8 Athabu kwa Mandera

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Bwana Aman Thani Fairuz anaendelea. Kapelekwa kwa Bamkwe Mandera jela ya adhabu. Kapigwa na kuadhibiwa mpaka kufungwa kitanzi na kutishiwa kupigwa risasi. Kaadhibiwa katika mwezi wa Ramadhani na huku amefunga.

ความคิดเห็น • 17

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awasamehe makosa yenu na awajaalie pepo.kwa fadhila zake in shaa allah

  • @godfreydestury8813
    @godfreydestury8813 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mzee wangu

  • @ausihaji2398
    @ausihaji2398 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah atakulipia juu ya wote waliokudhulumu

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 4 ปีที่แล้ว +2

    Inasikitisha sana

  • @ahmedelalawi6143
    @ahmedelalawi6143 4 ปีที่แล้ว +2

    Ccm madhwalim mungu awalaani

  • @MusabashiruMusa
    @MusabashiruMusa หลายเดือนก่อน

    Daah

  • @samirs764
    @samirs764 4 ปีที่แล้ว +2

    Nataman kulia walah akhera kuna mambo

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 9 หลายเดือนก่อน

    ✌️👊👍.

  • @ommymsangi9182
    @ommymsangi9182 หลายเดือนก่อน

    Serikali ya mapinduzi ilikuwa ya kinyama sana.

  • @shaibhamdun5225
    @shaibhamdun5225 2 ปีที่แล้ว

    Mola atakulipia

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 5 ปีที่แล้ว

    Ame fidia namjua

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 ปีที่แล้ว

    Du ilo mandera sasa limeshakutana na Mola Wake na yy chamoto anakiona sasa

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 4 ปีที่แล้ว +1

    Fitna mbaya sana

  • @ausihaji2398
    @ausihaji2398 5 ปีที่แล้ว +3

    Walioipinduwae ZAMZIBAR Kwa hakika wamewafanyia dhulma kubwa wazee wetu na sisi hatakama hatukuwepo kipindi hicho Lila hatujawasamehe katakana na haha madhila tunayoyapata

    • @pira7439
      @pira7439 6 หลายเดือนก่อน

      umenikumbusha yalonikuta na mimi robo ya hayo😢

    • @hassansugha5935
      @hassansugha5935 5 หลายเดือนก่อน

      ALLAHU AKBAR halafu huku tukiaminishwa kua mapinduzi mapinduzi matukufu mmh