- 14
- 342 987
Trizah Matu
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 17 ก.พ. 2014
Zaburi 92:1
[1]Ni neno jema kumshukuru BWANA, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu.
[1]It is a good thing to give thanks unto the LORD, and to sing praises unto thy name, O most High:
[1]Ni neno jema kumshukuru BWANA, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu.
[1]It is a good thing to give thanks unto the LORD, and to sing praises unto thy name, O most High:
NAJUA YUPO
Nawakaribisha Kusikiliza na kutazama wimbo huu.
Wimbo: Najua Yupo
Mtunzi: Hendry P. Kimario
Mwimbaji: Trizah Matu
Audio & Video: RAJO Producdtions
Instrumentation: Ray Ufunguo
Directors: Ray Ufunguo & Patrick Donge
Makeup Artist: Catey Makeup
Mungu azidi Kutubariki sote
Wimbo: Najua Yupo
Mtunzi: Hendry P. Kimario
Mwimbaji: Trizah Matu
Audio & Video: RAJO Producdtions
Instrumentation: Ray Ufunguo
Directors: Ray Ufunguo & Patrick Donge
Makeup Artist: Catey Makeup
Mungu azidi Kutubariki sote
มุมมอง: 16 025
วีดีโอ
ZAWADI YA UFUFUKO
มุมมอง 108K8 หลายเดือนก่อน
Karibu kutazama na kusikiliza wimbo huu wa Zawadi ya Ufufuko maalum kwa ajili Pasaka. Kufufuka kwake ni ushuhuda kwamba ukombozi wetu umetimia. Wimbo: Zawadi ya Ufufuko Mtunzi: Ray Ufunguo Mwimbaji: Trizah Matu Organist: Ray Ufunguo Audio & Video: RAJO Productions Mungu atubariki sana.
UNIPONYE ROHO YANGU - J.D. MKOMAGU (Official Music Video)
มุมมอง 37K9 หลายเดือนก่อน
Karibu Kutizama wimbo huu unaotukumbusha kufanya toba hasa katika kipindi hiki cha kwaresma ili tupate uponyaji wa roho zetu. Wimbo: Uniponye Roho Yangu. By J.D.Mkomagu Waimbaji:Trizah Matu Ft Jackline Kazimoto & Martin Mulokozi Production:Stan Productions Organist:S.Mlay Video Directors:S.Mlay & P.Mndeme #uniponyerohoyangu #kwaresma #stanproductions #rajoproductions #kwayakatoliki #gospelmusic...
NIKAFUNGUA MIKONO YANGU - BERNARD MUKASA
มุมมอง 23K10 หลายเดือนก่อน
Song Title: Nikafungua Mikono Yangu Composer: Bernard Mukasa Performer: Trizah Matu Organist: Ray Ufunguo Audio & Video: Stan Productions #nikafunguamikonoyangu #rajoproductions #bernardmukasa #kmkm
MARIAMU BIKIRA
มุมมอง 17K11 หลายเดือนก่อน
Wimbo: Mariamu Bikira Mtunzi: P.F Mwarabu Mwimbaji: Trizah Matu Audio & Video: Stan Production Instruments: S. Mlay Karibu kusikiliza na kutazama wimbo huu wenye ujumbe wa Bikira Mariam kumzaa mfalme wetu Yesu Kristo.
UMENIWEZESHA
มุมมอง 17Kปีที่แล้ว
♦️♦️Wimbo: UMENIWEZESHA ♦️♦️Mtunzi: RAY UFUNGUO ♦️♦️Mwimbaji: TRIZAH MATU ♦️♦️Audio: RAJO PRODUCTIONS ♦️♦️Video: JESUS AGENCY PRO Please subscribe, like, comment, and share Barikiwa ♥️🙏🏽
ALFA NA OMEGA
มุมมอง 11Kปีที่แล้ว
Wimbo Umetungwa na Ray Ufunguo, Umeimbwa na Trizah Matu. God is the Alfa and Omega. He is the light of the world. He calls us to be like Him. By embracing compassion and empathy, we become shining beacons, guiding others away from darkness and towards a path filled with love and understanding. We become like God. Please support me by subscribing, liking, commenting, and sharing. Stay blessed 🙌 ...
BWANA HAKAWII
มุมมอง 14Kปีที่แล้ว
Karibuni kutafakari wimbo huu pamoja nami. Jina la wimbo: Bwana hakawii Mtunzi: Donge P.H Mwimbaji: Trizah Matu Audio & Video: RAJO Productions Organist: Adrian John Tafadhali support muziki wangu kwa kusubscribe kwenye channel yangu uendelee kutazama kazi zangu za siku zijazo. Mungu atubariki sote
TUNAKUSHUKURU WEWE BWANA - M.B. SYOTE
มุมมอง 18K2 ปีที่แล้ว
@trizahmatu Ufunuo 11: 16 Na wale wazee ishirini na wanne waketio mbele za Mungu katika viti vya enzi vyao wakaanguka kifulifuli, wakamsujudia Mungu, 17. wakisema, Tunakushukuru wewe, Bwana Mungu Mwenyezi, uliyeko na uliyekuwako, kwa sababu umeutwaa uweza wako ulio mkuu, na kumiliki. #TrizahMatu #TheChoirOfOne
NIMEWALISHA KWA UNONO WA NGANO - STANSLAUS MUJWAHUKI - TRIZAH MATU ft LAWRENCE KAMEJA, TUMAINI SWAI
มุมมอง 68K2 ปีที่แล้ว
@trizahmatu Zaburi 81:16 Naam, ningewalisha kwa unono wa ngano, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani. He should have fed them also with the finest of the wheat: and with honey out of the rock should I have satisfied thee. #TrizahMatu #TheChoirOfOne
Shukrani Yangu Kwako - David B. Wasonga
มุมมอง 11K3 ปีที่แล้ว
Mwimbaji, @trizahmatu Mtayarishi, Martin Munywoki #TrizahMatu #TheChoirOfOne