Mzee Pius Msekwa,( Mheshimiwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) Ana Historia yake nzuri Sana nchini kwetu, Lakini pia Huwa anaandika makala nzuri Sana za Masuala ya kiuongozi na siasa nchini kwetu ( Katika Gazeti la Daily News) Mzee wetu , Nakuombea Afya njema kutoka kwa Mwenyezi Mungu 🙏🙏🙏
ongera kwa kazi kubwa ulizo fanya mungu akuongezee nguvu na kuishi miaka mingi, Amen. wakerew wanajivunia sana kuwa na mtu kama wewe mpenda haki na mtetea wanyonge mzee pius msekwa mungu akujalie sana.
1:55 kama umemwona Msekwa anamcheka chenge baada ya kusema walifanya kazi wote mwaka 2095 gonga like. Hawa watakua time travellers mbona walianza kufanya kazi miaka ya mbele kurudi nyuma🤣🤣🤣
Mzee Pius Msekwa,( Mheshimiwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)
Ana Historia yake nzuri Sana nchini kwetu,
Lakini pia Huwa anaandika makala nzuri Sana za Masuala ya kiuongozi na siasa nchini kwetu ( Katika Gazeti la Daily News)
Mzee wetu , Nakuombea Afya njema kutoka kwa Mwenyezi Mungu 🙏🙏🙏
Hongera mzee mungu akupe afya njema msekwa🤲🤲
Hongera sana mzee wetu mungu akuongezee nguvu za kuishi miaka 2095
mungu akutangulie sana mzee wetu msekwa kwa kazi kubwa ulio ifanya kweny uongozi wako, amen
ongera kwa kazi kubwa ulizo fanya mungu akuongezee nguvu na kuishi miaka mingi, Amen. wakerew wanajivunia sana kuwa na mtu kama wewe mpenda haki na mtetea wanyonge mzee pius msekwa mungu akujalie sana.
1:55 kama umemwona Msekwa anamcheka chenge baada ya kusema walifanya kazi wote mwaka 2095 gonga like. Hawa watakua time travellers mbona walianza kufanya kazi miaka ya mbele kurudi nyuma🤣🤣🤣
Kweliiiii kabisa😁😁😁😁
Hahahaaahahaahahahh😅😅😅😅😅
Kweli mzee kalitumikia taifa
hivi kwa nn mh Spika amemtaja Mh chenge kwa jina la mtemi
Wa kwanza ni Adam Sapi Mkwawa
Sawa Sawa kabisa adam sapi mkwawa ndie spika wa kwanza
Hao ndiyo wanatakiwa kuogea hata mitaani siyo wakina lissu jaman
Umefikilia nn
Nixe. Xanaaaa
Duh yani adam sapi mkwawa hawamtaji?
Ikiwa P . Msekwa ni spika wa kwanza Mtanzania , je , Mtwa Adam sapi mkwawa alikiwa sipka wa ngapi au hakuwa Mtanzania ???????
Hawa waandishi wapotoshaji
Adam sapi mkwawa unamweka wapi!!!???
Kwanini mmeandika msekwa ni
Mtanzania wa kwanza kuongoza bunge ikiwa kuna Adam Sapi
Waandishi wengine hudhani kila mtanzania hajui historia,
kwani nyie mkafiri mnajua kuwa kuna kitu kinaitwa haki?basi kwa mnayoyafanya jiandaeni
Pumbavu sana nyie Adam mkwawa Sapi ,ndio wa kwanza sio huyo, au mnafikiri wote humu hawajaenda shule
Huyu chenge cio wa mchezo mchezo