Hallelujah Hallelujah Kenya for Jesus,THANKS Man of God kwa kukumbali kutumika na Mungu He continue annoting you moulding you for the body of Christ and generation and generations.
Mungu utuokoe kwa haya yte nmengi tunapitia lkni mungu wetu utukaribie asnte Nabii kuja Kenya kutupkoa kwa haya yte n makojwa y aina mbalimbali prophet mungu akuogoze uingiapo n utokapo ubarikiwe kwa mandiko hayo mazuri mm naomba tu maombi kuhusu madambahu,y kiketu ambae imetukandamiza xna but kupitia mandiko yngu nabii itatuweka huru be blessed 🙏
Amina nabii yani kazana sana kukataza dhambi tena mapambo kwa wanawake yamezidi yani tuwe halisi kama Mungu alivyo tuumba hata kusuka hakuna tunyoe tufunge vilemba yani tutamuona Mungu kwa kiwango cha juu pia na mavazi
Nikweli kabisa watoto wa Mungu hatutakiwi kuvaa mawigi,kutia dawa nywele ,kujichubua, kuweka kucha bandia ,kujipodoa tunakuwa tunakosoa uumbaji wa Mungu na pia warumi 1:26 inatukataza. Hata kuvaa suruali hatutakiwi kwa mana kumbukumbu la torati 22:5 inakataa pia
Kwetu kenya...nakubaliana na mahubiri yako kabisaaaaa...nimepata ufunuo wa joel,,matendo ya nitume,timotheo,wathesalonika,Roman's..haya maandiko ni biblia neno lililo hai la mungu AMEN
MUNGU wewe ndiwe tengemeo letu pekee tusaidie usituache ata shetani akija kwa njia ngani mtetezi wetu ni wewe MUNGU tu na Hakuna mwengine yesu tuokoe tusiangamie.
Mchungaji fanya haraka kuwaambia watoto wa Mungu wasivae mawigi au manywele ya bandia, langi za midomo makucha ya bandia, langi za mkucha , kiristo yesu hapendezwi navyo kwani alievianzisha ni shetani ,wote watumiao hivyo vitu, kamwe hawaingii mbinguni , angalia mafunuo aliyopewa mtume, asikofu mkuu wa FGBF . Nimeona wewe kweli ni mtumishi wa Mungu.
Mungu anapendezwa na moyo safi na Ibada Takatifu na wala si mwili wako.Tena shetani hana kilicho chake vyote Mungu kaviumba. Mungu atusaidie sana Tumwabudu katika Roho na kweli.
Warumi 1:26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili nikama kujichubua, kuvaa mawigi , kujipaka lipstick nk huku ni kumkosoa Mungu
Hallelujah Hallelujah Kenya for Jesus,THANKS Man of God kwa kukumbali kutumika na Mungu He continue annoting you moulding you for the body of Christ and generation and generations.
Amen mchungaji may almighty God blessed you and your family too
Jina La Bwana Yesu liinuliwe. Barikiwa sana Mtumishi Wa Mungu
Man of God, u are preaching the true gospel, may God bless you and your family
Ubarikiwe mtumishi wa mungu,tunakupata clear from, Qatar, you are preaching true gospel amen na amen 🙏🙏
napenda sana mafundisho yako mchungaji hongera kwa kazi nzuri ya kuchunga kondoo zako
Mwenyezi Mungu tunusuru na hayo, utupe moyo wa nyama tugeuke na kukufata kweli yako
Mungu akubariki baba 🙏🙏
Mungu utuokoe kwa haya yte nmengi tunapitia lkni mungu wetu utukaribie asnte Nabii kuja Kenya kutupkoa kwa haya yte n makojwa y aina mbalimbali prophet mungu akuogoze uingiapo n utokapo ubarikiwe kwa mandiko hayo mazuri mm naomba tu maombi kuhusu madambahu,y kiketu ambae imetukandamiza xna but kupitia mandiko yngu nabii itatuweka huru be blessed 🙏
Barikiwa mpaka ushangae🙏🙏
It's true that you are really Blessing me man of God
Barikiwa mtumishi kwa mafudisho mazuri Eee bwana tusaidie na utuokoe🇰🇪🇰🇪
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu
Amina mchungaji,ukweli mtupu,barikiwa
Man of God,am blessed by your preaching, pray for us Kenyans
Mungu alitimize neno lake akuna awezaye mpinga Mungu
Nime guzwa na neno ulilo linena ubarikiwe na uzidi kutuombea sisi wakenya Amen
Oooh Bwana Mungu utusaidie
Nabarikiwa na maneno haya MUNGU akubariki nabii unasema ukweli
Asante mtumishi wa mungu nabarikiwa nikiwa nchini oman,asante kwa ujumbe mzuri barikiwa mtumishi
Amina nabii yani kazana sana kukataza dhambi tena mapambo kwa wanawake yamezidi yani tuwe halisi kama Mungu alivyo tuumba hata kusuka hakuna tunyoe tufunge vilemba yani tutamuona Mungu kwa kiwango cha juu pia na mavazi
Kweli kabisa
Nikweli kabisa watoto wa Mungu hatutakiwi kuvaa mawigi,kutia dawa nywele ,kujichubua, kuweka kucha bandia ,kujipodoa tunakuwa tunakosoa uumbaji wa Mungu na pia warumi 1:26 inatukataza. Hata kuvaa suruali hatutakiwi kwa mana kumbukumbu la torati 22:5 inakataa pia
Amen Amen Amen nabarikiwa tu sana mungu akubariki pastor
Glory to God.
God will use the vessel which is ready for use may the Lord bless you man of God
I love your preaching
Hallelujah praise Jesus Christ
Hallelujah magunzo mazuri nmebarikiwa sana
Nimebarikiwa
Bwana yesu kristo asifiwe tumebarikiwa
Hii injili ni adimu sana.wachache mno wanathubutu kusimamia neno la kweli.
Ameeeeeeeeeen 🙏🎺📯🎷🎤
Asante mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri
Ubarikiwe Mtumishi kufundisha kweli
Bwana yesu uniokoe
Wa nibariki Sana nabii wa mungu
Ubarikiwe Sana mtumishi kwa Neno hili
Emeni baba nime barikiwa sana na neno hili
Kwetu kenya...nakubaliana na mahubiri yako kabisaaaaa...nimepata ufunuo wa joel,,matendo ya nitume,timotheo,wathesalonika,Roman's..haya maandiko ni biblia neno lililo hai la mungu
AMEN
Ammina
Amena
Tuko pamoja mtumishi be blessed. Follow you
Asante kwa neno la mungu ,nimebarikiwa
It's good
Amina 🙏🙏
Mungu akuongoze mtumishi unasema ukweli
Aaaaaaaaaaaaa Daddy unatuvunja mbavu hapo Hallellujah
Amen 🙏🙏
Amina Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏
Amen Ameeeeeeeeeeen
Balikiwa mpendwa wa mungu
Sauti tafadhali,,,
Ubarikiwe mnoo
Exactly indeed
Amen
Barikiwa mtumishi wa Mungu.
Amen amen
Anina
Haleluya
AMEEEN: NAPOKEA NENO LA LEO
🙏🙏
amen
MUNGU atusaidie watoto wake kwakweli nisku za mwisho
Manabiii wa uongo
MUNGU wewe ndiwe tengemeo letu pekee tusaidie usituache ata shetani akija kwa njia ngani mtetezi wetu ni wewe MUNGU tu na Hakuna mwengine yesu tuokoe tusiangamie.
Huyu jamaa anaonekana dhaifu ila amebeba kitu cha Kimungu kikubwa sana.
Tuwe halisiiiiiiiii
Pastor amenichekesha..eti huko honeymoon anajua mwenyewe breki yake ilikuwa nn
Napendezwa na maubili yako unatumia kitabu muda mwingi" ubalikiwe mtumishi.
Mchungaji fanya haraka kuwaambia watoto wa Mungu wasivae mawigi au manywele ya bandia, langi za midomo makucha ya bandia, langi za mkucha , kiristo yesu hapendezwi navyo kwani alievianzisha ni shetani ,wote watumiao hivyo vitu, kamwe hawaingii mbinguni , angalia mafunuo aliyopewa mtume, asikofu mkuu wa FGBF . Nimeona wewe kweli ni mtumishi wa Mungu.
Unafeliii
Mungu anapendezwa na moyo safi na Ibada Takatifu na wala si mwili wako.Tena shetani hana kilicho chake vyote Mungu kaviumba.
Mungu atusaidie sana Tumwabudu katika Roho na kweli.
Kwel utakuta muumini hana tofauti na na waenda klabu
Kweli kabisa mapambo ni dhambi
Warumi 1:26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili nikama kujichubua, kuvaa mawigi , kujipaka lipstick nk huku ni kumkosoa Mungu
Naombeni ufafanuzi Zaid mpinga kristu n Nan na shetan Ni nan?0747455156
Hakika wewe ni mtumishi wa MUNGU
😅😅
Kuna ndugu zetu wana sema mbona ata marekani sijui mataifa gani wame cheleweshwa na shetani
Kuwa salama nikubaki kwa MUNGU
Disaster Disaster Disaster
Manabii kama wewe niwachache duniani MUNGU akutunze na kukulinda
Ee Mungu baba tuponye na nyakati hizi.Mungu akubariki mtumishi Wa Mungu Kwa mafundisho mazuri
Mungu aendelee kukutumia ili uweze kutufungua wengi
Emeni baba nime barikiwa sana na neno hili
Nabarikiwa sanaa na mafundisho yako Daddy Amen