CHINA YAIJIBU MAREKANI KUHUSU TANZANIA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Tanzania ni ''focal point'' kiuduma na bidhaa kwa ukanda wa AFRIKA MASHARIKI NA KATI tuitumie hiyo fursa kuboresha maisha ya mtanzani wa kawaida. #mwalimugoogletv

ความคิดเห็น •

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 10 วันที่ผ่านมา +13

    Kin lissu na mbowe ndio wanatak kutufnyia utumbo na wazungu wao Belgium

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 4 วันที่ผ่านมา +4

      Yaani ni kweli kabisa. Don't give them a single chance. Tanzania ni moja tu kwenye Ramani ya Dunia!!! Na yetu sisi wote. Mbowe na Lissu watafanya kama Ruto.

    • @BennBenn-es5fi
      @BennBenn-es5fi 4 วันที่ผ่านมา +1

      Daaaa laiti mngefunguka mkaona kinachoendelea na haoo mnaowaona wako Sawa.

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kudos to Nyerere na Magufuli, zidumu fikra za hawa miamba daima dumu

  • @ndaimtambo8845
    @ndaimtambo8845 4 วันที่ผ่านมา +4

    Tupo katika mapinduzi ya nne ya viwanda duniani na africa ndio jicho kuu kwa mataifa makubwa

  • @EdwardKessy-c9z
    @EdwardKessy-c9z วันที่ผ่านมา

    Kaka Unaitumia mitandao kuelewesha vzr jamii hakika wew Unafaaa kuwa kiongozi...

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 10 วันที่ผ่านมา +11

    Saf mama samia! Hizi ndio channel za kufunza bora huyo mchina marekani analeta usenge na fujo

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 3 วันที่ผ่านมา +3

    Sisi tunataka maendeleo njoo ww bac utoe ela wajenge sio maneno unataka tuamke vip ujenz unahitaji pesa lete ya kwako kama tutakataa

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward วันที่ผ่านมา

      @@maulidimpili698 Iyo pesa inayoletwa huku. Kwao hûwa wanapiga magoti Mungu anawapa kama Mana ya kwenye bible. Hilo ni Jasho la watu. Na sisi tukiondoa mapato ya Bure kwa wanasiasa, tufikiria kuzipata kwa jasho.

  • @SaidKasomo
    @SaidKasomo 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kihistoria China ndio taifa limekuwa likifika level ya usuperpower kila linaamka toka kwenye anguko. So by nature China is truly a superpower. They realised long tolime ago kwamba notation ya pure democracy inasabibishwa taifa kuwa unstable

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 3 วันที่ผ่านมา

      Bora kuwa unstable kuliko kutokuwepo na uhuru wa kiuchumi, kisiasa, na kujieleza, kwenye taifa kama Tanzania unaweza ukatafuta Hela Kwa mda mrefu halafu akaja raisi wa hovyo akakufilisi. Kwenye democrasia na na capitalism haiwezekani, Kwa hivyo mda wote democrasia na capitalism itashinda dhidi ya mfumo kama China,. China hawana technology, technology yote ni ya Marekani na ulaya ama urusi.

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 7 วันที่ผ่านมา +5

    Mbona unataja sana wahindi hata hao shida tu

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ukisusa wenzio wala. Swala la msingi je tunatumia na ku nufaikaje? Kama tuna miaka 63 ya uhuru bado hatuwezi kujenga chochote mpaka kandarasi za nje hawa engineers tunazalisha wa aina gani? Vyuo vikuu vyetu kituo cha mayai viza?

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward วันที่ผ่านมา

      @@benedictmrisho1800 Umesahau mwanasayansi Darwin na viungo visivyotumika kwa viumbe? Eti binadamu tulikuwa na mkia, binadamu hakaacha kupanda miti, matumizi yakafifia nao mkia ukapotea pole pole, sababu hauna matumizi. Siku hizi tunasema waache wajitafutie kama kuku wa kienyeji. Sisi tunapenda kuvumbuliwa na Rangi nyingine. Ukiwa na ubunifu ngozi nyeupe anasubiriwa aje kukutunza.

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hii pesa hata sisi wenyewe tuweza kuipata kwa kutumia umeme ukiwa unit tshs 50 ambayo itafanya watu wengi waweke umeme tz kuna nyumba 12.5milioni na kwa mafano kila nyumba ikatumia unit 30 kwa mwezi kwa mwaka tutakusanya trillions 6.7 tshs pesa anayotupa mchina ni trillions 2.7tshs ndio maana nasema tanesco ili takiwa ishindane kukusanya mapato na TRA lakini unaambiwa inaendeshwa kwa hasara

    • @ce-08
      @ce-08 4 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 วันที่ผ่านมา

      Kweli ni pamoja na kuwezesha makampuni ya wazawa ya mifumo ya AI, iliyotenezwa kukusanya pesa za kigeni kuleta ndani. Nara kakimbia na skyline and logistics inaweza kukimbia.

  • @ElyrehemaMartin
    @ElyrehemaMartin 35 นาทีที่ผ่านมา

    Ongea point acha story

  • @prothodommy
    @prothodommy 2 วันที่ผ่านมา

    Watanzania tuna shida sana, nionesheni sisi tunabenefit vp, lazima tuone nivipi tutanufaika kiuchumi, kiusalama na katika kulinda our sovereign integrity, je watanzania watanufaika vipi katika kukuza uwezo wa watanzania kiteknolojia na katika kuzalisha na sio kuwa tegemezi tu!
    Kilichotujaa watanzania ni ushabiki na ushamba tu lakini hatuchambui ni namna gani tutanufaika! The same kwa viongozi wetu!
    Kumbuka Tz tumefika hapa tulipo na kuwa na amani na stability kwa kuepuka kufungamana na hayo mataifa!

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa sasa ivi kumkaribisha mmarekani ni sawa na kukubali ushog

  • @crayonmaze9970
    @crayonmaze9970 2 วันที่ผ่านมา +1

    kwa miaka zaidi ya 64, wazungu wamefanya nn kama sio kuinyonya nchi? na kaeni mkijua Chadema ikishika nchi, nchi imeenda, hao ndo wana njaa zaidi kwa hiyo ni rahisi sana kuiza nchi kwa ajili ya matumbo yao

    • @africaonechannel1289
      @africaonechannel1289 2 วันที่ผ่านมา

      USIHOFU, Hatuwezi kuwapatia nchi watu ambao HATA OFISI ZAO ZA CHAMA ZA LEVEL YA WILAYA Hawajaweza kujenga!.
      CDM IMEFIKISHA 25 YEARS YA UZUSHI WA HILI AMA LILE Day After Another!🤣🤣🤣

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward วันที่ผ่านมา

      @@crayonmaze9970 Njaa na wizi hauna chama. Tabia ya Mtu mmoja. Escrow, meremeta,.chavda. kisa cha dhaabu na almasi ilikuwaje?. Haijarishi chama gani kipo madarakani. Kama tukiendelea kuishi kwenye fungate ya UHURU kwisha Habari. Ngonjera na sifa, majina mabovu hayasadii. Ni hatari uovu kuingia mpaka kwenye mazingira. Kuna kizazi kinaweza kukuta rasilimali hakuna.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward วันที่ผ่านมา

      @@africaonechannel1289 Kwenye siasa, hakuna kujiapiza. Unaweza kulia machozi, ukakosa wa kukufuta hayo machozi. Usisahu katiba imefungua huo mlango wa chama mbadala kupata madaraka

  • @AmiriMtei
    @AmiriMtei 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hatumtaki mmarekani mama awemakini ila machina hana baya

  • @gilbertmathias7594
    @gilbertmathias7594 2 วันที่ผ่านมา

    Kaka umeongea jambo nimekuelewa sana

  • @KheiriBafadhili
    @KheiriBafadhili 4 วันที่ผ่านมา +1

    Duuu humechambua mchina mrusi lakini sis8 tunachomana wenyewe kwa wenyewe

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hawatupendi wapo kimaslahi Yao Tu wao hawalali Sisi tumelala Tu wao wanajipanga jinsi ya kuendelea kuimba Tu lazima tuwe na viongozi uso WA mbuzi ukicheka unapigwa tena sio kidogo madini wamekuwa wakisomba eti wanafanya utafiti conteners wakati toka ukoloni walishafanya leo Colbert zimejaa kwao walichukua zamaani

  • @Hellen-i2y
    @Hellen-i2y 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Km tuna uranium, gesi tanzanite,diamond mbuga na mabonde ya kulima kisa cha kusaidiwa na masharti magumu hamuoni kama ni utumwa wa kujitakia?? Tumieni gesi kutengeneza umeme wa uhakika, tuwe na siasa nzuri za amani na haki na mipango mizuri ya uchumi tutaendelea na tutaheshimika. Mkopo na msaada wowote toka nje ni wa masharti na faida yake ni ndogo au ni utumwa

    • @ElyrehemaMartin
      @ElyrehemaMartin 34 นาทีที่ผ่านมา

      Hizo mbuga na vyote ulivyovitaja vitafasili kuwa pesa hapo ndiyo kazi ipo

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 วันที่ผ่านมา

    china yuko sahihi tangu uhuru hii reli ilijengwa na china kwaajiri yakusafirishia zana za kivita kwaajiri ya ukombozi kusini mwaafrika

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mzunga anakupapesa anakupa mashalita uwemashoga

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 วันที่ผ่านมา

      Wote hawa wanatafuta kwa ajili ya watoto wao. Sio sisi scrabble for tz.

  • @sulaimanabdullah-qp8vs
    @sulaimanabdullah-qp8vs 4 วันที่ผ่านมา +1

    Marekani.mshenzi.sio.mtu
    Wa.kushilikiana.nae.afadhali..huyo..china

    • @section8ight174
      @section8ight174 3 วันที่ผ่านมา

      Yaani ni wazungu wote tu in general washenzi sana hawana integrity na ni waroho kupita kiasi hawana utu sijui kwanini tunaendelea ku deal nao!!!

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 4 วันที่ผ่านมา +1

    Upo sahihi kabisa kaka sisi ujamaa unatusaidia sema kuna choko choko ndogo tu zinatusumbua..Democracy ni mfumo wa kishetani kugawanya watu..

    • @abdallahibrahim280
      @abdallahibrahim280 4 วันที่ผ่านมา +1

      Ni ajenda fiche ya ukoloni mamboleo na kuwasimika vibaraka wake kwa nia ya kupora rasilimali. Hawataki tuongozwe na wanaonufaisha wazalendo na rasilimal zao

    • @DafiMohamed-dz8xk
      @DafiMohamed-dz8xk 3 วันที่ผ่านมา

      @@abdallahibrahim280 kweli kabisa ndio maana marekani kila jambo zuri linalotaka kufunyika Africa anaingilia kati ili liharibike sema viongozi vibaraka ndio mtihani mkubwa kwetu...Nina imani mwisho wao umefika hao mabepari mungu awalaani kabisa

  • @CNsiaMaletnlema-pr9ri
    @CNsiaMaletnlema-pr9ri วันที่ผ่านมา

    Mabadiliko ya tabianchi itakuwa shida

  • @ray9738
    @ray9738 6 วันที่ผ่านมา +1

    🔥🔥🔥🔥🔥 Mungu akulinde.

  • @bensonpaul3672
    @bensonpaul3672 วันที่ผ่านมา

    Bado hatujasema,mpaka tuseme.

  • @pantaleolaurentlaurentkavu2011
    @pantaleolaurentlaurentkavu2011 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndio maana wanapitia vyama pinzani.tunaona mikakati.

  • @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
    @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo วันที่ผ่านมา

    Wote wezi hao wanafanana wanatoa misaada kinafki.

  • @kombosalehe9787
    @kombosalehe9787 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka unachokiongea kiangalie kwa makini Mzungu yupo Africa muda mrefu na haja acha fursa isipokuwa ameshika Media ambazo zinaficha interest zake na Nchi nyingine zinaziingia kwenye Competition na Wazungu Media zao kama chanel yako zinaonesha wachina ní wanyonyaji kuliko Wazungu.
    Kwa kukusaidia zaidi.
    European wanavyotoa misaada Yao wanashinikiza Hadi siasa na sera za nchi lakini nchi za Urusi na Uchina hawadili na mambo yenu ya ndani Wala kuwalazimisha kuoana

    • @section8ight174
      @section8ight174 3 วันที่ผ่านมา

      Wacha zako wewe, sasa angalia wachina walivyotusaidia kimaendeleo in the last 10-20 years huwezi kulinganisha na wazungu ambao wamekua hapa almost 200 years na hamna la maana walilofanya wametuletea systems Zao zinazowafaidi wao wenyewe, funguka macho!!

  • @sajigwelunogelominga2446
    @sajigwelunogelominga2446 3 วันที่ผ่านมา

    Sasa kama wanarekebisha Tazara kuna ubaya gani? China ana migodi mingi Zambia na DR Congo wanachimba Shaba,Cobalt,Manganese njia rahisi wao kufika China ni kupitia Tanzania that why ilikuwa lazima warekebishe hii reli

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 4 วันที่ผ่านมา +1

    wapo wenye saccos huwaelewi mara tanzania mara tanganyika hawana uzalendo yani nikuwaza watakulaje hela ya ruzuku. ukiwaona maandamano wanatafuta kiki tu lakini niwalafi kila mara tuchangie chama alafu mwenye saccos na wenzie wazitafune ukisikia peoples ni kiki ya kupiga pesa.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 วันที่ผ่านมา

      @@KudraWanguvu-em1xw Badala ya kupewna vilema tutafakari kwa kina. Jana niliona duka la vinywani nikakuta 1L ya absolute vodka ni 68,000/- tunajua hii ni ethanol na maji na mimea hasa viungo vya chai. Kwa nini Zetu chee?. Tatizo nini? Kwa nini chunvi tule ya jirani? Kwa nini sabuni kuzalisha ndani ni gharama kubwa na nchi jirani wazalishe wapate faida, wao wana bandari ya kupokea Mali ghafi nasi tunayo?. Kunini tunakunywa wine toka south. Wakati hapa tunzalisha zabibu misimu miwili?. Kwa nini hatuna makampuni makubwa ya kujenga na kama yapo kwa nini hatuyapi mikopo ya kununua mitambo na utajiri ukabaki ndani, kwa nini tumejifanya taifa la wachuuuzi?. Pamoja na uwekezaji mkubwa wa huduma maji, afya na umeme kwa nini maisha duni ya watu?. AI na nk taifa tunachangamkia fursa au tunaongea tu tuonekane kwenye TV?. Leo hii kama tunaweza kujaza taifa Zima kwa piki piki na bajaji, tumeshimdwa wapi kujaza taifa ili ngombe wa maziwa. Tukanywa maziwa na mazao yake. Tukapata watu wenye akili akili nzuri?. Hawa wachina na wengine wapo kwa shibe ya watoto wao kwanza. Nchi ya china kila siku wenye kukaa nao mnatwambia kwamba wachina wana mahitaji ya ASALI kwa mamilioni Tani, Sasa kama hilo soko ni kubwa tutaweza kwa kiongozi mmoja kwenda Kijiji x kugawa . Mizinga mia ya kufuga nyuki?. China na Ulaya wanasigana kuhusu soko la magari ya umeme kutoka china kwenda ulaya. Na mchina anasema atafunga uagizaji wa nyama ya Kitimo kwa mamilioni ya Tani. Je sisi tunaojigamba kwa udugu wa miaka mingi wapi umeona mkakati wetu kwamba hizo ni dola tuzichamkie?. AI na fursa zake mfano NARA na skyline and logistics tumewapa mazingira yapi ili pesa ya kigeni ije ndani ya Taifa letu. Kua na Ufuasi wa chama cha siasa ni sawa kabisa. Ila tunazama kweli kwenye changamoto za taifa letu?. Dunia kutokana na sayansi inakimbia sana. Ila kwa michango yetu tunajifunza kwamba hatujangamua changamoto zilizoko mbele yetu. Ulimwengu ni wa mashindano. Ujinga wetu ni kukataa na kusigana na mtu, kampuni, chama cha siasa kinachokupa mazoezi ya kushindana.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward วันที่ผ่านมา

      @@KudraWanguvu-em1xw Wazalendo ni bidhaa adimu sana. Nyani tangu lini kaliona kundule. Wamebaki wazee wachache sana. Wengi wetu choyo kimeshika tumbo.Unafiki wa nini

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wao walete tu maendeleo

    • @elishaobadia8829
      @elishaobadia8829 4 วันที่ผ่านมา

      Unakijua wao wanachochukua!?

  • @davidanselmo4041
    @davidanselmo4041 4 วันที่ผ่านมา

    Point kaka 😮

  • @BarakaMsukuma-g1q
    @BarakaMsukuma-g1q 4 วันที่ผ่านมา

    Acha wajenge reli kwani Kuna shida

  • @HeriDunia-i7m
    @HeriDunia-i7m 4 วันที่ผ่านมา

    wachina awana baya wabaya viongozi wetu kama puttin alivyosema sisi wenyew tukitaka kutumia kutengeneza au kufumbua vitu tunaambiana vibali badala ya kuwekezwa ili tifanye kwel wacha wanaojua kutumia watimie😂😂😂

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 4 วันที่ผ่านมา

    Kaka asante for this insightful updates

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 3 วันที่ผ่านมา

    mjinga hawezi elewa

  • @hassaniulende-sp6io
    @hassaniulende-sp6io 4 วันที่ผ่านมา

    POINT KABISA TATIZO AFRIKA HATUNA VIONGOZI TUNA MADUNDUKA , AKIJITOKEZA KIONGOZI MZALENDO WA AFRIKA MWENYE U

  • @ray9738
    @ray9738 6 วันที่ผ่านมา

    Tatamani tuwasiliane bro.

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 4 วันที่ผ่านมา

    Safi bro uchambuz wako naukubali lkn kazi kwenu kina kabudi unakinifu unahitajika sana kwenye mkataba

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 วันที่ผ่านมา

      Kabudi tu hawezi kitu.

  • @ndaimtambo8845
    @ndaimtambo8845 4 วันที่ผ่านมา

    Angalia hizo reli zinaanzia wapi na kuishia wapi ndio utajua kama wanatupe au wanapenda mali zetu

    • @section8ight174
      @section8ight174 3 วันที่ผ่านมา

      Lol tatizo la waafrika ni kujipendekeza!! Yaani siku mwafrika akifungua macho aone kwamba mzungu hampendi kabisaaaaa ndio tutatoka kwenye ukoloni wa akili

  • @rashidiiddi2433
    @rashidiiddi2433 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ila bora china kuliko marekani

    • @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
      @JoblessMillionaireMakolo-jb7xo 16 วันที่ผ่านมา +1

      Hamna bora, wachina ndio wezi Africa kuliko wengine,jiulize tokea wachina wafuke Tanzania wamekufanyia nini cha maana hapo ulipo au pale kijijini kwenu?

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@JoblessMillionaireMakolo-jb7xoHuoni walicho kifanya wachina au unataka marekani akuletee ushoga

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@JoblessMillionaireMakolo-jb7xonakuuliza wewe wewe!!, today wazungu walivyotutawala miaka 400 huko nyuma na mpaka leo baada ya Uhruru wa Watanzania na Waafrika wengine..., wamefanya nini mpaka LEO. Wana technologies nyingi wametufundisha hata moja. DANGOTE kajitoa mhali amejenga kiwanda cha kuchuja mafuta ya viwanda... ♥️ umeona jinsi ambavyo wamemvamia. UGANDA kagundua mafuta. Akaamua kuyachimba na kuyatuma nje kwa kutumia Bomba from Uganda through Tanzania 🇹🇿. Umeona jinsi hilo Bomba linavyoshambuliwa na European Union 🇪🇺. Wanadiscuss kwenye Bunge lao live how to stop it. Mchina ni better 💯.

    • @section8ight174
      @section8ight174 3 วันที่ผ่านมา

      ⁠ watu wengine bwana wanakurupuka tu na kuanza kubweka! Mzungu hata barabara alikuwa hataki kukusaidia kujenga na akijenga atakuchaji mara kumi ya mchina na quality ya barabara itakuwa probably 2 stars SMH!

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 4 วันที่ผ่านมา

    Sisi tunataka TAZARA iwe upgraded to SGR no matter unachosema wewe una wivu lafudhi yako tu tunajua ni mtu wa wapi shezi

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 3 วันที่ผ่านมา

      Lafudhi yake ina shida gani?Dhambi ya ubaguzi inakutesa Sana ndugu yangu.Kubagua watu kwa Makabila yao au dini au rangi ni kufilisika kichwani.Huyu jamaa ni mzalendo Sana.Tena ni PAN-AFRICANIST wa kweli.

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 3 วันที่ผ่านมา

      sasa unafurahia kuboreshewa na wanaume wenzako

    • @section8ight174
      @section8ight174 3 วันที่ผ่านมา

      Bangi kali 😂

  • @FelixMbore-wq7ho
    @FelixMbore-wq7ho 3 วันที่ผ่านมา

    Mchina anataka kabla jua halijazama aone faida. Ila mzungu anataka aone faida Maine ojayo. Heri tujenge mahusiano na makoloni yetu.

  • @MohammedGayoye
    @MohammedGayoye 3 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mmerekani wala mchina wote hao ni washenzi na hata mkimuamini mchina bdo ni tatizo

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 6 วันที่ผ่านมา

    Kilichoelezwa na Marekani siyo uwekezaji bali msaada ambao haurudishwi(grants). China wanawekeza mikopo (loans) ambayo tunadaiwa.Tuwe macho.Tunaposhirikiana na mataifa mengine ni lazima tubaini kuwa na faida kwa sisi.Kama hatuna faida kwetu (leo na kesho) na ushirikiano wowote tughairi.Changamoto ni rushwa na ubinafsi wa viongozi wetu.

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 4 วันที่ผ่านมา +2

      Sasa hspo kwenye Grant's ndio kwenye shida. Mkapitalisti hawezi akakupa kitu bure!!! Kuna Friday na masharti magumu ambayo ukiyatimiza wanavyotaka ndio umeua nchi. Angalia Kenya 🇰🇪.

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 4 วันที่ผ่านมา

      😂😂 ushoga 🇰🇪🇰🇪​@@joycelinelyimo-fenske8745

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@joycelinelyimo-fenske8745Hata sisi tumejiweka kimkakati kupenda vya Bure. Fikiria mfano wa kubuñi huu piki piki na Bajaji zikigeuka kuwa ngombe wa wa maziwa uchumi ungekuwaje? Mchina kupitia hiyo piki piki anavuna kiasi gani. 1L moja ya absolute vodka ya SWEDEN ni 68,000/_ konyagi ya TZ elfu 15,000 hivi. Wabunge na Wanasiasa wanashambulia wajasiliali wanaojikongoja kupunguza ulari wa biashara Kati yetu na SWEDEN. Wanaaminisha umma kua hizo za nje ni Bora huku wakijua pombe kote Dunia ethanol ndio inatumika. Sisi wenyewe tunajihujumu wenyewe. Bidhaa kama madhara ni Yale Yale hajalishi inatengeneza wapi. Kiuchumi inatakiwa kufundisha watu wawe na matumizi ya adhabu. Ili usiwe omba omba inatakiwa kuwa na mifumo ya kuwezesha viwanda vyako kifedha, kitechnolojia kuzalisha bidhaa na huduma za kuleta pesa za kigeni. Duniani kote mataifa yalianza kwa kutengeneza bidhaa hafifi. Hapa kwetu hatuonyeshi lini tutakoma kusubiri kusadiwa. Angalia Fursa kubwa iliyopo kwenye AI na viambata vyake. Mfano Nchi ya Jirani Nara alipewa nini ambacho hapa kwetu alikosa kukimbiza huo mfumo?
      Je kwenye nchi yetu si kila leo tunagigamba kunufaika na AI. Hatujui kwamba Mfano vumbuzi hizi zikikaa hapa ndani taifa litavuna Dola na kutupunguzia kuomba?. Nani anajali na Kwa nini hatujali?. Ukweli wale wanatusadia wana sura mbili. Bahati mbaya Africa na tz ikiwemo tumwamini sura moja ya shilingi. Hawa wenzentu wakiona uvumbuzi fulani au sekta binafsi ina biashara mpya ya kuamisha utajiri wako tayari kutumia rasilimali za umma kununua, kumiliki ili mradi wakiona watachuma wataongeza ajira au watapata kodi. Serikali zao Ziko karibu mno na wabunifu na wavumbuzi wa biashara mpya na fursa. Sisi tuna ulevi wa kusifiana sana. Matokeo yake ni kutowaona fursa tukianza na serikali yenyewe. Serikali ikikosa kuwa mbele kuona fursa kwanza, kwa raia itakuwa ngumu. Wamiliki mfano wa mifumo kama space x wanakusanya utajiri Dunia mzima na ukweli huo kila kiongozi wetu na wasomi, wabunge wanajua. Hivyo kama tungekuwa na msukomo wa ndani wa kukataa kua omba omba. Mifumo ya wabunifu inayoshabiana na hiyo tusitelekeze mataifa mengine wakachukuwa na kuja kutumia Mali ambazo zilistahiri kuwa hapa na zikaingiza pesa nyingi ya kigeni. Mfumo mwingine wa Tz ni skyline and logistics. Nao ni wa aina yake na wenye manufaa kama tukitumia mbinu ya upande wa pili wa akili ya mzungu.

    • @section8ight174
      @section8ight174 3 วันที่ผ่านมา

      Alafu we hata shule ya msingi ulienda? 😂 yaani mbona akili finyu namna hii? THERE IS NO FREE LUNCH!!!!

    • @rindenimwanga6355
      @rindenimwanga6355 วันที่ผ่านมา

      Nachojua kuna sumu inaua haraka na ingine inachukua muda kuua, ila sijui kama kuna sumu tamu.