Waaa antony watubba sana, huki🇰🇪 n tena twakupenda sana toto mungu akupiganie uendelee kumtumikia katka ulimwenguni humu, 🇰🇪twakukarinisha sana karibuni sana, salimia watu w huko
Hi yohana asante kwa mawaidha umewashauri wakubwa wako.lakini NAMI nakushauri wewe Sasa ushike laini ya masomo na huduma yako kwanza mambo ya kuowa yasichukua mawazo yako ,Bado tunataka uwe mtu mkubwa na huduma yako iende mbele asante.
Karibu sana Kenya ikiwezekana uje Mombasa kuna mtoto hapa nyumbani anapenda nyimbo zako sana hata hatuangalii kitu kingine kwa television nyimbo zako tu mtu aguse tu remote analia kweli
Wow antony karibu Kenya umekuwa wa baraka katika uduma Yako,yaani ur mentor to many ikiwemi mimi
Twakupenda saana yohana. Keep going. Karibu Kenya twakungoja kwa hamu.
Twakupenda sana yohakeep
Twakupenda sana yohana . Keep going karibu Kenya twakungoja Kwa hamu.
Kuja unioe mapema ndio best❤❤❤ barikiwa sana
We welcome you.. your prayers towards Kenya made it have peace during our election period.... Thank you mtoto yohana
Karibu Sana Kenya Yohana
Congratulations kwazi nzurii
Karibu kanya yohana🤜🤛
Karibun Kenya mtoto yohana twakupeda sana
😃😃😃😃😃😃😃😃
Karibu Kenya dogo Kenya twakupenda kwa huduma yako hiyo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪new subscriber because of yohana antony
Yohana Antony uko vizuri Sana mdogo angu MUNGU akubariki katika huduma yako
Much Love from Kenya yohanna
Karibu kenya yohana twakupenda sana tena sana. Keep it up!
Karibu sana mtumishi wa Mungu kijana Antony, na wacha Mungu akuinue katika viwango vya juu zaidi katika huduma yake. Karibu Kenya 🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana ndugu yohana karibu Kenya
Welcome Kenya yohana nakupenda sana with your surmon
Karibu kenya ndugu, twakupenda sana..
Be blessed from Abigaely NAFULA 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tunakupenda pia yohana much love for 🇰🇪🇰🇪
Amen🙏🙏we much welcome u Mtumishi Yohana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 really Sisi ka Kenyans we luv u more than u think 🤔🤔
Waaaaaa my boy tuna kungoja sana karibu nyumba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unanibariki sana kupitia nyimbo zako. Mungu aeendeelee kukupa Nehema Yohana
Karibu Sana Kenya ,,,,twakunda Sana antony
Karibu....
Tunakugoja san. Yoana ,,,❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Karibu Kenya brother...we love you
Karibu kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mtu mishi wa mungu twakupenda sana
Acha alichopamungu mwanadam awezi kupangua
We love you too yohana,karbu sana Kenya
Nampenda yohane Sana sana
Nakubata vizuri nikiwa Saudi Arabian mtoto john Asante sana kwa nyumbo zuri hubarikiwe sana
Penda wewe san .God bless you 🇰🇪🇰🇪
Karibu sana Anthony mungu akubariki saidi
Karibu kaka Yohana twakugoja sana na twakupenda pia. Ubarikiwe Tena na tena
More grace brother. Mungu azidi kukuinua💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗
Waaa antony watubba sana, huki🇰🇪 n tena twakupenda sana toto mungu akupiganie uendelee kumtumikia katka ulimwenguni humu, 🇰🇪twakukarinisha sana karibuni sana, salimia watu w huko
Twakupenda pia yohana mungu akubariki sana
Hi yohana asante kwa mawaidha umewashauri wakubwa wako.lakini NAMI nakushauri wewe Sasa ushike laini ya masomo na huduma yako kwanza mambo ya kuowa yasichukua mawazo yako ,Bado tunataka uwe mtu mkubwa na huduma yako iende mbele asante.
Thanks alot for this advice.
Perfectly said
Karibu Sana Kenya Kaka yohana
Pia sisi tunakupenda sana ,karibu Kenya Anto
Karibu sana Kenya twakupenda
Karibu Sana Kenya Yohana
Welcome Kenya 🇰🇪 my son God bless you
Karibu Kenya mtumishi wa Mungu. God bless you na ainue huduma yako ya uimbaji zaidi
Karibu Sana Kenya bro
Amina mtumishi ubarikiwe sana 🙏
Yohana barikiwa saaana ss wakenya tunakupenda saaana karibu saana Kenya yohana
Welcome kenya,,,,twakupenda sana 🙏 yohana atony
Yohana nimeipenda mawazo yako Mungu akubariki sana.
Karibu sana yohana twakupenda sana
Welcome son.....kweli ulitusaidia kuombea kenya......wewe ni mkenya kimziki na kindugu
Can't wait karibu kaka 👏👏
Ww yohana karibu kenya tunakupenda sana Elizabeth from nairobi kenya
Mungu akubariki sana mtoto ....mungu ainue kipawa chako welcome kenya
Barikiwa sister kazi yako naifwatilia sana
Asante Sana
Wimbo zuli sana yohana balikiwa🙌🙌
❤❤❤ twakupenda sana yohana mtumishi wa mungu
You are a blessing to the world,
Go ahead mtoto
Tumekungojea sana Nairobi Tassia Embakasi
We welcome you to our country,,,we love you too
we love you too Antoo,,, from kenya
Umbarikiwe sana mdogo wangu
Karibu sana Kenya ikiwezekana uje Mombasa kuna mtoto hapa nyumbani anapenda nyimbo zako sana hata hatuangalii kitu kingine kwa television nyimbo zako tu mtu aguse tu remote analia kweli
Kwako umligani ambao mtu anaruhusiwa kuoa ao kuolewa?
i like your music they are really blessing me
Karibu sana kenya yetu twakupenda sana
🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤more love yohana barikiwa
This good advice from you young bro may God bless u alot
Twakupenda said yohana haba Kenya 🇰🇪 😳 mungu akubariki sana na asindi kukutumikia
Barikiwa sana mtumishi yohana karibu Kenya tunakupenda sana wakenya
Mtumishi yohana unafurahisha sana sijakuo nikuje ombonde huduma yenu nafurahia sana ninabaki nakicheka nafurahia barikiwa mtumishi yohana antony
We love you ❤️ welcome Kenya
Yeah
I appreciate him a lot more love ❤
Hope u make it to visit Kenya my father and mother land na penda nyimbo zako ni kiwa gulf Saudi Arabia 🙏🏾🙏🏾
Songs zake Zina ni touch Sana hogera
Welcome my brother we love you so much
Good.boy.be.blessed.with.good.work.wau
Twakukaribisha yohana twakupenda pia
Its interesting listen to this boy, i love you
Welcomed kenya u Antony and mungu ambariki unduma yako wait for you 👍👍😍😍
Welcome Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waaaaah this is hillarious🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥
Yohana mungu akubarik kwa Kibari aricho kupa mwenyezi mungu asanteni
Karibu Kenya brother 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Karibu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪saaaana Nairobi 🙏🙏
Umbarikiwe sana msongo wangu
Napenda sana nyimbo sako mungu asidi kukubariki
Karibu kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow aki ubarikiwe sana Antony na mungu akuongoze unapojiandaa karibu sana kenya
Ubarikiwe Sana yohana antonh
God bless you Anthony much love from kenya ❤❤❤
Karibu Sana Kenya
Iko pwr anthony i love song
Tumekungoja Sanaa twakupenda
Karibu Kenya yohana tunakupeda sana
Ahsante kijana...... ➕➕🅰🅰🅰➕➕
🍀🍀😊😊😊🍀🍀
📖📖🙏🙏🙏📖📖
Karibu sana kenya twakupenda sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🥰
🙏🙏
Amen
Karibu kenya😍😍
Karibu kenya naam napenda sana ukioa kenya makueni wote right
Mungu akutimishie ndoto yako young boy
Karibu Kenya November tafadhali naomba Tu yohana tafadhali naomba
Karibu Sana 🙏
Karibu kenya
Karibu sanaa
na wengine wana miaka hamusini hawaja oa ndomana wanaishia kubaka kumbe. inabidi uoe mapema ili uondokane na. tamaaa😭😭
Hapo Sada mtumishi uko sawa lasima tumtete Yesu wetu usije ukawa Kama Samson na Delila baba
Welcome Kenya brother love you so much