CHAWA WA BOSS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • CHAWA WA BOSS ni movie ambayo inamuelezea Liberty ambaye anamke lakini anashindwa kutulia nyumbani kwakwe na mkewe kisa Gubu na makelele ya mkewe nyumbani anaona njia sahihi ni kutafuta vijana ambao watakuwa wakimletea wanawake
    Contact Us
    WhatsApp number +255 716 194 905
    Email darcityfilmproduction@gmail.com
    Filmmaking Est Africa Tanzania
    Romantic Drama | Shortfilm | Love Story | Web Series | Swahili movie's
    Copyright © 2024 DARCITY PRODUCTION. All rights reserved

ความคิดเห็น • 12

  • @SalimmikwangaMikwanga
    @SalimmikwangaMikwanga 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Misita nyuki kazi poa sana kanza kaka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @omarikable
    @omarikable 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana, ni ujumbe safi sana, inaonyesha hali watu wengi wanavyoishi maisha ya mijini. Cha msingi tuogope nafsi zetu, tunaweza kudanganyana wee na mwisho wake ukawa na aibu au na kuuana.

  • @Atb300
    @Atb300 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyuki umetisha 😂😂😂😂

  • @nelsonandanyi
    @nelsonandanyi 2 หลายเดือนก่อน

    #Nyuki kiboko....

  • @richardsweya231
    @richardsweya231 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Mwamba kauwa ila kwenye Lugha zetu Wasukuma mnatuzalilisha kwani asiketumia kimasai all in all katisha big time 🫡

  • @richardsweya231
    @richardsweya231 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jicho amba pesa ya kunyoa unaomba pesa ya fegi