UONGO WA KALE PAT 3 MAU MPEMBA DONGO NA MAKUNDE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ค. 2024
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500 - ตลก
Dah m nawapenda sana aloo natamni nije kuwatembeley uko pemba
Wanne like zangu please
Hahaaaaaa....hiii kwel zaman....dah bwam yai bas....na ndege tokea lin amue ng'ombe........nyusi hiyo heeeeee .......dah pamoja sana yan
Khatari hii duuuh
Asanteni mafundy
Ama kwel zaman nizaman harith from chake chake
Ndio
Maulidi from gobeumeee
Nyny nomaaaa
Zamani hio heeeeee
Wa pili kutoka zenji kwa kuwaangalia huu uongo 🤣🤣🤣🤣😅
Duu kweli nyie waongoooo
Mau umetishaaaa
Wazee asante sana
Zamani kwena maajabu KWELI
Looh saalaaleh
Nawakubali sana hawa jamaa
Haha 😄 nice
mzeee mwinyi hongera na directer honger zenu
Mkimpata na kiswabi itapendeza pia au kitatange ni wazo zur la uwongo wa kale
😂munafurahisha
Aloo mau kazidi😆😆
Sasa mau ile mizigo uliiweka wapi ulipotoka m/mdogo mpaka chake 😂😂
Oya mnachelewa mjue
Jamani msikae sana Mau tutumieni nyengine please 🙏🏽 😂😂 tumbaku ya leo kweli kali 😂
Uongo 😅😅😊
Wakwanza mieeeee kutoka dar es salaam
Hyo ndio zmni 🤣🤣🤣
Fundi huwezeki tena weye yakhee
Makunde nakubali sana
Mau ww ndy kiongozi wao tunakuomba kitatange uwe nae muzidi kutufurahixha ana perform xan kwny action Kam izo
nyinyi basii mmezidii
🎉
Hahaha
Part 4 !!!????
😃😃😃😃😃😃
Mau noma 😂😂
Mumezidi,,😁😁😁😁
Mhhhh mhhh
Uongo kweli kweli 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣kwakwel zaman ilikuwa hatar
😂😂😂😂😂📌📌🔨🔨
😅😅😅
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
🤔🤔😁😁😁😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Mua kombo kichwa ataka kuongea na ww kupitia cm hii ukiwatayar
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆😆
😂😂😂😂😂
😅😅😅