GEAH HABIBU AFUNGUKA MAKUBWA KUHUSU MWIJAKU, UGUMU WA KUFANYA NAE KAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 ปีที่แล้ว +5

    Wow kumbe ndugu nimefurahi kusikia ivyo

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Zai anastahili sifa mie nilianza kumsikia kwny radio

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 ปีที่แล้ว +2

    Hongera zai Yani nyie waandishi ni wambea mno kwa kweli ebu jaribuni kuepuka maswali ya kizembe mtu kashakwambia haelewi na akumbuki kilichoandika Bado unahoji wakati huyo mwijaku mwenyewe yupo mnajua kutafuta fitna nimekupenda Bure gea hukutaka ufisadi

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 ปีที่แล้ว

      Hada huyu mwandishi wa Mbango tv wa kike kwanza hajui hata kuuli@a maswali na wala hajui kingereza utamsikia akisema neno la kingereza wee utazima tv kabisaa then mshamba hajui kuvaa anavaa kama msagaji na mkombanishi sana kwenye kuuliza maswali yake ni ya fitna looo Bongo hakuna waandishi kabisaa

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du ปีที่แล้ว +4

    Ndomana mme fanana sana

  • @norascoseggere9181
    @norascoseggere9181 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya huyu Dada geah habibu,nina shida yakijamii tafadhali

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 ปีที่แล้ว +12

    Gea kwa mbali kama shishibaby Yan shilole

  • @abednego3876
    @abednego3876 ปีที่แล้ว +3

    Wachekeshaj wakike ndo kina nan mm namjua zai tu bn

  • @sofina157
    @sofina157 ปีที่แล้ว

    Mungu akuweke dada Kwa kumsogeza kuwa juu zai

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa Gea. Ngumu kufanya kazi na mwijaku..

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +3

    Kheee kumbe geah na zai ni ndugu ?! Makubwa ndo nimejua Leo

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 ปีที่แล้ว +2

    Jaman mpk raha ndio maana mnaongea sn mastry ya zai anachekesha sn kwa raha zetu zai kiboko jaman

  • @irakozeaisha3308
    @irakozeaisha3308 ปีที่แล้ว

    Mashaallah kumbe mwee ni ndugu

  • @stelamwakatulile2455
    @stelamwakatulile2455 ปีที่แล้ว +2

    Mimi mwenyewe nampenda sana zai

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +1

    Love you Gea

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 9 หลายเดือนก่อน

    Ooh kumbe ni ddko

  • @hamidahamis4537
    @hamidahamis4537 ปีที่แล้ว +3

    Nyie wandishi acheni unafiki zai yupo vizuri Sana Tena sanaaaa uwa nashika mbavi zangu kwajili ya uchekeshaji wa zai

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 ปีที่แล้ว +1

    Mmefanana hata hivyoo

  • @mc_mrope
    @mc_mrope ปีที่แล้ว +1

    Sio heshima yako amkia wewe ndugu mtangazaji 🤣🤣🤣

  • @madaraka5290
    @madaraka5290 ปีที่แล้ว +1

    Zai anastahili hiyo tuzo

  • @gaspamgasa2366
    @gaspamgasa2366 ปีที่แล้ว

    Ka geah kazuri jmn

  • @ttss7716
    @ttss7716 ปีที่แล้ว

    Tanzania mko vizuri me dadangu uchekesha watu mpaka mazishini me ata siendi nae pahali 😆😆😆😆

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji mbea

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

    Asaiv ni wakati wa zai hao wakila black pass sijui nan walikuwa kipindi hk

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว

    Mtu huziba paa lake, mpeni kazi Zai nae

  • @mustaphasegeja1712
    @mustaphasegeja1712 ปีที่แล้ว

    Gea Habib

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Zai kama zai

  • @mariamunika6239
    @mariamunika6239 ปีที่แล้ว

    Nilihisi ivyo kiukweli

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe ndugu mashaallah 🥰

  • @BobMikwara
    @BobMikwara ปีที่แล้ว +3

    Anapambana sana Dada kuuliza maswali ya kinafik kufitinisha.. Alafu maskini huwaga hana bahati kupata majibu anayotarajia. Endelea kupambana mdogo. Ukikomaa utaacha maswali ya kizembe😂😂😂😂

  • @pendobaharia5598
    @pendobaharia5598 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ndugu 😍😍😍

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 ปีที่แล้ว

    Hivi blackpass na Zai utawafananisha ww hebu muweke mwingine huyo hamuwezi Zai ww Zai kitu kingine kwanza hatumii nguvu nyingi kwenye kuongea na mkavu acha kabisa

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 ปีที่แล้ว

    lakini kweli Geah na Zai wanafanana

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

    sasa mambo ya mwijaku. yamefikaje?

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji acha umbea

  • @ramajuma4063
    @ramajuma4063 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi please

  • @abrahambirech4187
    @abrahambirech4187 ปีที่แล้ว +2

    Uliza maswali ya Msingi mwandishi