Jinsi Ya kupika haluwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Upishi wa Haluwa
    4 cups of Tapioca flour 500g
    5 cups of white sugar 970g
    1 cup of white sugar 196g
    4 cups of brown sugar 500g
    21/2 spoon of ground cardamom
    2 tsp of ground nutmeg
    11/2 gram saffron ( zafarani)
    Measure 7 cups of water or 1700ml
    2 cups of ghee 500ml
    3 cups of cooking oil 750ml
    Rose water 250ml
    Sesames ( ufuta)seed unakisia
    Korosho optional
    Pistachio optional
    Almond optional
    Step 1
    Unguza 1 cup of sugar hadi iwe brown kabisa
    Step 2
    Add 5 cups of water slowly usitie yote kwa pamoja tia kidogo kidogo na huku unakoroga ukiweka yote pamoja haluwa yako inaweza ikafanya madonge.
    Utaweka Brown sugar na sukari iliyobaki katika sufuria yako
    Tia Hiliki, zafarani na kungu manga
    Wacha maji yako yachemke
    Step 3
    Chukuwa frying pan yako weka ufuta uweke kwenye moto acha upate moto kidogo then weka pembeni.
    Step 4
    chukuwa bakuli lako safi weke unga wako wa haluwa Tapioca
    Tia maji 2 cups uliyoyabakisha
    Changanya vizuri unga uchanganyike na maji vizuri then weka rose water .
    Maji yakishachemka sasa mimina mchanganyiko wako
    Anza kukoroga kidogo kidogo hadi utaona inaanza kujishika
    Step 5
    Weka samli 2 cups
    Unaendelea kusonga hadi ishikane barabar
    Weka ufuta.
    Endelea kuisonga haluwa yako
    Ikifika dakika 45min tia kikombe cha mafuta
    Engelea kuisomga
    Weka tena kikombe cha mafuta songa
    Unasonga kwa muda wa 1hr na 15min then unatia kikombe chako cha mwisho cha mafuta unasonga kwa dakika 10 min
    Chukuwa sahani yako ya kaure tia haluwa yako
    Juu ipambe kwa lozi, pistachio ukipenda
    Enjoy 😉

ความคิดเห็น • 28

  • @aishaaroi8718
    @aishaaroi8718 18 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah

    • @millahkitchen
      @millahkitchen  18 วันที่ผ่านมา

      Asante usichoke kutuangalia

  • @fatmahamdan6964
    @fatmahamdan6964 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Tabaaraqa Rrahmaan.

  • @kamilyaibrahim7778
    @kamilyaibrahim7778 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Mashaallah tabarakallah Allah akuepushe na hasad kipenzi wa mie ❤❤❤

  • @khayratsultan8812
    @khayratsultan8812 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @ummukamillah
    @ummukamillah ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 ปีที่แล้ว +1

    Sante

  • @asyaomar4950
    @asyaomar4950 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @khadijanassor7698
    @khadijanassor7698 ปีที่แล้ว

    Shukran sana kwa kutujalii

  • @hajiwaseif2825
    @hajiwaseif2825 8 หลายเดือนก่อน

    ShoukrA mbn halwa hanukie hiliki tia

    • @millahkitchen
      @millahkitchen  8 หลายเดือนก่อน

      Shukran Ila nadhani hujaiona hiliki❤kwenye kisosi hapo na sio hiliki tu inayosababisha haluwa kuwa na harufu nzuri hata rose water, nutmeg, zafaran na brown sugar hivi ni viungo muhimu kwenye halua, hope umenifahamu na utaitizama tena video hii kwa umakini. Asante sana kwa comment yako.

  • @hajiwaseif2825
    @hajiwaseif2825 8 หลายเดือนก่อน

    A alaykum habibty wng naomba maelekezo unga uza wapi

    • @millahkitchen
      @millahkitchen  8 หลายเดือนก่อน

      Waalaykumusalam warahmatullah wewe uko nchi gani ? Kama uko uk nunuwa online more cheap kuliko dukani.
      Kama uko TZ tafuta unga wa Uwanga.

  • @hajiwaseif2825
    @hajiwaseif2825 ปีที่แล้ว

    Ahsante naomba no yko

    • @millahkitchen
      @millahkitchen  ปีที่แล้ว

      Shukran

    • @millahkitchen
      @millahkitchen  11 หลายเดือนก่อน

      Nicheck, FB or Instagram nitakupa numba in sha Allah , jina ni Millah kitchen

    • @hajiwaseif2825
      @hajiwaseif2825 9 หลายเดือนก่อน

      Mashaallah habibty wng shoukra naomba masiliano

    • @millahkitchen
      @millahkitchen  9 หลายเดือนก่อน

      @@hajiwaseif2825 nitafute instergram kwa jina hili sawa!

    • @hajiwaseif2825
      @hajiwaseif2825 9 หลายเดือนก่อน

      Shukran xn habibty maji sukari mchemsha mda gani

  • @ferouzaltimimi7723
    @ferouzaltimimi7723 ปีที่แล้ว

    Salaam Aleyku kutumiashukar kwaupishi ya halwa nauliza badali ya unga uliyotua naweza corn Flour

    • @millahkitchen
      @millahkitchen  ปีที่แล้ว

      Unaweza my dear , ila wa mahindi Uko mwepesi sana so jaribu kupunguza mafuta 👍

    • @ferouzaltimimi7723
      @ferouzaltimimi7723 ปีที่แล้ว

      شكرا حبيبتي الله عفيك ❤

  • @omarysalum7247
    @omarysalum7247 9 หลายเดือนก่อน

    Unga wa muogo huo

    • @millahkitchen
      @millahkitchen  9 หลายเดือนก่อน

      Tapioca nadhani ni muhogo yer.

  • @TurkanCalender
    @TurkanCalender ปีที่แล้ว +1

    Huo Unga sijaujuwa