🔴LIVE: KISIWANI-SAME MUDA HUU MHE:FREEMAN MBOWE, LEMA,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema ni chama kinachohubiri haki, Mungu awabariki sana viongozi wa Chadema na kuwalinda daima,kazi wanayoifanya Mungu uwalipe katika haki wanayoipigania katika Taifa letu Mbowe,Tundulissu, Lema na wengine wengi, Mungu uwalinde.Wananchi amkeni tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tuikatae ccm uchaguzi huu kuanzia wenyeviti wa mitaa, vitongoji, vijiji, madiwani, wabunge na Rais msiwachague tena mafisadi wa ccm itakuwa kuleta utumwa katika Taifa ccm wanaiba na kuuza rasilimali za Tanganyika.

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 3 หลายเดือนก่อน

    Jonas kadeghe mbunge wa same magharibi

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 หลายเดือนก่อน

    MH. MBOWE NI MWAMBA WA SIASA SAFI ZA UPINZANI NCHINI NDIYE PEKEE FEDHA CHAFU YA CCM IMEDUNDA KWAKE LAKINI WENYEVITI WENGI WA VYAMA VYA UPINZANI IMEWAZOA VYAMA VYAO VIKO HOI(VIMEBAKI CCM B) WAMEBAKI WAJINGA KUVIUNGA!!!

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 3 หลายเดือนก่อน

    hili jeshi ni hatari sana lakini salama