Anyway Mungu anayo nafasi yake.Anaweza kufanya kitu usichotegemea wewe. Lakini wanaondoka hawakuwa katika uchawa wao kwahiyo ni lazima wawaondewe mapema ili wabaki wao tu.
Haya yote yana mwisho kama yalivyokua ya firauni na jeshi laki alimalizwa baada ya kupewa muda mrefu na uhuru wa kufanya maovu yake hana hoja siku ya kiama sababu muda wakujirekebisha alipewa alishindwa kuutumia matokeo muda ulipita atimae mauti yaka mnyakua
Hivi wewe unayesema kuhusu Mdude ni mmoja wa watekaji nini. Mimi naelewa kuwa kila mwanadamu anakichaa chake. Hata wewe unayeo gea hivyo unaukichaa fulani kwa vile hujui kichaa chako mwenyewe.
Ubarikiwe mdude . Mungu akusaidie
ELIMU 😢
Anyway Mungu anayo nafasi yake.Anaweza kufanya kitu usichotegemea wewe. Lakini wanaondoka hawakuwa katika uchawa wao kwahiyo ni lazima wawaondewe mapema ili wabaki wao tu.
Nikweli ccm imearibu mbaka vija wamekua wahovyo awana utu matapeli yani mambo mengi sana awajali
Tuna kura bandia nyingi zaidi kuliko zile za ukweli na bado wanazingiza wao. Wenye mapanga ndiyo wanaofanya hayo ya kura bandia ndiyo wenye mamlaka
Haya yote yana mwisho kama yalivyokua ya firauni na jeshi laki alimalizwa baada ya kupewa muda mrefu na uhuru wa kufanya maovu yake hana hoja siku ya kiama sababu muda wakujirekebisha alipewa alishindwa kuutumia matokeo muda ulipita atimae mauti yaka mnyakua
MDUDE NI CHIZI ANAFAA APELEKWE MIREMBE 😢😢😢😢SIO MWANAHARAKATI
Ona ulivyo na akili mbovu unaitwa omar baba anaitwa james
@ 🤩🤩🤩🤩🤩
Uchukuliwe wewe 😂😂
@ NA SAUTI YA TEC🤩🤩🤩🤩🤩