa Akili hata maandiko yasema hivyo hakika ni kweli mkufunzi anawafundisha yalivyo wenzetu maisha ni kulindana na kujaliana kuthaminiana na kuelewana mwanamke hujifunza kitu kutoka kwa mwanaume kiwe kizuri au kibaya yote hujifunza kutoka kwa mwanaume kwakuwa mwanaume ni mwalimu wa mwanamke
🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Ila MUNGU ampe tu uhai mrefu bado tunamuhitaji watu MUNGU
Mungu ibariki Tanzania hii nayo ni nini mahojiano hayo ni club au ni kama malumbano ya hoja sielewi
asiyejua maana haambiwi maana mungu akupe akili ya kufkili na kujua
DARASA ZURI
Inasikitisha kwa kweli hao waumini nyote almost ni watu kutoka Kaskazini lafidh inalingina sijui kwa nini maono akili maumbile maswali pia yanafanana
Pole kwa kupoteza mb zako
Kwahiyo ulitaka aje Kijijini kwenu, kaskazini asije
Upo negative san
Mchungaji sijui umeandika vitabu hivi vyenye kutoa masoma ya maswali 39 ya vijana, aina 9 za uchumba, kuambatana kwa aina 5, vipindi vinne vya ndoa nk?
Je navipataje?
Nimefulai sana mungu akubaliki