NDOTO KATIKA UHALISIA (MAANA ZA NDOTO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • KANISA LA REALITY OF CHRIST CHURCH (ROC) LIPO SINZA MORI DAR ES SALAAM LINAONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU PASTOR SUNBELLA KYANDO
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our TH-cam: www.youtube.co....
    #sunbellakyando #pastorsunbellakyando #pastorjohnsembatwa #realityofchrist

ความคิดเห็น • 15

  • @FaridaSilwani
    @FaridaSilwani 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi uwa naota nipo shulen iyo ndoto uwa inajirudia sana naota nafanya mtian tena mara nyingi uwa uwo mtiana nashindwa kuujaza

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 4 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Mm hua naota kila mara niko shulen lkn hua kuna mazingira tu kufnya kz apa n pe mara nyingine hua niko n watoto alfu mara nyingine kuona watu wakimba n kucheza

  • @kisubisumahili7307
    @kisubisumahili7307 4 หลายเดือนก่อน +3

    MTUMISHI DRC CONGO, tuna kufatilia, natunakuhitaji, ujekututembelea please...
    From : EVangelist ISMAËL

  • @christinecredo7945
    @christinecredo7945 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu nimeisubir Sana hii sehemu ya tatu

  • @DanielMtaulwa
    @DanielMtaulwa 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika tunapata maarifa na ufahamu wa kutupeleka hatua nyingine tunashukuru Masihi wa Bwana Yesu

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 4 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru Mungu.Nimesubiri sana.Asante pia Mtumishi

  • @dianawebala9381
    @dianawebala9381 3 หลายเดือนก่อน

    amen

  • @graceaugustine1542
    @graceaugustine1542 4 หลายเดือนก่อน

    Eeh Mungu nitetee na ndoto hii

  • @wnnieamos9944
    @wnnieamos9944 3 หลายเดือนก่อน

    Mim huwa naota nafanya mtihani lakini huwa simalizagi mtihani na sijawah kukusanya hata nikipewa nigelezee majibu kwa mtu huwa nashindwa kumaliza mitihani yangu inajirudia mara kwa mara😥

  • @FaridaSilwani
    @FaridaSilwani 3 หลายเดือนก่อน

    Mdogo wangu alikuwa anaamka kitandani analala chini au anafungu kabati apo anakuwa amelala

  • @upendolaizer4775
    @upendolaizer4775 4 หลายเดือนก่อน

    Shalom Mimi nimewahi kuota nipo shule na kipindi cha kufanya mtihani imefika lakin sijajianda na hii ndoto imekuwa ikijirudia
    Pia nimekuwa nikiota nimekuwa kipofu kila ninapojaribu kufikia hatma yangu

  • @FaridaSilwani
    @FaridaSilwani 3 หลายเดือนก่อน

    Dada yangu alikuwa anaamka anafungu mlango anakimbi

  • @user-ob2sd4mj1t
    @user-ob2sd4mj1t 3 หลายเดือนก่อน

    Tulikua Mzee mmoja tulikua tunakaa naye kwa plot moja , siku Ile anaota anamka anatoka inches akipata gate kiko wazi anatembea Tu mpaka Mahalia ataipata MTU amuongeleze hapo ndio atamkia. Lakini kama gate kimefungwa akiguza pate kimefungwa Anamika hapo.

  • @nyendowissy8130
    @nyendowissy8130 3 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Mimi Mara nyingi huwa naota nipo na ndugu waliokufa

  • @nyendowissy8130
    @nyendowissy8130 3 หลายเดือนก่อน

    Na baba alikua anaota anaamka anaenda shamba kukagua na anarud kulala lakin haelew chochote