Usipate lahana na kutukana wa tumishi wa Mungu wa mbinguni, unapo gusa mutumishi wa Mungu, nikama una gusa boni lajicho la Mungu. Kumbuka daudi mwana wa yese, alikuwa na wandugu wa jeshi, ila mungu alimuchuguwa muchungaji wa kondoo. Jifunze kunena mema kwa wengine.
Upumbavu mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuui. NA HUYO SHTANI ATAWAACHA HOI. KAMA NI HUYO BAFOMETA SIJUWIII. SHIDA UTAJILI TUU. MUNGU WA KWELI NA ALIYE HAI NA AWALAANI KWA JINA LA YESU WA NAZARETI ALIYE HAI.
Mungu wangu katika jina la bwana yesu kristo, Muinuwe zaidi mutumishi wako masanja
Ubarikiwe sana pastor Emmanuel
Yaan mungu pamoja nasi
Mungu akubariki mtumishi,kwa kweli unapiga gosple linaloeleweka
Ameen hakika nimebarikiwa na ibada yako mtumishi wa mungu
Huduma yako ni njema kwani unafikisha Ujumbe kutoka kwa Mungu kulingana na nyakati na majira uko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hi I'm happy to listen to you in free church I'm just watching
Yesi neno zuri Sana
Very nice
Nakuelewa sna ipo cku ntakuja kanisani kwako.
Mm ni nimukenye lakini i love your brigi
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Amen
Unanibarki sana pastor
Haleluya
Ubarikiwa sana mch
Ameen
Hahahaa mungu ni mwema kila wakati, asante sana mchungaji masanja
YAANI WATU WANAPENDA UKUBWA NA UMAARUFU. WA BILA JASHO.
Amina
Aki .mtumishi. wamungu.nimenogewa..sana tangu.nikufuatilie
Naomba kujua kanisaloko lipo
Umeahama Mito ya Baraka
Balikiwa sana
Naomba kujua kanisa lako lilipo?
Kwakweli wewe eti papa😂😂😂 yani comedy mpaka kanisani, tafuta na wazee umechagua vijana Sana,
Usipate lahana na kutukana wa tumishi wa Mungu wa mbinguni, unapo gusa mutumishi wa Mungu, nikama una gusa boni lajicho la Mungu.
Kumbuka daudi mwana wa yese, alikuwa na wandugu wa jeshi, ila mungu alimuchuguwa muchungaji wa kondoo. Jifunze kunena mema kwa wengine.
Upumbavu mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuui. NA HUYO SHTANI ATAWAACHA HOI. KAMA NI HUYO BAFOMETA SIJUWIII. SHIDA UTAJILI TUU. MUNGU WA KWELI NA ALIYE HAI NA AWALAANI KWA JINA LA YESU WA NAZARETI ALIYE HAI.
Mama lao
Mchugaji fake kavaaa cheni
Amina
Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana huwa nabarikiwa sana na mahubiri yako