DADA MUUZA (Part 1) latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024
- #DadaMuuza ni filamu inayoelezea maisha ya Mwandada Pili anayefanya shughuli za kuuza mwili wake ambapo ataamua kumkatisha mdogo wake ambaye anasoma Najma na kumshawishi kujiunga na biashara yake hiyo ya kuuza mwili.;
Ni filamu nzuri yenye kuelimisha na kuburudisha pia! Usiche ku Subscribe baada ya kuitazama.
Ili uitazame Part 2 ya filamu hii bonyeza hapo mbele th-cam.com/video/vn1cMAJ9nUQ/w-d-xo.html
Asante Adam
Asante Ann
Hello vipi..nashukuru sana kwa kutupa mafunzo mengi kwa filam zko 😊lakin Adam mbona hujatuletea sehem ya pili ya batuli na ndivyo nimeisubiri kwa hamu jamani 😢
Tuki ishoot tuwatawekea, kwa sasa endelea ku enjoy na zilizopo.
nice
Mko poa muongeze bidii tyuu💪💪💪💪
Asante
Asante sana adam ka❤❤❤🎉🎉z mzur sana mungu awaendeleze katika kazi yenu
Shukrani sana
Yesu Kristo ndiye njia ya kweli na uzima. Mungu anakupenda
Amen
Poleni dada zangu wote mnao ishi maisha chini kama haya
Shukrani sana aisee
📢umupe mungu maisha yako yesu eko karibu kuja tu tubu na tujitaya reshe kumupokea
Umeona eh
Sawa kijana wangu dagea, omar kazi nzuri
Shukrani sana..
Wow❤ mupo vizuri sana .. pongezi kubwa kwa kazi yenu Nzuri...natazama nikiwa Nairobi kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Shukrani sana
Wow good work i watch from saudia adam nice ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Awesome! Thank you!
Da pl jmn...yni Inaarbu da najma kwa elfu nne tu...aaah we kboko❤❤❤
Hahahah elfu 4 nayo hela
Mama noma huyu
Hahaha mama mbaya.
Kaz safi bro
Shukrani
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉
Nashukuru
Nimewahi leo kidogo naombeni like zenu 😢
Like za kutosha, endelea ku enjoy!!
Pokes like
Safi sana mam nuuza
Shukrani mno🙏
Kaz mpya nzur
Shukrani sana endelea kh enjoy na filamu zetu.
Waaaa nimechelewa lakini nimefika hongereni sana wadau move njure sana nimejifunja kitu
Asante snaa
Hii muvi inauhalisia sana
Mno kwa kweli.
Munavuta sana
Polee
Safi sana collegemate @omary
Thanks
Wow kazi nzuri Adamu ❤ .... kutoka Kenya 💞💞💞
Shukrani sana ndugu zangu wa Usiku wa mananee😂🙏🙏🙏🙏Nawapenda majirani.
@@AdamLeoStudios 🤣🤣🤣🤣jamani Adam Sio poa hii wenzio bzy bzy ...si wajua tuko kutaftani hayuko makwetu ndio Maana Ila usijali tuko pamoja 🥰🥰
Asanteee saanaaa..!!!
@@AdamLeoStudios karibu
🙏🙏🙏
Kazi nzur hongereni
Asante mno,
Watanzania tusilaumu wabadilishe lokesheni eleweni awo waigizaji bado hawana pesa na lokesheni zinaitaji pesa tuwachangie kidogokidogo nao wafike mbali dom mpwapwa tujitaidi jamani
Shukrani sana sana.
Kweli
Maudhui haya ni funny kiukweli!(nawatch from nailobi kena)
Shukrani sana aisee.
Adam kama Adam nakukubali mwamba
kifupi asante sana
Shukrani sana aisee mkuu
Kazi njema bro..💞
Shukrani sana🙏
Kazi nzuri❤❤❤
Shukrani sana aisee.🙏🙏🙏
Hongera bro🎉❤❤❤
Asante vero
Safi kwel
Shukrani sana, usiache ku Subscribe.
😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongra snaa Adam kwakaz nzur
Shukrani sana🙏
Slay danga kwn iliisha ,
Itaendelea msimu wa 2 soon.
dada mkubwa, hii sura ya uhuru ulitoa wapi
Sura ya uhuru ndiyo ipoje
Safi sana
Enjoy, part 2 umeiona?
th-cam.com/video/vn1cMAJ9nUQ/w-d-xo.html
Hatupend mv zaunyanyasaji
Pole
Unamuuza kwa 4000
Yaani😭😭😭
Pongezi kwa kazi nzuri🎉
Shukrani sana, enjoy usiache ku subscribe..
@@AdamLeoStudios done
Thanks
🤣 🤣 Huyu mwalimu wa maudhui hiyo kwiyuuuuuu 😂😂😂😂😂
Hahahah miyeyusho sana😂😂
The first one
Enjoy🙏
Mabibo Kabisa Hii.
Umeonaa eh
Weweeeeeee
Naam
Hahaha movie amsha popo
Nomaa
Adam eeh huyo mtt hapo dada yake Najma wa hiari sio poa pisi kali balaa ana kitu atafika mbali sema yule wa slay queen jeupe hivi tushamiss tur😅😅😅
Mtamuonaa tu😂
Nashukuru 🙏
Nime mmisi yule dada wa srey danga ambaye kope ilin'goka
Atarudi tu utamuona😊
Hii move fanyeni mtranslate kwa kingeleza kwa maneno itafika mbali usijari watu kukwambia badilisha mazingira hays ni mazungira ya uswazi maisha ya kimaskin kawaida ndio move zinahoneshwa Netflix sometime
Shukrani tutafanya hivyoo
Wah huyo mwalimu lazima kiswahili kieleweke si kwa mlegezo huo n kurembua huko😅😅
Hahaha asanteee...!!!
Nice
Thanks
Omulimu omulunge
Asante sana.
😂😂😂mtt kazingua
Jamani😂
Badilisheni location na nyinyi
Tutabadilisha aisee, bajeti ndogo ndiyo maana.
Adam Leo kwani Slay Danga imeisha jamn
Bado itaendelea...!!
Dady😍😍😍
Naam🧡
Adam 🔥🔥🔥
Naam
😂😂😂😂mwalimu
Naam
Mwalimu apo kamfunza nini jmn😂😂
Hahah yaani
Fire 🔥
Thanks🙏
Tuwachangie kidogokidogo nao wafike mjini yani wajulikane watoto mp inakuaje
Sawa sawa
Move nimeielewa sana vipaji vya ukweli ndo ivyo haichoshi hata nikiangalia mala nyingi samasana uyo mtoto mwenye tat
Shukrani sana sana
Adam wewe,dar kama nakuona,unanikumbusha changamoto za shule ,dar,walimu nyie,Mungu anawaona
Wanazingua sana😭😭
Mwalimu anachambua fasihi kimapenzi😂😂😂
Umeeonaaa eh😂
Nyiee huyu mwalimu anamoto wake mbinguni😂😂😂😂😂
Timthili gani hii ukahaba ovyoo
Jamani
❤
🧡🧡🧡
kaka unatisha sikupingi
Asante
Efuine
Hahaha noma huyo
😂
Nini jamani
Kazi njema bro ❤❤❤
Asante furahi kazi zetu, tunawapenda sana...
@@AdamLeoStudios sawa sawa bro
Kaz nUri sana
Shukrani
❤
🧡
Omulimu omulungr
Vpp
Omulimu omulunge
Naam