Mashallah Watamaman umejikaza kiume kazini ila tunahisi uzito wa msiba huu kwako kwa ukaribu wako na sheikh, Allah amrehemu nasi tunafuatia, tupoeni sote wafiwa kwa kuondokewa na kipenzi cha watu wengi.
Mashaa Allah amezikwa.. From kenya poleni Sana Tz msiba wetu sote.. Allah ampe kaul thaabit. We will miss him for sure his uniqueness in giving daawa was the best
Allah atupe subra kwa sote msiba umetugusa wengi mm hapa sichanganyi kimawazo nilimpenda sana sheikhe nyundo kwa ajili ya Allah mawaidha yake ni mazuri sana yenye kutuelimisha umeniuma sana msiba wa sheikhe nyundo 😭😭😭😭Allah amjaalie awe mja mwema wa peponi kaburi lake liwe Miongoni mwa Bustani la peponi Ameen 🤲🤲🤲
Inna Lillahi wainna ilayhi Rajiun Mashaa ALLAH nimefurahia mashaikh maustadhi na waislamu woote kwa kuonyesha Amani upendo na Umoja wenu, Allah amsamehe marehemu na ampe nuur kwenye kaburi lake Allahumma Aamiin.
Allah amlaze mahala pema peponi Amin, huu ndio mwisho wetu binaadam tukumbuke na sie tuko nyuma yake lini, vipi na saa ngapi ajuae Allah subhanah wataala
Msiba hauzoleki lkn msiba huu umezidi kunigusa nyundo nilimpenda sana lkn Allah amempenda zaidi Hiyo nikazi ya Mungu haina makosa tuweni pole kwa sote tulioguswa na huu msiba 😭😭😭
Watu walikua Wengi Allah kampa kaul thabity Kama mashekh wengine kina shekh Gorogosi na wengine Mashaallah shekh wetu huyu Dawa mpaka kiamma wa peponi tu uyooo🤲🤲👏👏👏👏👈👈
Allah amlaze mahali Pema fridauth inshaa Allah kipenzi wetu tunampenda sana alikuwa muwazi kila jambo mashaa Allah kizury kwa hakika hakidumu daa acha tuu Qulu nafsin dhalikal mauti ila jamani tunamajonzi makubwa sana halafu huyo mtangazaji mwenyewe mwishoni anatuchekesha anachukuwa maneno ya malehemu mwenyewe alikuwa mcheshi sana kikubwa maisha tuu ndugu kipenzi mtangazaji weusi sii tatizo Allah haangalii rangi wala utajiri wala unene bali tuu anaangaliya nafsi na matendo yako mema ht ktk Qur'an kataja nafsi 4 wabilah taufik shekhe nyundo nitamuenzi daima japo sijamzika wala sijawahi kukutana nae hapa duniani ila inshaa Allah Akhela Allah amjaaliye tukakutane
Innalillahi wainalillahi rajiun mungu akujalie mahali pema Ameen Ameen mbele yako nyuma yetu. Mashallah mashallah mungu ameonyesha hiyo n ishara tayari yakuwa yy n mtu fulani kwake mungu atujalie mwisho mwema Ameen ya Allah Ameen
Allah amsamehe na amjaalie kuwa miongoni mwa watu wema. Amezindua Ummah awezavyo, wakumbuke umuhimu wa Uislamu, na wajue umuhimu wa kuelimika kabla ya maneno na vitendo, na wajue umuhimu wa kufikisha ujumbe wa Allah, kwa wengine, hata kama ni ayah moja. Na wajue umuhimu wa ndoa na umuhimu wa kujiepusha na mambo mabaya ya aibu. Aliwaeleza kina mama na vijana na jamii, kwa njia ambayo ingehitaji gharama nyingi kuwaelimisha kama ingengojeshwa kufundishwa darasani. Na ameacha mfano mwema kwa vijana wajiendeleze kimasomo ili waokoe Ummah wao kutokana na kutojua Kusoma ujumbe wa Allah na akawafunza nini cha kutekeleza baada ya kuelimika. Kwa hivyo ni muhimu kuwanasihi vijana wasirudi nyuma bali waendeleze mbele mafunzo ya Mtume, wetu, Swalla Allahu alayhi wa sallam.
Inna lilah wa ilaihi rejiun, Mbele yako, nyuma yetu, M'Mungu amsamehe makosa yake, Ampe malazi mema kaburini, Na Atupe subra na mwisho mwema, Waislam sote, Insha Allah! Wa bilah tawfiq.
May the Almighty Allah grand his families,friends,students,nation patience to bear this emmense LOSS..Ameen yarab....millions thanks to Zenjibar tv and everyone
Waislam.mauti ni mazito sn tukiangalia mtu anapojazwa dongo na kukaa ktk kabri sio mchezo tufanyeni ibada hatuna ibada yakutufanya ssbtuingie peponi ila tu tujitahid sn ili allah atunusuru atupe msamaha kwake
Allah amsamehe makosa yake na ampe safari njema yeye ametanguliya na sisi tunafuata kubwa tu dua kwa wingi na tufanye ibada kwa wingi kwani mauti ni siri ajuae Allah na kila nafsi itaonja umauti
Mungu ailaze roho yake kiongozi wetu sheikh hussein hassan najivunia kua mwanafunzi wake kwa kupitia darsa zake
Mashallah Watamaman umejikaza kiume kazini ila tunahisi uzito wa msiba huu kwako kwa ukaribu wako na sheikh, Allah amrehemu nasi tunafuatia, tupoeni sote wafiwa kwa kuondokewa na kipenzi cha watu wengi.
Mashaa Allah amezikwa.. From kenya poleni Sana Tz msiba wetu sote.. Allah ampe kaul thaabit. We will miss him for sure his uniqueness in giving daawa was the best
Peponi makazi yako shekhe nyundo yani kla nikiangalia nalia umeniuma moyoni baba allah akupe kauli thabit aameen
Amiin
Inalilahi wa inalilah Al rajiun
Allah atupe subra kwa sote msiba umetugusa wengi mm hapa sichanganyi kimawazo nilimpenda sana sheikhe nyundo kwa ajili ya Allah mawaidha yake ni mazuri sana yenye kutuelimisha umeniuma sana msiba wa sheikhe nyundo 😭😭😭😭Allah amjaalie awe mja mwema wa peponi kaburi lake liwe Miongoni mwa Bustani la peponi Ameen 🤲🤲🤲
Inalilah wainalilah rajiun tutakukumbuka daima mawaidha yako hakika sisi niwake nakwake tutarejea
Inna Lillahi wainna ilayhi Rajiun
Mashaa ALLAH nimefurahia mashaikh maustadhi na waislamu woote kwa kuonyesha Amani upendo na Umoja wenu, Allah amsamehe marehemu na ampe nuur kwenye kaburi lake Allahumma Aamiin.
Amin
Allah amjaalie kaburi lake liwe Raudhwatun min riyaadhwil jannah
Natamani ingalikua bora mm ni sheikh nyundo
M/mungu amlaze pahala pema peponi amin
Allah amlaze mahala pema peponi Amin, huu ndio mwisho wetu binaadam tukumbuke na sie tuko nyuma yake lini, vipi na saa ngapi ajuae Allah subhanah wataala
Msiba hauzoleki lkn msiba huu umezidi kunigusa nyundo nilimpenda sana lkn Allah amempenda zaidi Hiyo nikazi ya Mungu haina makosa tuweni pole kwa sote tulioguswa na huu msiba 😭😭😭
Mashaallah shekh wetu nyundo mungu akulaze mahala pema peponi Amin
Watu walikua Wengi Allah kampa kaul thabity
Kama mashekh wengine kina shekh Gorogosi na wengine Mashaallah shekh wetu huyu Dawa mpaka kiamma wa peponi tu uyooo🤲🤲👏👏👏👏👈👈
Allha msamehe shekh wetu kipnz chetu katuelimisha mengi mpe kauli thabit fildaus iwe pepo yke
Mungu amridhie inshaallah na amsameh makosa yake
Allah amlaze mahali Pema fridauth inshaa Allah kipenzi wetu tunampenda sana alikuwa muwazi kila jambo mashaa Allah kizury kwa hakika hakidumu daa acha tuu Qulu nafsin dhalikal mauti ila jamani tunamajonzi makubwa sana halafu huyo mtangazaji mwenyewe mwishoni anatuchekesha anachukuwa maneno ya malehemu mwenyewe alikuwa mcheshi sana kikubwa maisha tuu ndugu kipenzi mtangazaji weusi sii tatizo Allah haangalii rangi wala utajiri wala unene bali tuu anaangaliya nafsi na matendo yako mema ht ktk Qur'an kataja nafsi 4 wabilah taufik shekhe nyundo nitamuenzi daima japo sijamzika wala sijawahi kukutana nae hapa duniani ila inshaa Allah Akhela Allah amjaaliye tukakutane
Mm nipo mkuranga nimestuka ndio kwaza nimeona Leo shekh wetu alikua anatupa dua mwandege apo kwa shekh majini mungu ampe kauli sabit amin amin
Shekhe nyundo nakupenda sana kwa ajili ya Allah Allah akujalie iwe pepo ni makazi yako
Inna lillah wa inna ilaihi rajiun Kwa umma huu mwenzetu kashafaulu ss tulio nyuma yake Allah nasi atujalie mwesho mwema
Innalillahi wainalillahi rajiun mungu akujalie mahali pema Ameen Ameen mbele yako nyuma yetu. Mashallah mashallah mungu ameonyesha hiyo n ishara tayari yakuwa yy n mtu fulani kwake mungu atujalie mwisho mwema Ameen ya Allah Ameen
Mungu amueke pema peponi yarab
Amiin
Innaa lillahi wa innaa ilayihi rajiuun. Naomba Allah amuweke mahala pema peponi Aamiin
Allah amlaze mahala pema amin
Allah amsamehe na amjaalie kuwa miongoni mwa watu wema. Amezindua Ummah awezavyo, wakumbuke umuhimu wa Uislamu, na wajue umuhimu wa kuelimika kabla ya maneno na vitendo, na wajue umuhimu wa kufikisha ujumbe wa Allah, kwa wengine, hata kama ni ayah moja. Na wajue umuhimu wa ndoa na umuhimu wa kujiepusha na mambo mabaya ya aibu. Aliwaeleza kina mama na vijana na jamii, kwa njia ambayo ingehitaji gharama nyingi kuwaelimisha kama ingengojeshwa kufundishwa darasani. Na ameacha mfano mwema kwa vijana wajiendeleze kimasomo ili waokoe Ummah wao kutokana na kutojua Kusoma ujumbe wa Allah na akawafunza nini cha kutekeleza baada ya kuelimika. Kwa hivyo ni muhimu kuwanasihi vijana wasirudi nyuma bali waendeleze mbele mafunzo ya Mtume, wetu, Swalla Allahu alayhi wa sallam.
Mungu amrehemu maiti wetu ampe shifaa na mapumzko mema huko aendako
yarabi mjaaliye kaburi lale liwe viwanja katka viwanja vya peponi na wazazi wetu waliotangulia wote akhra
Mwenyezi Mungu mlaze pema peponi amin
Allahu wak bar alikuw mwema sana sio kw umma huu
Tupoe kwa pamoja Watamaman. Allah amfanyie wepes kwenye makazi yake mema
Al barawy mzee wa tamaman uko uzuri sana endelea kutupa Habari za hapa na pale
Inna Lilah Wainna Ilaih Rajiun Allah Ampe Kauli Thabit Shekh wetu Allah Akbar
Jannatul firdaws kwake Sheikh nyundo. Inshallah
Ina lillah waina illah raajiun,Mungu ampunguzie adhabu za kaburi
Mwenyez Mungu amlaze mahala pema pepon
Innalillah Wainaillah Rajiun, May Almighty Allah Grant him the highest Jannah Wa Fildaus
innalillah waina ilayh rajiun sote ni wa ALLAH na kwake tutarejea
Innalillah wa inna ilaihi rajiuun Allah amrehem shekh Wetu amsamehe makosa yake
Allah amlaze mahali pema peponi 🤲
Hakika sisi ni wa Allah na kwake yeye tutarejea
Mungu amuhifahdi shehe wetu paponi amina amina
Mashallah wanatembea
Mungu akulinde
Inna lilah wa ilaihi rejiun,
Mbele yako, nyuma yetu,
M'Mungu amsamehe makosa yake,
Ampe malazi mema kaburini,
Na
Atupe subra na mwisho mwema,
Waislam sote,
Insha Allah!
Wa bilah tawfiq.
Al mautu baabun.Ya Allah tupr mwisho mwema
Mashallah mafuriko ya umati wa Mohammad
Allah amsameh makosa yak na amjaalie miongom mwa waja wake aliowaridhia inshaallah
Allh amuraham shekh wet
May the Almighty Allah grand his families,friends,students,nation patience to bear this emmense LOSS..Ameen yarab....millions thanks to Zenjibar tv and everyone
My ALLAH grant him JANNAH INSH-ALLAH 😢😢
Allah amlaze pema pepon
Allah ammpe pepo njema
Inna lillahi wa Inna ilaihi radjiun, tokea Lubumbashi Wantashi DRC CONGO, ndjo kupata habari ya Cheikhs
Nilkupenda nyundo na km wapo waliokuchukia bs ata 10 hawafiki
Inna Lillahi WA inna ilayhi raji'uni YA Rabii murehemu kipenzi wtu
Ina LILLAHI WA ina illahi rajiun
Hee sheikh Othman malim sasa ndevu ushaanza kuzikubali
Amina
Ya Allah tujaalie mwisho mema waja wako.
Waislam.mauti ni mazito sn tukiangalia mtu anapojazwa dongo na kukaa ktk kabri sio mchezo tufanyeni ibada hatuna ibada yakutufanya ssbtuingie peponi ila tu tujitahid sn ili allah atunusuru atupe msamaha kwake
Preshaa
INNALILLAHI WA INNA ILEIHI RAJIUN 😭😭😭
Allah amrehemu sana
اللهم ارزق اهله الصبر والسلوان
Allah ampe kauli thabitii
اللهم اغفرله وارحمه واسكنه في الجنة
Innalilah wainna ilaih rajuun kweli amepata watu
Shekhe.nyundo.mbeleyako.nyuma.yetu.lala.salasama.shekhe.wetu
Innalillahi wainailaih rajiuun Allah ampe kauli thabit
Innalillah wainna ilayhi rajiun
Allah amsamehe makosa yake na ampe safari njema yeye ametanguliya na sisi tunafuata kubwa tu dua kwa wingi na tufanye ibada kwa wingi kwani mauti ni siri ajuae Allah na kila nafsi itaonja umauti
Dah mungu amlaze mahala pema.naa ss atupe mwisho mwema
Ameeen
Daawa mpaka kiama kweli
Allah ampe kauli thabit huko alipo
Mbele yake nyuma yetu ..R.I.P 😢😢
Sheik sharifu majini hujaona sheikh ambae kapata watu wangi ivi hukuja mazishi ya sh nassor bachu
Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun
Allah ampe kauli thabbit apokee kitabu chake kwa mkono wa kulia .
اللهم اجعل قبره روضة من رياض الجنة
اللهم وسع قبره
Aamin yaarabl-aalamin
Allah ampe qaulithabit nasi a2pe khatm njem
Innalillah wainna illah rajiun
Mwaka
Mung amlaze pahal pema pepon
😭😭😭😭😭😭😭+254
Mbele take nyuma ye2
Astaqfrullahi adheem
Allah amsamehe makosa yake amiiiiiiiiiin
Innalillah wainna ilaih rajiun
Innalilahi wainnailahi rajiuun
Innalillahi wainna ilayhi rajiun
Innalilah wainnailah rajiunn