Inalillahi wainna ilaihi rajiuun.poleni sana familia ALLAH awape subira.Shekh Nyundo tulimpenda sana lkn ALLAH alimpenda zaidi. Tunamuombea aekwe pema peponi🤲🤲🤲🇰🇪
Allah ampe kauli thabit,amjalie apokee kitabu chake na mkono wa kulia,amjalie kaburi lake liwe na nuru,na liwe nikatika majumba ya peponi inshaallah, Allah na ss atupe husnul khatima, biidhni Allah
Innalillahi wa Inailaihi ra jiun Mimi binafsi katika masheikh niliotokea kuwakubari na kuwapenda ile ukweli wa kuwapenda kwa Ajili ya Allah number Moja ni marehemu sheikh Hussein Hassan nyundo. Kiukweli nimehudhunishwa sn na ninaeumia na naendelea kuumia juu ya kifo Cha sheikh Hussein Hassan nyundo Ila Sina budi kukubariana na Allah Alipotuambia kuwa kila nafsi itaonja umauti. Namuomea kwa Allah Amrizie mjawake huyo na Kaburi lake liwe viwanja miongoni mwa viwanja vya Peponi Allahmma Amiin".
Innalilah wainailah rajiun Allah akujalieni subra wafiwa sasa ndio nimeamini japokua kufa kupo tutakumiss sana sana sheikh Nyundo uwepo wako na mawaidha yako Allah akujalie kauli thabit sheikh wetu. Allah atuswamehe na ss maiti hai
Innalillahi wainna ileyhi raajiun 😭mashaa Allah was one of my favorite sheikh katika daawa. Allah jalia kabri lake liwe ni shamba katika mashamba ya peponi
Allah alimpa elimu nyingi na tumeishuhudia akaifanyia kazi vyema ila kwa vile Allah amekuhitaji ni vyema kuitikia wito kufa ni muhimu ila nakuombea kwa Allah akulaze pema peponi pamoja na wengine wote amin
Walykum mssalam ata mi nilipo ona nimeshtuka innalilai wainna rajn hunni Allah afanyie wepec katika kaburi ampe kauli thabiti kweli sheikh nyungo alikuwa anatuelewesha vjana kwa njia ya kueleweka poleni wa zanjibari kweli pengo liko kutoka Kenya tumenguswa sna wakenya😢
Inna lilahi waina illahi rajiun...lnsha Allah Rest In Peace our sheikh Ameen yarab...we will be missing our sheikh...Ahsantum kijana wetu watamam na Sheikh salum and your crews...Ma Salam
Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun Allah amjaalie qawl thabit Allah amjaalie firdaus yajuu na sisi Allah atupe husn alkhaatimah aamiin yaarabb al aalamiin
Innalillah waina illahin rajiuna shekh wetu allah akupe kalma dhabiti uendapo 😭😭 tulikupenda ila allah kakupenda zaidi twaumia ila ndoivo mipango ya allah
Allah amjaalie sfr ya khery Allah amjaalie kaburi lak liwe bustani miongoni mwa bustani za peponi hakun wa kuziba pengo lako nyundo Allah akupe kaul dhabit 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Tuweni pole kwa sote familia na wasio kuwa familia msiba umetugusa sote na tumeumia wengi lla ni kazi ya Mungu haina makosa sote ni waja wa Mungu na kwake tutarejea cha muhimu nikumuombea dua kwa sana
Ama kweli chema hakidumu nimeumia sana kutokewa na kipenzi chetu Shekh wetu baba yetu nipo USA Allah amsamehe makosa yake mbele yake nyuma yetu tutazidi kumpenda na kumuenzi baba yetu 😭😭😭😭😭😭😭
Kwahakika pengo nikubwa kwa waislam na hata walokuwa sio miongoni mwetu twamuomba Allah ampokee mapokezi mazuri kaburini na kiyama inshalla na atupe bora zaidi ya nyudo ziendelee kugonga inshalaalla nenda salama alhabibi nyudo
Inalillah wainallilah rajiun.mwenyezi mungu akuhifadhi akuangazie nuru inshaallah.
Wallah shekhe nyundo allah akupe kauli thabit naakutolee adhab zakaburin naza akhera ,,,,aaaaamiiiyynaaa
Inalillahi wainna ilaihi rajiuun.poleni sana familia ALLAH awape subira.Shekh Nyundo tulimpenda sana lkn ALLAH alimpenda zaidi. Tunamuombea aekwe pema peponi🤲🤲🤲🇰🇪
Muaminifu
Mkweli
Haogopi kusema haki
Yuko kwenye mstari
Allah ampokee kwa furaha
Aamiin yaarabb al aalamiin
Amiin yaa rabby
Ameen Yaa Rabby
Aamin allaahumma amiin
Aaamii
Amin yarabi
Legend Imani Yangu inanambia Upo Sehemu salama sana...!!
Tupoe sote wanajamii wote kwa msiba huu pole sana watamaman pia tunalia sote na Allah ampokee katika hali ya kumridhia, amin
Amin yarabby
Allahumma amiiin yarab
Allah ampe kauli thabit,amjalie apokee kitabu chake na mkono wa kulia,amjalie kaburi lake liwe na nuru,na liwe nikatika majumba ya peponi inshaallah, Allah na ss atupe husnul khatima, biidhni Allah
Mungu amueke mahali pema peponi amiin hatumsahau sheikh wetu.
Innalillahi wa Inailaihi ra jiun
Mimi binafsi katika masheikh niliotokea kuwakubari na kuwapenda ile ukweli wa kuwapenda kwa Ajili ya Allah number Moja ni marehemu sheikh Hussein Hassan nyundo.
Kiukweli nimehudhunishwa sn na ninaeumia na naendelea kuumia juu ya kifo Cha sheikh Hussein Hassan nyundo Ila Sina budi kukubariana na Allah Alipotuambia kuwa kila nafsi itaonja umauti. Namuomea kwa Allah Amrizie mjawake huyo na Kaburi lake liwe viwanja miongoni mwa viwanja vya Peponi Allahmma Amiin".
Innalilah wainailah rajiun Allah akujalieni subra wafiwa sasa ndio nimeamini japokua kufa kupo tutakumiss sana sana sheikh Nyundo uwepo wako na mawaidha yako Allah akujalie kauli thabit sheikh wetu. Allah atuswamehe na ss maiti hai
amiin
@@habibamkombe4299 Allahumma amin
Innalillahi wainna ileyhi raajiun 😭mashaa Allah was one of my favorite sheikh katika daawa. Allah jalia kabri lake liwe ni shamba katika mashamba ya peponi
ALLAH amlaze Mahali pema sheikh wetu nilikuwa sijaamini yaa ALLAH MPE KAULI NJEMA AMIN
Innalillahi waina ileyhi rajiun Allah akurehemu Sheikh Nyundo akujaalie Janah til Al Firdaus😭🙌
Allah amsaheme naamlaze pema peponi.....aamin yarab amin
Inna Lilahi WA Inna Ilayhi Rajiun... Allah Akuweke mahali pema pepo I miongoni mwa waja wema Sheikh wetu Nyundo
Mungu ampe safari njema sheikh nyundo tutakukumbuka sana
Allah amfanyie wepes tukifanyie kazi alichotuachia
Huuu msibaa unanilizaa sana Allah mpe makazi mema peponi Amiiiin😭😭😭😭
Amin ya rabbi
Amiiin
Amiina yaarabbi
AMEEN YA RAABB
Amiin thumm amiin
Allah alimpa elimu nyingi na tumeishuhudia akaifanyia kazi vyema ila kwa vile Allah amekuhitaji ni vyema kuitikia wito kufa ni muhimu ila nakuombea kwa Allah akulaze pema peponi pamoja na wengine wote amin
Allah ampe pepo ya karibu NA mitume wetu. I miss huyo kipenzi chetu
Ewe Allah mjaalie kauli subiti shekhe wetu ktk maisha yake ya kaburi.
AMIN YARABIY
Allah amlaze pema peponi aameen yarabbi
Innalillah wainnailayhi rajiun yaaRabb mghufirie madhambi yke yote yasiri na dhahiri makubwa na madogo aamin🇰🇪🇰🇪
Aamin amiin amiin
Allah amzidishie uzito kwenye mizani yake kwa yale mema aliyoyatenda
Yarabby mpe kauli thabit shekh wetu, umsamehe madhambi yake, uilaze roho yake pema peponi. Amiin Amiin
Ameeeen
Yarabi mungu mjaalie msamehe tulimpenda namungu kampenda sana
Amin
Amin yarabi
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amin
Sisi ni wa mwenyeezi Mungu na Kwa haKika kwake tutarejea Allah yarham Sheikh wetu msiba ni wetu sote
Innalillah wainna ilayhi rajiuun.Allah amjaalie kauli thabith aamiin.
Innalillah wainna ilaihi rajiun Allah amsamehe makosa yake na amfanyie wepesi ktk safari yake ya mwisho
Ameen
Ya Allah mlaze mahala pema sheikh Allahumma ameen
Innalillah wainna ilaykhi rajiun 😭😭😭 Hakika hii safari yetu sote so Tusijisahau INSHA'ALLAH 🤲
Innalillahi wainna ilayhi rajiun Allah amsameh makosa yake na awape subra wafiwa. Tupoe kwa msiba
Waislam tumefiwa na wapenzi wa sheik nyundo tumeondokewa .Allahu maghfir waaskinhu fil jannat. ameen.
Ameen
Mungu amlaze pahala pema peponi
Mwenyezi mungu ampe kauli thabit insha allah
Innalillah wainnah ileihi rajiuun Allah akupe kitabu chako kwa mkono wakulia sheikh nyundo
Walykum mssalam ata mi nilipo ona nimeshtuka innalilai wainna rajn hunni Allah afanyie wepec katika kaburi ampe kauli thabiti kweli sheikh nyungo alikuwa anatuelewesha vjana kwa njia ya kueleweka poleni wa zanjibari kweli pengo liko kutoka Kenya tumenguswa sna wakenya😢
Inna Lilah Wainna Ilaihi Rajiun Allah Ampe Kauli Thabit Shekh wetu Allah Akibar
Mungu ampe kaul thabit amtilye nuru katika kaburi lke n umjalie umpe kitabu chake kwa mkono wa kuliya.....Ameen
Subhana Allah Allah Akbar innalilahi waina ilahi rajiuun mbele yake nyuma yetu Allah amuhifadhi pema Ammin
Innalillah wainaillh rajuin 🙏Allah awasamehe wote washao fikaa mbele ya haki na ss atujaaliee mwisho mwema ktk maishaa yetu inshaallah kher 😭😭😭😭🙏
Innalilah wainna illah rajiun watamama poleni sana kwa kuondokewa na kipenzi chetu Allah ampe kauli thabit .subhana llah 😭😭😭
Inna lilahi waina illahi rajiun...lnsha Allah Rest In Peace our sheikh Ameen yarab...we will be missing our sheikh...Ahsantum kijana wetu watamam na Sheikh salum and your crews...Ma Salam
Allah ampe kauli thabit
Allah amjalie rodha min riyadh janna
Amtilie noor katika kaburi lake allahuma amin
Amin thumma amin
Amiin yarabb
Waislam tumepoteza mtu muhimu sana katika jamii yetu mungu amlaze mahala pema peponi amiin
Innalilahy wainailayhirajioun nihaki inaumma sana nilikuwa nikimpenda kwaajili ya allah
Innallilah wainailaih rajiun Allah ampokee kwa wema
Allah ampe wepesi inshallah
Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun Allah amjaalie qawl thabit Allah amjaalie firdaus yajuu na sisi Allah atupe husn alkhaatimah aamiin yaarabb al aalamiin
Inna lillahi wainailleihi rajiun..poleni sana 254
Innallillahi wainna illahi rajiun mwenyeezi mungu amjalie makazi mema peponi yarrab
Allah amjaalie maisha mema ammin
Ina lillahi waina ilaihi rajiun, Allah ampe kauli thabit na amuondoshee mchanga mzito. Amin!
Nimekosa hata la kusema bali nasema inalahi wainaihi rajuuna mwenyezi mungu ujaali pepo mja wako usamehe pamoja na ss waja wako
Innalillah wainnailaih rajiun Allah amlaze mahala pema peponi
Innalillah waina illahin rajiuna shekh wetu allah akupe kalma dhabiti uendapo 😭😭 tulikupenda ila allah kakupenda zaidi twaumia ila ndoivo mipango ya allah
انا لله وانآ اليه راجعون
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
اللهم ارزق اهله الصبر والسلوان
Allah amjaalie sfr ya khery Allah amjaalie kaburi lak liwe bustani miongoni mwa bustani za peponi hakun wa kuziba pengo lako nyundo Allah akupe kaul dhabit 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ameen
Amiin thuma Amiin
Ammen
Ina lillahi wainaillahi rajiun,Allah amlaze peponi,watching from France
Aamiin aamiin yaa rabby
Tuweni pole kwa sote familia na wasio kuwa familia msiba umetugusa sote na tumeumia wengi lla ni kazi ya Mungu haina makosa sote ni waja wa Mungu na kwake tutarejea cha muhimu nikumuombea dua kwa sana
Ama kweli chema hakidumu nimeumia sana kutokewa na kipenzi chetu Shekh wetu baba yetu nipo USA Allah amsamehe makosa yake mbele yake nyuma yetu tutazidi kumpenda na kumuenzi baba yetu 😭😭😭😭😭😭😭
Innalillah wainnaillah raj'uun..
wallah ni msiba mkubwa....Allah amlaze pema nasi atujaalie mwisho mwema
Inalillah wainnaillaihim rajiun mungu naomba umsamehe Dhambi zake za siri na za dhwahiri
Allahumma amin
Allahumma amiiin yarab , innalillaah wainna ilayh rajiuun
Ameen
@@bintimohammed3233 🙏
@@shuuufadhil1349 🙏
Nimeumia saana 😭😭😭😭😭😭😭 allah amrehemu
Am a Kenyan watching from Saudi Arabia, May Allah grant him Jannah. I loved and watched Sheikh Nyundo every time.
Allahuma Ameen😭 🇬🇧
😭😭😭😭😭allahummah ini ajriiin minannar,allah husnul hatima
Ameen
Yarabby tupe. Bihusni lhatima
Inalilahi waina ilahi rajiunn mungu ampe wepesi wa kaburi pigo kubwa kwa wazanzibari.
Nasi pia kutoka Kenya tume faidika n.a. mawaitha zake
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki mbele yake nyuma yetu
Moja ya dalili za Qiyama ni kuondoka kwa waja wema , Allah ampe makazi mema aendapo nasiye twafuata, Allahumma aamin.
Simba wa Mungu alikua
Innalillah wainnailayh lajiun ALLAH awape kaul thabit huko aendako 2likupenda kwa ajil ya ALLAH
Inalilah waina ilah rajiun mungu amuufazi insha allah
Inna lilah wainna ilaih rajiun tunkupnda sana sheikh wetting 😭😭😭😭allah amjaalie kauli thabit🙏
Amin yarabi
Ahsante swaleh al barawy kijana Watamaman sambamba na sheikh salum mardhiyah
Ulipopunguza Allah akusamehe, ukamilifu ni wake...Hakika sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea.
namuomba mwenyezi mungu amlaze mahala pema Shekhe
Inna lillahi wa inna ileihi raajiun,WENYEZI MUNGU amjaalie makazi mema peponi👏👏👏
Allah ampe kauli thabiti sheikh wetu Allah ajaalie kaburi lake liwe nibusitani ktk mabusitani ya peponi Aamiin innalilah wainnalilah rajjiuni
*Innalil laahi wainnaa ilaihi raajiuuun*ALLAH ampe kauli thabiti,amlaze mahala pema peponi, amuondolee adhabu ya qabri AAAAAMiin
Kwahakika pengo nikubwa kwa waislam na hata walokuwa sio miongoni mwetu twamuomba Allah ampokee mapokezi mazuri kaburini na kiyama inshalla na atupe bora zaidi ya nyudo ziendelee kugonga inshalaalla nenda salama alhabibi nyudo
In lilahi waina elhi Rajun Allah Amsamehe makosa yake ampe kauli thabit Ameen
Allah amlaze mahali pema peponi 🤲
Allah mpe kauli thabit shekhe nyundo innalilah wainaillah lajiun
😭😭😭😭
AMEEN YA RAABB
Amin yarabi
😭😭😭😭
إنا لله وإنا اليه راجعون 'البقاء لله
Ina lilah waina ilahi rajiu yarabi mpe mwisho mwema inshaallah shehe wetu msamehe madhambi yake na ss utuongoze katika njia iliyo nyooka inshaallah
Innalillah wainnairah rajiuni allah amuifadhi sehemu inayostahiki 😢😢😢😢nyundo alikuwa nyundo zaidi yanyundo
Majonzi tele,,Innalillah wainna ileihi Raaji uun poleni 😭😭😭Mola Amrehemu
Inalilah wainalilah rajiuni Allah amlaze mahali pema peponi
Innalilah rajiun😭😭😭😭
Inna lillah waina ileyhi rajiun mwenyezi mungu amlaze pema penye wema Ameen Ameen Ameen yarab
Innalillah wainnailayhirajiuun Allah amlaze mahala pema amin amin
Amin
Yaaaa rabiii yaaarbiii uwape subrra watoto wake zake na waislaamu soote kwa jumla. ammiiina.
Mungu arehemu
Innalillah wainayllah rajiun Allah ampe kaul thabit amin
Sisi sote ni wa mungu na kwake tutarejea
ALLA AMPE KAUL THABIT
M
Innalillah wainna ilayhi rajiun Allah ampe kauli thabit
Allah amjalie kauli thabit
Allah amlaze mahali pema peponi
Innaa lillaahi wainaa ilaiyhi rajiun, Allaahu amusamehe na amurehemu
Yah rahiman mpe kaul thabati amaan 🙏
Mungu ailaze roho yake peponi inshaalaah