Usiku wa Fadhila - Manahawa Ali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2023

ความคิดเห็น • 13

  • @user-zl1yn4zm4m
    @user-zl1yn4zm4m 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ni usiku wa awali kwa sifa ulotimia Mola alinifadhili Usiku kuningaria, Kukuta nikawa wawili Ndio pepo ya Dunia na nikawa sina hali atakalo meridhia. 😍😍

  • @MishySally-yk6wt
    @MishySally-yk6wt 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kaskaz na kusini Pepo zilizotulia sehemu ya ufukweni pendo lilipoanzia❤❤❤

  • @menahsalum3906
    @menahsalum3906 5 หลายเดือนก่อน +1

    My always favourite song ❤😊

  • @user-bn9lq1gl1d
    @user-bn9lq1gl1d 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mwengin sitompenda tumeshazisafi zetu nia

  • @kakababi507
    @kakababi507 4 หลายเดือนก่อน +1

    Na nikawa Sina hali atakalo meridhia

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 ปีที่แล้ว +4

    "Kwa madaha akanishinda mjuzi wa kuongea"
    "Kaahidi kunipenda nijilinde na mabaya"
    "Awe pete niwe chanda tuzisafi zetu nia"
    "Mwengine sitompenda hadhi nikamvunjia"

  • @AffectionateCroissant-he5fc
    @AffectionateCroissant-he5fc 4 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @zenaabdul198
    @zenaabdul198 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa madaha kanishika mjuzi wa kuongea Kaaahidi kunipenda nijilinde na wabaya awe Pete niwe chanda tuszisafi zetu niaa mweeengine sitompenda mweeengine stompeda hadhi nikamvunjia❤❤❤❤

    • @kakababi507
      @kakababi507 4 หลายเดือนก่อน

      Mwengne sitompenda hadhi nikamvunjiaa

  • @MishySally-yk6wt
    @MishySally-yk6wt 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hajawahi kukoseaga ❤❤❤

  • @user-bn9lq1gl1d
    @user-bn9lq1gl1d 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤

  • @AffectionateCroissant-he5fc
    @AffectionateCroissant-he5fc 6 หลายเดือนก่อน

    Ni Uck wa awali,kwa cfa ulotimia❤❤,kukutanika wawili ndio Pepo ya dunia❤❤❤❤❤❤