ONGEA NAYE SAA 7 AU 8 USIKU ATALIPA DENI LAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 38

  • @YamusahSudy
    @YamusahSudy หลายเดือนก่อน +3

    Afrika namwafrika njooni uuku muelewe vilivo kateni nyororo zaupumbavu naushenzi wamiaka miingi "Chokonoozi👏👏👏👏👏

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 หลายเดือนก่อน +1

    Forbidden knowledge ila ndio zinawafungua mafala..... Big ups tuko pamoja nanyie all the way from Germany

  • @Benny318m
    @Benny318m หลายเดือนก่อน +8

    Hawa jamaa wanaibadirisha sana akili yangu

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 25 วันที่ผ่านมา

    Hatawizi huiba Kiatu haijalishi Kiatu Kimemkuta Mwizi/Mwizi amekikuta Kiatu na ktk Ulimwemgiu wa Kuamini Uwepo wa MwenzeziMungu kuiba ni Kharamu/Dhambi 🙌

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 ako kamshangao kako ndo uwa kanachokowa watu uku, eti eee😂😂

  • @OmbeniKivuyo
    @OmbeniKivuyo หลายเดือนก่อน +1

    Oky big up sana mrindoko wewe ni mimi kiuwelewa ila to me bado sijaitwin yangu

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 25 วันที่ผ่านมา +1

    Shida yetu ni Moja tu😢
    Tunawasikiliza, tunawaelewa ila hatubadiliki😊
    Tumejengewa hofu kubwa ya Moto

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 24 วันที่ผ่านมา

      Tafiti zinaonyesha kuwa baada ya watu kugundua upotoshaji wa ujumbe wa Mungu kwenye Biblia basi waliona ni bora wasiamini uwepo wa Mungu Kwa kuwa Kwa asilimia kubwa Biblia ni falsafa/mawazo binafsi ya watu badala ya Manabii wa Mungu.
      Karibu kwenye Uislam.

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s วันที่ผ่านมา

      Shida yako wewe ni mfugo 😂

  • @HijaMaulidi
    @HijaMaulidi หลายเดือนก่อน +3

    Mm naomba mnitajie vitabu vitano tu mlivosoma

  • @aronindibalema4964
    @aronindibalema4964 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubari master

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 หลายเดือนก่อน +1

    Bora nivishwe taji😂😂😂

  • @yesseikungu7828
    @yesseikungu7828 หลายเดือนก่อน +2

    Yani huyo jamaa Ndiyo anaamua mwenzake aongee nini? Na huo ndio uchokonozi

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 25 วันที่ผ่านมา

    Unaposema Neno KIUMBE inamaana unaamini yupo Muumba/Muumbaji (MwenyeziMungu) aloumba/Muumba wa Neno/Maneno nk Sasa Iweje Wachokonozi mpinge/mnapinga Uwepo wa MwenzeziMungu kama Si Unafiki/si Maigizo ni Nini?!🙌

  • @JosefNgulinzila
    @JosefNgulinzila หลายเดือนก่อน +1

    Miambaaa!!!!! Sanaaaa!!!

  • @BarakaNtale-xe3hx
    @BarakaNtale-xe3hx 27 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @adambaton5521
    @adambaton5521 หลายเดือนก่อน +1

    Ujisimike kama kisiki au uchanue kama maua❤❤

  • @ChamkaeKisengo
    @ChamkaeKisengo หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mfano mtu anataji kjua, how I know myself nakucconect

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimeisha wapa maua yangu

  • @BillySmart-n3y
    @BillySmart-n3y หลายเดือนก่อน +2

    Ndio ukiwa mwenye kusoma daily LAZIMA UMBUMBUMBU itoke ndani yako kabisa 🙌👊✊✌️💯✅✍️🌍
    #reelsfb #wachokonozi #africa #african #afrique #eastafrica #northafrica #southernafrica #africacontinent #reelsvideo ex

  • @freddybaziraomari
    @freddybaziraomari 29 วันที่ผ่านมา

    Hapoo kuamuka dani,tuelimishe mkubwa

  • @MaxMungure
    @MaxMungure หลายเดือนก่อน +5

    Mifugo wa shetani wapo pia musisahau hivi watu kama mapadri wamezuiwa kuoa wanakaa kanisani wanakula vizuri na kuvaa vizuri lkn hawamiliki chochote bali wanamilikiwa hawa ni mifugo gani jamani wachokonozi?

    • @alexmahenge9408
      @alexmahenge9408 หลายเดือนก่อน +1

      Na wanapiga mizigo kama kawaida

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 25 วันที่ผ่านมา

    Hapo ni Hamasa za Kutaka Uchawi (Ushirikina/Ukafiri) uendelee Kufanya Kazi na Kuwepo Duniani, na ndomaanna Wachokonozi hupinga uwepo wa MwenzeziMungu/Mumba 🙌
    Chakushanza Wachoko huamini Uwepo wa Viumbe lawkin hupinga/hukataa Uwepo wa Muumba wa Viumbe !!!🙌
    Kwani Jini si Kiumbe/hakuna Majini ?!

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 15 วันที่ผ่านมา

      MUNGU yupo na Mungu ndo UKUU wenyewe lakini Sisi afrika tulikua tunaabudu Kwa namna yetu kutokana na tamaduni zetu, SHIDA ilikuja baada ya kuletewa DINI za KIGENI na kuacha DINI zetu za ASILI, tofauti na wachina na wahindi wamebaki kwenye UTAMADUNI wao

  • @Solomonnize
    @Solomonnize หลายเดือนก่อน +2

    Kuhusu kununua kiatu upo sahihi kabisa na sio kiatu tu

  • @lisavictor3102
    @lisavictor3102 29 วันที่ผ่านมา

    Naombeni namba zenu zinazopatikana,please be my Mentor na unifanyie initiation

  • @sadikiissa7756
    @sadikiissa7756 24 วันที่ผ่านมา

    Daima hakuna mwongozo Sahihi Wa maisha ya mwanadamu isipokuwa Uislam kupitia maamrisho ya Mitume wote waliopita. Hii ni kwasababu kila mmoja kaumbwa na ubongo wake na fikra zake. Na laiti kama kila mmoja angeishi Kwa kufuata fikra zake basi duniani pasingekalika. Ni mfano wa nchi usio na sheria basi kila mmoja atafanya atakavyo.
    Hivyo hiyo ndo hekima ya aliyetuumba kutuma Manabii wake.

  • @hamzamfyagidzi6344
    @hamzamfyagidzi6344 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli tunachoongea siyo tunachamaanisha
    Amakweli biblia haisomwi kama gazeti
    Maana alichoandika ni tofauti na wanacho maanisha

  • @DdjTigger
    @DdjTigger หลายเดือนก่อน +2

    ihi elim ya watu wenye upeo mkubwa

  • @MusaFalenzi
    @MusaFalenzi หลายเดือนก่อน +2

    Asa kwa nini unayemdai umpigie sim saa 7 hadi sas 8 kuna nini kinaendelea mda huo naomba mnieleweshe hapo

  • @luckyff6738
    @luckyff6738 หลายเดือนก่อน +2

    unyama

  • @NyarT255
    @NyarT255 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka zangu

  • @guyslainkoko7548
    @guyslainkoko7548 หลายเดือนก่อน +1

    Ndungu mutangazaji watufaamishe namuna yakujikonecte yatosha

  • @Bidudemusic
    @Bidudemusic หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wachokonozi tukuptaj kujiconect

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d หลายเดือนก่อน +2

    🫡

  • @MOHAMEDIMKALI-rz7ez
    @MOHAMEDIMKALI-rz7ez หลายเดือนก่อน +1

    Naitaji mawasiliano nanyi napataje please

    • @alexmahenge9408
      @alexmahenge9408 หลายเดือนก่อน +1

      Clip za nyuma wameweka namba zao,fuatilia