FAHAMU HISTORIA YA SHEIKH NYUNDO MPAKA MAUTI YALIPOMFIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Mdogo wa Marehemu Nyundo asimulia Mengi kuhusu Maisha ya Sheikh Nyundo enzi za Uhai Wake.

ความคิดเห็น • 30

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 4 ปีที่แล้ว +7

    Allah amfanyie wepes ktk safar yke hii ya mwsh In sha Allah

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +6

    Allah amlaze peponi shekhe wetu na maiti wetu wote walotangulia amin poleni sana

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 21 วันที่ผ่านมา

    INNA LILLAHI WA INNA ALAYAN WARAJUNU MY ALLAH WILL PUT IN JANNAT FIRDUOS SHEIKH FROM ZANZIBAR 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @shabanomary9514
    @shabanomary9514 4 ปีที่แล้ว +5

    Waislamu tuwatunze masheikh wetu pind wanapokua hai

  • @hajikombo8578
    @hajikombo8578 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu amlaze pahali pema peponi ,alikua anajua polisi si kazi ilio na manufaa akhera,nikazi iliojaa zulma na uonevu bora alivyoiacha ingempeleka pabaya pia anatufunza tusing'ang'anie dunia.

    • @hajivuai3454
      @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว

      dah polisi ya Tanzania mtihani,mimi nlikosa lakini wala sikulalamika

  • @hbh3436
    @hbh3436 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah amueke mahali pemä. Aameen. Ahsante kwa historia, lakini usieleze details sana. Allah awape subra. Aameen.

    • @hbh3436
      @hbh3436 4 ปีที่แล้ว

      Naomba msamaa, nimekumbuka mtu akiondokewa osimulaumu. Sijawahi muona marehemu lakini nangalia video zake hapa kwa TH-cam. Ina lilahi waina ilaihi rajiuni.

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 4 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi mwalim hussen

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @2coockers
    @2coockers 4 ปีที่แล้ว +1

    innalillahi wainnailayhiraajiun
    ________________________________
    kwa habari kama hizi na mambo mbalimbali ya kidini usikose kubonyeza picha yangu na kusubscribe channel yangu. naamin utaipenda

  • @abuimaan637
    @abuimaan637 4 ปีที่แล้ว

    allah yarhamuhu sheik

  • @athumanimvula3718
    @athumanimvula3718 4 ปีที่แล้ว

    Innaa lillahi wa innaa ilayhi raajiuun

  • @fatmakiruwasha2378
    @fatmakiruwasha2378 4 ปีที่แล้ว

    Jamani kwer shkh nyundo anaumli wa 45 sikwer

    • @mimiapa8436
      @mimiapa8436 4 ปีที่แล้ว

      Kama 45 basi alikua bado mbichi kabisa kifo hakina umri maalum Allah atupe mwisho mwema

  • @othmanhaji5234
    @othmanhaji5234 4 ปีที่แล้ว +1

    MWENYEZI MUNGU AMUWEKE PAHALA PEMA PEPONI

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 4 ปีที่แล้ว

    Assallaam Allaykum Warahmatullahi Wabarakatuh
    TV zote za Zanzibar ikiwemo nyinyi online tv Nawaomba mtafuteni muendeshaji wa (HABARI MATUKIO ONLINE TV ) Mumwambie afute Videos aliyoichukua wakati mwili wa Sheikh Hussein Hassan Nyundo unalazwa kaburini Ndugu zangu Jambo lile ni lafaragha huku tunakoelekea wapi nduguzangu Wallahi ningelikuwa huko Zanzibar huyu jamaa ningemtafuta mm mwenyewe na ningempata Wallahi kitu ambachoningemfanya ingekuwa fundisho kwa wengine wenye tabia hiyo na hatakama amefurahiya kifo Cha Sheikh wetu huyo niyeye Sasa hasijionyeshe dhahiri hivyo mtafuteni huyo (Habari Matukio) online tv mwambieni Afute hiyo Video haraka pale amezuiya tusiweze kucomments Ila tuana wapa nyinyi samu hizi na mfikishieni kwa ajili ya Allah.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 6 หลายเดือนก่อน

    Ningeshangaa alioa na miaka 16

  • @jakayamati3510
    @jakayamati3510 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnyasa mtu wa Ruvuma uyo

  • @HabibaSaid-q1m
    @HabibaSaid-q1m 9 หลายเดือนก่อน

    Sote twaelekea

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 ปีที่แล้ว

    Ni mzanzibari lakini ana asili ya bara sema ivoo kaka

    • @mtukwao5775
      @mtukwao5775 4 ปีที่แล้ว

      Mbona kaka yake kasema 68 huyu muongo sana

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu muongo Nyundo kazaliwa 72, sio 74

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 4 ปีที่แล้ว +1

      Uongo wake nini na yeye ni ndugu yake na msiba ni faradhi ila kwa anae fikwa na msiba huafilika pia. Sasa wewe wacha kusema watu waongo wewe

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 4 ปีที่แล้ว +1

      Wacha ufala wewe kampikie mumeo wewe ndio nyie mlio semwa munaacha kuwapikia waume zenu kazi umbea tuuu. Huyo kama hakuzaliwa 74 kahafilika huyo ni ndugu yake wa damu

    • @bobsulejunior1051
      @bobsulejunior1051 4 ปีที่แล้ว +1

      kazaliwa 74 mnamo miaka ya 80 alikuwa mfanyabiashara du!

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 4 ปีที่แล้ว

      @@bobsulejunior1051 ndio lbda 88-89,kwann baadaa ya biashara je km alikuaa anauza tende je

    • @agashkarume2296
      @agashkarume2296 18 วันที่ผ่านมา

      Usiseme muongo sema kakosea kwenye miaka