CLATOUS CHAMA VS JEAN AHOUA SKILLS,ASSIST AND GOALS NANI NOMA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ค. 2024
  • CLATOUS CHAMA VS JEAN AHOUA SKILLS,ASSIST AND GOALS NANI NOMA, CLATOUS CHAMA SKILLS, CLATOUS CHAMA GOALS, CHAMA VS AHOUA, JEAN AHOUA GOALS, JEAN AHOUA SKILLS #yanga #yangsc #yangavssimba #clatouschama #jeanahoua #wachezajiwapyawasimba
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 22

  • @user-pc1yo6mx1v
    @user-pc1yo6mx1v 4 วันที่ผ่านมา

    Ahoua Jean Charles footballeur professionnel intelligent polyvalent

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 18 วันที่ผ่านมา +4

    Hawezi kumfikia Chama, ingawa ni kijana mdogo ananafasi ya kuwa mzuri zaidi.

  • @issufomabbetto321
    @issufomabbetto321 19 วันที่ผ่านมา +3

    kwani chama alipo zaliwa alikuwa kama mbuyu.😊

  • @abdallahmindika1641
    @abdallahmindika1641 4 วันที่ผ่านมา

    Chama mchumba tu akikutana na wanaume wa misri anakua kama kafungwa miguu dadeki paform pote akiona waarabu anaanza kuleta ushubwada wake

  • @BensonDickson-xf1ge
    @BensonDickson-xf1ge 9 วันที่ผ่านมา

    Kweli Hawezi kufanana na chama kwasababu chama ni mzee na huyu kijana damu inachemka kweli chama hagusi hapo.

  • @Manywele.Maluja
    @Manywele.Maluja 13 วันที่ผ่านมา

    Kumfananisha chama na huyu ahoua ni sawa na kufananisha ngamia na kinyesi chake kwa vipo sawa😂😂

  • @olaisstephano8498
    @olaisstephano8498 7 วันที่ผ่านมา

    Chama hana spidi halaf umri hapa Ahoua ni zaidi

  • @mashakasendama2725
    @mashakasendama2725 7 วันที่ผ่านมา

    Aise mwamba wa Lusaka ni mwamba sio huyu 😂😂😂😂

  • @vedatv-to4hg
    @vedatv-to4hg 10 วันที่ผ่านมา

    Bado San huyo kijana

  • @AbuuAkili
    @AbuuAkili 8 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni kutumalizia bando

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  7 วันที่ผ่านมา

      Kwani umeitwa Mkuu?

  • @husseinissa9623
    @husseinissa9623 23 วันที่ผ่านมา +1

    Chama ni chama tu

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  23 วันที่ผ่านมา +1

      Hahahaha Ngoja Kijana naye apewe muda

  • @DanyEnto
    @DanyEnto 21 วันที่ผ่านมา

    Chama ni shida nyingine

  • @Abdul-s1i
    @Abdul-s1i 19 วันที่ผ่านมา

    Mchango wa magazo yake

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 22 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo ni ugonjwa wa akili chama ufananishe mtoto ambae hata kunyonya hajaacha huyo mchezaji ni level za faridi Musa na Tena hamfikii

  • @mwana-dodomamedia9111
    @mwana-dodomamedia9111 4 วันที่ผ่านมา

    Nimegundua Ohua, anayo speed na kupeleka mpira mbele kwa haraka kuliko Chama. Ila chama kwenye kufinya yupo vizuri kuliko Ohua.
    Kwa kocha anaehitaji matokeo, lazima atamuhitaji OHUA zaidi kuliko Chama. Hii ni kiutaalamu zaidi. Ukiona inakufaa, chukua na ukiona haikufurahishi kutokana na mapenzi yako, achana nayo

  • @Abdul-s1i
    @Abdul-s1i 19 วันที่ผ่านมา

    Mchango wa magazo yake

  • @Abdul-s1i
    @Abdul-s1i 19 วันที่ผ่านมา

    Mchango wa magazo yake