BIBI MCHAWI ALIEROGA FAMILIA YAKE AGARAGARA MADHABAONI AKIOMBA MSAMAHA / USINIUE PART-1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 154

  • @petridatryphone2232
    @petridatryphone2232 7 หลายเดือนก่อน +3

    Namie aliyeroga maisha yangu ade kwa jina la Yesu kristo aliye hai😊

  • @ChazyNgosha
    @ChazyNgosha 5 หลายเดือนก่อน +3

    Naita chales Naomba baba ukani inue kwasiku yaleo ukafungue milango yangu yamafanikio katika jina la yesu amina

  • @PriskaMzava
    @PriskaMzava 2 หลายเดือนก่อน

    Amina nabii na mimi kupitia huyo aliye jaribu uzao wangu na kuharibu maisha yangu afe kwa jina la yesu

  • @NeemaCharles-v6s
    @NeemaCharles-v6s 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tunamshukulu mungu Kwa kutuletea mtumishiwa kututetea wanyonge mungu akupe miaka mingi ya kuishi

  • @fatumamussa7763
    @fatumamussa7763 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana yes asifiwr nabii naumwa sana miguu naomba uniombee

  • @happymwangoka6203
    @happymwangoka6203 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu akumbuke maisha yangu Leo,yoyote anaye niroga afe Kwa jina la YESU

  • @OmbeniMuhindo
    @OmbeniMuhindo 3 หลายเดือนก่อน

    Washawi katika maisha yangu wakufe.amen

  • @kaserekaghislain
    @kaserekaghislain 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba baba uni funguliye milango ya baraka ni fanikiwe maishani mwangu

  • @AminaNchasi
    @AminaNchasi 3 หลายเดือนก่อน

    mm naitwa Amina kutoka bg moyo baba yangu nimekuelew San nitakutafuta baadae

  • @HalimaShabani-zc9hj
    @HalimaShabani-zc9hj 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen wote walio cheers kizazichangu na familiya yangu wafe kwadam ya yesu

  • @FlorianiSarwat
    @FlorianiSarwat 3 หลายเดือนก่อน

    Amina baba nimekuelewa sana hakika nitakufuata

  • @ZipporahNyanchama-n4v
    @ZipporahNyanchama-n4v 3 หลายเดือนก่อน

    Njoo kenya tumetezeka sana..niombee pia mm nabii

  • @SiyaRingo
    @SiyaRingo 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli aliyeniroga asiishi afe kama neno la mungu lisemavyo,,mtumishi kiboko ya wachawi kupitia matamshi Yako afeeeeeeeh Kwa damu ya yesu,ameeeeen

  • @GenovevaSilivester
    @GenovevaSilivester 4 หลายเดือนก่อน

    Pastor Dominic wewe kweli ni mwamba wewe nisimba wewe nikiboko mungu akutunze kwaunayotenda nimakubwa sana kweli umetumwa na Mungu pastor mimi naitwa Genoveva nikomboe mtumishi hali yangu haipigi hatua nisaidie

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 9 หลายเดือนก่อน

    Kila aliyecheza na Mimi kidogo kidg ndani ya familia yangu awe ndugu yeyote asiishi,yeyote anayeniroga,yeyote ambaye ni sababu ya mateso ninayoyapitia asiishi wafe,amen mtumishi

  • @MosesSaitot-v8z
    @MosesSaitot-v8z 3 หลายเดือนก่อน

    Nabii kiboko ya wachawi mungu akuinuwi Tena mungu akutie nguvu

  • @rosilidakichanilo
    @rosilidakichanilo 7 หลายเดือนก่อน

    Amen baba ubarikiwe sana losilida gerald

    • @RazaloMesalieki
      @RazaloMesalieki 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki mtumishi wa Mungu na usidi kuwauwa wachawi Tanzania inzima

  • @EmanuelMollel-g9q
    @EmanuelMollel-g9q 5 หลายเดือนก่อน

    Mim Emanuel saitabau mollel nip arusha tupo pamoja baba unatusaidia sana ubarikiwe

  • @JayMusic-fd7dm
    @JayMusic-fd7dm 3 หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @jasmineomary4325
    @jasmineomary4325 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi mungu wa hapo nsmkubali Sana huwa natoka Zanzibar Kila mwezi na j4 ya tarehe6 nakuja ibadani ipo siku na Mimi nitapokea siji Bure huko

  • @marrykatundu53
    @marrykatundu53 4 หลายเดือนก่อน

    Ameena afe

  • @RehemaStannley
    @RehemaStannley 4 หลายเดือนก่อน

    Baba.naomba unitabirie maishayangu

  • @jonasmajoge482
    @jonasmajoge482 8 หลายเดือนก่อน

    5:04 yeyote anaye cheza na maisha yangu afe kwa jina la yesu

  • @HelloAdrean
    @HelloAdrean 8 หลายเดือนก่อน

    Amen wanaoroga familia yangu wafe

  • @cecilianyirenda3377
    @cecilianyirenda3377 4 หลายเดือนก่อน

    Yeyote anayeniloga au kuloga watoto wangu natamka kwa jina la yesu afe

  • @henryjmwampashi1499
    @henryjmwampashi1499 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe mitumishi
    Naitwa Henry e Mwampash nipo songwe vwawa
    Namba nimeipata TH-cam
    Mtumishi naomba maombi napata ajali ya pikipik mugu ukateguka unanisumbuwa sana na mtumishi nisaidie nipo chini ya migu yako

    • @CuttyLushazy
      @CuttyLushazy 3 หลายเดือนก่อน

      Naomba nsaidie na mm nifunguliwe kwenye familia yetu

  • @FEBRONIABUKHAY
    @FEBRONIABUKHAY 8 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani Huwa natamani kuona mpaka mwisho,lkn inaishia patamu

    • @HappyOgango
      @HappyOgango 5 หลายเดือนก่อน

      Kwel had waboa

  • @mariefeza2645
    @mariefeza2645 5 หลายเดือนก่อน

    Na mm wachawi n'a watabichaji wa maisha yangu wote wa kufee Leo wana nitesa nimechoka n'a magonywa sugu baba naomba usinipite 🇨🇩

  • @Carrolinyohana
    @Carrolinyohana 4 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaa baba

  • @EndaniRashidi
    @EndaniRashidi 8 หลายเดือนก่อน

    Jambo Pastar . nashukuru sana sana tu kufuatilia Chanel yako naona nitapana uponyaji wa uwakika

  • @NakaetToninio
    @NakaetToninio 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu aniontole lana

  • @HappyJohn-c2e
    @HappyJohn-c2e 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @MiriamJailos
    @MiriamJailos 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera mtumishi kiboko ya wachawi

  • @TheresiaKaristo
    @TheresiaKaristo 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba uponyaji juu ya mwili wangu baba nasumbuliwa na tumbo , mgongo,miguu na ubavuni upande wa kulia Kuna maumivu kama ndani Kuna kidonda nimepima hospital vipimo vinaonesha Niko na PID na vidonda vya tumbo ila nimetumia Kila aina ya dawa sipati ahueni bado homa inazidi
    ASANTE 🙏

  • @SamwelyPeter-l4g
    @SamwelyPeter-l4g 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @MourenLawrenc
    @MourenLawrenc 4 หลายเดือนก่อน

    Baba na mimi naomba maombi yako kupitia jina la yesu aniponye aniondolee matatizo kwenye familia yangu mwanangu pia amponye siko cell

  • @RahmaAbdallah-hd7xt
    @RahmaAbdallah-hd7xt 5 หลายเดือนก่อน

    Aminaa

  • @herieldavidmauki6327
    @herieldavidmauki6327 3 หลายเดือนก่อน

    Where is its PART-2?

  • @MelisaJamesy-je6fw
    @MelisaJamesy-je6fw 4 หลายเดือนก่อน

    Amen baba

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 Daddy

  • @jaribmkonje2710
    @jaribmkonje2710 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekuku Bari mungu anakua pamoja nawewe

  • @evalineemmanuel8178
    @evalineemmanuel8178 4 หลายเดือนก่อน +1

    baba njoo arusha

  • @eunicemasai9544
    @eunicemasai9544 8 หลายเดือนก่อน

    Maadui zako wawe adui wa Bwana watesi wako wawe adui wa Bwana Mtumishi

  • @esterNdunguru-jc9no
    @esterNdunguru-jc9no 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba uendelea kunitendea kwa hoja niliyokuomba Imani yangu nitafanikiwa

  • @kerry1237
    @kerry1237 9 หลายเดือนก่อน

    Amen afee katikati Jina la yesu

  • @MarySoka-ub7fq
    @MarySoka-ub7fq 9 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke mchawi afee Kwa jina la Yesu

  • @JoyceSikana
    @JoyceSikana 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba aliyeniloga afe Kwa jina la YESU

  • @omamomanhelena9433
    @omamomanhelena9433 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtu mishi wa mungu

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaaaaa

  • @ElizaMolle
    @ElizaMolle 4 หลายเดือนก่อน

    Baba nawomba unitabiriye na Mimi nani anaye niaribiya maisha yangu naitwa supat kukay

  • @CelinaAmbele
    @CelinaAmbele 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe nabii naitaji maombi Yako maana changamoto. Nayoipitia naisi kukataa tamaa majaribu yamekuwa meng peke yangu siwez kila mwaka nnn mmm tu nabii nafukuzwa kazi naomba unisadie nabii

  • @EstherMashingangi
    @EstherMashingangi 5 หลายเดือนก่อน

    Baba ingilia Kati maisha yangu ester

  • @rithanickolaus2881
    @rithanickolaus2881 5 หลายเดือนก่อน

    Nabii naomba uniombee nyota yangu irudishwe yoyote aliyoichukuwa,naitwa ritha nickolaus mwakasege,natokea kisemvule

  • @Jenitha-ub8mr
    @Jenitha-ub8mr 4 หลายเดือนก่อน

    Majoka Tahoe kwangu najiunganisha na upako

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน

    Amina wafe

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 2 หลายเดือนก่อน

    Wafe wachawi wote kwa jina Ia Yeeeeeeeeeesu

  • @eaglegirl907
    @eaglegirl907 7 หลายเดือนก่อน

    Baba Nisaidie baba baba niokoe baba

  • @AngelChanda-s3c
    @AngelChanda-s3c 5 หลายเดือนก่อน +1

    Came lamani anazingua anaweka video vaisvesa

  • @CathelinYeremiah
    @CathelinYeremiah 4 หลายเดือนก่อน

    Naooba unisaidie nabii mwanangu hatembei ana miaka miwili na miezi hakai hatembei shingo haikaz nakuomba unitabilie

  • @IssaDanda-mg1uc
    @IssaDanda-mg1uc 5 หลายเดือนก่อน

    Baba mungu unaentumikia azidi kutu komboa

  • @divajames
    @divajames 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen

  • @SofiaMassami
    @SofiaMassami 7 หลายเดือนก่อน

    Amina baba Mimi Sophia Massami naomba uniponye

  • @chantalmariesony2996
    @chantalmariesony2996 8 หลายเดือนก่อน

    Mama yangu namimi amenifanya ivo 😭😭😭😭 mungu awasame tuu

  • @UmaziMuweye-sq1jw
    @UmaziMuweye-sq1jw 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @Gujay7
    @Gujay7 6 หลายเดือนก่อน

    amina mtumishi

  • @frankliampawe4616
    @frankliampawe4616 9 หลายเดือนก่อน

    Baba ikomboe familia na kazi yangu

  • @kunbashkifimbo9780
    @kunbashkifimbo9780 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi Gloria Ndunguru naomba unisaidie mtoto wangu Chizostomus haelewi shuleni kwasasa baba yake tuliachana na ameniachia watoto

  • @aurelianmwingira6203
    @aurelianmwingira6203 5 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie mtoto wangu ulevi umezidi na usinzi kupitiliza nimeteseka sana naye

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen na afeeee

  • @johanithatiba9616
    @johanithatiba9616 7 หลายเดือนก่อน

    Baba Naomba uniponye.

  • @gracezunda8804
    @gracezunda8804 8 หลายเดือนก่อน

    Amiina waliochezea kizazi changu wote wafe,wafeeeeeee

  • @phoibefarumabula9754
    @phoibefarumabula9754 9 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na ibada ktk jina la Yesu

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x 9 หลายเดือนก่อน

    Baba Niko ichi za kiarabu niombee nipandishe mshara

  • @MiriamJailos
    @MiriamJailos 6 หลายเดือนก่อน

    Uk vizr

  • @estarmwakatage220
    @estarmwakatage220 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi nisaidiwe maisha magum naomba nitabilie mtumishi au nije uko niko mbeya

  • @AronManyaz
    @AronManyaz 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba reo naamini naaza kupata Balaka kwanzia jioni yaleo

  • @MarryRichard-tc5mi
    @MarryRichard-tc5mi 4 หลายเดือนก่อน

    Baba.naomba
    Unisai.kuomba baba.yangu alifaryki.kwenye.mazingira yakutata Nisha.naoma.alieshiryki.avee

  • @sophiamasawe4309
    @sophiamasawe4309 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amiina Afee

  • @ShakilaMlembe
    @ShakilaMlembe 4 หลายเดือนก่อน

    Familia yangu inamagonjwa ya sukari Mungu tusaidie

  • @ChazYuna-ky6mw
    @ChazYuna-ky6mw 5 หลายเดือนก่อน

    Niombee namimi uniokoe mtumishi

  • @denisgroupfun
    @denisgroupfun 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mkuu

  • @ruthntimwa5578
    @ruthntimwa5578 4 หลายเดือนก่อน

    Yoyote aliye sababisha mimi niumwe afe leo kwa Jina la Yesu

  • @elizabethwambura
    @elizabethwambura 6 หลายเดือนก่อน

    Mchugaji naomba uniopee familiy yangu naitwa eliza wambura

  • @DaniNnyari-sn7ye
    @DaniNnyari-sn7ye 4 หลายเดือนก่อน

    Naitwe dani naomba nabii uniombee nadawa pesa nyingi niweze kulipa nauzagari Nanyumba. Sipati wateja wakija kuangalia awarudi niombee mtuwamungu

  • @EllyJacksonAkyoo-op7jc
    @EllyJacksonAkyoo-op7jc 3 หลายเดือนก่อน

    Aaaaaaasmina wakufe

  • @GraceMbega-l3f
    @GraceMbega-l3f 3 หลายเดือนก่อน

    Naitwa stella mbega baba naomba niombee nipate mtoto mwez huu nanirudiane na mwanaume wangu nilipata mimba mama akasema nitoe mimba baba naomba nisaidie nipate mtoto mwengine baba nanirudiane na mwanaume wang

  • @mwasikaflora1374
    @mwasikaflora1374 4 หลายเดือนก่อน

    Anayetuloga afe kwajina la yesu

  • @agathakimatile4999
    @agathakimatile4999 9 หลายเดือนก่อน

    Afe kabisa ktk jina la yesu

  • @alexsylvester4470
    @alexsylvester4470 5 หลายเดือนก่อน

    Nabii isaidie familia yangu pamoja namimi mwenyewe

  • @NEEMANYALLU
    @NEEMANYALLU 4 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba utabiri juu yamaisha yng

  • @heriethemanuel5906
    @heriethemanuel5906 3 หลายเดือนก่อน

    Hakiki wewe ni kiboko ubarikiwee Sanaa

  • @FaridaMasawe-ym7ni
    @FaridaMasawe-ym7ni 7 หลายเดือนก่อน

    Na biii naumwa.na kichwa.sana

  • @BleziAlbert-h3k
    @BleziAlbert-h3k 9 หลายเดือนก่อน

    Apostle m naomb nioe

  • @gracezunda8804
    @gracezunda8804 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeee

  • @africanentertainment2124
    @africanentertainment2124 3 หลายเดือนก่อน

    wakufe

  • @RehemaStannley
    @RehemaStannley 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba muchawi wamaishayangu afee

  • @PascalSwai
    @PascalSwai 6 หลายเดือนก่อน

    Nabii na mm aliyeroga familia afe

  • @sophiamasawe4309
    @sophiamasawe4309 9 หลายเดือนก่อน

    Amiina

  • @SylviahWamalwa
    @SylviahWamalwa 2 หลายเดือนก่อน

    Njoo kenya nabii utuombe nyota ya kazi zifunguke

  • @TumainiKweka-co8qr
    @TumainiKweka-co8qr 5 หลายเดือนก่อน

    Nabii kiboko ya wachawi naomba uniombee mm na familia yangu bwana